Qaul ya Maimamu wanne msimamo wao 1.Imam Abuu Hanifa khutba kwa kiarabu 2.Imam Malik kwa lugha ya mji 3.Imaam shafi kwa kiarabu 4.Imam Ahmad kwa Kiarabu
Kinachofanyika pale ni "kupenda mtumi" 😂😂😂, ni la kushangaza lakini, I can't even imagine the prophet pbuh and his sahaba doing something like that, istaqfurullah
Kinachoendelea sio kuwekana sawa kama ambavyo inadaiwa bali ni kuendeleza chuki ushabiki na mifarakano, kwasababu naangalia sana mtu anamkosoa shekhe wa upande mwingine na akikosea shekhe wa upande wake hamkosoi, halafu mtu anadai anafuata mwenendo wa wema waliopita siokweli,
Uzushi wa ijumaa ya kiswahili ulianzishwa na bakwata katika miaka ya 1980 kipindi hicho ilikuwa ni kutaka kukienzi kiswahili na huyu bwana mdogo halijui hili na angejua kama ilikuwa ni mpango wa kumuenzi Mwalimu katika kukienzi kiswahili asingesema haya maneno jumaa ya kiswahili hakika haisihi na haipo ni uzushi wa bakwata katika kukienzi kiswahili.
Akili kisoda kakutoleya kitabu jopo la wanazuoni walikaa wakakubaliana kua hutba isomwe kwa lugha ya mji husika Basi na wewe toa kitabu bakwata walikaa wakasema hutba iwe kwa kiswahili 😂akili kisoda
Hebu tueleze qaul ya maima wa 4 wanasemaje tujue, kwani wakati wa maswabaha niko na imani walienda inchi za inje kma Roma France na inchi zengine jee ijuma walikua wanasoma vipi khutba???
Hakika katika hili la hutba ya ijumaa kwa lugha nyingine yoyote Ile isiyo kuwa ya kiarabu ni mtihani mkubwa na hakika ni bidaa na nimtihani na ni uzushi mkubwa Tena uzushi mweupee
@@athumanikhamisi3377 Kwahiyo nawewe unataka aanze kujibizana na mtoto ambae hata mafua hawezi kutoa halafu tayar kashakuwa sheikh masufi mnachkesha sana Wallah.
Allah akulipe mema sheikh Muhammad bachu na akulinde na viumbe na shari zao,,,,
Mwaga maarifa Shekh Muhammad Allaah akuhifadhi na shari za walimwengu wabaya na waovu na wazushi na washirikina
Allah akupe afya njema na azidi kukuhifadhi sheikh wetu,ili uzidi kuelimisha wale ambao wametoka inje ya mafunzo ya mtume wetu Muhamad s.a.w
Shukran sheikh Muhammad Allahu Barik
جزاك الله خيرا
Qaul ya Maimamu wanne msimamo wao
1.Imam Abuu Hanifa khutba kwa kiarabu
2.Imam Malik kwa lugha ya mji
3.Imaam shafi kwa kiarabu
4.Imam Ahmad kwa Kiarabu
Uzuri ni kwamba ukiongea unatoa dalili , kitab sunna au ijmai,
Yahfadhka llah
Wallahi kuna mambo wanayafanya waislam yanaudhi sana
Shukran
Mashallah
Allah atujaalie ufaham ulio wa sawa atulinde na watu wazushi
Umesema kweli hayo n mambo yasiyofaa
Naam tuelimishe sheikh
Kwani Mungu ana sikia lugha moja tu?😢😢😢
Shida kwamba hao wengine kusoma vitabu kwao ni BIDAA PIA
KWA HIYO KWAKO NI SUNNA!!
WAKATI WA MTUME NA MASWAHABA HAWAKUPO WATU WASIOJUA KIARABU!!
KWA NINI MTUME ASINGESOMA KWA LUGHA ZINGINE KWA AJILI YAO!!
Wenye wakiambiwa waache bid'a hawasikii majuto yao ni siku watakutana na Allah
Kinachofanyika pale ni "kupenda mtumi" 😂😂😂, ni la kushangaza lakini, I can't even imagine the prophet pbuh and his sahaba doing something like that, istaqfurullah
JOPO LA MAULAMAA WA WAPI!!
Kinachoendelea sio kuwekana sawa kama ambavyo inadaiwa bali ni kuendeleza chuki ushabiki na mifarakano, kwasababu naangalia sana mtu anamkosoa shekhe wa upande mwingine na akikosea shekhe wa upande wake hamkosoi, halafu mtu anadai anafuata mwenendo wa wema waliopita siokweli,
Toa hadithi usitaje maneno ya mtu
Hahahahah mbona sunna ya khutba ya kiarabu hamuitaki namna hiyo
Uzushi wa ijumaa ya kiswahili ulianzishwa na bakwata katika miaka ya 1980 kipindi hicho ilikuwa ni kutaka kukienzi kiswahili na huyu bwana mdogo halijui hili na angejua kama ilikuwa ni mpango wa kumuenzi Mwalimu katika kukienzi kiswahili asingesema haya maneno jumaa ya kiswahili hakika haisihi na haipo ni uzushi wa bakwata katika kukienzi kiswahili.
Akili kisoda kakutoleya kitabu jopo la wanazuoni walikaa wakakubaliana kua hutba isomwe kwa lugha ya mji husika Basi na wewe toa kitabu bakwata walikaa wakasema hutba iwe kwa kiswahili 😂akili kisoda
Kwani alie vijaalia viumbe lugha si MWENYENZI MUNGU ?!!! Sasa iweje viumbe visimwombe kwa lugha zao?🤔🤔🤔
Hebu tueleze qaul ya maima wa 4 wanasemaje tujue, kwani wakati wa maswabaha niko na imani walienda inchi za inje kma Roma France na inchi zengine jee ijuma walikua wanasoma vipi khutba???
Hakika katika hili la hutba ya ijumaa kwa lugha nyingine yoyote Ile isiyo kuwa ya kiarabu ni mtihani mkubwa na hakika ni bidaa na nimtihani na ni uzushi mkubwa Tena uzushi mweupee
Lete Dalili ya madai yako
Mtu ukimsikia hivyo ujuwe ni mtu anapenda shirki au ni mwana bidaa. Na ndio Maana hataki watu waelewe wanachofikishiwa.
Ila she kusoma mbona hujamlad bado
😮wee kamshindwa mtoto wa kusoma,je atamuweza shekh kusoma mwenyewe 😅?
@@athumanikhamisi3377 Kwahiyo nawewe unataka aanze kujibizana na mtoto ambae hata mafua hawezi kutoa halafu tayar kashakuwa sheikh masufi mnachkesha sana Wallah.
Wewe bachu huna adabu kila sheikh wamradii tu .hata mtu akishuta utamradii
Umesikiliza alichosema kwanza? Sidhani ungenena hivi lau ungesikiliza hadi mwisho
Kuna baadhi ya watu wanataka umaarufu
Upuuzwe biidhnillah
So we broh hujaelewa chochote, zaidi ya kupata dhambi ya kumdhania mtu😂😂😂😂. So anatafuta umaarufu eeeeh