Kimara Kibaha Road - 19km

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • Kimara Kibaha Road constructed by Estim Construction Company Ltd.

ความคิดเห็น • 39

  • @dismasswai5838
    @dismasswai5838 2 ปีที่แล้ว +13

    R.I.P JPM we will never forget you for what you did for our country.

    • @jambo3751
      @jambo3751 2 ปีที่แล้ว

      TANZANIA kwasasa tujikite zaidi vijijini kuhakikisha barabara zote za vijijini zinatengezwa kwa kiwango bora cha Lami hapo tutakuwa tumeunganisha nchi nzima kimtandao wa miundombinu na vijijini ndiko yanakotoka mazao ya kilimo na pia mifugo na hata madini kwahiyo tutarahisisha maisha na tutaweza kuharakisha maendeleo ya kweli lakini sio kujisifia kwenye miji mikubwa tu kuonyesha kwenye mitandao na kujilinganisha na nchi nyengine!!! Kujenga hospitali zenye vifaa tiba vya kisasa kote huko vijijini na shule za kisasa na kuhakikisha kunapatikana maji safi na salama na
      umeme katika vijiji vyote vya Tanzania hapo tutakuwa tumepiga hatua kubwa kimaendeleo na tutapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano kwenye majiji makubwa. Lakini tukitaka sifa za kujenga majiji tu basi vijijini wataendelea kusota na kuota tu kuhusu maendeleo.

  • @ArchitectRussell
    @ArchitectRussell 2 ปีที่แล้ว +5

    Another excellent development that will improve peoples lives for years to come in Tanzania

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +6

    Je Marais wengine wangefanya Hivi Ingekuwaje.tungekuwa mbali Sana r.l.p JPM wetu sikuhizi Hata Samia anakusaliti

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +3

    JPM wetu Mzalendo Alikuwa jembe Utafikiri.barabara Za Namibia

  • @yasiniyamamoto8174
    @yasiniyamamoto8174 2 ปีที่แล้ว

    Great jpm our hero,haitokuja kutokea mzalendo wa kweli Kama jpm mfalme wengine ni majipu,hii nchi inatakiwa kuwa na sheria Kali hili kuwanyonga na kuua majipu.

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +1

    Dankie Baba JPM Ulikuwa zaidi Ya Nyerere ,Tunawapigia Kura kumbe Tunawapigia Kura za Kuja kuiba then mkimaliza Muda wenu Hata hamuanzishi kuproject chochote miaka 10 inaisha Hivi Hivi lakini account zenu mpaka zinatapika r.l.p Mzalendo

  • @sammyibrahim6654
    @sammyibrahim6654 2 ปีที่แล้ว

    Jpm alitaka Tanzania iwe kama ulaya lakini mungu amemchukua wezi wakabaki ,mama hatawahi fanya kazi nzuri kama hizi ,kazi yake mingi ni kuzurura inje ,miaka kumi itaisha mtaniambia hakuna kitu atafanya na si kwa ubaya ,macho ni ya kuona

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 2 ปีที่แล้ว +1

    Rest in happy daddy JPM

  • @zawadix9574
    @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ndio maedelo sio raisi ana Jenga bararbara jamani hiyo ni ushamba ume skia m south Africa ana sema hongera Cyril ramaphosa kwa bara bara ama mu Amerika hongera Obama acheni ujinga wa tz hiyo ni development magu sio contractor better say thank you estim construction Tanzania

    • @chrithicksambo1034
      @chrithicksambo1034 2 ปีที่แล้ว

      Duuuh wewe akili zako ziko matakoni ee?

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว

      @@chrithicksambo1034 na wewe ziko kwenye mdomo 🤣

    • @allysalehal-jaber4822
      @allysalehal-jaber4822 ปีที่แล้ว

      @@chrithicksambo1034 Ni wewe akili zako. Umeona kazi ya utumbo ya flyover ya UHASIBU na VETA chini ya mkandarasi SINOHYDRO. Daraja limepinda utadhani mashine ya punda. Hongera ziende kwa ESTIM CONSTRUCTION for the great work.

  • @tanzanianboy
    @tanzanianboy 2 ปีที่แล้ว +3

    Are you planning to fix street lights along that road? It is too dark at night.
    I also urge you to remove those concrete blocks from Kimara to Mbezi Kwa Yusuph so that all third lanes on either side of the road are full utilized.
    Thank you.

