@@zawadimbiro1596 mwanzo kutokea usikivu utakao kufanya uwe salama, 🐔 kukumbatiwa na kulindwa. Biblia inasema YESU Anasema Jerusalema eee Jerusalema uwauwaye manabii na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa mwako mara ngapi?nimetaka kuwakusanya kama kuku anavyokusanya vifaranga lakini ULIKATAA.
Mtumishi mimi mwanzo nimeota natalikiana na mume wangu mimi ndo niliamua lakini akawa hataki basi nikambembeleza akubali ili aweze kusonga mbele akawa anakubali kiunyonge ila nakumbuka akawa anampigia dada yake aje achukue dawa nyumbani , basi badala ya hapo nikawa nawaona wanawake wanapita ila ngambo ya barabara maana tulipakana na rami, na wanapita kwa aibu badae nikaona kuna dada alifubgua vibaya dirisha langu la kioo likachomoka lakin halikuvunjika nikawa namgombeza na kumwambia wajua gharama yake wewe ila mume wangu akawaanajaribu kumtetea , wakaja watu walitengeneze wakauliza ni shilingi ngapi dirishanikawambia lak 2.5 na ndo bei niliwekea wakasema ah hela nyinhi moyoni nikasema nitatengeneza za mwenyewe nikaenda stoo yaani workshop wanakotengeneza. Nikaanza kuchukua misumari nati za dirisha nifunge ndo nikastuka
Adui shetani anajaribu kushambulia ndoa uwe na magomvi na mume wako anafanya kutumia watu( dirishani kwa siri ni dirisha) ila mume wako anakuhitaji bado mwe pamoja,kisha anampatia dawa, kumweleza bado anampenda mke wake, hata na wengine wanaacha pia kufuatilia kwa siri maisha yenu.
Mtumishi naomba nitumie no yako
MUNGU Hajaniruhusu kutoa namba ya simu nitafanya hivyo akinipa kibali nitafanya hivyo.
@@GodfreyMwalongo-yg7tq 🙏🙏aaamina mtumishi Mimi nimetoka Kwa uislam natamani nisirudi tena Mungu akulinde
Nimeota majirani wapo kwenye dirisha langua.wakasogeza pazia wakawa wananichungulia
@@zawadimbiro1596 unafuatiliwa mambo yako kwa siri.
Amina pia kuota.umeshika mayai mkononi .kisha yakatotoa vifaranga.kisha ukavikimbiza kwa mama yake avitunze INA maana gani
@@zawadimbiro1596 mwanzo kutokea usikivu utakao kufanya uwe salama, 🐔 kukumbatiwa na kulindwa. Biblia inasema YESU Anasema Jerusalema eee Jerusalema uwauwaye manabii na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa mwako mara ngapi?nimetaka kuwakusanya kama kuku anavyokusanya vifaranga lakini ULIKATAA.
Mtumishi niliota kuku kazama baharini nikaogeleya nikamwokoa nipe tasiri tafashali
🐔 kuku ni maneno maneno, usiopenda kuonywa au kutulizwa, maneno maneno yanayoweza kukusababisha (hasara au kujutia kwa maneno yako.
Mtumishi mimi mwanzo nimeota natalikiana na mume wangu mimi ndo niliamua lakini akawa hataki basi nikambembeleza akubali ili aweze kusonga mbele akawa anakubali kiunyonge ila nakumbuka akawa anampigia dada yake aje achukue dawa nyumbani , basi badala ya hapo nikawa nawaona wanawake wanapita ila ngambo ya barabara maana tulipakana na rami, na wanapita kwa aibu badae nikaona kuna dada alifubgua vibaya dirisha langu la kioo likachomoka lakin halikuvunjika nikawa namgombeza na kumwambia wajua gharama yake wewe ila mume wangu akawaanajaribu kumtetea , wakaja watu walitengeneze wakauliza ni shilingi ngapi dirishanikawambia lak 2.5 na ndo bei niliwekea wakasema ah hela nyinhi moyoni nikasema nitatengeneza za mwenyewe nikaenda stoo yaani workshop wanakotengeneza. Nikaanza kuchukua misumari nati za dirisha nifunge ndo nikastuka
Adui shetani anajaribu kushambulia ndoa uwe na magomvi na mume wako anafanya kutumia watu( dirishani kwa siri ni dirisha) ila mume wako anakuhitaji bado mwe pamoja,kisha anampatia dawa, kumweleza bado anampenda mke wake, hata na wengine wanaacha pia kufuatilia kwa siri maisha yenu.
@@GodfreyMwalongo-yg7tqasante Sana mtumishi nisaidie mawasailiano yako Niko omani