Hotuba iliyojaa ukweli, mwongozo, matarijio, hakuna anayechoka kumsikiliza TAL, inasiaimua inasikitisha kama sio kuhudhunisha, imeisha hotuba huku nikiamini bado tuliitaji kuendelea kumsikiliza, hii ni zaidi ya hotuba. 👍
Huu uchaguzi ukipita kwa amani chadema itakuwa imeupiga mwingi. Lakini Mbowe ana mchango mkubwa sana kuhakikisha hilo linafanyika. Ushawishi wake ikiwa hatauelekeza kujinufaisha binafsi atajijengea heshima kubwa.
Kuna viongozi wameshajisalimisha makanisani hakuchangia ujenzi wa mahekalu la Mungu ili kuwa teka ufahamu watu wa Mungu kina kwamba wao ni wema Mungu anawaona nahizo sada zenu za udhalimu
Hakuna kwa sasa kiongozi mwenye maono makubwa kama lisu inchini ni kwa bahati mbaya hata wanaoongozwa wamevishwa roho za kishetani hata hawataki kuelewa mtu wa kweli na mjasiri wa Mungu kama wewe ,lakini itoshe kuwa mwaka huu ni wako .
Mbona unaangaika sana na Mbowe ambae anaenda kuaibika muda si mrefu baada ya kushindwa vibaya na LISSU!!? Mbowe anaenda kuaibika sana kwasababu ya kutotaka kushauriwa na wananchi wenye mapenzi mema na chadema@@vicentnyanda828
Wanao beza juhidi za lisu ni wapofu. Na tujue hili la mboe kushinda ccm wana furahia . Na hii nchi itaendelea kuwa ya kiimla mauwaji kutekwa nk. Mboe na watu wake watajuta hasira za wananchi k
Viongozi na watanzaniia ni lazima tuwe na hofu ya mioyoni mwetu hakuna aliyezaliwa kuwa Rais bali tuliwachagua wenye nia tusiwe wakosoaji tu kama tumchanganyikiwa
Tumelelewa na ccm unasahau tanzania ni inchi ya waziri mchaga lakini niwatoto watanzania inchi hii kama mŕma ni ichi tajiri kuliko ichi yoyote tuna viongozi masikini waroho sio wakipato ,
TUNDU LISU NILIISHA kuwambia njoo CCM .. ONGEA vzr na MHE..MAMA SAMIA SULUHU HASANI ONGEA NAE ATAKUPATIA KAZI ..achana na chadema hao NI pasua kichwa ..hicho CHAMA NI cha mboye sio chako
Watoto wanaambiwa ukipigia kura chama kingine unatafuta vita mtauwawa wanahisi watafukuzwa lakini sio hoa wengi sisi watanzania wanahisi kufa ni shetani ama kuuwawa wamesahau kama bubu zao hawapo wanajua baba zao ni ukoo fulani wanajeshi ama mapolis anusemaje kuhisi hili nitakuja uje uniambie
Mimi kama mimi ccm haitakiwi iwe madarakani mpaka sasa mnatakiwa mbadalike ili uje siku nyingi mnahisi watanzania hawana akili ama mtawaua wangapi sijawahi kupost ama ķuzuma sms ndoo leo mbaya zaidi nimewaliwa porini nimekulia mjini nikobahari
Hapa wazee wanaosimamia lazima wawe wakweli otherwise uzee wao utaonekana hauna maana, uchaguzi wa haki utaifanya chadema kutuonyesha maana halisi ya democrasia ndani ya chama chao, kila la heri kwenu mkafanye uchaguzi wa haki na kweli..
