For sure,I don't know where I would be if the LORD kept a record of my wrongs.A man of unclean lips I am,a wicked sinner who is only alive by GOD'S GRACE,HIS UNMERITED FAVOUR and LOVE I don't deserve.
@@irenendana7163 beloved,,, this is our biggest testimony the only huge miracle human race can ever have,,I'm fevered to be among and testify about it ,may this prayer keep Been prayer of many , Kindly help me to share this to family and friends
Siku ya mwisho Mbinguni najua nilazima nitakutana na huyu dada, tukiwa wote tutaenda kumsalimia mzee wa siku daah itakuwa furaha sana, kwa imani yangu najua hatoishia njiani
I heard this song in an uber cab yesterday. . . .the song kept on disturbing my spirit until I started listening more keenly then I put on shazam to know the name and singer. . a really beautiful worship song. . .the atmosphere changes and is soaked in the Holy Spirit. Glory to Jehovah
For those who believe and knows the importance of the CROSS,will say;Ahsante Bwana kwa maana huku/huja na hutahesabu maovu yangu kutokana MSALABA.What a sang:God bless you..
Barikiwa sana Mtumishi waMungu unaemtumikia Mungu kwanjia yauimbaji hakika nimebarikiwa sana nawimbo wako Mungu azidi kukuinua zaidi kupita viwango vyakawaida
Mungu akubariki sana sana Jamami mie unanisogeza karibu na Mungu uuwi kila siku nyimbo zako unaweza kufanya asanteh barikiwa Mungu akutumie zaidi uendelee kutuhudumia
Kama umeokoka tafadhali usianguke omba sana my dear wanaanzaga na roho wanamalizia na mwili. MUNGU akutie nguvu.Huyu dada anaimba mpaka inaleta furaha,Ee MUNGU wangu saidia watoto wako.AMEN hallelujah hallelujah.
Nabalikiwa sana na nyimbo zako MUNGU akubariki kwa uimbaji mzuri wa kutukumbusha uzuri wa MUNGU
Oh bless the Lord for what he did at Calvary
For sure,I don't know where I would be if the LORD kept a record of my wrongs.A man of unclean lips I am,a wicked sinner who is only alive by GOD'S GRACE,HIS UNMERITED FAVOUR and LOVE I don't deserve.
@@irenendana7163 beloved,,, this is our biggest testimony the only huge miracle human race can ever have,,I'm fevered to be among and testify about it ,may this prayer keep Been prayer of many ,
Kindly help me to share this to family and friends
Asantee Mungu wangu Nakushukuru Kwa Ukuu Wako Kwangu Kwani Ungehesabu Maovu yangu Nisingelikuwa hai😂😂😂🙏🙏🙏🙏
This song has made cry 😭😭❤️ ooh my God you are so merciful ,kma bwana ungehesabu maovu yangu nisingekuwako 🙏😭😭
Iam as well crying😭😭,Too emotional God answers our prayers despite how sinful we are,how unworthy we are,Thank You God😢
is,powerfully,worship,God,bless, your
Asante sana MUNGU kunihurumia, wewe Dada nakupenda sana tena sana nyimbo zako zimenisaidia sana
Ubarikiwe sana na ahsante kwa upendo
Baba yetu ni mwema
Gwimbile ndaga dada
Barikiwa saana mtumishi kwa ujumbe mzuri unatupa nafasi ya kujitokujihesabia haki.nimebarikiwa saana❤️❤️❤️❤️
i HAVE never heard this song soo powerful this deep spiritual song be blessed
Amen
Kweli kama angehesabu maovu yangu singekuwepo!! Wana wako Kristo uliowanunua kwa Damu yako ya thamani twasema "ASANTEE"
Ooh waow,so powerful cry unto God.Kwa kweli angehesabu maovu yetu,hatungekuweko.
Asante kwa kutubariki
Siku ya mwisho Mbinguni najua nilazima nitakutana na huyu dada, tukiwa wote tutaenda kumsalimia mzee wa siku daah itakuwa furaha sana,
kwa imani yangu najua hatoishia njiani
@@gracevalentine4234 Mungu akubariki dada, Neema ya Kristo Yesu itusaidie,,Mungu atukumbuke
I heard this song in an uber cab yesterday. . . .the song kept on disturbing my spirit until I started listening more keenly then I put on shazam to know the name and singer. . a really beautiful worship song. . .the atmosphere changes and is soaked in the Holy Spirit. Glory to Jehovah
Glory to God bless you 🙏
Barikiwa sana mtumishi MUNGU akutunze dadaangu nabarikiwa Sana na nyimbo zako hakika MUNGU angehesabu maovu yangu sijui ingekuwaje,😭😭😭
Kama sii msalaba wako Yesu ningekuwa wapi leo mm, Asante kwa neema yako Bwana Yesu
Mimi ningekufa kitambo isipokuwa ni Yesu hakuhesabu maovu yangu😢😢😢
MUNGU nakushukuru kwa wema wako, hata kwa kunijalia nguvu na uhai wa kuandika ujumbe huu. Sifa na utukufu ni zako milele na milele
Kwa kweli ungehesabu makosa ni singekuwepo😭😭😭😭Asante Baba kunipenda bure🙏
Such a great and inspiering worship full of the mercy of God upon us more grace❤❤❤❤
Maovu yangu ni mengi lakini Mungu amenipenda tu. Ah sante YHWH.
