Cadabla morogoro_(official video)by marota

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 52

  • @angelfrank1092
    @angelfrank1092 2 ปีที่แล้ว +2

    Hongera sana zao la morogoro mungu akulinde kiongozi was masela

  • @officialahmadi8283
    @officialahmadi8283 4 ปีที่แล้ว +10

    Tunao angalia 202O like apa tujuane

  • @jamesdimosso2601
    @jamesdimosso2601 4 ปีที่แล้ว +6

    Nimekukubali mdogo wangu kila la kheri. Umeitangaza vizuri sana Morogoro yetu. Big up kwa Dj Marota.

  • @saidially892
    @saidially892 3 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana broo wangine tuna farijika sana tukiangalia hii vdo

  • @ramadhanilukanza3065
    @ramadhanilukanza3065 5 ปีที่แล้ว +8

    kuanzia mashairi mpaka vidio Kwakweli Uongozi Wa Morogoro Inabidi ikupe tuzo »» Kaka marota hiyo nyimbo Ungechomekea na Sangula ya wapogoro au mbeta ya waruguru. ingekuwa hatari zaidi ya hapo .»Amani sana Dj marota pamoja na vijana wako wote

  • @bakariabdallah3936
    @bakariabdallah3936 5 ปีที่แล้ว +7

    Moro ndio kwetu iko poa sana twende kazi baba cadabra

  • @salumdinongo3273
    @salumdinongo3273 3 ปีที่แล้ว +3

    ngoma kal san

  • @mrishomaneno6546
    @mrishomaneno6546 6 ปีที่แล้ว +6

    Daaaaa mimi umenikosha na uwo wimbo Sijui Mbaraka mwishee uyooooo das IPO poa

  • @omarylugusha
    @omarylugusha 6 ปีที่แล้ว +14

    Hivi kwanini wasikupe hata ubarozi wa utalii morogoro... umeitangaza vizuri sana nyimbo nzuri sanaa big up and keep it up!!! @ibracadabra

    • @djmarota3401
      @djmarota3401  6 ปีที่แล้ว +1

      Omary Lugusha haahaaa

    • @omarylugusha
      @omarylugusha 6 ปีที่แล้ว +1

      Ndo hvyo dj mtu anajitolea kutangaza alaf hata hawampi shavu

    • @jamesdimosso2601
      @jamesdimosso2601 4 ปีที่แล้ว

      Kweli ameiwakilisha vizuri sana.

  • @mrishojumaamrisho3212
    @mrishojumaamrisho3212 4 ปีที่แล้ว +2

    Sana marota naiona home nmekumx xana home all the way from dom

  • @bashirymageni568
    @bashirymageni568 5 ปีที่แล้ว +3

    Kaz nzur broooooo

  • @shabanimussa1788
    @shabanimussa1788 5 ปีที่แล้ว +3

    Upo vizuri njoo dar upige ela kama akina mfalme ninja

  • @boazmvellah6286
    @boazmvellah6286 4 ปีที่แล้ว +3

    Nipo Singida but nikipamiss home Moro nakuja kuisiklizaia hii nyimboo🎵

  • @koberomodest6959
    @koberomodest6959 ปีที่แล้ว +1

    Morogoro my home❤

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 4 ปีที่แล้ว +6

    Home sweet home morogoro ❤

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 4 ปีที่แล้ว +3

    Moro km moro 😘😘😘😘

  • @mohamedyomary2559
    @mohamedyomary2559 6 ปีที่แล้ว +6

    Nakubali kadabra marota sheeedah

  • @imeridasamwely8658
    @imeridasamwely8658 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka nakukubali san

  • @abubakarmohamed8248
    @abubakarmohamed8248 6 ปีที่แล้ว +4

    Nakubali sana fundi

  • @victorjosephs4385
    @victorjosephs4385 5 ปีที่แล้ว +2

    Najivunia kuzaliwa mkoani Morogoro

  • @rahmashaban8967
    @rahmashaban8967 6 ปีที่แล้ว +4

    Daah yani Kali sana nakumbuka kweli Moro noma sana

  • @eliasnguya7301
    @eliasnguya7301 3 ปีที่แล้ว

    Nakubali damu yangu

  • @mohamedyomary2559
    @mohamedyomary2559 6 ปีที่แล้ว +12

    Kwanza ni share na wanangu wote waone marota

  • @sarahselemani8691
    @sarahselemani8691 5 ปีที่แล้ว +2

    Umetish baba nakubal san cadabra

  • @goodluckngapulila6379
    @goodluckngapulila6379 3 ปีที่แล้ว +3

    Nice

  • @AnjelFrank
    @AnjelFrank 8 หลายเดือนก่อน

    Daa nakubal goma ili kama nn lispet kaka

  • @jyactanalex7709
    @jyactanalex7709 3 ปีที่แล้ว

    Baba kilosa, Gairo Kuna kabila gan au sio Moro ile

  • @paulonathalis4130
    @paulonathalis4130 5 ปีที่แล้ว +2

    Moro yetu yapendeza

  • @NestoryAgatoni
    @NestoryAgatoni 8 หลายเดือนก่อน

    Kmy hv kuna nn jaman

  • @SarahLucas-z7u
    @SarahLucas-z7u ปีที่แล้ว

    Kwann wana kubania

  • @godfreymakazini6529
    @godfreymakazini6529 6 ปีที่แล้ว +2

    Noma sana

  • @SimonNawamba
    @SimonNawamba หลายเดือนก่อน

    Naomba kuuliza iyo beat aliyo piga DJ malota ilo gitaa asili ya nyimbo Gita la nyimbo gani ya zamani au kapiga original mwenyewe kunakitu nakihisi kwenye hiyo beat please wadau nitajieni?

  • @jakayabanzi8936
    @jakayabanzi8936 6 ปีที่แล้ว +3

    Morogoro, vanga LA ukae

  • @mbagumusic8690
    @mbagumusic8690 6 ปีที่แล้ว +5

    chamwino moro mpooo

  • @khadijasaid3265
    @khadijasaid3265 ปีที่แล้ว

    Respect morogoro

  • @MahmoudMwape
    @MahmoudMwape ปีที่แล้ว

    👊👊👊👊

  • @faudhiaGombaeka-kf7oe
    @faudhiaGombaeka-kf7oe ปีที่แล้ว

    Wow..

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 4 ปีที่แล้ว

    Ungeongea kikabila hpo ingebamba htar

  • @mwajumasaid7724
    @mwajumasaid7724 5 ปีที่แล้ว

    Aisee anajua kuanzia nyimbo vidio had uchezaji wake yan had raha

  • @innocentmakala6542
    @innocentmakala6542 2 ปีที่แล้ว

    Home sweet home

  • @khadijasaid3265
    @khadijasaid3265 ปีที่แล้ว

    💖

  • @HoseaDickson-g4i
    @HoseaDickson-g4i 7 หลายเดือนก่อน

    🇹🇿🫅💥

  • @mrishomaneno6546
    @mrishomaneno6546 6 ปีที่แล้ว +3

    Daaaaa mimi umenikosha na uwo wimbo Sijui Mbaraka mwishee uyooooo das IPO poa