- 25
- 9 984 246
Magreth James
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 10 ก.ย. 2014
Magreth James ni mtumishi wa Mungu kwa njia ya uimbaji kutokea mkoa wa Kilimanjaro Tanzania.
Ni mzaliwa wa familia iliyokuwa katika misingi mathubuti ya kiroho iliyochangia kwa kiasi kikubwa Binti huyu kuutambua wito uliopo ndani yake na wakati wa kutumika kwake.
Magreth ameanza safari yake uimbaji mwaka 2019 na tokea wakati huo Mungu amekuwa akimtumia kuwabariki watu wake kupitia mashairi na sauti yake yenye Nguvu za Mungu.
Magreth ana lengo kubwa la kumtumikia Mungu kwa Roho na kweli ikiwa ni pamoja na kuendelea kuupa mziki wa injili Tanzania heshima na utukufu kwa Mungu.
Ni mzaliwa wa familia iliyokuwa katika misingi mathubuti ya kiroho iliyochangia kwa kiasi kikubwa Binti huyu kuutambua wito uliopo ndani yake na wakati wa kutumika kwake.
Magreth ameanza safari yake uimbaji mwaka 2019 na tokea wakati huo Mungu amekuwa akimtumia kuwabariki watu wake kupitia mashairi na sauti yake yenye Nguvu za Mungu.
Magreth ana lengo kubwa la kumtumikia Mungu kwa Roho na kweli ikiwa ni pamoja na kuendelea kuupa mziki wa injili Tanzania heshima na utukufu kwa Mungu.
Magreth James - Unanijali (Official Audio)
Music by Magreth James performing "Unanijali" (Official Release 2024)
Listen to Magreth James on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/magrethjames
Boomplay:www.boomplay.com/artists/24643272
Apple Music:music.apple.com/us/artist/magreth-james/1564491567
Connect Magreth James on Social Media:
Instagram: magrethjamesoffical
#MagrethJames #Unanijali
Listen to Magreth James on Digital Streaming:
Audiomack:audiomack.com/magrethjames
Boomplay:www.boomplay.com/artists/24643272
Apple Music:music.apple.com/us/artist/magreth-james/1564491567
Connect Magreth James on Social Media:
Instagram: magrethjamesoffical
#MagrethJames #Unanijali
มุมมอง: 868
วีดีโอ
Magreth James - Unizingire (Official Audio)
มุมมอง 1.8K3 หลายเดือนก่อน
Music by Magreth James performing "Unizingire" (Official Release 2024) Listen to Magreth James on Digital Streaming: Audiomack:audiomack.com/magrethjames Boomplay:www.boomplay.com/artists/24643272 Apple Music:music.apple.com/us/artist/magreth-james/1564491567 Connect Magreth James on Social Media: Instagram: magrethjamesoffical #MagrethJames #Unizingire
Magreth James - Imbeni (Official Music Video)
มุมมอง 7K6 หลายเดือนก่อน
Music Video by Magreth James performing "Imbeni" (Official Release 2024) Listen to Magreth James on Digital Streaming: Audiomack:audiomack.com/magrethjames Boomplay:www.boomplay.com/artists/24643272 Apple Music:music.apple.com/us/artist/magreth-james/1564491567 Connect Magreth James on Social Media: Instagram: magrethjamesoffical #MagrethJames #Imbeni
Magreth James - Imbeni (Official Audio)
มุมมอง 2.3K8 หลายเดือนก่อน
Music by Magreth James performing "Imbeni" (Official Release 2024) Listen to Magreth James on Digital Streaming: Audiomack:audiomack.com/magrethjames Boomplay:www.boomplay.com/artists/24643272 Apple Music:music.apple.com/us/artist/magreth-james/1564491567 Connect Magreth James on Social Media: Instagram: magrethjamesoffical #MagrethJames #Imbeni
MAGRETH JAMES- NIKUKARIBIE (Official Video)
มุมมอง 94Kปีที่แล้ว
Shalom, Karibu tena ubarikiwe na wimbo huu Uitwao Nikukaribie kama lisemavyo neno la Mungu. Zek 1:3 SUV ....... Nirudieni mimi, asema BWANA wa majeshi, nami nitawarudia ninyi,. Waalike wengine kutazama nyimbo hii ili nao wapate kubarikiwa, Amina
MAGRETH JAMES - NINA UHAKIKA (Official Music Video)
มุมมอง 264Kปีที่แล้ว
Bwana Yesu asifiwe,karibu tena ubarikiwe na wimbo huu mzuri wa baraka NINA UHAKIKA,na uwe na uhakika popote ulipo ulimwenguni BWANA anakuhudumia
Magreth James - NIKUKARIBIE (OFFICIAL MUSIC AUDIO)
มุมมอง 51Kปีที่แล้ว
Yohana 6:68 Bwana twende kwa nani?wewe unayo maneno ya uzima tele?
