Wow,the end imekua tamu hadi nme mdodokwa na chozi la furaha,huyo binti amefanya vizuri kukubali kubadilika,mungu akubariki kijana wetu the Pluto,kwa kazi nzuri kuunganisha kondoo zilizo kuwa Zina potea❤
Demu anaweza KUWA mtata ila at the end nimempenda she accepts her mistakes na yupo ready to change haki haka kangekuwa kademu kangu ningekaoa tu videmu vya sasa kukubali kuchange ni ngumu vinatakaga kuwa vyanaume mm lakwangu walilipa hadi mimba likazaa likanidanganya ni mtoto wangu ubwa lile mpka mtoto kafika mwaka ndo nakuja kukugundua kimeniraambaaaa dah kudos to these people nayaona mapenzi ndani yao
Eeeei Tz wah!Huku kenya lazima pluto angekimbiakimbia bila mwelekeo akiheba ngumi na mawe😂😂😂😂😂😂Wow its better the way you have decided like a couple❤❤❤❤
Big up bro, East Africa tusafishe, but those kind of ladies(stubborn) are always kind from inside but then not all but from the look of the expression wanapendana, and i think they just need civic outline kidogo tu about relationship but everyone begins from there.
Wa Tanzania ni Waswahili sana, sasa huyu dem anadanganya lakini kwasababu anajua kutwist maneno sasa pluto hataelewa, nae jamaa amepoa kweli ..... sijui anakaliwa🤣🤣
Wa Tanzania vita sio jadi yetu gonga like tukisonga😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@@mercyurio1632 🤣🤣🤣🤣
Hawa wametoka mombasa kenya😂
Vita sio jadi wueeh 😂😂😂
Tupo
Arusha Isha kuwa Mombasa jameni 😂😂@@angieblessed
I’m loving these Tanzania Episodes! Kudos. Pluto Don’t Come Back Before Breaking 100 Couples!😂
Woiye😹😹😹😹
We wacha😅😅😅😅
by force by fire
😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅
Mkuu hii ime weza
...like this work is teaching alot
Umefika Tz,tumekuacha kenya na Bado umetufuata 😅😅anyway Kenya ni home Tz ni kazi
This boy is more brilliant... he's using wisdom instead of knowledge....Much love kaka💪💪💪💪 Just continue controlling emotions 💙💙🥰🥰
sanaaaaa
But he is dying internally
😅😅😅acha basiii@@user-vz4xv7lg3x
The first person today nipeni hata likes tim Pluto ❤❤🎉
Ingekuwa Kenya, vita ingekuwa imetanda😂😂😂😂
Si pia sisi tutumie tu wisdom ka this young man😢ama😂😊😊
Hii tumerekebisha kabisa
Give them their flowers🎉🎉 and likes
Hugs to them😢😢😢
These guys from TZ are 🔥🔥🔥🔥🔥 very cute..,😍😍😍..pluto rudi kenya na kadhaa
Wee tulia kwanza asafishe na huku kwetu😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Wow,the end imekua tamu hadi nme mdodokwa na chozi la furaha,huyo binti amefanya vizuri kukubali kubadilika,mungu akubariki kijana wetu the Pluto,kwa kazi nzuri kuunganisha kondoo zilizo kuwa Zina potea❤
🤣🤣🤣tupo wengi apo kumbe pia machozi imenitoka nikikumbuka changamoto za mapenzi yangu
Demu anaweza KUWA mtata ila at the end nimempenda she accepts her mistakes na yupo ready to change haki haka kangekuwa kademu kangu ningekaoa tu videmu vya sasa kukubali kuchange ni ngumu vinatakaga kuwa vyanaume mm lakwangu walilipa hadi mimba likazaa likanidanganya ni mtoto wangu ubwa lile mpka mtoto kafika mwaka ndo nakuja kukugundua kimeniraambaaaa dah kudos to these people nayaona mapenzi ndani yao
Jaribu mm mkenya😂😂😂@@iddynziguye2443
😅😅😅@@iddynziguye2443
I love their swahili accent. I can listen to them all day.
Nyie mnapenda rafuzi yetu..sio tunapenda wakenya wanavyo ongea..
Sisi wa Tz
@@Asha-yn4bu asnte kwa kunisahihisha..
