Vita ya mtu na kimvuli chake. Unawatetea wafugaji na muda huohuo unamtetea mtesaji wao. Ila Shetani wakati flani ana akili, akina Samia hawatawahurumia hata mkiwasifu
😂😂😂😂😂You people are really funny. How do you like someone who's chasing your neighbors, relatives and friends like gazelles and making their life unbearable.
Hoja za Sendeka bungeni zinakinzana na kauli zake akiwa na wananchi wa jamii yake, Anasahau kuwa alikuwa akisema jamii ya wafugaji inanyan"ganywa ardhi ya maeneo yote ya mapori tengefu, Huyu anachanganya mafail, akishapata ubunge anadai kuwa wamasai wanadhulumiwa ardhi.
Samia hapendi wafugaji hiiyo ndiyo ukweli ukimpa kura wewe hunaakilii Ngorongoro imeenda Kipande kikubwa TU ya kitwai imeenda Kipande Cha ruvu imeenda Kalemawe Ndungu imeenda Watu WA kia wameporwa
Nani anachukuwa ardhi ya simanjiro tunataka umtaje jina na sio kuwadanganya wanasimanjiro chini kwa chini unajida kutaja majina ya maeneo kwa kuwapandosha watu hofu kubwa na bado unasema unajenga shule unajenga wapi wakati aridhi inachukuliwa vitio vya afya unawajingea nani tena kama aridhi inachukuliwa?
Wazee wako mama na watoto wachanga wanashinda nje kuitetea ardhi inayonyanganywa na serikali wewe unasema serikali isigombanishwe na wafugaji huoni serikali kunyanganya ardhi ya wafugaji ni ugomvi? Hivyo Kwa machozi na maumivu wanayopita ndugu zako usiwesalama tangu sasa
Mhe Ole Sendeka acha kuwadanganya wananchi CCM inamaliza jamii yetu ya MAA Au unafurahishwa na mambo ambao Samia anatufanyia sisi wananchi wa ngorongoro??????? Kailokino motiok kima
Mnajua mlichofanya bungeni wakati wa mjadala mkali wa Ngorongoro kina Sendeka waliwaasa hawakusikilizwa mwenye kulipunga na alizime. Wananchi tulifuatilia bunge na huu mgogoro toka umafukuta. Tuwaheshimu wanadamu kuliko wanyama pori na wageni wanaomezea mate na husda kwa nchi yetu. Wananchi sote tunampenda Rais ndo maana aliposimikwa na katiba tulimkubali sote. Chawa wote wanaojipendekeza pendekeza kwa Mh Rais kwa kisingizio cha chuki waache. Rais piga kazi wachana na machawa. Hudumia wananchi wako kwa usawa na machawa wote wasioelewa 4R zako endelea kuyang'oa kwa falsafa ya nguo ya kuazima. Hawatendi haki kazi kujipemdekeza pendekeza kwako kwa sifasifa na zingine hustahili. Ulishakataa wakukusifu sifu sifa usizostahili. Endelea na msimamo wa kung'oa machawa yasiyotenda wajibu na kuziishi 4R zako mpaka wakuelewe.
Mnafiki mkubwa, haoni wamasai wanavyopata tabu Ngorongoro na sehemu nyinginezo. Toka leo wewe Nakutoa kwenye viongozi wa kuwatetea wamasai. Hufai na Sidhani hao unaowahutubia kweli ni wamasai. Umepofuka na hizi siasa za uongo na sio kawaida ya mmasai kudanganya maana kwa hakika unawadanganya watu wa maaa.
Hongera mweshimiwa sendeka❤❤❤
Ole sendeka mungu akubariki kwa msimamo
Mwamba sana Mzee WETU ole sendeka ❤
Hongera sana mbunge wetu
Hongereni sana kwa kwaya nzuri sana
Mzee anazeeka vibayaa sana. Zimeruka mazimaaaa
Au zile risasi za kutengenezaa
Unafiki ni kitu kibayaa sanaa
Vita ya mtu na kimvuli chake.
Unawatetea wafugaji na muda huohuo unamtetea mtesaji wao.
