Vijana Jazz-mpenzi Tabu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 6

  • @MaullidSaid
    @MaullidSaid หลายเดือนก่อน

    kaka eddy naomba Wimbo wa juwata jazz shida mpaka lini akiimba mbwembwe na mosh nimetafuta sana

  • @brownee20007
    @brownee20007 4 หลายเดือนก่อน

    Ahsante bro...

  • @brownee20007
    @brownee20007 4 หลายเดือนก่อน

    Unayo Lumbesa....vijana jazz

  • @rehema4871
    @rehema4871 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba unitumie tena Kobe - Shakila

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 4 หลายเดือนก่อน

    Asante mno ni mpenzi sana wa vijana jazz asante kwa wakati uliomwema mtu wa mungu inshallah uzidi kutuletea burudani

  • @suleimanjabir827
    @suleimanjabir827 4 หลายเดือนก่อน

    Brother, Eddie Nassor ahsante sana kwa kutuwekea hivi viti adimu na adhimu. Kwa kweli ilikuwa katika miaka 80's. Kinanda cha Hassan Show kinanikumbusha mbali sana. Mungu azipumzishe kwa amani roho za wenzetu wote waliotangalia.