my favourite song ❤❤❤❤ ...its melody..step zake xx...hizo saut zilivyotulia...huo ujumbe nd balaa.....ticha Daimo uliua ...huu wimb n Best of the best😘😘😘🥰🥰🥰🥰
Nawapongeza sana walimu LI THE GREAT,OBI THE DON,CHRIS P,CHRIS THE OPERATOR,NANDES ,Baba lao EDSON MWANJUSI na uongozi wa K.K.K.T SINAI,MBEYA.kwa kuwapenda na kuwatunza watoto.
This is where i came from and i will never regret in my life that i was the part of the kid's dat sing . worship and praise for the LORD JESUS CHRIST.. Cz to be honest i am feeling so grateful to be part of that.... 😅😅😅 sema mm nilikua uwaki betheli lkn
Ushukuriwe MUNGU YEHOVA ULIYE HAI,kwa kutufanya leo tutimize miezi miwili tangu kuweka wimbo huu youtube.BWANA YESU uzidi kututia nguvu katika kuitenda kazi yako.utubariki kwa maandalizi ya video zinazokuja.Kama unapenda kuona video nyingine za watoto hawa,usisahau kusubscribe,kulike na kushare INJILI IENDE MBELE.
I can't stop to watch the little young lady in front. Glory to God. Nawapenda sana. God bless you. I want to know if you do have only this song on TH-cam tube?
thanks louise mugisho we have some other songs that we shot in 2015.we have uploaded some of them. You may find them in the site UWAKI SINAI by the name of SIRI NZITO,HAPA KAZI TU,AHSANTE etc. And soon if Our LORD GOD wishes we will upload a new song.
my favourite song ❤❤❤❤ ...its melody..step zake xx...hizo saut zilivyotulia...huo ujumbe nd balaa.....ticha Daimo uliua ...huu wimb n Best of the best😘😘😘🥰🥰🥰🥰
Blessing is your portion me and my house we real watch this so many times...from Arusha
Thank you so much Magdalena Kibonde
I can't stop watch this video
Thank you so much Sir
Ashukuriwe MUNGU aliye hai kwa kutupa nguvu za kuifanya kazi hii.Pia shukrani kwenu watazamaji wa video hii.
My watoto Mungu awabariki watoto wangu wazuri...mimi mwl ibra wa isanga nawatakia baraka za Mungu zaidi na zaidi...nawapendaaaaaa
Nimesubscribe tayar
Namimi nimebarikiw San na wimbo hu sicoki nakuwusikiriza kwakweri Mung wa mbinguni awabarik sana
AMEEN MUNGU AKUBARIKI PIA
Nakuona Falaja Mdogo Ang Dada Wa fulaa dh l San
Safi
Mpo vizuri sana MUNGU awasaidie
Pongezi kwenu mpo good sana
MUNGU aendelee kukuza kipaji na pia awasaidie walimu wao awakumbuke pongezi Sana mnavuta watu kwa Mungu
Amen tunashukuru sana
@@janethchristopher3995 gugfb x
Mungu awabariki awaondolee vikwazo vyote by tumaini Sinai uwaki
Nawapongeza sana walimu LI THE GREAT,OBI THE DON,CHRIS P,CHRIS THE OPERATOR,NANDES ,Baba lao EDSON MWANJUSI na uongozi wa K.K.K.T SINAI,MBEYA.kwa kuwapenda na kuwatunza watoto.
Mungu azid kuwabarik na kuwashika mkono kwa kufanya kaz ya mungu bila kuchoka wanafunz wang nawapenda wote
This is where i came from and i will never regret in my life that i was the part of the kid's dat sing . worship and praise for the LORD JESUS CHRIST.. Cz to be honest i am feeling so grateful to be part of that.... 😅😅😅 sema mm nilikua uwaki betheli lkn
Tuko pamoja Joackim Mbonde.betheli na sinai ni mtu na mwanae
Ushukuriwe MUNGU YEHOVA ULIYE HAI,kwa kutufanya leo tutimize miezi miwili tangu kuweka wimbo huu youtube.BWANA YESU uzidi kututia nguvu katika kuitenda kazi yako.utubariki kwa maandalizi ya video zinazokuja.Kama unapenda kuona video nyingine za watoto hawa,usisahau kusubscribe,kulike na kushare INJILI IENDE MBELE.
Nawapongeza Sana walimu wa Hawa watoto MUNGU awabariki
Mungu aendelee kuwatumia kufanya kazi yako pongzi kwa daimo na walimu wote mbarikiwe
AMEN MUNGU akubariki pia
Amen by felm
Nmebrkiwa
Kumekucha makamanda
AMEN,Tupo pamoja wapendwa katika kuhakikisha injili inahubiriwa ulimwenguni kote
Walimu MUNGU awabariki Sana kwa kuwafundisha watoto mpaka kutoa kazi nzuri MUNGU awabariki sana
Ahsante tunashukuru sana.MUNGU AKUBARIKI PIA
Mungu awabariki sana ndugu zangu,Innocent hapa!!
Amen ahsante sana Innocent
@@uwakisinai2873 Amina
Mnafanya kazi nzur ya bwana inapendeza mung awabrk
AMEEEEN
AMEN,Nawe pia Grace Mwakaje
Mungu awabariki kaka na dada zangu
AMEN,Nawe pia MUNGUB AKUBARIKI
I can't stop to watch the little young lady in front. Glory to God. Nawapenda sana. God bless you. I want to know if you do have only this song on TH-cam tube?
Uwaki Sinai wameachia wimbo mwingne
Mungu aendelee kuwatumia katika kumtumikia yeye, Hakika kazi yenu sio bure Mbarikiwe sana sana tunasubiri kazi zingine
Hongera mume wake lulu kwa kazi nzuri.... MUNGU akubariki wewe pamoja na timu yako
Uwiii Mirah we kiboko
Ongeren kwa kaz nzuri
Tunashukuru sana MUNGU AKUBARIKI sana
mpo vzr Mungu awabariki mfanye zaidi ya hapo
Nimependa sana
Nice watumishi wamungu mungu azidi kuwapa wepesi
AMEN tuzidi kuombeana
Kiukweli nyimbo ni nzuri sana ongereni sana wototo
tunashukuru😘😘😘
Wimbo hauchoshi . Tuwekeeni nyimbo zingine jaman
usijali mpendwa tumeshashuti wapo kufanya editing ya picha na rangi
Mungu azidi inua vipaji vya wadogo zetu
Uje na ww asa chrstina
Nikashoot tena na mm
Hongera sana
Very impressive
Mwalimu umeuwa
MUNGU MWEMA, Na sisi tunajitahidi kuihubiri injili
mungu awatunze
Amen , Nawe pia mtumishi
@@uwakisinai2873 Amen
Mbarikiwe
AMEN,Tunashukuru nawe pia
@@uwakisinai2873 hey. Mubarikiwe sana. Nice song,do you have only this song on TH-cam
thanks louise mugisho we have some other songs that we shot in 2015.we have uploaded some of them. You may find them in the site UWAKI SINAI by the name of SIRI NZITO,HAPA KAZI TU,AHSANTE etc. And soon if Our LORD GOD wishes we will upload a new song.
Mungu awabariki
AMEN
good
❤❤
Al
😍😍
so good
🎉🎉🎉
mungu awabariki