Ila Shetani wakati flani ana akili, akina Samia hawatawahurumia hata mkiwasifu
Amin mungu amubariki
Namkubali sana Mh sendeka ila asiwambie wamasai tunampenda sana Samia kwa kifupi hatumpendi huyo mama Abduli kwa sababu ya kuuza Ardhi za wamasai
Aky ukweli atumpendi uyo mama
Olesendeka umechokA😢
😂😂😂😂😂You people are really funny. How do you like someone who's chasing your neighbors, relatives and friends like gazelles and making their life unbearable.
Tapala imarenge... Ileje itung'a Tapala siasa....
Shieeh
Ashenale
@@leokamil6284 🙏🏾
Kuna mashamba tangu magufuli akufe atuja panda tena tumekataswa kwaiyo ukweli atumpendi uyo mama na akwende Uko
Hoja za Sendeka bungeni zinakinzana na kauli zake akiwa na wananchi wa jamii yake,
Anasahau kuwa alikuwa akisema jamii ya wafugaji inanyan"ganywa ardhi ya maeneo yote ya mapori tengefu,
Huyu anachanganya mafail, akishapata ubunge anadai kuwa wamasai wanadhulumiwa ardhi.
Sendeka ni mnafiki sana
Ukweli
We ndo hujui kitu fala we
@@SamwelNganeni sw mdanganywa
Sendeka ni kiongozi wa hovyo sana akili yake ni wafugaji hana jipya, amezeekea kwenye ubunge heri angepigwa risasi afe
Wee mzee hivi huoni kinachoendelea loliondo? Acha uchawa umeshazeeka achia vijana wafanye kazi
Samia hapendi wafugaji hiiyo ndiyo ukweli ukimpa kura wewe hunaakilii
Ngorongoro imeenda
Kipande kikubwa TU ya kitwai imeenda
Kipande Cha ruvu imeenda
Kalemawe Ndungu imeenda
Watu WA kia wameporwa
Jamani ennkajang' msidanganywe
Nani anachukuwa ardhi ya simanjiro tunataka umtaje jina na sio kuwadanganya wanasimanjiro chini kwa chini unajida kutaja majina ya maeneo kwa kuwapandosha watu hofu kubwa na bado unasema unajenga shule unajenga wapi wakati aridhi inachukuliwa vitio vya afya unawajingea nani tena kama aridhi inachukuliwa?
Samia ndio anachukia wafugaji,aibu yake tena anakula nyama ya ng'ombe.Zanzibar na waswahili wa bara wakome kuwanyanyasa wafugaji
Kaning ashipa oleng te larikoni longor lmarei lenye mowureisho.
Ile ya Ngorongoro ya Twaa n nzuri zaidi
Unafiki mbaya sana walishe matango pori sendeka pumzika
Acha kushabikia mapumbavu arithi inaunzwa na samia
Kilio chetu wamasai itafika lini wakati panapofaa ilhali tuliowapea nafasi ya kutuwakilisha hawapo tayari kufikisha ujumbe wetu kwa serikali
mbn ulikuwa unasema ile kipend ya ngorongor ww sema umelipwa peza uping campingn
Watu wetu wanaangamia kwa kukosa maarifa,mnanyangaywa ardhi yenu Sasa mnamsifika Samia yanini.
Katika watu wanawafanyaga wananchi wake ni wakinga na wapumbavu ni Christopher Ole Sendeka
Mtu anakuibia sindano afu anakuambia anakusaidia kuitafta
Mwenzako ametumwa rasmi na kupewa tonge
Yaan bado tunayo safari ndefu
Sendeka unatudanganya
Kweli ni wazi hawa wafugaji wanapewa rushwa wanauzwa wenzao
Method used to impose colonial rule .
