Mimi na wanangu wote nimeeamezesha hii bendi ya Msondo Ngoma, wanaipenda mpaka basi hizi nyimbo ni safi kusikiliza zina jumbe tosha mbali na burudani wacha msondo kitambi sana tangua Juwata hadi msondo ngoma 20 Feb 2022.
Hii nyimbo kila siku nikiickilza namkumbk rafk yangu kipenz zakia juma much lv popote ulipo najua ipo cku utaiyosoma hii coment mana unaipenda sana hii nyimbo rafk
Bendi ipo na baadhi ya wanamuziki bado wapo mfano Karama, MNG'ANDE, MUSTAFA KHAMIS PIShuu, Abdi ridhwan totoo, ZAHORO BANGWE, URUKA UVURUGE, IBRAHIM KANDAYA,KHAMIS MNYUPE
Mimi na wanangu wote nimeeamezesha hii bendi ya Msondo Ngoma, wanaipenda mpaka basi hizi nyimbo ni safi kusikiliza zina jumbe tosha mbali na burudani wacha msondo kitambi sana tangua Juwata hadi msondo ngoma 20 Feb 2022.
Hii kalama uliua! Naona mpaka shemeji yangu Tx anatupa mikono kwa furaha Ujue c mchezo!
Hawa jamaa wanajua sana burudani yao inaeleweka sana,
Umesahau nini kwangu mimi
Hii nyimbo kila siku nikiickilza namkumbk rafk yangu kipenz zakia juma much lv popote ulipo najua ipo cku utaiyosoma hii coment mana unaipenda sana hii nyimbo rafk
nyimbo yangu bora miaka yote
2025, inaishi
Kanyoa kibwenzi🤣🤣🤣🤣hyu muimbaji noma ila video kali
Hilo ndio fundisho kwa watakaokuja,wape haki na heshima sawa
Naitwa Paul mwalupindi moshi alikua anachora sana uyu MZEE yan km alinitungia mm dar kuna rafik yang ananitesa San yan
Muziki yaw2 wakubwa ahsante
Wasiia mzuri sana
Sitaisahau hii nyimbo nimeitazama leo tarehe 15/3/2020 Mimi Joseph chelango ikumbukwe milele mungu walaze mahali pema marejendali hawa
Kalama Legesu huyoo bana mwanaMwanga
Msondo hii ilikua sio ya kitoto maana mashaili yalipangika
Naiskia sauti adimu na utunzi bora kabisa kutoka kwa gwiji karama regesu mwana mwanga tanzania 🇹🇿
Kwakweli fundisho kwa wengine
Kula chuma hicho ❤
Hao ndio wanawake hongera sana karama ingekuwa enzi ya music WA kweli ungepiga hela sana ila cku hiz wanataka nyimbo za matuc bas
Asante msondo kwa burudani hii tamu! R.I.P wote mliotangulia mbele za haki.Wimbo uwe unapigwa na redio zetu zote,kutukumbusha funzo!
Huu ndio mziki hasa
Wimbo huu una ujumbe mzito kwa wanawake wanaowanyanyasa waume zao.
Hata wanaume pia
dunia inapita kwa haraka sana ndugu zangu, tustuke tujiandae na safari ndefu iko mbele
Huu ndiyo muziki vyombo vinasikika siyo makalele ya mix za computer
Eeeeeeeeehhhhh mungu weeeeeeeee Tx Moshi William,Muhidin Gurumo,Joseph Maina walaze pema peponiiii
Ila huyu jamaa anatuibia Mimi mtunzi sijampa ruhusa ya kuingiza kazi yangu you tube
Xaaana hii nyimbo ina ujumbe mzito xana nackiliza leo trh 19/2/2020
Niliangalia ngoma hii (19-8-2020) zilipendwa yaani mimi napenda kuskiliza redio znz unazipata hizo
Sintaisahau nauangalia mm cathy kutoka manyara tarehe 22 mwezi wa 6 mwaka 2020 nakwambia ukweli japo masikini ctaki kunyanyasika
Nyimbo kama hzi mtu huchoki kuskiliza ujumbe murua
iko vizuri sana hii nyimbo
brown baraka m
Hii nyimbo mm Jogoo kutoka Buza naisikiliza leo tarehe 24 /4/2020 Mungu awalaze mahali pema awa wazee wetu
jumbe kaimba sana
Lala kiba.
Mzuri sana
Ivi ichi kikundi mpakasasa bado kipo maana sijakisikia toka moshi afariki inaniuma sana , naipenda sana hii bend jamani.
karibia wote walikwisha tangulia mbele za haki. nadhani amebaki mmoja tu huyo anaepiga tarumbeta, bonge huyo
mwenye tishirt kubwa nyeupe
Bendi ipo na baadhi ya wanamuziki bado wapo mfano Karama, MNG'ANDE, MUSTAFA KHAMIS PIShuu, Abdi ridhwan totoo, ZAHORO BANGWE, URUKA UVURUGE, IBRAHIM KANDAYA,KHAMIS MNYUPE
Ni ujumbe mzito
Unanikumbusha mashungu karama Regesu yanitikumba wengi
Angetulia Msondo angefika mbali
School
W
Hui nyimbo ipo juu
Uwape haki na heshima sawa uachee kuwadharau daah naangalia hii ngoma leo 07/11/2019
Vitu adimuu
2020 niko hapa
Namimi naicheki 2020 zinamafundisho sana
Daah Old is Gold - 18 Dec 2021
Safiiii
Karama Regesu in high pitch & rythimic voice ni MOTO
huyu karama regesu yuko wapi? nijuze tafadhali.
Nasikiliza leo fundisho 05/02/2020
True life story
17-09-2019 Karama Regesu
03-03-2020 nikiangalia ilipendwa%
Á
Fantastic....
Yaaap nice
saf nyimbo mzuri xaana
huyu jamaa anayeimba sauti kabla wengine hawajapokea kijana ambaye siyo moshi tx ni nani? ana sauti ya dhahabu.
Huyu ni Mimi Karama regesu
@@karamamzuzuri5530 hongera sana. uko vizuri. Keep it up Karama.
Anaitwa karama regesu
Kalama legesu
Nimeitazama Leo naitwa Abdallah Jumbe mungu awaweke AWA wazee 16/02/2021
In u
2021
Nasikiliza
😭😭😭
Now naskilza saa 10:10 tarehe3/7/2019
Sawa Iwe fundisho Kwa wwngine '
Mapenzi heshima si dharau na kutwezana litakuja dumu au kuaguka ,chunga ulimi no sumu
Bonge la nyimbo
😊0o
19-9-2019 rip Tx moshi William
Ah!!!!!kalama regesu ,ingine kama hiyo vp?
Ingine iangalie ktk Chanel yangu ya Karama regesu you tube huyu sijampa ruhusa
Old is gold 🎼😍
Danlod