Niulize niliwahi kusikia muna tasafu seriķkali yetu muna tasafu ambayo lego lake nini? Kwa ufahamu wangu muliwapinga picha wahusika walengwa ili muingize benk naliza mlipanga kila mkoa sht. Shilingi ngapi mbana mnawapa elfu kumi amaelfu kumi na tano ,ama kila mkoa wna agizo la mkuu wa mkao najua hajui kama anajuwa sawa
Tundu Lisu Mimi sikuelewi kabisa, unaongelea demokrasiya wakati Chama chenu Cha Chadema hakina demokrasiya. Hotuba yako iendane na mambo mnayo yaishi ndani ya Chama chenu Cha Chadema na kama hotuba ya iko tofauti na mnayo yatenda na kuyaishi ndani ya Chama Cha Chadema basi hotuba hiyo itakuwa haina maana. Wako kwanza ndipo uangalie kwa jirani.
LISU NI SASHIHI KWA WAKATI HUU TULIO NAO NCHI INATAKIWA KUBADILIKA ILI KILA MMOJA ACHANGIE KUIJENGA NA SIYO KUPEANA MADARAKA KWA KUFAHAMIANA. KAMA UNATOKA KATIKA FAMILIA AMBAYO HAINA HISTORIA YA KUWA NA VIONGOZI HUTAKIWI KUWA KIONGOZI. TUNAMUHITAJI LISU KWA CHADEMA NA KWA TAIFA PIA.
Hukutakiwa uzalie sehemu ambayo watu hawatakiwi kama wewe wanatakiwa wawe waongo swali uli soma sule ya tanzania ama ndivyo ulivyozaliwa?tundu?unijibu kama unavyo weza kujibu ninavyo jibu ukiulizwa.
Kifu kipo kama ulisahau jikumbushe anglia nyuma wapo ulowakuta ama hawapo? Wewe ni nanì ,nikukumbeshe tu ukiamuka mushukuru ,ulichokivaa ndoo cha kwako ulichokichuma sio cha kwako ulowaibia watakopeshwa ili waje kulipa na wewe upo ka sio wewe kizazi chako
Umeshindwa uchaguzi wa kikanda utashindaje uchaguzi wa kitaifa 🤣🤣 wanaokufata wote ni mashoga kama wewe kwanza watoto wako wote wako nje harafu unataka fujo kikinuka ujitimukie 😂😂😂
Lissu una matatizo sana,mbona umeanza kujiami mapema.Haujiamini wewe hauwezi kupambana na mbowe.Wewe una hasira,hauna busara kama mbowe,na sio mvumilivu.Utapata kura ya mke wako na mqenyewe tu.Pia ni bahari sana.Siasa inataka pesa.Wewe utatoa pesa.Mdomo tu hausadii,maisha ni pesa.Mtu aje apoteze muda wake arudi kwao bila mkate.Piga kelele tu,ila mwenyekiti ni mr mbowe.
Wewe kama mwanasheria hujawahi kuwaonesha chadema tumaini lolote la kisheria pale ccm wanapofanya jinai za kisheria kwenye chaguzi au kwenye conducts nyingine kama serikali yao kuzuia mikutano ya hadhara au makusanyiko halali. Sasa una jipi pipya au unataka tukuamini kwa lipi?
Hujui uachokisema ,nenda katafute misaada mikubwa yote ya kisheria ccm hawajawahi kuishinda chadema na ndio maana wanaamua kuwaua au kuwateka wakijua kisheria yupo gwiji hawawezi kumshinda
Hahahahaha USA m miliki wa X tajiri number one Elon Musk duniani kwa kampeni ya uchaguzi wa Donard Trump2024 amewaonga na kutoa rushwa kwa wapiga kura mamilioni za dollar!
Mlikubaliana kuondoa ukomo katika chama. Kwa nini kwa taratibu zilezile mlizotumia kuuondoa msingezitumia kuurudisha? Hivi ukichaguliwa mwenyekiti na Hezekia Wenje makamu wako utafanyaje kazi na mtu uliyetuaminisha ni dalali na mla rushwa mkubwa?
