MAGRETH JAMES # (UNIFUNDISHE OFFICIAL MUSIC AUDIO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 19

  • @danielichaula7186
    @danielichaula7186 3 ปีที่แล้ว +2

    Barikiwa sana mtumishi
    BWANA YESU ALIYE KUITA KWA KIPAWA HIKI AKUINUE ZAIDI UTIMIZE KUSUDI LA MUNGU

  • @ElizabethPancras
    @ElizabethPancras 2 หลายเดือนก่อน +2

    Wimbo huu unanibariki kila ninapousikiliza, hongera sana dada Mwenyezi Mungu aendelee kukupandisha katika viwango vya juu katika utunzi na uimbaji

    • @magrethjamestz
      @magrethjamestz  2 หลายเดือนก่อน

      @@ElizabethPancras ahsante sana, Mungu akubariki sana 🙏

  • @emmanuelndanshau4681
    @emmanuelndanshau4681 3 ปีที่แล้ว +1

    Mage barikiwa sana ongera sana nice and the best

  • @blandinasamwel3512
    @blandinasamwel3512 3 ปีที่แล้ว +2

    Amen ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu 🙏

  • @Lizzyneema
    @Lizzyneema 3 ปีที่แล้ว +1

    Asanteee dada Margret kwa wimbo ubarikiwe zaidi na zaidi

  • @nkuunsee4081
    @nkuunsee4081 3 ปีที่แล้ว +1

    Mtumishi wa Jehovah Mungu akubariki sana kwa huduma njema. Nimebarikiwa sana na wimbo huu.👌👌👌👏👏

  • @Lizzyneema
    @Lizzyneema 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameeeen Ameen Ameen Ameen nifundishe yesu wangu😭

  • @brotherbenarambe6228
    @brotherbenarambe6228 3 ปีที่แล้ว +1

    Asante sana dada kwa wimbo huu WA nguvu
    Unaguza sana. Nabarikiwa kutoka Kenya

  • @benmagungu614
    @benmagungu614 3 ปีที่แล้ว +1

    Nifundishe ee Bwana Yesu !!
    Asante kwa Wimbo huu wa Baraka Dada Magreth
    Mungu akubariki sana

  • @nimohwathiru7230
    @nimohwathiru7230 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen. Soo powerful . I am carried away. Song sang in spirit. God bless you.

  • @magrethjamestz
    @magrethjamestz  3 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU AZIONGOZE HATUA ZAKO DAIMA ,,,NINAKUOMBEA MEMA

  • @ombeninnko9332
    @ombeninnko9332 2 ปีที่แล้ว +1

    Ntasubscribe nyimbo zako zote.Hakika naamini umeziombea mafuta zinamvuta Roho wa Mungu . Ubarikiwe

  • @victoriaadhiambo5706
    @victoriaadhiambo5706 2 ปีที่แล้ว +1

    Powerful

  • @agneskundy3945
    @agneskundy3945 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @jamesdonard2081
    @jamesdonard2081 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen sister MUNGU akutie nguvu

  • @brarose
    @brarose 2 ปีที่แล้ว

    Where is she from?;