Wewe ni mnafiki tuna kujua unajipendekeza wewe ni adui mkubwa wa wafugaji imada oleng'e sendeka ming'orito iti iloshoite tebumge
Wanasiasa ni watu wa ajabu kweli
Wawekeza sikwamanufaa ya wananchi ni manufaa ya wenye zamana
Awa wazee wenye njaa wa kuwaondoa wakaangalie wajukuu
Ngorongoro ilikuwaje hadi wakahamishwa
me nk hap simanjiro landanai but sikupendi at kbc juu at umeshindwa kutuwekea at barabara at one hournd klm ww ni bure kbc
Mmmmmm so powa
alf iyo mambo ya kutuambia habr ccm koma ww mzee tunakuheshim but ww utk kutufunjia heshima ww ach iyo tabia ach 2025 utok maan ww ni bure kbc
Hakuna haja ya kutembea na fimbo,migorori.Mila za kipuuzi sana
Wewe hutetei wananchi iliunatetea tumbo lako
Wazee wako mama na watoto wachanga wanashinda nje kuitetea ardhi inayonyanganywa na serikali wewe unasema serikali isigombanishwe na wafugaji huoni serikali kunyanganya ardhi ya wafugaji ni ugomvi? Hivyo Kwa machozi na maumivu wanayopita ndugu zako usiwesalama tangu sasa
Yaani sendeka kweliiiiiiii kweliiiiiiii
Mhe Ole Sendeka acha kuwadanganya wananchi CCM inamaliza jamii yetu ya MAA
Au unafurahishwa na mambo ambao Samia anatufanyia sisi wananchi wa ngorongoro???????
Kailokino motiok kima
Kweli
Wamasai.wanaangaishwa.kila.kona.wewe.unasemaje.sasa
Sisi wanangorongoro ss tunachukia Samia
Mnajua mlichofanya bungeni wakati wa mjadala mkali wa Ngorongoro kina Sendeka waliwaasa hawakusikilizwa mwenye kulipunga na alizime. Wananchi tulifuatilia bunge na huu mgogoro toka umafukuta. Tuwaheshimu wanadamu kuliko wanyama pori na wageni wanaomezea mate na husda kwa nchi yetu. Wananchi sote tunampenda Rais ndo maana aliposimikwa na katiba tulimkubali sote. Chawa wote wanaojipendekeza pendekeza kwa Mh Rais kwa kisingizio cha chuki waache. Rais piga kazi wachana na machawa. Hudumia wananchi wako kwa usawa na machawa wote wasioelewa 4R zako endelea kuyang'oa kwa falsafa ya nguo ya kuazima. Hawatendi haki kazi kujipemdekeza pendekeza kwako kwa sifasifa na zingine hustahili. Ulishakataa wakukusifu sifu sifa usizostahili. Endelea na msimamo wa kung'oa machawa yasiyotenda wajibu na kuziishi 4R zako mpaka wakuelewe.
Unajichsnganya mzee wewee
Mnafiki mkubwa, haoni wamasai wanavyopata tabu Ngorongoro na sehemu nyinginezo. Toka leo wewe Nakutoa kwenye viongozi wa kuwatetea wamasai. Hufai na Sidhani hao unaowahutubia kweli ni wamasai. Umepofuka na hizi siasa za uongo na sio kawaida ya mmasai kudanganya maana kwa hakika unawadanganya watu wa maaa.
Nani anakuelewa sasa ndio maana mmebaki porini😂
😂😂😂😂
inamaana wale was ngorongoro sio Masai mbona huduma za kijamii zimeondolewa wamasi wanataka hahadi hizo kimaandishi sio brabra
Lengohoge.
Sendeka
Halafu Sasa hapo anaewatetea wananchi
Nahiyosimanjiroitakujakuwangorongoromtamishwakamahaowanaoamishwailikupishautalii
❤😂
Mzeehapounatudanganyaachasiasa
Achakuwadanyawamasaiikinukahukosimanjirounakimbiliaulipojengaunawasahauwamasai
wewe usitudanganye usitufumbe macho kura ni zachadema
Pumzika wewe Mzee
wewe acha uchamba ole sendeka ccm anatumalisa wewe unataka kuuda ichiiiii
Huu ni utapeli wa wazi
Kabisa..Rushwa ya kofia na na vitambaa vya CCM wacheni Aibu!!😮😮