jaman wakati mwengine tuwe na heshima tujiheshimuni na mpaka huyo alokuazima hii laptop nae haya ndugu yngu wachukua laptop unaenda kuiweka kwenye banda la soko la kahawa huoni kama ni kuvunjia heshima makampuni ya watu
Hamuna lolote Lile hicho Chama sio chenu ni cha wazanzibar na wazanzibar wametoka Sasa nyinyi munagombana tuu c u f ilikuwa ya maalim seif sio lipumba Hafai amenunuliwa na c c m
😅😅😂😂 maalmu alwambia muka kataa
Hee hili tawi au banda la kuku
Kama wapo ktk banda la video, alafu hawazidi 10 nao wanatoa tamko
# kumanina zenu cuf ukisikia CFA ya mnyamwez ndio hiyo ngumu huyo kuacha madaraka lipumba anaupara km kikofia Cha askofu papa paulo😅😅😅😅
Mkutano waviongozi wasoko LA buguruni😂
Fukuzeni lipumba! Lipumba uongozi hajui
Nyam nyam😊
Siasa ni mchozo mchafu sijawahi kupiga kura wala kijiandikisha sijwah na sitowahi sipendi siasa ni ajenda za wazungu kutugombanisha
LIPUMBA NDIE MWENYE KITI ACHENI UZUSHI MSIVUNJE CHAMA KIKUBWA HICHO MGONJWA WEWE MROPOKAJI.
Ndiyo mnamjua leo na bado mtasema kamshindwa Al Marhoum Seif itakuwa nyinyi.
Hahahaha, nilijua banda la kuku kumbe ni ofisiiii?
Mmeona mitandao haiwazungumzi mmeamua kutoka na hii?? 🤣🤣🤣.Aliyekuazima laptop ana dhambi sana. Sijaelewa kazi ya laptop hapo.
LIPUMBAVU 🤣🤣🤣 OYEEE
jaman wakati mwengine tuwe na heshima tujiheshimuni na mpaka huyo alokuazima hii laptop nae haya ndugu yngu wachukua laptop unaenda kuiweka kwenye banda la soko la kahawa huoni kama ni kuvunjia heshima makampuni ya watu
Lipumba. Jina linatosha kujua ni mtu wa aina gani. PUMBA!
mnahadaiwa na tandu,kumbe wali ni mbichi!
Huo ndio mshahara wa zambi
Laana ya seif hiyo imewapata sasa wanabadilikiana wao kwa wao.
Mzee faki nakuona pemben
😂😂😂😂😂
Nyote ni wasaliti wa maalim seif mutavuna mulicho kipanda nabado
Mpaka mupigane ngumi
Haya bomu hilo lipumba wacha likuripukieni
Hahaha ndio mnajua leo mchana husema usiku huyo ndio profesa Ibrahim lipumba
Huyo lipumbavu sio lipumba ndio alietumika kuvuruga Kila kitu huku Zanzibar,laana zetu izo.
huyu mzee Lipumba ndio anailirudisha nyuma cuf yani akuli zake zimejaa matope tupu
Nachuma maftaha au??? Mdudu wa magu?
Hakuna cut fungeni mabanda yenu.
Yagujuu
Sasahivi ndomnamjua kama nimbaya
Wapumbavo nyie
C U F ILIKUWA NI CHAMA CHA PILI TANZANIA BARA KWA UKUBWA
porofesa lipumba bado yuko kuf
Hamuna lolote Lile hicho Chama sio chenu ni cha wazanzibar na wazanzibar wametoka Sasa nyinyi munagombana tuu c u f ilikuwa ya maalim seif sio lipumba Hafai amenunuliwa na c c m
Dead man walking. chairman
Sasa hapo ni office au maskani ya kahawa
Kwani Balau kankwenda wapi?????? au mushampiga pute Ukatibu mkuu weeeeeee
Balahau ndio nani 😂😂
Laana za maalim seif hizo zinawaangamiza