Married to a tz guy kutoka Dodoma very humble hawananga maneno
Inatengemea sio wote
Hizi za TZ zimetulia sana, 😂😂 loyalty test bila drama ni chama 😂😂😂😂
😂😂chama surely 😂
We want problems always 😂😂😂
😂😂😂😅@@lionessnice7212
😂😂😂😂kenya bila drama nothing is beautiful
@@lionessnice7212kawaida
Big up pluto kama umeanza kutoka nje ya Kenya you are doing a good work
If we will solve our problems hivi am ready for a tz man ❤😅
karibu sana, nipo arusha...
Njoo nikuoneshe utofauti unao utaka . Nipo Arusha
Wapi likes zangu na za Pluto guys🎉
Mwanamke ni player sana.
The lady drove this guy to finding happiness elsewhere....mdomo mingi dada punguza ...this guy is cool and collected ..
Huyo kijana mtanashati kweli..lo❤❤❤
Tunaeshimiana sana tena muno.
Pluto hapo kiswahili kinakukologa ndo maana huyo dem anakucheza .
Huyo dem Ana wanaume wengi
Inamkologa kweli😂
@@aishahahmeddy9288🤣🤣🤣🤣🤣
Sana Dem Malaya kinoma
Sasa weye Mtz unaongea Kiswahili kibovu hivi mara "kukologa" mara " muno" . Usiharibu heshima ya Tz jifunze Kiswahili la sivyo stay out of mitandao
I wish Pluto could be giving them some advice akii...not just leaving them sooo hurt!
You see my dear...pepo ya kucheat hata kwa maombi huwa haiondoki...wapigane nahukoo😂😂
@@Main-Winny😂😂😂😂
@@Main-Winny I knew you are from kinya😂
Nyeee wapole sio kama Wakenya pangekuwa vita hapa
😂😂😂😂Bro iyo kiswahili yote🤦uko sure huumwi n kichwa🙈
😂😂😂😂jamani@@AliceNGANGA-oq4hd
😂😂@@AliceNGANGA-oq4hd
Vita ni hapa hapa duniani, kwani hawa wako heaven, sijazoea ivi
@@AliceNGANGA-oq4hdhuyu amerogwa walai, in Kenya tunasema amekaliwa chapati or amepikiwa madawa😅
Kwani hawa hawananga drama ingekuwa kenya weee naona ad bodguard hayuko wanaume wapole kweli
Eeeei Tz wah!Huku kenya lazima pluto angekimbiakimbia bila mwelekeo akiheba ngumi na mawe😂😂😂😂😂😂Wow its better the way you have decided like a couple❤❤❤❤
This guy is more smart in brains
Wooow nimewapenda hawa 🫶🏾🫶🏾vey humble and honest to each others
Anguka nayo mazarau ziii😂😂😂
😂😂😂😂umeniacha hoi😅
Mwizi kashikwa😅😂😂😂😂
BROTHER 🏃♂️ malaya ni malaya i pray 4u to have good girl
Wow bona wakenya wasiwe kama wa tz aki this show was amazing akuna magombano
Wee unataka magombano
Eeeh hi dear
Kudos! I like the way you have resolved your difference.
