EXCLUSIVE - AZIZ KI amtelekeza mtoto wake? Mama wa mtoto (VANESSA) afunguka haya baada ya hili zito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 57

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 10 วันที่ผ่านมา +3

    Masha Allah ❤❤ Apo kwenye kumuweka faragha kwa sura na jina la mtoto, tupo psmoja 🙌👏🫶

  • @allymaranya
    @allymaranya 10 วันที่ผ่านมา +6

    Aziz k uyo mobenga piga chn bwana

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 10 วันที่ผ่านมา +1

      Piga chini huyo wako kama ampendi je maana ajawahi kusema kama kazaa na ki ata akiulizwa asemi i

    • @michelinemapendo6652
      @michelinemapendo6652 10 วันที่ผ่านมา +1

      Kabisa😢😢😢😢

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 10 วันที่ผ่านมา +1

      Hamisa mwenyew apendi vurugu angeshampiga chini zamani sema anaona haya uongozi wa yanga

  • @yusrairakoze3966
    @yusrairakoze3966 9 วันที่ผ่านมา

    Wana wake wenzangu acheni shobo kwa wachezaji mana wachezaji hawatabiriki ukimshobokeya matokeyo yanakuwa hivyo sasa ndo wengine mjifunze kwahiyo msimsingiziye hamisa hahusiki ni yeye na mzazi mwenziye wakaye wajadiliyane kuhusu mtoto kwa sababu naona kunatatizo linaweza kuwa limetokeya kati yawo ila hamissa mumkome mwanaume anaenda anapo pataka

  • @amosithomas4714
    @amosithomas4714 9 วันที่ผ่านมา

    Hawa ni wasanii tu kwaio msiendeshwe na hisia kulaumu kwa kusikiliza upande mmoja unaweza kuta mtoto anahudumiwa ila anaamua tu kufanya makusudi mimi kiumbe kinacho itwa mwanamke sijawahi kuvielewa kabisa hawaeleweki hawa

  • @SephMkondokaya
    @SephMkondokaya 10 วันที่ผ่านมา +9

    Wanaume tunapitia mengi na hatuna pakusemea.kunatatizo mahali aziz ashindwi kuhudumia mtoto.

    • @Lifestyle-x7e
      @Lifestyle-x7e 6 วันที่ผ่านมา

      Tatizo si hamisa

  • @ramamabinda5063
    @ramamabinda5063 10 วันที่ผ่านมา

    Huyu mwanamke, aliwahi kukanusha kutoka na aziz ki.
    Wanawake wengi ni wapuuzi sana.

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 10 วันที่ผ่านมา +5

    Hamisa sio sababu ni huyo mwanaume mwenyew labda kuna kitu wamefanyana maana hamisa ni single mother anajua uchungu

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 10 วันที่ผ่านมา +1

      Hamisa chombo ya boss sio Aziz

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 10 วันที่ผ่านมา +5

      Toka lini Hamisa anauchungu na mwanamke mwenzie?kwa Zari ilikuwaje?

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 10 วันที่ผ่านมา

      ​@@reynaaalrawahi4137kwa boss ilishaisha kidanganye

    • @maryamm7765
      @maryamm7765 10 วันที่ผ่านมา

      Na yey mbona amumuonei uchungu alivyochukuliwa majizo na kichanga

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 10 วันที่ผ่านมา

      @maryamm7765 ungejua majizo hakuwa wake alimkwepua kwa dada mmoja alikuwa rafiki wa Wema matokeo yake analipwa na yeye

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 9 วันที่ผ่านมา

    Mtafuten n Aziz k muhojini

  • @HalimaKassim-yz3we
    @HalimaKassim-yz3we 10 วันที่ผ่านมา +12

    Tatizo umewahi kujiachia ukizani ukimzalia ndio atakupenda sana alikua nimgeni ndio mana lakini alikua sio chaguo lake wew pambana

    • @stellahlinusi8215
      @stellahlinusi8215 10 วันที่ผ่านมา

      kabisa

    • @MalaikaBright-rv6yb
      @MalaikaBright-rv6yb 10 วันที่ผ่านมา +1

      Ila😢😮😮😮
      Ifike mahala tuziongoze hisia na fikra zenyewe kutuongiza hasa sisi ma she .... Kha,,,was it necessary......

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 10 วันที่ผ่านมา

      Mwacheni dada wa watu kwani yeye wa Kwanza,?

    • @fatumajumaa7050
      @fatumajumaa7050 9 วันที่ผ่านมา +1

      Angemuacha mwanamke na sio mtoto
      Mtoto alipaswa kumlea tu vzr,

    • @MecklinaVictor
      @MecklinaVictor 9 วันที่ผ่านมา

      Wewe pia ni mwanamke Tema mate chini

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 10 วันที่ผ่านมา +1

    Kwa hayo mapoz nani atakupa kazi

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 10 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂

  • @abiaslimadyanse1842
    @abiaslimadyanse1842 10 วันที่ผ่านมา +5

    Shobo ndo ilimponza huyo Bibie alijiwahi kumzalia mtu bila hata kufikilia 😢

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 10 วันที่ผ่านมา +2

      Ila ukwel utabqk pale pale n damu yake

    • @abiaslimadyanse1842
      @abiaslimadyanse1842 10 วันที่ผ่านมา +1

      @FatumaJumanne-p4d ndio manake

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 10 วันที่ผ่านมา +1

      @@abiaslimadyanse1842 Tatzo mukpendwa n shda mukpuunzwa n shda .

    • @hopefully7090
      @hopefully7090 10 วันที่ผ่านมา

      Wangapi mnazalishwa mnaachwa na wabongo wenzenu?

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 10 วันที่ผ่านมา +1

      @hopefully7090 Hapo knachoonekana yy n tamaa imemponza ila kuna weng upendo una2ponza.

  • @allymagwesi2147
    @allymagwesi2147 10 วันที่ผ่านมา +2

    First

  • @ibramapesa4246
    @ibramapesa4246 10 วันที่ผ่านมา +3

    Tatzo mkiwa na mahusiano tuu mnakimbilia kubeba mimba hata humshirikishi mwenzio

    • @AishaMohamed-q3l
      @AishaMohamed-q3l 10 วันที่ผ่านมา +1

      Hapo sasa

    • @AishaMohamed-q3l
      @AishaMohamed-q3l 10 วันที่ผ่านมา +2

      Wanawake tutafuteni pesa

    • @JanetAhmad-v3h
      @JanetAhmad-v3h 10 วันที่ผ่านมา +1

      huo njo unawaponza sasa

    • @NemaAli-zh6hr
      @NemaAli-zh6hr 10 วันที่ผ่านมา +3

      Kumshirikishaje yani alivyomwagia ndani, nini alitegemea

    • @AnkarafashionstylesChannel
      @AnkarafashionstylesChannel 10 วันที่ผ่านมา +1

      Haya Mambo ni kukubaliana kuliko kukutwa na Mambo Kama hayo

  • @SophiaShabani-ov9ev
    @SophiaShabani-ov9ev 10 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