Magreth James - Nina Uhakika(Official Music Audio)
มุมมอง 33Kปีที่แล้ว
Bwana Yesu asifiwe ,karibu tena uhudumiwe na ujumbe uliopo kwenye wimbo wa Baraka NINA UHAKIKA,,naamini Mungu atakutendea Mema "Nina uhakika
Magreth James (NIMEKUONA BWANA OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 139K2 ปีที่แล้ว
Bwana Yesu asifiwe, Ni maombi yangu Mungu akuonekanikie katika nyakati zote za maisha yako ,utukufu wake uende pamoja nawe.
Magreth James - Nimekuona Bwana (official Music Audio)
มุมมอง 15K2 ปีที่แล้ว
Hakika tunaye Baba asiyebadilika ,Pendo lake na nguvu zake zisitupungukie nyakati zote kwa mawasiliano zaidi ,maombi wasiliana nami kwa namba 0713 913454
Magreth James - UNGEHESABU (Official Music Video)
มุมมอง 307K3 ปีที่แล้ว
Zaburi 103: 13-14 Kama vile Baba awahurumiavyo watoto wake Ndivyo Bwana anavyowahurumia wamchao, Kwa maana yeye anatujua umbo letu na kukumbuka ya kuwa sisi tu mavumbi. #umebarikiwa na kupendelewa pakubwa..
MAGRETH JAMES - UNGEHESABU (OFFICIAL MUSIC AUDIO)
มุมมอง 15K3 ปีที่แล้ว
Yohana 3:16-17 Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu hata akamtoa mwanawe wa pekee ili kila amwaminiye asipotee bali awe na uzima wa milele, Maana Mungu hakumtuma mwana ulimwenguni pili auhukumu ulimwengu bali ulimwengu uokolewe katika yeye. #UNGEHESABU
MAGRETH JAMES (UNIFUNDISHE OFFICIAL MUSIC VIDEO)
มุมมอง 255K3 ปีที่แล้ว
Zaburi 32:8 Neema ya Bwana Yesu Kristo ikutangulie siku zote za maisha yako ,hatua zako ziongozwe naye daima Umebarikiwa ,
MAGRETH JAMES # (UNIFUNDISHE OFFICIAL MUSIC AUDIO
มุมมอง 20K3 ปีที่แล้ว
Zaburi 32:8 Bwana atakufundisha njia ya kuiendea ,jicho lake daima litakutizama ,na mkono wake hodari wakati wote utakunenea mema Umebarikiwa, na nguvu za Mungu zikutunze daima,
Magreth James (UNAWEZA OFFICIAL VIDEO)
มุมมอง 7M3 ปีที่แล้ว
Neema ya Kristo Yesu haibadiliki kamwe na Daima Bwana analitazama Neno lake apate kulitimiza ,tafadhali unapotazama wimbo huu wa baraka popote ulipo ulimwenguni kumbuka jambo Moja nalo ni "MUNGU BABA ANAWEZA" UMEBARIKIWA Ninakuombea Mema Insta;magrethjamesofficial Fb;Magreth James Amen,
MAGRETH JAMES #UNAWEZA (Official Music Audio)
มุมมอง 130K3 ปีที่แล้ว
MAGRETH JAMES #UNAWEZA (Official Music Audio)
10 min. Exclusive interview Magreth James & Praise Power Radio
มุมมอง 5K4 ปีที่แล้ว
10 min. Exclusive interview Magreth James & Praise Power Radio
Magreth James - UMENIKUMBUKA (Official Audio)
มุมมอง 32K4 ปีที่แล้ว
Magreth James - UMENIKUMBUKA (Official Audio)
Magreth James - JINA LANGU (Official Video)
มุมมอง 1.2M4 ปีที่แล้ว
Magreth James - JINA LANGU (Official Video)
Magreth James - WEWE NI NJIA (Official Video)
มุมมอง 38K5 ปีที่แล้ว
Magreth James - WEWE NI NJIA (Official Video)
Magreth James - YESU NI NJIA (Official Audio)
มุมมอง 6K5 ปีที่แล้ว
Magreth James - YESU NI NJIA (Official Audio)