Ungehesabu Maovu yangu nani angenisamehe? Ni Usiku wa manane naskiliza huu wimbo! Ahsante YESU.
Recently Magrett, you're one great gospel songs Minister blessing an uplifting my soul more closer to God. God bless you my sister in Christ
Glory be to God my brother,thank you so much,God bless you 🙏
Ooh my God, hakika ungehesabu makosa yangu niaingekuwako😭😭😭😭😭😭😭😭, nashukuru Mungu Kwa upendo wako
True God agehesabu maovu nisingekuwa
It's only by the mercy and grace of our Lord and the sacrifice on calvary that am here today as a child of God..be blessed.
True worship in truth and in spirit , thank you Jesus 🙏
Amen amen 🙏🙏🙏🙏
Mungu wa mbinguni akubariki na akuinue kwenye uduma Yako kwa viwango vya juu umenibariki sana kwa ujumbe huu mungu akukumbuke
Nashukuru na kunyenyekea sana,Mungu ayasikie maombi yako ,Amen
Baba ni asante kwa rehema na neema yako😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
Nyimbo imenigusa sna
For those who believe and knows the importance of the CROSS,will say;Ahsante Bwana kwa maana huku/huja na hutahesabu maovu yangu kutokana MSALABA.What a sang:God bless you..
Jesus Love's YOU
Amen..Amen upendo mwingi kutoka +254..i love the message ya wimbo hakika...Halleluya
Aky I have cried alot😣🙏maovu nimeyatenda mengi Kama MUNGU angehesabu maovu yangu, sijui ningekuwa wapy
Ungehesabu maovu yangu ni singe kuwa wako yesu,asante kwa upendo,na ushukuru msalamba
Amen amen
This is worship right from the heart. Magreth, this is deep, very deep from your heart. Be touched in a special way by God. This is special.
I'm humbled beloved
An example of true worship,all Glory to God...be blessed magreth
True song,,I can't stop to see this song, be blessed my sister
Nikweli Yesu ungeesambu maovu yetu atungekua AI jina lako litukuze
So spiritual worship. More grace women of God
Mungu aendelee kukutumia uponye roho za wengi kupitia uimbaji. Be blessed madam.
Amen mpendwa wangu
So touching. I can listen and listen and listen.
I'm blessed my sister.
Nikweli kabisa mungu angehesabu makosa yet tusinge kuwa hapa tulip nimebalikiwa san na wimbo wako
God bless you my sister for this song made me cry
Mbona nyimbo zako zote hatuwezi sikiliza Spotify wameondoa kwani kuna nini huku spotify ama hawataki maabudu ya kweli
@@selinathomas-p7u kulitokea changamoto zitarudishwa karibuni
Asante dada Yangu,Mungu akubariki sana,,this Gospel of God kujitolea na kuamua,,God's love,Lets countinue praying,call Him,....oh Hallelujah
Hope am not the only one crying
powerful song, deep spirited. It reminds us about God's grace
The Grace upon Grace beloved
Amen
Aminaaa sanaaaa dada unanibariki sanaa MUNGU ATUSAIDIE sanaaa rehema za MUNGU ni nyingi mno
Ubarikiwe dada kwa wimbo huu Mungu atakuinua utukufu Hadi utukufu ni kazi njema sana machoni pa Mungu na kwa wanadamu
Ahsante sana na ubarikiwe nawe pia
Nakuelewa dada angalau umeanza kuturudisha mwanzo walikotokea wengine maana bora ya jana kuliko leo
Am I the only one crying??? What a powerful masterpiece 🙏🏾❤️
Ooh dear one!!
@@magrethjamestz thanks alot 🙏🏾
Yesu asante Kwa Upendo wako ktk maisha yangu🙏😭
Uzidi kuenuliwa mtumishi wa Mungu kwa nyimbo hizi zako zinanienua kunileta karibu kwenye uwepo wake Mungu wakati wa worship.
