IJUE FAIDA FUND

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ก.ย. 2024
  • Je unaujua Mfuko wa Faida Fund??
    Ni Mfuko wa uwekezaji wa pamoja ambao unatoa fursa ya kukuza vipato vya watanzania kupitia uwekezaji katika masoko ya fedha kupitia Faida Fund..
    Unaweza kujiunga kupitia WekezaWHI App, fas.whi.go.tz au *152*00#
    Eweeehh Mtanzania sehemu yoyote uliyopo usiache fursa hii ikupite.. watembelee @watumishi_housing_investments @faida_fund wapo SABASABA Banda la Karume au wapigie simu kwa 0658414100, 0757437594, 0756041444 au 0622594650.
    Uwekezaji Bora Kesho Imara na FAIDA FUND
    #kwanikunashidooooo

ความคิดเห็น • 2

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario 2 หลายเดือนก่อน

    Habari njema hii; je tuliopo mikoani mfano Mwanza tunawezaje kuwekeza na Faida fund?

  • @mbwanajangwa
    @mbwanajangwa หลายเดือนก่อน

    Nimejiunga na faida fund. Nikatumiwa UJUMBE wa jinsi ya kuingia kwenye APP lakini inanikatalia na inaniketea sms ya INFORMATION INVALID CREDENTIAL.
    Nifanyeje na inaonekana pia nilijaribu mara nyingi saana.