Neema Gospel Choir - Bado Ninakuamini (Lyrics Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ต.ค. 2024
  • Huu ni wimbo wenye nguvu ya imani na kujitolea. Ni safari ya kuamini na kumtegemea Bwana, ukiwa na ombi la uongozi na uwepo wake.
    Pata ujumbe wenye kugusa moyo kwamba licha ya changamoto, kimbilio letu na msaada wetu vinabaki kwa Yesu pekee.
    Wimbo huu uvuvie imani yako na ufanye upya tumaini lako kwa Mungu.
    Songwriter & Composer: Godwin Mlambo
    Leader: ⁠Loyce Simon
    Video Editor: Enock Magwesela
    LYRICS
    Nianze na wewe,
    nimalize na wewe
    Safari yangu niongozwe nawe
    Ukiniacha nitapotea Bwana
    Ukiniacha nitaangamia
    Ukiniacha nitapotea Bwana
    Usiruhusu yatokee haya
    Kimbilio langu umebaki mwenyewe
    Msaada wangu umebaki mwenyewe
    Wewe tu, wewe tu
    Bado ninakuamini

ความคิดเห็น • 37

  • @Kryptonian3
    @Kryptonian3 3 หลายเดือนก่อน +11

    Wanaomwamini bwana tukutane hapa 👉👉

  • @BienvenueNdizeye-c4i
    @BienvenueNdizeye-c4i 21 วันที่ผ่านมา +2

    Amezing

  • @restitutakulogwa2587
    @restitutakulogwa2587 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana niwezeshe kuilinda Imani niyonayo juu ya ukuu wako bila kujali mazingira yanasema Nini...

  • @godsonmweta96
    @godsonmweta96 3 หลายเดือนก่อน +4

    The first, please add up some likes ❤

  • @joyhabuko1712
    @joyhabuko1712 3 หลายเดือนก่อน +2

    Usiniache bwana nakuhitaji wewe kila wakati,niongoze katika kila hatua

  • @rachelsenni8919
    @rachelsenni8919 3 หลายเดือนก่อน +2

    Congratulations servants of God for the nice song.
    Tuendelee kumwamini Mungu wetu kwa kumaanisha ili mwisho wetu uwe mwema maana ni heri mwisho mwema kuliko mwanzo.
    Mungu nisaidie niendelee kukuamini hadi mwisho. Be blessed NGC

  • @justinchengo4748
    @justinchengo4748 13 วันที่ผ่านมา

    Bado nakuamini Yesu wangu 💖

  • @godsonmweta96
    @godsonmweta96 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu naomba Nianze na wewe, nimalize na wewe katika kila nifanyali 🥺❤

  • @mwendtv191
    @mwendtv191 3 หลายเดือนก่อน +3

    Hakika bwana ni mwema sana 💥💥💥

  • @ShanuGidion-ep9lb
    @ShanuGidion-ep9lb 3 หลายเดือนก่อน +3

    Here we go🔥🙇🙇🙇 nianze naww nimalize naww

  • @mildrednyanami
    @mildrednyanami 3 หลายเดือนก่อน

    Baba naomba kuogozwa nawe🙏🙏🙏🙏

  • @rizikiquelcinerizikiquelci2492
    @rizikiquelcinerizikiquelci2492 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bwana nakuomba uniongoze katika maisha yangu ❤ninakuamini yesu 🙌🙌

  • @GladMuro
    @GladMuro 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu ninaomba niongoze katika safari yangu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @syliviadeogratiuslyimo7470
    @syliviadeogratiuslyimo7470 3 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu Baba nakutegemea wewe

  • @monicacoombes8299
    @monicacoombes8299 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba kila jambo langu katika maisha yangu nianze na wewe na kumaliza na wewe 🙏🙏🙏

  • @johnchalahani6924
    @johnchalahani6924 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mwanzo wangu na mwisho wangu niwe na wewe Mungu wangu ukianza nitapotea.

  • @elia_adam
    @elia_adam 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤❤ bado namwamini .... Vipi nyie hamna Whatsapp group.

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  3 หลายเดือนก่อน

      Amen, group lipo tuma ujumbe kwa what's number +255 766 777 288 na utaunganishwa

    • @elia_adam
      @elia_adam 3 หลายเดือนก่อน

      @@NeemaGospelChoir Asante sana

  • @iyaamoding8945
    @iyaamoding8945 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safari yangu niongozwe na wewe ❤❤😂❤

  • @wilfredlucas-nf6yo
    @wilfredlucas-nf6yo 3 หลายเดือนก่อน

    Bado nakuamini Yesu

  • @ceciliafissoo6601
    @ceciliafissoo6601 3 หลายเดือนก่อน +1

    😌😌🙌🏻🙌🏻🙌🏻The Song 🎼🎧👏🏻

  • @MwashidiNjashi
    @MwashidiNjashi 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nianze na BWANA YESU ❤

  • @sethonyango5386
    @sethonyango5386 3 หลายเดือนก่อน +1

    Reject finance bill Kenya