The man is humble at all ,,,move on kwa hii relationship big brother,,,achana nayo,,,my likes pls ,,,nafutilia nikiwa turkanh ,,in lodwar
Camera man will go to heaven straight juu za kuzoom 😅
Wanaumme wa Tz hawana vita ila tu wakijam wananguruma kama generator 🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Haupo serious kbxaa hahaahaaa
😊😊😊😊😊😂😂😂
Wow!!! mature reactions si kama ya kenya
Eeeish jamaa Hana mambo😂😂 so handsome
We kwani huyo dada ana marafiki wengi sana 😂😂
Kijana endeleya kuwa mpole na utafute hela , siku utazipata ndo umshaukiye. Sindio...? Au nakoseya. 😅😅😅
Hawa wanapendana sana na watadumu kwa ajili ya tabia zao zinafanana 😂❤
Hongereni mmejitahidi kuigiza ,, igizo lenu zurii sanaaa❤
Unasema ni sctiptedi
Scriptedi tena ndio Gani jameni🤣🤣@@user-yy5sh6bp6f
Kaka mzuri uyo Jmn aje tunachelewesha watoto shule
TZ kumbe kuna vijana handsome😮....Naona nkihamia huko😂😂
Eeh wa tz kuna vijana ni handsome bana❤😂😂
@@MariamaryKambuwa Itabidi tuhamie huko sasa na niwa pole saana🤣🤣🤣
Karibu sanaa😂
Toa njaa hapa wewe😂
@@user-zu1sc7ir1l😂😂😂mbwa toa mkundu hapa
Waah huyu ndo Otile wa tz💕💕ako sawa very cool and down to earth
I love Arusha❤ this couple looks young but at least they have brain ❤
Brain Gani ww😂😂ama pia uko hio class
@@kingfishertv5466 tulia🤪 the fact that they all admitted they were wrong and decided to change that's what brain does 😂 no dramas🤭
True ❤😂😂@@mowawajowangu8216
The courage with lady is just a vibe😂
This now tells difference ya Kenya's na Tanzania,,nimeanza kupenda watanzania❤
Shobo
Karibu sn
@@Tinab477😅😅😅
😂😂😂 you'll cry ask me I've been there not all glitterers ni gold
Utajua haujui
Team Pluto si Leo mnifikishe 1k subscribers ukimaliza niambie nikupitie pia
mbona uzalau mwenzio,,,anguka nayo 😅🇰🇪
😂😂😂😂
@@Cutebree🤣🤣🤣🤣
Kwaniini anamzalau haki😂😂😂
Mkenya mwenzangu sio kuzalau ni kuzarau😅
@@winny-W ni kudharau wewe pia sio mkenya😂😂😂
Tz wako funny 😂 walai ona huyu venye anacheka 😮😮
🎉🎉nipitieni guys
Tukiendelea na hiki kiswahili pluto atafunza fasihi😂😂😂😂
aiyaya awa watu wanaongea vizuri jameni😂
Hahaha sema tu umependa handsome ness
Tz atuna mambo mengi alafu atuja zoeya tabu kabisa ❤❤❤ tz tupo kawaida sana atushulikii sana wanaume tatizo leo❤❤❤❤
Tanzania hakuna kupigana😂😂🔥mambo yanaisha taratibu tu
Nimependa tabia yao
Pluto uko. 🇹🇿 Sanitize taratibu wachanga wasikushughulikie, salimia Feli na Zoe , am a 🇹🇿 and your big fan but living outside the country
Huyu jamaa anakuanga mpole ingekua mkenya angekua amekula mwera ktambo Kenya hawaez chelewesha😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣tushazoea vita wakenya bt nimependa tabia za tz juu hawana vurugu
😂😂😂dem ana mdomo kweli
We mzee utadepotiwa😅😅... nisha kuwon.. rudi huku
😂😂😂😂😂
Tz hakuna matat gonga like tusep😂😂😂
😅😅😅😅sana
Big up bro, East Africa tusafishe, but those kind of ladies(stubborn) are always kind from inside but then not all but from the look of the expression wanapendana, and i think they just need civic outline kidogo tu about relationship but everyone begins from there.
Both to score and over 3.5
😂😂😂😂😂😂no gg hapa
Apan hii n over 1.5
Kwa arusha hapa wanawake wanajituma sana kwa mambo ya economy so kuwa na duka na biashara ni kawaida sana tuu
Siku izi Pluto amefikisha sanitization hadi Tanzania wow😂 kumbe sio Kenya tu watu huwa wanacheat in relationships great work Pluto 😂😂😂
Nimeamini kwa, kweli 😅
Akimaliza huko atupeleka Yues
@@magdlynneayuma7318 tunawezafurahia sana akiazia yues 😂😂
Eeh hii imeaza kuwa international@@magdlynneayuma7318
Mwanangu achana na huyo dem Mara moja tena usiangalie nyuma unaweza kua jiwe la chumvi wanawake Kama hawa hawafai kabisa
Wa Tanzania ni Waswahili sana, sasa huyu dem anadanganya lakini kwasababu anajua kutwist maneno sasa pluto hataelewa, nae jamaa amepoa kweli ..... sijui anakaliwa🤣🤣
Kiswahili kimemkologa😂😂😂
😂😂😂😂 Pluto haradi kitu
Mkaka ame2lia kimya anajua yy anayake pia😢😂😂🙌
Sasa mbna hawapigani💔💔hapo huyo boy anafaa kuwa wameanguka na masomasett mara kama saba nkt,🥺🥺
The comment I was looking for😂😂😂hadi wanabore drama is what we want anguka nayo 🤣
Na umejam😂😂😂😂
Nljuwa tuh ww n rafiki yangu😂😂😂@@Catekateshia1
@@deven979sana❤😅
Huku sio kenya vita wakati wote 😂😂😂
Angalia hiyo ni arusha wasije wakatoana roho au ukatolewa wew uhai chunga sana sanaa Pluto hiyo ni chugaa
Is the way Tanzanians are peaceful throughout the video,ingekua kenyans just one evidence of cheating is enough for drama😂😂😂
Lakini kusema kweli Pluto ni mhandy
Apo Dem ni mjanja tu venye tunaona😢
😂😂😂
Pluto is taking over Africa meehn 🇰🇪❤
Tutajua kiswahili sanifu by force
😂😂
By force by 🔥😂😂😂😂 Kiswahili lazima tukijuwe
Ila ni ngumu mno🤣💔
😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤❤sanitation to the world 👏👏👏👏
Kweli mm ni mkorofi weeh😂😂
Uyo boy n msenge alileft group 😢
Wakenya 😂ni kama hawajazoea hio rangi kwa boychild
Kabila ya Warangi wanaitwa.
