UVUVI HARAMU || Waziri Ndaki ahimiza wavuvi kuwa walinzi wa rasilimali za uvuvi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2021
  • Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki amewataka wavuvi kuwa mstari wa mbele kuzilinda rasilimali za uvuvi kwa kupinga uvuvi haramu unaofanywa na baadhi ya wavuvi wasio na uadilifu kwa faida ya kizazi cha sasa na kijacho.
    Waziri Ndaki alitoa wito huo alipokuwa akiongea na wavuvi wanaofanya shughuli zao katika Mwalo wa Magarini uliopo katika Wilaya ya Muleba, Mkoani Kagera Disemba 13, 2021.

ความคิดเห็น • 3

  • @user-qd9ue4ju1v
    @user-qd9ue4ju1v 11 หลายเดือนก่อน

    Sio kweri

  • @user-qd9ue4ju1v
    @user-qd9ue4ju1v 11 หลายเดือนก่อน

    Toka apaww watu wanaaribu samaki rukwa ww upo mumeshindwa kuzibit

  • @NaitwaChongx
    @NaitwaChongx 2 ปีที่แล้ว

    MUST NI NOMA SANA SIO KWA MAUJUZI HAYA
    👇👇👇
    m.th-cam.com/video/emVpjKdG2v8/w-d-xo.html