Magreth, kwanza umebeba jina mama yangu. Pili nimefuatilia sana nyimbo zako kwa kweli zinanibariki sana ya kwanza kabisa "jina langu na pili ni unaweza" ni moto bila kusahau unifundishe. Please keep it up!!!
Mhh mage mungu akubariki wimbo wa unaweza kufanya unanibariki sana nataman ningekuwa na karama ya uimbaji tungeimba wote mungu akubariki sana azid kukuinua kwny uimbaj wako
Unaweza kufanya is a real blessing to my 3yr old daughter.Alikawia kutembea na akatembea akiwa miaka mbili na nusu.Upon kutembea,,,the song unaweza kufanya was sung during worship hour in our church,,,my daughter,,up to date,,she lifts her small hands as she worship along with you in this song.Anaiimba sana.Nadhani vile aliwezeshwa na Mungu kutembea aliamini kweli Mungu anaweza kufanya zaidi ya uwezo wetu au matarajio yetu kama binadamu.Barikiwa tu sana mtumishi wa Mungu.
Well said, mahusiano baina ya Mwimbaji na Mungu kama yakifurugika hakuna uimbaji tena, lazima Utembee na Yesu Kristo kila wakati. Kweli kabisa wimbo na uchezaji inatakiwa viendane maana yote ni moja ya kufikisha Ujumbe.
Hongera sanaa dada unaweza sanaa!! Nyimbo zako huwa sichoki kusikiliza, kwa kweli nyimbo zinanibariki mnoo!! Mungu aendelee kukutumia zaidi na zaidi kutangaza injili kupitia nyimbo!

I'm humbled ahsante sana kwa kutembelea channel yangu ,Barikiwa sana sana
Mhh mage mungu akubariki wimbo wa unaweza kufanya unanibariki sana nataman ningekuwa na karama ya uimbaji tungeimba wote mungu akubariki sana azid kukuinua kwny uimbaj wako
Unaweza kufanya is a real blessing to my 3yr old daughter.Alikawia kutembea na akatembea akiwa miaka mbili na nusu.Upon kutembea,,,the song unaweza kufanya was sung during worship hour in our church,,,my daughter,,up to date,,she lifts her small hands as she worship along with you in this song.Anaiimba sana.Nadhani vile aliwezeshwa na Mungu kutembea aliamini kweli Mungu anaweza kufanya zaidi ya uwezo wetu au matarajio yetu kama binadamu.Barikiwa tu sana mtumishi wa Mungu.
Mungu ampe hatua za ukamilifu maisha yake yote ,,Damu ya Yesu ipitayo fahamu zote imkumbatie Daima
@@magrethjamestz Amina na amina katika Jina Kuu la Yesu Kristo,,Amina🙏🙏🙏❤️
Well said, mahusiano baina ya Mwimbaji na Mungu kama yakifurugika hakuna uimbaji tena, lazima Utembee na Yesu Kristo kila wakati. Kweli kabisa wimbo na uchezaji inatakiwa viendane maana yote ni moja ya kufikisha Ujumbe.
MUNGU AMENIHURUMIA🙏🙏🙏
Kweli huku mwanza nyimbo yako inavuma
great, Magreth, Ubarikiwe, keep humbed
Hongera sanaa dada unaweza sanaa!! Nyimbo zako huwa sichoki kusikiliza, kwa kweli nyimbo zinanibariki mnoo!! Mungu aendelee kukutumia zaidi na zaidi kutangaza injili kupitia nyimbo!
Ahsante sana dear
❤❤❤natamani nikutane nawe dada
Bado nakuona kwenye viwango vikubwa ktk siku zijazo,usije lewa sifa,mtafute Mungu ktk maombi.ukiwa muombaji utafika mbali,be blessed abundantly.
Naheshimu nasaa zako mpendwa kaka katika Kristo Yesu,napokea na kuzingatia yote
Kweli,,,,nimemakinika na hii comment yako,,,asante.Magreth Mungu akutumie zaidi
Hongera Dada yangu
Margareth uko vizuri. I love you dear!! May the Lord Jesus keep you and bless you!!
I'm humbled ,thank you for the love,it is a blessing, may God keep you and sustain through out the day
@@magrethjamestz thank you my dear. Just stay close to Jesus and maintain a relationship with him always. Be blessed abundantly.
Wow amazing interview MUNGU aendelee kukuinua mtumishi wa mungu barikiwa 🙏🥰
Barikiwa sana Mtumishi Jacqueline James
Barikiwa Sana...mrembo wa Yesu!
Ubarikiwe zaidi yangu mrembo kabisa
Nampenda sana huyu Mdada
Mungu akutumikie zaidi na zaidi
Zidi ktk Bwana Aminaa❤❤❤
Mungu akutunze sana
@@magrethjamestz Amina Mdada wa Yesu
Nakupenda mage Mungu akutunze
Ahsante Happyness Joshua ,Mungu akutunze pia
Uko makini sana kujibu maswali
Ahsante Sana ,Mungu akubariki sana
Magreth James naam
Naomba subscribe yako pia mpendwa wangu
Magreth James sawa
Barikiwa sana
Barikiwa zaidi na wewe pia mtumishi
Mtumishi ubarikiwe
Barikiwa Sana mtu Wa nyumbani kabisa
😍😍😍
😍😍😍😍
Barikiwa saaana dada
Tubarikiwe sote kipenz