Tundu Lissu acha uongo na unafiki. Wewe ndiye uliyeelezea kwanini suala la ukomo wa uongozi ktk nafasi mbalimbali kwenye chama chako. Ulisema bayana kuwa mlikubaliana kuondoa ukomo kwenye nafasi za uongozi. Sasa unaeleza vinginevyo. Acha uongo wa aibu na wa kujidhalilisha. Wewe ni mwovu na baradhuli usiyekuwa na aibu. Mimi sikuamini na siamini chochote unachosema. Mwongo wewe.
Watu wenye akili timamu hatuwezi kumkubali Tundu Lissu...Mwenyewe sielewi mwenyekiti wa Chadema ni Tundu Lissu ao ni Freeman Mbowe kwa sasa tarehe 01 January 2025. Tanzania tuweni makini Tundu atakuwa ndio chanzo cha vita na vurugu Tanzania naomba andikeni tarehe ya leo 01 January 2025.
@erickmsigala138 SHULE BURE NA MADARASA KILA KONA MADARAJA KILA SEHEM YANAJENGWA SGR INAKARIBIA KUKAMILIKA STIGLERS GORG TAYARI UHURU WAKUONGEA KILA KITU BURE UNATAKA NN
@@KostaJoseph we mjinga she gani bure au hujui ni ujinga uliopitiliza kushindwa kuwawezesha watu na kifumo ya fedha ili waweze kujilipia ada kuliko kuwapa bure elimu iliyooza
Hakuna aliyewahi kuzuiliwa kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa ndani ya Chadema ....na ndiyo maana hata wewe Lissu umeweza kugombea .......Swali kwa nini unataka Ukomo wa madaraka ya Uenyekiti !!?? Always opportunists are cleverly to choose sweet ideas but they kill
Nakupenda lisu 💕💕
Uko vizuri sana mwamba piga kazi,tulio na Nia njema ya mabadiliko tupo nyuma yako, kelele za wachache zisikuzuie kufanya maamuzi
Mkatengeneze cha kwenu awe mwamba wako😊
Kwahiyo hichi cha baba yako?@@vicentnyanda828
Hongera Kwa hotuba nzuri na mtazamo mpya,WASIO NAAKILI KAZI YENU KUTHIAKI
True comrade we support you
Lissu hotuba zako kwa mimi huwa nazishiba saaana,,wewe ni mwalimu wewe ni nabii,,mungu akutangulie
Atashida kwa jina la Mungu aishie.
MUNGU Akubarik.
Hotuba iliyojaa ukweli, mwongozo, matarijio, hakuna anayechoka kumsikiliza TAL, inasiaimua inasikitisha kama sio kuhudhunisha, imeisha hotuba huku nikiamini bado tuliitaji kuendelea kumsikiliza, hii ni zaidi ya hotuba. 👍
Mungu Kwanza ❤❤
Mheshimiwa lissu ❤️❤️❤️ unahoja nzurii
Mbowe pumzika nakupenda
Lissu njoo kazini nakupenda
Hongera Mwamba Lissu wewe ni chaguo sahihi na mbeba maono wetu,,sauti ya wasio na sauti Mungu akulinde na hao waovu na wauwaji na watekaji,,,,🙂🙂🙂🙂🙂
Akili kubwa✌️✌️✌️
Asiye Mwelewa Mhe Lissu ni kichaa tuu na chizi waende mirembe
Tundu lissu ni zaid ya kiongoz anamaono sana
Asante tumwkuelewa Mwenyekiti na Rais mtarajiwa tuko na wewe iwe nvua iwe jua
Liss ni wew
Lisu ni mmoja tu Dunia hii
Mimi binafsi TUNDU LISSU naona ni mtu sahihi kuleta mabadiliko katika Taifa letu
Unafaa siyo tu kuwa mwenyekiti Bali hata kuwa Rais wa nchi yetu
Uko vzr mheshimiwa lisu
Mama abduli asipo mwelewa lissu ataiweka tz kama msumbiji ngoja muone
Wewe hu hazina ya Africa
Sema ufe tundu hutokafu kwa ukweli , utaishi kwa ukweli wako kwa mungu ,na hukuna atakae weza
LISU🤝
Huu uchaguzi ukipita kwa amani chadema itakuwa imeupiga mwingi. Lakini Mbowe ana mchango mkubwa sana kuhakikisha hilo linafanyika. Ushawishi wake ikiwa hatauelekeza kujinufaisha binafsi atajijengea heshima kubwa.
