KWA SURPRISE TESSY APANDA KWENYE STAGE, AMPA ZAWADI ASLAY

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 109

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly ปีที่แล้ว +87

    MashaAllah 🎉🎉🎉nafkiri kadri umri unaenda unagundua hakuna faida kwenye ugomvi na makasiriko kati yetu..hii ni nzuri sana,maisha ni mafupi ,kuishi kwa upendo ni rahisi kuliko kuishi kwa chuki...kwasababu chuki inabidi kila siku uipalilie,lakini upendo unaishi kwa uhuru sababu ndo asili ya binadamu..nawapongeza sana

    • @FAUSTAMBAGA
      @FAUSTAMBAGA ปีที่แล้ว

      amina

    • @BeatriceKimathi-nh4zo
      @BeatriceKimathi-nh4zo ปีที่แล้ว

      Point

    • @HappynesNichoraus
      @HappynesNichoraus ปีที่แล้ว +1

      Unavyo mpend bab wa mtot wako ungempenda ivyo baba yako wew na mama yako na ndugu zako asingekufa babu yangutulijitaid kump fulaa lakini bado alihuzunikt kwa mlixh mfanyia watot wake na mke wake mngu atalipa😢😢

    • @SaidiMussa-i8i
      @SaidiMussa-i8i ปีที่แล้ว

      😂😂

  • @consesamallya9763
    @consesamallya9763 ปีที่แล้ว +38

    Asly na ruby wanajua sana kuimba live 👏👏👏👏👏👏

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel ปีที่แล้ว

      Right, na sasa hai ndo waimbaji, hata Ali K, hata Zuchu, sema Zuchu anaharibu anaruka ruka sana pumzi zinakata

    • @ArafaAlly-gs3yi
      @ArafaAlly-gs3yi ปีที่แล้ว +2

      @@TaarabChannelzuchu ajui kuimba live ukweli usemwe

    • @TaarabChannel
      @TaarabChannel ปีที่แล้ว

      @@ArafaAlly-gs3yi anajua sana wallahi, yule kaanza kuimba live band miaka mingi tu kable aende wasafi...tatizo kule anaambiwa avamie jukwaa..kuruka ruka..pumzi Zina katika...kumbuka show yake ya kwanza yakutambulishwa nyimbo zile za pole pole aliimba perfectly kabisa

    • @salmabinyaga2357
      @salmabinyaga2357 ปีที่แล้ว

      ​@@ArafaAlly-gs3yiTena zuchu hajui kabisa

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 ปีที่แล้ว +1

      Kbx hawanaga makelele km ya yule sele

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +1

    Aslay nakukubali kitambo sana your my favourite artist

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 ปีที่แล้ว +12

    Aslay na ruby. Live Mpo vzr sana❤❤🎉

  • @maisarahakizimana7074
    @maisarahakizimana7074 ปีที่แล้ว +17

    My best musician forever ❤

  • @memeniyonzima9343
    @memeniyonzima9343 ปีที่แล้ว +14

    Kuachana kubaya Sana nimejikuta naumia ingelikua kheri warudiane❤

    • @rerisamba
      @rerisamba ปีที่แล้ว

      Watu hua hawajui kukwamilia na kuvumilia

  • @AllyStephen-qf5bv
    @AllyStephen-qf5bv ปีที่แล้ว +9

    Aslay yuko sawa mm nko na ngoma zake zote Ally khan kutoka kenya 🇰🇪

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 ปีที่แล้ว +13

    TESSY MMEPENDEZEANA SANA NA ASLEY. JAMANI ISHINI PAMOJA MLEE MTOTO WENU.

  • @yasminoluoch169
    @yasminoluoch169 ปีที่แล้ว +25

    Huyu naeeza skiza nyimbo zake zote bila kuboeka

  • @agneskibua5653
    @agneskibua5653 ปีที่แล้ว +17

    Aslay for life💯💯

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 ปีที่แล้ว +3

    Unasauti yakipekee sana Mungu akuinue viwango vya juu Amen

  • @Erjmilton
    @Erjmilton ปีที่แล้ว

    Nimependa love ya tessy

  • @hassanparamana2215
    @hassanparamana2215 ปีที่แล้ว +2

    Aslay my blood kila la kheri Inshallah 🏆💚💛💪🇹🇿

  • @sophianyawira7601
    @sophianyawira7601 ปีที่แล้ว +1

    My fav of all atlist iwish iwas in TZ icould attend this

  • @AnchanchembaNchemba-qp8py
    @AnchanchembaNchemba-qp8py ปีที่แล้ว +9

    Vce é talentoso Deus que te dê força ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx ปีที่แล้ว +3

