Shida zishamalizika zoote zinabakia kutoka toka tuuu Hivyo sehemu hizo zitaanza kuonekana ila sio sana Mtuie radhi kwa hilo next project tutalifanyia kazi hilo
Great start wallah Keep up the good work Ila just one thing: punguzeni kinembe coz you have fans all over the US na hawajui kibembe wengi wao Otherwise you’re doing good I’m impressed ❤❤❤❤
You can’t say pungunzeni kibembe, cz kibembe is our first languages plus swahili, and most of people who are watching this movies are Congolese 🇨🇩 and most of them understand kibembe and they can speak it, also some of them understand but they can’t speak it, so it’s better to use both languages, Swahili and Kibembe.
Okay so people like us who are not ba bembe and watching what should we do if they only speaking ki bembe? Put subtitles so we can all feel engaged 🤷🏾♂️🤷🏾♂️
This movie don’t make any sense 🙄hatakama nimapenzi Ndo utume 1k kwa mtu sie juwa jifunze umpya hatakama humujuwi how muli aza ku communication? Acha kutufanya sisi wajinga
Usha sikia mapenzi ivo ina manisha ya wezekana, kama gisi una weza penda mtu kwa sim ana kuacha amuja onana Lkn una umia zaidi ya mwaka… mapenzi ni isia na siyo mtuh….
❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂 daaaa
Mm na kukubali sana ku Toka kenya my brother
Wakwanza ni Mimi naomba like zangu🥰🥰
Mama zabibu Ayupo serous na Aksheni yake Dr kuwa mkn nahuchunguz ilaniseme kz njema 🙏. Ørg Vumah Ælingø the DJ hapa🎉🎉🎉🎉.
Vizuri sana kabisa
DJ Ælingø Ørg Vumah 🙄 🎉🎉🎉
All the best guys mnaweza sana ila lafuzi ya kiswahili kidogo I'we clear mumeishi sana tz mengineyo mumepoa
Hongereni saaaan tupe mwendelezo
Iyeeeeeeh 🤕🤝 mda woseeééé Alingo napita nayo🎉🎉🎉.
Seen by Director Sebastin NIMEIPENDA iyi 🤝🤝
Shanti na da Rachel good job girls bravo 👏 🙌
Masia single boy 😁
Nitalipa hiyo hinga
Muko sawa lakini munarefusha movie kwakujitambulisha punguzeni ile mutaonekana amubijuwi
6 days imehenea toa movies bro African tunasubiri
Leo nilazima
@@rajabummeoramsey nakutegemea kaka leo silali bina kuona iyo movis
Jamn adi raha kweli sema ni vile niko mbali ninge jiunga na ili kundi kweli mungu awa bariki
Nishamuona Suzanne 😅😅😅hule mtoto ni kisu cha Daudi❤
Hongereni sana,lakini mshakawiya kutowa zingine mnatuhacha naupweke jamani letenivitu tuone tupomakini kusubiri.