Chadema acheni kugomabana wanaowakosoa ni mahsisidi wasio na jema na wapinzani katika nchi hii Tz
Hakika huyu kaka Lisu ni mtu wa maono Mungu akulinde kaka
Kuna viongozi wameshajisalimisha makanisani hakuchangia ujenzi wa mahekalu la Mungu ili kuwa teka ufahamu watu wa Mungu kina kwamba wao ni wema Mungu anawaona nahizo sada zenu za udhalimu
Leo nimeota nipo na lissu na amekua Rais wa jamuhuri
Hakuna kwa sasa kiongozi mwenye maono makubwa kama lisu inchini ni kwa bahati mbaya hata wanaoongozwa wamevishwa roho za kishetani hata hawataki kuelewa mtu wa kweli na mjasiri wa Mungu kama wewe ,lakini itoshe kuwa mwaka huu ni wako .
Hao ambao hawataki ukomo wa madarakaraka ni wao ndiyo warithi wa Watanzania? Au wao ni malaika? Wanaogopa nini ? Kutoka madarakani?
Skimping lissu ujuee unazambi ya kuwafanya watz mazombi au wajinga kama watuitavyo wakenya hutuita ngombe mungu akurinde tundu lissu
Tunakuombea sana tunamini mungu yupo UPANDE wako wewe Joshua wa Sasa tunamini tukimshinda kibaraka wao mbowe utatuvusha
Mungu yupi huyo labda mbw nyie?
Mnamdanganya jamaa yenu
Mwana ccm Nyanda nakutakia heri ya mwaka mpya@@vicentnyanda828
@vicentnyanda828 unaedanganyika wewe sisi tunajitambua mungu mmba mbingu na Nchi atajibu
@@vicentnyanda828naona mkamilifu upo ambae ujawai kukosea malaika haya kila mtu ana mungu wake sio wako unae muabudu yeye anamuabudu anae mjua
Mbona unaangaika sana na Mbowe ambae anaenda kuaibika muda si mrefu baada ya kushindwa vibaya na LISSU!!? Mbowe anaenda kuaibika sana kwasababu ya kutotaka kushauriwa na wananchi wenye mapenzi mema na chadema@@vicentnyanda828
HAKIKA LISU ANAFAA KUA RAIS WA JAMHURI YA TANZANIA ,SI UWENYEKITI TU
Wanao beza juhidi za lisu ni wapofu. Na tujue hili la mboe kushinda ccm wana furahia . Na hii nchi itaendelea kuwa ya kiimla mauwaji kutekwa nk. Mboe na watu wake watajuta hasira za wananchi k
Anataka kunihonga
Ili nipige kura kwenyee chama Fulani awe amejipanga sawasawa
Tatizo la watanzania wengi wetu tunajua sana kutia moyo mtu kwenye mitandao ya kijamii, when it comes to action they stay muted...