    Tessy😊kamwili ch pesa

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 ปีที่แล้ว +10

    mimi bongo fleva yote ukisikia nasikiliza ni nyimbo za huyu wengine naona zogo tu huyu kijana anaimba sans

  • @CynthiaMutiso-c1h
    @CynthiaMutiso-c1h ปีที่แล้ว +2

    Ongera chocolatetessy # aslayisihaka

  • @Gabriel28037
    @Gabriel28037 ปีที่แล้ว +5

    Kujuwa Rojo yako mukaleye mototo❤🎉

  • @StephenWalukhu
    @StephenWalukhu ปีที่แล้ว

    The bongo KING is back ISIHAKA

  • @Yolanda-n3x
    @Yolanda-n3x ปีที่แล้ว +5

    Tessy atarudi kama fahym 😊😊😊

    • @auntiemylee3157
      @auntiemylee3157 ปีที่แล้ว

      🎉

    • @sahraabdallah7242
      @sahraabdallah7242 ปีที่แล้ว

      Kuna mwenzio huko alikua na msimamo lkn karudi happy na Beka sasa tunasubili Tessy nae atarudi ni Swala la Mda

    • @Yolanda-n3x
      @Yolanda-n3x ปีที่แล้ว

      @@sahraabdallah7242 ❤️❤️ mimi nawapenda warudiane tu jamani

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 ปีที่แล้ว +1

    Wanajuana tayariii dogo. Mtego

  • @musichealsTz
    @musichealsTz ปีที่แล้ว

    Nasemaje, bado sijasema, na nitasema hiviiiiii.. hii ndo live show sasa. YAANI HII NDIO LIVE SHOW. sio live show afu li mziki linalia Kwa background afu eti ndo live show..
    Saaafi sana kijana

  • @AzaShamba
    @AzaShamba ปีที่แล้ว

    Mbon kinyongeee aslay oa mtoto. Tatizo tesy nae kaingia mjini kapigika kama kina irene uwoya, wema na....

  • @rophinarona1103
    @rophinarona1103 ปีที่แล้ว +3

    KING 👑 IS BACK ❤❤

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd ปีที่แล้ว +4

    Mashaallah ❤❤

  • @Fatuma-p9y
    @Fatuma-p9y ปีที่แล้ว

    Wabongo apa kwakweli mhaaaaa😢😢😢😢

  • @petermahimbo3458
    @petermahimbo3458 ปีที่แล้ว +2

    God bless you bro.

  • @Bashilwa
    @Bashilwa ปีที่แล้ว +1

    Mbona Kama mshikaji ameisusa kimtindo ivi naisi suprise uwa aiko kiivyo yaani ajastuka kabisa du sijapenda kiukweli

  • @Abuu2645
    @Abuu2645 ปีที่แล้ว +6

    Tulio ona mtu kakataliwa like ❤❤😂

    • @Zainab-sq1tc
      @Zainab-sq1tc ปีที่แล้ว

      Yaaan had mie naona albu😂😂

    • @kapingalucy2707
      @kapingalucy2707 ปีที่แล้ว

      ​@@Zainab-sq1tcSAS Yey Yupo Kwenyo Shoo AtapoteA Mood Kwa Watu

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 ปีที่แล้ว +10

    Aslay asikubalii mtego huo chuma kmepigikaa sanaaa

    • @HadijaZabroni-pu1lt
      @HadijaZabroni-pu1lt ปีที่แล้ว +1

      Hahaha hahaha hahaha 😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣 uyo amekata utumbo😂😂😂😂kama wema

    • @omarypongwa9246
      @omarypongwa9246 ปีที่แล้ว

      Mama mtoto wake huyo

    • @diyembarak5506
      @diyembarak5506 ปีที่แล้ว +1

      Wazazi hawaachani 😂

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂 uwiiiiiiiiiii eti chuma kimepigika

    • @kilamasta1357
      @kilamasta1357 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂 kimechapika balaa wanataka wamchome dogo 😂😂

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib ปีที่แล้ว

    Kweli bora wangeludiana kuachana kubaya

  • @mdzainb3722
    @mdzainb3722 ปีที่แล้ว +1

    Warudiane walee mtoto❤

  • @angekamataliw5067
    @angekamataliw5067 ปีที่แล้ว +2

    Aise wanyarwanda kma wazungu vile nani mubongo anayaweza kumubebea ex wke mawuwa ,🤣🤣