Utukufu kwa Bwana ,barikiwa sana
Hongera dada imeniguza 😅😅❤❤l love gospel so much amen geoffrey kutoka mombasa
Ubarikiwe sana
Barikiwa sana Mtumishi waMungu unaemtumikia Mungu kwanjia yauimbaji hakika nimebarikiwa sana nawimbo wako Mungu azidi kukuinua zaidi kupita viwango vyakawaida
Hakika nikwaneema tuu barikiwa mtumishi mungu asikupungukie
Mungu akubariki dada magret uwepo wa mungu uzidi kuwa juuu yako barikiwa Sana ninaposikiliza nyiimbo zako
Napenda unavyoimba,ebu na Mungu wetu huyu afanye jambo kwako ukashudie dada oooooooh mae God........kumbuka mwanadada she's doing wonderful
Amen Dear
What a very touching worship 😢 may God continue inspiring u mtumishi
Hongera umenibariki kwa wimbo kwa mavazi pia
Kabisa Mungu ungehesabu maovu yangu mimi singe likuwako😭😭😭
Natamani sana kufika mahali umefika mtumishi
Ooh God ,,,am so blessed 🙏😭😭🙌🙌
Hakika mungu nimwema sana
Nashukuru zinshi Mungu anakutumia kuabudu. Nahisi uwepo wa Mungu
Barikiwa sana
This lady though,,may God continue to lift you more higher Magreth
Amen
Bwana yesu kama sikwa rehema zako mimi niaingekuwapo.asante kwa huruma zako.asante kwa rehama zako.asante neema yako
❤ great worship song,God bless you
Hallelujah asante mungu kwa Neema zako kwa utukufu wa jina lako na kumtuma mwanao aje kwetu amen
Halleluhja..nice song keep up mtumishi
Kweli kabisa ni kwa rehema tumeokolewa . Asante Yesu.
Thank you,this is the song of the season,more grace and blessings 🙏
asante kwa kunipenda bure Yesu
nanyenyeke wewe ni mungu mungu akuinue mutumishi
Amen mtumishi
❤❤❤❤❤ God press yuo
Ameeeeen
Mungu wa mbinguni alike hai hata sasa akubariki mjoli
Dada unanibariki sana, Mungu azidi kukutumia.
Barikiwa
Soul touching anointed powerful repentance glorious worship
Mungu akubariki sana sana Jamami mie unanisogeza karibu na Mungu uuwi kila siku nyimbo zako unaweza kufanya asanteh barikiwa Mungu akutumie zaidi uendelee kutuhudumia
Barikiwa sana sana
Hallelujah Jesus. Ungehesabu maovu yangu nisingekuwa.. Ahasnte Yesu kwa Kunihurumia...Powerful worship...
Amen beloved
Mungu akuinue zaidi
This is worship of a higher level. God bless you Magreth, you have really touched my heart and in humble spirit thank God cos kweli singekuwapo
UBARIKIWE SANA
Kama umeokoka tafadhali usianguke omba sana my dear wanaanzaga na roho wanamalizia na mwili. MUNGU akutie nguvu.Huyu dada anaimba mpaka inaleta furaha,Ee MUNGU wangu saidia watoto wako.AMEN hallelujah hallelujah.
Unikumbuke kwa maombi kwa kadiri ya Neema ya Kristo,mwenyewe siwezi
@@magrethjamestz MUNGU AKUTIE NGUVU KABISA UWE MFANO KWA WENGINE.YESU NAOMBA KWA JINA LIPITAYO MAJINA YOTE AMEN.
Barikiwa mtumishi mungu nyimbo imenigusa Sana
Ifanye kitu kipya maishani nwako ,Barikiwa sana
AVE discovered this song just this morning, blessings my sister powerful song
God bless you
Mungu akutunze mama
God bless you for a very worship and heart touching song..Let glory be the our Lord and savior of the world,Jesus Christ,the Messiah.
Amen
😭😭😭🙌🙌🙌 Barikiwa Sasa Dada
🤲🤲😢😢🔥🔥 yeeeeeeeeeeeeeeez lord
Mtumishi wa MUNGU, MUNGU akuinue zaidi, kazi nzuri Sana.
Natokwa machoz ubarkiwe
This is a deep song .
GOD BLESS YOU.
Hizi ndio nyimbo za ibada hongera mtumishi
Amen ,,barikiwa sana
Ubarikiwe kwaujembe mzuri
Very touching worship ❤
I am overwhelmed by the Weight of the Glory of Lord Jesus Christ
Nabarikiwa Sana dadangu nyimbo sauti na nguo za heshima zinaonyesha utukufu
@@NathanielNtimba Barikiwa sana nawe pia
Your songs are a blessing, may God increase you♥️
@@moreenndigah7021 Thank you beloved
Ungeehesubu maovu yangu bwana nisingekuwako mimi