Tunakuelwa sna lisu popote ulipo tupi nyuma yko
Hakikarisu anafaa kuwarais wa ichi,nasiyouwenyekitituu
Viongozi na watanzaniia ni lazima tuwe na hofu ya mioyoni mwetu hakuna aliyezaliwa kuwa Rais bali tuliwachagua wenye nia tusiwe wakosoaji tu kama tumchanganyikiwa
Kama watu wanjua kuna ukomo wa uhai wa mwanadamu, kuwe na ukomo wa madaraka lazima
Tumelelewa na ccm unasahau tanzania ni inchi ya waziri mchaga lakini niwatoto watanzania inchi hii kama mŕma ni ichi tajiri kuliko ichi yoyote tuna viongozi masikini waroho sio wakipato ,
CHADEMA mkitoka salama kwenye uchaguzi wenu kura yangu ni kwenu ila mkigombana yeyote atakaye shinda kura yangu sitoi kwa chadema
Tatizo la mbowe hataki kuondoka uenyeketi ngoja tuone kama lisu atamuondoa maana ni kisikii kweli kweli huyo mzee mboe
Shujaa kwl kwl
Tundulisu anafaa kwa kuivusha chadema ilpofika ni chama cha wananchi na tumaini kwa watanzania,
Nakuelewa tundu lisu
Si wote wapuuzi
Unatosha tosha kabisa Lissu
Hana mawaaa kheri kwako
Mi mwenyewe nakuombea ushindi wa kishindo wa asilimiab 86
Ukweli wako,uaminifu,ujasiri,kukataa rushwa ndicho kinawauma.
NIMEOTA NDOTO.
MBOWE ATAJITOA KWENYE UCHAGUZI DAKIKA ZA JIONIIIIIIIIIIII.
MUDA UTAONGEA!!!!
TUNDU LISU NILIISHA kuwambia njoo CCM .. ONGEA vzr na MHE..MAMA SAMIA SULUHU HASANI ONGEA NAE ATAKUPATIA KAZI ..achana na chadema hao NI pasua kichwa ..hicho CHAMA NI cha mboye sio chako
Natabiri, MBOWE atajiuzuru kugombea uenyekiti, dakika za mwisho
Watoto wanaambiwa ukipigia kura chama kingine unatafuta vita mtauwawa wanahisi watafukuzwa lakini sio hoa wengi sisi watanzania wanahisi kufa ni shetani ama kuuwawa wamesahau kama bubu zao hawapo wanajua baba zao ni ukoo fulani wanajeshi ama mapolis anusemaje kuhisi hili nitakuja uje uniambie
Mimi kama mimi ccm haitakiwi iwe madarakani mpaka sasa mnatakiwa mbadalike ili uje siku nyingi mnahisi watanzania hawana akili ama mtawaua wangapi sijawahi kupost ama ķuzuma sms ndoo leo mbaya zaidi
nimewaliwa porini nimekulia mjini nikobahari
Hapa wazee wanaosimamia lazima wawe wakweli otherwise uzee wao utaonekana hauna maana, uchaguzi wa haki utaifanya chadema kutuonyesha maana halisi ya democrasia ndani ya chama chao, kila la heri kwenu mkafanye uchaguzi wa haki na kweli..
Niulize niliwahi kusikia muna tasafu seriķkali yetu muna tasafu ambayo lego lake nini? Kwa ufahamu wangu muliwapinga picha wahusika walengwa ili muingize benk naliza mlipanga kila mkoa sht. Shilingi ngapi mbana mnawapa elfu kumi amaelfu kumi na tano ,ama kila mkoa wna agizo la mkuu wa mkao najua hajui kama anajuwa sawa
Huyu ndiye msomi namkubar sana mwamba huyu
Tundu Lisu Mimi sikuelewi kabisa, unaongelea demokrasiya wakati Chama chenu Cha Chadema hakina demokrasiya. Hotuba yako iendane na mambo mnayo yaishi ndani ya Chama chenu Cha Chadema na kama hotuba ya iko tofauti na mnayo yatenda na kuyaishi ndani ya Chama Cha Chadema basi hotuba hiyo itakuwa haina maana. Wako kwanza ndipo uangalie kwa jirani.
Ccm tumeanza mambo yetu,😅
Wewe mbwa koko Acha kumchafua Rais wa mioyo ya watanzania.