    • @devanse9718
      @devanse9718 11 หลายเดือนก่อน

      It's still under construction thanks for your advice tho😅😊

  • @deusdebitkowa9657
    @deusdebitkowa9657 2 ปีที่แล้ว +3

    Hakika JPM umeweka alama ya kutukuka kwa Taifa hili.

  • @TheBuildersHomeTz
    @TheBuildersHomeTz 2 ปีที่แล้ว

    Oneday LCH BUILDERS Will become big as estim. I am super inspired.

  • @shaibchigwere4645
    @shaibchigwere4645 ปีที่แล้ว

    TZ are not playing in construction

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว +4

    Hicho kibarabara cha zamani Ndiyo Awamu Ya 4 Alikiacha Mzee Baba JPM Mzalendo akameki plani Akatutengenezea na SASA ukisema morogoro road Hadi lnapendeza ,Nadhani Watanzania wameona KAZI Ya JPM r.l.p ,ln short Hicho kibarabara cha zamani Ni kibarabara cha jakaya Kikwete Hiyo Mpya mdiyo king JPM alifanya KAZI zake

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว

      Sio kazi ya raisi jamani maendelo ya nchi uchumi ya nchi ni ushamba to praise one man yeye sio mjenzi ume skis Americans Dana sema asante Obama kwa sababu ya Barbara come on!!!!!let's be serius

    • @kabwelasutiviraka4765
      @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว +1

      @@zawadix9574 kwa Afrika ni juhudi za rais mbona sasa hawajengi miradi mikubwa kama enzi za JPM

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว

      @@kabwelasutiviraka4765 Asante Kwa kumjibu Huyo Jamaa WA Chadema sema anajua then analeta ubishi

    • @smukelomkhize9775
      @smukelomkhize9775 2 ปีที่แล้ว

      Tunam_ praise MTU aliyeanzisha mradi

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 2 ปีที่แล้ว

    Estim construction mpo vizuri

  • @2.0BuzzDre
    @2.0BuzzDre 2 ปีที่แล้ว

    Wow nice road

  • @garishrathore2833
    @garishrathore2833 2 ปีที่แล้ว

    Girish Rathod k mulund w Bombay

  • @mambachagulaga7234
    @mambachagulaga7234 2 ปีที่แล้ว +2

    R.I.P JPM

  • @user-nw7mv1sj3u
    @user-nw7mv1sj3u ปีที่แล้ว

    How much it cost in usa dollars till the finishes

  • @nathanjunior7694
    @nathanjunior7694 2 ปีที่แล้ว

    We need road lights now, since usiku kunakuwaga na kagiza fulani hivi barabarani

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 ปีที่แล้ว

    Only in one term of presidency, imagine 2 terms.

  • @Nufaila442
    @Nufaila442 2 ปีที่แล้ว

    CCM oyeeeeee

  • @astonymathews6136
    @astonymathews6136 2 ปีที่แล้ว

    Rest in peace JPM 😭😭😭

  • @sammyibrahim6654
    @sammyibrahim6654 2 ปีที่แล้ว

    Alituacha kwa mataa ,na hakuna atakayedhubutu kama yeye wengine wote ni wanafuata upepo kama bendera

  • @Islamicvideo515
    @Islamicvideo515 2 ปีที่แล้ว

    Hi sir I got offer from you're company its true or no can you reply me please

  • @smartboytz4724
    @smartboytz4724 2 ปีที่แล้ว

    Tuna uchungu atusemi tuu

  • @kabwelasutiviraka4765
    @kabwelasutiviraka4765 2 ปีที่แล้ว

    Halafu kuna Watanzania wasenge wanamkashifu JPM

    • @zawadix9574
      @zawadix9574 2 ปีที่แล้ว

      Raisi ha jengi barabara ume ski mtu was south Africa ama america ana SEMA hongera kwa barara raisi hiyo maedelo sio favor ya nchi acheni ujinga

    • @lucasmhagama8166
      @lucasmhagama8166 2 ปีที่แล้ว

      @@zawadix9574 mjinga ni wewe,hayo ni maendeleo makubwa kwetu