@Thee Pluto Wow karibu home brother
❤❤❤karibu saaaaana
Aki mdada anaboys kama seti ya vijiko🤣🤣🙌
😂😂😂😂😂😂
❤❤❤I love this Plutoooooooo ulipata njia ipi kaka maana ungetupa salamu hapa Namanga mmmmh
Kipochi manyoya hichi 😂😂
Usigawe bure kipochi manyoya #inazingatiwa 😂😂😂
Na huyu kijana ametulia aki
Kama ni Kenya 😂😂 hata hunitoshelezi ,huna time yangu , one minute man
😂😂😂😂
Ongeza sauti
Ety nimecheat lakini sijampa mtu funguo😂😂😂😂😂
napenda comera man
chief sanitizer welcome Tanzania
Likes za nambari moja 😂
😂😂😂
Uko vizuri kaka Karibu Tena Tanzania 🇹🇿
😂😂😂😂Mtu anipee mTanzania mmoja😂😂Yaani mtu hasemi anything
😂😂😂😂😂weeeh akili zao wanazijua wenyewe
Njoo kwangu
U don't understand tz men, unaweza ukawa unaongea sana akakaa kimya tu but ukawa u don't mean anything to him
Thubutuu😂😂😂😂
I wish I was there 😊
Huku wanacheat politely 😂😂kama ni huku kenya dem angepewa chapati moja✋😅
😂😂
Huku ni kama tunaishingi na kina jackchan 😂😂😂😂
Dada anashida kidogo...ana mambo mengi sana
Ni kiswahili tu ndo inanikimbiza huku mbio jamani😂😂
😂😂😂 anguka nayo
acha bas kufanya nicheke 😂😂😂Phanny
Duh wamesolve kiume safi Sana,
Dogo hyu kafanyiwa ile kitu😂😂
😂😂
Hao wote wabadilishe laini waaze mausiano mpya hivo tu na mambo yatakuwa sawa
Pluto Charger huitwa Kimemeshi😂
wewe
Wah ...alisema nikatie bei😂😂
Hadi nmelia mkaka mpole pia nmependa demu kakubari kubadilika leo imebambA nzuri kweli mwanaume ukimpenda huwezi kumuomba ela
Eee wanaume wa Tz ni wapole aje 😂😂 eei hawajui drama
😂😂😂😂😂walifanywa wasukule na wanawake huskii amesema anakua msumbufu huyo dem😂😂😂😂😂😂
Watz wanafaa kupata wanaume wa kenya😂😂😂
@@Funnygirl7415 🤣🤣🤣🤣🤣wee watagongwa wasahau kwao wasijaribu
@@Funnygirl7415huh hatutaki wanaume wakenya sis
Ogopa mtu mpole anakuuwa taratibu nasiku akihepa anaondoka direct
The Pluto karb kwet 🇧🇮 🎉🎉
Wasichana wanapenda pesa Kila Mahali sio Kenya pekee
Toka apa si wote
Worldwide
Cheif sanitizer mwenyewe,vunjavunja zote ad ya zuchu na diamond vunja zote 😂😂😂