LISU NI SASHIHI KWA WAKATI HUU TULIO NAO NCHI INATAKIWA KUBADILIKA ILI KILA MMOJA ACHANGIE KUIJENGA NA SIYO KUPEANA MADARAKA KWA KUFAHAMIANA. KAMA UNATOKA KATIKA FAMILIA AMBAYO HAINA HISTORIA YA KUWA NA VIONGOZI HUTAKIWI KUWA KIONGOZI. TUNAMUHITAJI LISU KWA CHADEMA NA KWA TAIFA PIA.
Kam ni chama cheo ww inakuhus nn
@@bernardshabanshija924watanzania wawapi? jisemee wewe kama wewe
Tuko pa1🇹🇿✌️✌️✌️❤🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣🚣♀️🚣♀️🚣♀️🚣♀️
Hukutakiwa uzalie sehemu ambayo watu hawatakiwi kama wewe wanatakiwa wawe waongo swali uli soma sule ya tanzania ama ndivyo ulivyozaliwa?tundu?unijibu kama unavyo weza kujibu ninavyo jibu ukiulizwa.
Kumbe hata ninyi chadomo Huwa mnaibiana kura kumbe Huwa mnarushwa
Unatakiwa kutowa mchango kwanza wa huo mkutano wa kuchaguwa huyo Mwenyekiti
Kifu kipo kama ulisahau jikumbushe anglia nyuma wapo ulowakuta ama hawapo? Wewe ni nanì ,nikukumbeshe tu ukiamuka mushukuru ,ulichokivaa ndoo cha kwako ulichokichuma sio cha kwako ulowaibia watakopeshwa ili waje kulipa na wewe upo ka sio wewe kizazi chako
Hotuba kuntu
Mbowe ni yoweri mseven
Tundu lisu uenyekit chadema uwez kushinda ng,oo mbowe akishindwa kama ameshinda imeisha hiyoo kuna mtu anabishaaa
Umeshindwa uchaguzi wa kikanda utashindaje uchaguzi wa kitaifa 🤣🤣 wanaokufata wote ni mashoga kama wewe kwanza watoto wako wote wako nje harafu unataka fujo kikinuka ujitimukie 😂😂😂
Lissu una matatizo sana,mbona umeanza kujiami mapema.Haujiamini wewe hauwezi kupambana na mbowe.Wewe una hasira,hauna busara kama mbowe,na sio mvumilivu.Utapata kura ya mke wako na mqenyewe tu.Pia ni bahari sana.Siasa inataka pesa.Wewe utatoa pesa.Mdomo tu hausadii,maisha ni pesa.Mtu aje apoteze muda wake arudi kwao bila mkate.Piga kelele tu,ila mwenyekiti ni mr mbowe.
Wewe kama mwanasheria hujawahi kuwaonesha chadema tumaini lolote la kisheria pale ccm wanapofanya jinai za kisheria kwenye chaguzi au kwenye conducts nyingine kama serikali yao kuzuia mikutano ya hadhara au makusanyiko halali. Sasa una jipi pipya au unataka tukuamini kwa lipi?
Hujui uachokisema ,nenda katafute misaada mikubwa yote ya kisheria ccm hawajawahi kuishinda chadema na ndio maana wanaamua kuwaua au kuwateka wakijua kisheria yupo gwiji hawawezi kumshinda
Hahahahaha USA m miliki wa X tajiri number one Elon Musk duniani kwa kampeni ya uchaguzi wa Donard Trump2024 amewaonga na kutoa rushwa kwa wapiga kura mamilioni za dollar!
Mlikubaliana kuondoa ukomo katika chama. Kwa nini kwa taratibu zilezile mlizotumia kuuondoa msingezitumia kuurudisha?
Hivi ukichaguliwa mwenyekiti na Hezekia Wenje makamu wako utafanyaje kazi na mtu uliyetuaminisha ni dalali na mla rushwa mkubwa?