  • @edybreezy1212
    @edybreezy1212 ปีที่แล้ว

    Safi sana kaka umelud

  • @Yunis-hn9hn
    @Yunis-hn9hn ปีที่แล้ว +2

    Tess kama hajamove on vile😂

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h ปีที่แล้ว

    Kaisha jamani

  • @خوييمقفل
    @خوييمقفل ปีที่แล้ว

    Tunagupeda sana asireyi

  • @Ibrahim-mk7uk
    @Ibrahim-mk7uk ปีที่แล้ว +2

    Live band muachien kiba

  • @FatumaShabani-mp9vt
    @FatumaShabani-mp9vt ปีที่แล้ว +2

    Yan tess usijikombekeze atukutaki k muache aslay wetu apambane we umemkataa mwenyewe tena ukome kabsa ingekua unauty ungumsamee alivokuomba msamaaa ukome kabsaa mbwa we

    • @diyembarak5506
      @diyembarak5506 ปีที่แล้ว +1

      Wazazi hawagombani 😂

    • @mwezzireen17
      @mwezzireen17 ปีที่แล้ว +1

      Wazazi hawa

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂 haki umevurugwa unavyotukana sasa kama aslay mwanao

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 ปีที่แล้ว

      🙄🙄makubwa jongo 😂😂😂hawa wamesha changia damu kuwatenganisha mpk 1 afe ndg kaa kwa kutulia huta ckia tessy kajipendekeza kwa aslay ht ck 1 😂😂😂stress zako za maisha pambana nazo 👌👌

    • @salmamlokela1987
      @salmamlokela1987 ปีที่แล้ว

      Mawifi wamekuja juu😂😂😂

  • @Cithareboy
    @Cithareboy ปีที่แล้ว

    Mama wololo wololo mapenzi yamekaba koo kaba koo endelea na wew😂😂😂😂

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 ปีที่แล้ว

    Safi asley kwa burudani nzur

  • @Betu8282
    @Betu8282 ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @stn4873
    @stn4873 ปีที่แล้ว

    Heeee kumbe familiaa

  • @AsneeJuma-ud5jy
    @AsneeJuma-ud5jy ปีที่แล้ว

    Kweli ilikua ni surprise alivyo stuka Aslay nimeoenda sana

  • @fatumamakwaia1126
    @fatumamakwaia1126 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @SusanMbula-jc3kq
    @SusanMbula-jc3kq ปีที่แล้ว +1

    Hiyo hug haki aslay😊

  • @glorymuro5411
    @glorymuro5411 ปีที่แล้ว

    Misiskii ktu zaid ya mikelele

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 ปีที่แล้ว

    umetisha aslay

  • @solomonkitonka6904
    @solomonkitonka6904 ปีที่แล้ว

    Nani ameona aslay kausukuma mkono wa X wake

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 ปีที่แล้ว

    🇰🇪

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 ปีที่แล้ว +4

    Huyu tishio kwa harmonize maana yule jamaa hajiamini anaona hawezi bila wanawake

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 ปีที่แล้ว

    Huyu muimbaji basi tu

  • @hamisathuman2729
    @hamisathuman2729 ปีที่แล้ว

    UYO TESSY KATAKA KUTREND 😂

  • @janethdavid1026
    @janethdavid1026 ปีที่แล้ว +1

    Kwann musirudiane mulee mutoto yenu

  • @khadidjaabdi-hd8py
    @khadidjaabdi-hd8py ปีที่แล้ว

    Kumbatio Halina hata nguvuu limepoa Aslay hataki mazoe tenaa😂

  • @sadruhsnow5637
    @sadruhsnow5637 ปีที่แล้ว

    Fundi

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว +2

    Aslay usirudiane na huyo demu wamemtomba sana kina Mond 😂😂 hadi wamempululua usikubali tafuta chuma kipya

    • @lelaiddy6856
      @lelaiddy6856 ปีที่แล้ว +2

      Hata aslay amewapulula wadada wengine..hivo ngoma droi

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 ปีที่แล้ว

      @@lelaiddy6856 😂😂

    • @amriseleman9395
      @amriseleman9395 ปีที่แล้ว

      Nakuunga mkono

    • @aishajuma7402
      @aishajuma7402 ปีที่แล้ว

      ​@@lelaiddy6856😂😂😂😂I think 😂😂😂😂😂😂

    • @Shaibuchinde-mn1nw
      @Shaibuchinde-mn1nw ปีที่แล้ว

      Daaah eti wamemtomb Kama ulikuwepo vile

  • @MaryamAbubakar-c2d
    @MaryamAbubakar-c2d ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤❤

  • @sashamotana3490
    @sashamotana3490 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj ปีที่แล้ว +1

    ❤❤❤

  • @ElaSayansi
    @ElaSayansi ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @JenipherVitalis
    @JenipherVitalis ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @fatumasalmini6890
    @fatumasalmini6890 ปีที่แล้ว

    ❤❤

  • @nefesmoses2026
    @nefesmoses2026 ปีที่แล้ว

    ❤❤