Daaah ase mipango ya mungu bhn mgefika salama msibgesema chombo ilikuwa namwendo wa hatar mngesema hi chombo ya masaa sana kazi ya mungu haina makosa sioni wakumlaumu
Poleni sana sana ndugu zetu wa mbeya mungu awape nafuu walioumia mungu apumzishe mahali pema peponi Amina maderava jamani mjitafakari Kwanza unapokuwa barabarani
Daaah ase mipango ya mungu bhn mgefika salama msibgesema chombo ilikuwa namwendo wa hatar mngesema hi chombo ya masaa sana kazi ya mungu haina makosa sioni wakumlaumu
EE mwenye zi mungu awaponeshe wawe wazima wote majeruhi 33 milele na milele daima aminaaa
Poleni sana sana ndugu zetu wa mbeya mungu awape nafuu walioumia mungu apumzishe mahali pema peponi Amina maderava jamani mjitafakari Kwanza unapokuwa barabarani
Poleni Sana. Hayo Nimaelezo Baada Yakhabari. Mlitakiwa Mumpigie Kelele Japo Kidogo Mumzindue Dereva.
Poreni sana ndugu zetu ambao amepatwa na ii misiba
Poleni sana manusura!ila tunaiomba serekali ifuatilie leseni za madereva wa mabasi ya abiria,wengi ni walevi wa pombe na bangi!!
Polesana
Mwenye zi mungu aziweke roho zao wote kumi na mmoja mahali pema peponi milele na milele daima aminaaa nimeumia sana poleni Sana familia yake yote
Poleni sana ndugu zangu 😭
duuuh pole sana
Polen sana ndugu zetu
pole sana
Pole man
Poleni sana ndugu zetu
😢😢
Duuh, Poleni sana jmn
Huyo dereva mnga mkanya au mngeshuka kunawengine wanataka kufa nawatu kisa stress za maisha yao 😢😢😢 huyo mbinguni dereva hafiki 😢
Mungesema tu ukweli
Mizigo imeanguka gari ni mwendo kasi.hadi but look imefunguka
Kwanini abiria msiwe polisi wa.kwanza kumkemea.mwendo wake..wenyewe.mnqfueahia huo.mwendo
Sijui kwann wanaogopa nao kama waliona kwann wasi ripot nyie mlisha ona why usinge jiongeza😢😢
Awa madereva wengine wapimwe akili kabla yalupewa gari
Jamani mwisho wamwaka nyie 😢😢😢
Sasa nanyie abilia mna makosa mnakuwaje mazuzu wakati nyie ndo maboss
Poleni sana
Dreva Kama huyu adhabu yake Nini naomba serikari itunge azabu Kari Sana haiwezekani dleva kau anambiwa faini elf 39 haiwezekani
Amefàriki nayeye
Bora kama limekufa