Tundu Lissu acha uongo na unafiki. Wewe ndiye uliyeelezea kwanini suala la ukomo wa uongozi ktk nafasi mbalimbali kwenye chama chako. Ulisema bayana kuwa mlikubaliana kuondoa ukomo kwenye nafasi za uongozi. Sasa unaeleza vinginevyo. Acha uongo wa aibu na wa kujidhalilisha. Wewe ni mwovu na baradhuli usiyekuwa na aibu. Mimi sikuamini na siamini chochote unachosema. Mwongo wewe.
😂😂,ivi unajuaa maana ya siasa wew?Ungekuwa unajua siasa usingeuliza swali hili..
Kwahiyo ww hutaki ukomo wa madaraka ili awe muongo kwa sababu mambo yanabadilika kutokan na wakati
Watu wenye akili timamu hatuwezi kumkubali Tundu Lissu...Mwenyewe sielewi mwenyekiti wa Chadema ni Tundu Lissu ao ni Freeman Mbowe kwa sasa tarehe 01 January 2025. Tanzania tuweni makini Tundu atakuwa ndio chanzo cha vita na vurugu Tanzania naomba andikeni tarehe ya leo 01 January 2025.
Wewe ni marehemu unayetembea makaburi tu ndo yamejaa ungeshazikwa
Samia anatutosha ,hatutaki hayo mambo mengine
Vizuri sana rafki yngu Kwa jibu lko zuri
Mipumbavu yote inapenda kutawaliwa na mwanamke
@erickmsigala138 SHULE BURE NA MADARASA KILA KONA
MADARAJA KILA SEHEM YANAJENGWA
SGR INAKARIBIA KUKAMILIKA
STIGLERS GORG TAYARI
UHURU WAKUONGEA
KILA KITU BURE UNATAKA NN
@@KostaJoseph we mjinga she gani bure au hujui ni ujinga uliopitiliza kushindwa kuwawezesha watu na kifumo ya fedha ili waweze kujilipia ada kuliko kuwapa bure elimu iliyooza
Hakuna aliyewahi kuzuiliwa kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa ndani ya Chadema ....na ndiyo maana hata wewe Lissu umeweza kugombea .......Swali kwa nini unataka Ukomo wa madaraka ya Uenyekiti !!?? Always opportunists are cleverly to choose sweet ideas but they kill
Uchaguzi ujao mama Samia mitano mingine tena
Studies mkizi mkazi kwake Pemba. Wanamhitaji huko sana kuliko Tanganyika.
mbowe m/kiti 2025
Hamna anayeshangaa ukomo wa uongozi ila wanamshangaa yeye kama mtu aliyekuwa makamu mwenyekiti na mwanasheria mkuu wa chama
Hatushangai. Tunamwelewa. Jisemee mwenyewe.
Anaeleeeka sana. Jisemee mwenyewe.
Chadema munatuchanganya hatuelewi tushike ya lissu au ya mbowe.Hii ni hatari.Hawa wote hawafai wana uchu wa madarka.
Watanzania tuwe tayari kukimbia nchi kwa ubabe huu wa Lissu. Ndoa za jisia moja makanisa jiandaeni kubariki ndoa hizo.. Tundu Lissu Shoga number one.
Mbona baba yako aliye sungiziwa mama yako mbona humkimbii wakati ni shoga na umeujuaje ushoga kama siyo michezo yako malayawew
We jamaa unaushahidi gani na hilo?
Uyu mjinga mbona leo hakuva bullet proof
Amevaa
Mjinga mama yako mbwa wewe
@@erickmsigala138 umetoka kufumuliwa kiuoni ndo umeamuka unawaza Mama yako aliekuza?
Lissu wewe ni mwanaharakati, Uongozi hasa uenyekiti wa chama huna kipaji hicho
Gombea ww mwenye kipaji saiv tunatak jino kwa jino hatun mda
@GreyMbogela huo ni utoto , Uongozi wa unata busara kama za Mbowe , siyo waruwaru
@@2002-h6cMbowe akiondoka
Kwisha chadema sasa
Hakunaga mnchoelewa slku zote
Huna uwezo wala ufahamu wa kuelewa. Ni mtupu kichwani.