"TUNAJENGA KULINGANA NA MAHITAJI/ NYUMBA 1000 ZINAKUJA," - MKURUGENZI MTENDAJI WHI/ ZIARA DODOMA:

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2024
  • Msikilize hapa Mkurugenzi mtendaji wa Watumishi Housing Investments Dkt.Fred Msemwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya ziara ya Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Dkt. Joseph Kizito Mhagama alieambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.Jenista Mhagama, mwakilishi wa mkuu wa mkoa na viongozi kutoka Utumishi.
    Kamati hiyo ilitembelea miradi ya Nyumba inayotekelezwa na Watumishi Housing Kisasa Hiltop Njedengwa Dodoma na kuridhishwa na kazi ya ujenzi ambapo iliipongeza WHI kwa kazi nzuri.
    #nyumbanauwekezaji #faidafund #uwekezaji #uwekezajitanzania

ความคิดเห็น •