Sasa moto ulijiwasha au uliwashwa mtuweke wazi tu, sio kuficha mualifu , maana ataendelea na ujinga huo, inatia huruma sana kupoteza watu wasio na hatia, specially mtoto mdogo labda angelikuja kua mtu mwenye heshima kwenye ukoo wetu wa wabembe , tunauwana Sisi kwa Sisi tu, Poleni sana ndugu jamaa na marafiki, kwa msiba huu umegusa kila mtu mwenye roho ya utu 😭😭😭🤦🏽🤦🏽🤦🏽😢
Inasikitisha sana, kakangu pia amefariki kwa iyo ajali inaumiza sanaaa, pole kwa familia zetu zotee😢😢
Congo Rwanda Burundi Tanzania Kenya America witch uchawi.
Poleni sana
Hiyo nikweli
turudiliye mila ,mila,mile
Mamakarunguza nyumba akajiwiwiya 😂😂😂😂😂😂😂
Poleni sana kwa msiba huu
Mmmmmm poleni kwa tatizoiyo kwakweliii!!!!
Asante mungu akubariki
😢😢😢😢😢😢 pole sana ndugu zangu
Sasa moto ulijiwasha au uliwashwa mtuweke wazi tu, sio kuficha mualifu , maana ataendelea na ujinga huo, inatia huruma sana kupoteza watu wasio na hatia, specially mtoto mdogo labda angelikuja kua mtu mwenye heshima kwenye ukoo wetu wa wabembe , tunauwana Sisi kwa Sisi tu, Poleni sana ndugu jamaa na marafiki, kwa msiba huu umegusa kila mtu mwenye roho ya utu 😭😭😭🤦🏽🤦🏽🤦🏽😢
Duh Niatari kweli 😢😢😢😢
Poleni sana ndugu zangu kwa msiba mkubwa sana
Chanzo cha moto ilikuwa ni nini?
Eee mungu bariki family hiyo
Mungu awe mfariji wafamilia zote namarafiki
Uchawi to mimi najuwa
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mungu afariji familia nzima
Wabambe kwa uchawi mupaka uko ata aibu amuna😂😂😂
Wame ilunguza aye
Polenisana inauma sana 😭😭😭😭😭😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mwanaume ni kichwa kabisa.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Turudishieni mila yetu ilitujenge nchi yetu
😭😭😭😭😭poleni sana kweli 😭😭😭
😢😢😢😢this hurts 😭 😭
😭😭
RIP
😭😭😭😭😭😭
Duuhhh💔😫
😢😢😢😢 R I p
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😮
R.l.P
😢😢😢😢😢😢😢
Hiyo nikweli bila upendo na amani nibure kabisa inatikitisha nakutia ahibu
Talk in swahili so that we can understand
Wame hunguza nyumba yao wenyewe kisha wana kuja heti tuwasaidiye.
Kaa kimia wewe
Uko nazungumza nn ww mjinga😢
Una nini cha kusaidiana wewe....
Mamakarunguza nyumba akajiwiwiya 😂😂😂😂😂😂😂