Kali sana kbs 💯💯❤❤🙌🙌
Piga colabo na wasani Kenya kambini ndungu yangu rajabu
Vinaja kazini kali sana Hii 🔥🔥🔥, ila Ramsey husisahau Kuna Jela 🤪
Director Khasi seen
Great job 🎉
Next part musionyeshe onyeshe mapicha yenu Kati kati ya movie plz mwanzo tu inatosha Hongereni kwa kazi nzuri ❤️❤️
Shida zishamalizika zoote zinabakia kutoka toka tuuu
Hivyo sehemu hizo zitaanza kuonekana ila sio sana Mtuie radhi kwa hilo next project tutalifanyia kazi hilo
❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊
Jmn this movie ❤😂
Next episode please Shanti ananifuraisha
Muko vizuri sana nimehipenda hii stor
❤❤❤❤nakubali sana mwamba dah hâta Congo tunaitaji kundi kama iyo
More episodes>>❤❤
See by director El mika
Seen by Mjenzi Ally
Jamani kuna watu wanawafatilia lakini Hawaelewi mnachosema kwa lugha hiyo kama mimi hapa
Tunatakaga kuhigiza kwa kiswahili ila mimi umoja hapa hua nikipengele🤣 ila tutajitaidi next time
Wow nimeipenda sana kweli ❤❤❤👍
Movie iko powa sana❤❤❤❤
Yani movies nizuri jmn tunasuburi part 2
Top 1❤❤❤❤❤
mmeanda movie kali sana mpaka nimeangalia so kazi ndogo afu mbaya mmeikata vibaya sijapenda
great job 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Movie ni nzuri sana ❤
❤️❤️good movie
Nitamu sana ❤❤
Next episode guys❤❤❤
Nilituma elfu Moja daah mm siwez 😂😂😂 na weka video nikuone akakata😂😂
To be continued
Nice nzuri sana please mupost zote leo leo
Siska uko sawa nana❤
Mapemaah Dezy kaona 🎉❤
Nimoto kwel
🎉🎉🎉 napitaga chapu chapu Mr Ælingø Ørg Vumah 💪🤜
Big up sana
Tuna helewa 😂❤
Mmeo kiswahili ilimsumbuwa sana ndomana katuma 1000$😂😂😂
I really like it
Bonge moja la movie ❤️❤️❤️❤️❤️💪💪💪💪💪💪
Thank you
Hongera sana rafiki
I like this one❤️
Kaz ya bien❤
Nice
Next episode nakuja ndani
Kwa ss movie inaelekea vizuri
Thank you
Napenda sana
🎉🎉🎉hongereni sana 😊
Good job 🎉🎉🎉
Congratulations 🎉🎉❤❤
Kazi Nzuri sana ❤❤❤❤
Big moj ya movie
Hii movie iko good sana
Kali sana hii mpaka raha
Fire 💣💥 courage jeunesse bembe.
Acha mambo ya dunia Yana pita utakufa autaenda na kitu
Kwaiyo nisifanye kazi ??
Ongereni saana kwa kazi hii
Fire 🔥
Poa ❤❤❤❤❤
Nahifike mbali 😅
nakukubali sana
Ale wane me movies
Hongera sana mtumishi kwa mafundisho yako kupitia movie
Amena pst wangu
❤❤👌👌👌🥰🥰
Great start wallah
Keep up the good work
Ila just one thing: punguzeni kinembe coz you have fans all over the US na hawajui kibembe wengi wao
Otherwise you’re doing good I’m impressed ❤❤❤❤
You can’t say pungunzeni kibembe, cz kibembe is our first languages plus swahili, and most of people who are watching this movies are Congolese 🇨🇩 and most of them understand kibembe and they can speak it, also some of them understand but they can’t speak it, so it’s better to use both languages, Swahili and Kibembe.
Ety kutafuta ma points 😅
🎉
Okay so people like us who are not ba bembe and watching what should we do if they only speaking ki bembe? Put subtitles so we can all feel engaged 🤷🏾♂️🤷🏾♂️
❤❤❤❤❤❤
Alebwa falanga 😂😂😂
Musitukawize ya 2
Frl
KBs
😂😂
😂😂😂
𝐖𝐨𝐰❤️❤️❤️🎉🎉🎉
Why do y’all speak kibembe in movies jnm English ama Swahili is enough 🙄😭😂😑😏😏y’all don’t need to show that y’all are really African jmn😢😭😏
This movie don’t make any sense 🙄hatakama nimapenzi Ndo utume 1k kwa mtu sie juwa jifunze umpya hatakama humujuwi how muli aza ku communication? Acha kutufanya sisi wajinga
Usha sikia mapenzi ivo ina manisha ya wezekana, kama gisi una weza penda mtu kwa sim ana kuacha amuja onana Lkn una umia zaidi ya mwaka… mapenzi ni isia na siyo mtuh….
❤❤
❤❤❤