Nawapenda sanaaa JMC 💓💓,,, Mungu azidi kuwabariki kila wakati,,,,,, Tunaomba nyimbo zenu za album mpya muweke huku pia tuzipate jamaniii,,,, 💓💓💓💓 love from St.Don Bosco Choir-National Institute of Transport (NIT).
Mwisho kwa waimbaji wote kwa kumfuata mtiribu. Kwani free organ ya kinanda kwa kwaya ambayo haina jicho kwa mtiribu wangeimba mapema kabla ya mtiribu hajaashiria. Maziezi mazuri yamechagiza uimbaji bora
Sorry JMC! With due respect change the title of the video. Mass in never performed. Mass is celebrated and everyone who is in it participate fully. You could entitle your video: Ni Neno Jema by A Ngurumo ( During Mass celebration)
Mama wa kayamba namshukuru Mungu kwa kipaji chako unapiga kwa ustadi kabisa na kwa furaha
Hata kama nimechelewa kukubali lakini nimeukubali mtunzi hongera sana tena sana
Huu wimbo sichoki kuutazama na kuomba, Mungu awabariki, mmeimba vizuri sana kwakweli
Asante sana, endelea kubarikiwa Christian
Hakika ni neno jema kumshukuru Bwana. Hongereni kwa uimbaji mzuri. Natamani siku moja nishiriki Misa nanyi.
Nawapenda sanaaa JMC 💓💓,,, Mungu azidi kuwabariki kila wakati,,,,,,
Tunaomba nyimbo zenu za album mpya muweke huku pia tuzipate jamaniii,,,, 💓💓💓💓 love from St.Don Bosco Choir-National Institute of Transport (NIT).
Hongereni sana wanakwaya ya jmc
Hongereni sana kwa uimbaji bora. Ubunifu wa uimbaji wa mashairi ya kupokezana kati ya Suorano na Bass dah amazing
What amazing performance in the church... Ni neno jema kumshukuru bwana....JMC keep it up
Umahiri wa mtiribu na maelewano yake na mcheza kinanda na kwaya. Hongera
Hongereni Sana ndugu zangu 🙏
JMC Keep roaring you are the best 🔥🔥🔥
Thanks a lot JMC you did better in the Mass
Waaaaoh... Keep it up you are doing it passionately
Great song.barikiweni sana
Mungu awabariki sana inanikumbusha 1997 kwa mara ya kwanza nafundishwa wimbo parokia ya Bugisi
Tunafurahi na kumshukuru Mungu pamoja nawe@David
Nakuliimbia jina lako ee ulie juu
Safi sanaaaaaaa wapendwa 💞👏👏👏👏👏👏👏
Soft voices ....Bravo JMC👏👏👏
Mwisho kwa waimbaji wote kwa kumfuata mtiribu. Kwani free organ ya kinanda kwa kwaya ambayo haina jicho kwa mtiribu wangeimba mapema kabla ya mtiribu hajaashiria. Maziezi mazuri yamechagiza uimbaji bora
Mungu awabariki saana
Ni neno jema kumshukuru Mungu
JMC ni 🔥🔥🔥
Waapi Ngurumo
Nawapenda sanaa
Hakika ni neno jema kumshukuru Bwana
Wapiga chekeche mmecharuka ndani ya yesu hongereni nimependa
Umeonaeeee😂😂😂, si mchezo. Kumwimbia Mungu Raha sana😔😔😔
Amazing performance can I kindly get the score.
Najivunia kuwa mkatoliki
Utulivu wa mcheza kinanda na wapiga ala za ngoma na kayamba ni eneo jingine la kupongeza
Neno neno jema
Katoliki Raha sana
Nyimbo za katoliki zinaraha yake
Nani ako na kanda ya huu wimbo. Inaitwa Michael Ngoroka funeral
Good
Can i get the music notes for my choir here In Nairobi
Write words on the screen please
Noted @Salome🙏🙏
Sorry JMC! With due respect change the title of the video. Mass in never performed. Mass is celebrated and everyone who is in it participate fully. You could entitle your video: Ni Neno Jema by A Ngurumo ( During Mass celebration)
Thank you John for clarifying
Organist alikuwa hajasolve bet 😂😂😂nimesikia kachoma ila nzr
🤣