Ruto ateuwa mawaziri 11 | Kindiki, Duale, Wahome, Soipan na Chirchir warejea tena
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
- Rais William Ruto amewapendekeza mawaziri 11 katika baraza lake jipya la mawaziri huku akiwarejesha mawaziri sita waliotimuliwa. Profesa Kithure Kindiki atahudumu katika wizara ya usalama huku Aden Duale akirejea kwenye wizara ya ulinzi iwapo bunge litawaidhinisha
Rais Rutto ataendelea kupanda miti na Soipan Tuyaa😂😂😂
Viva Letoo😂😂
Very ready for tuesday
Continue
@@user-er7bo8fh6f Naona pressure ikiongezeka
Me too
Munaaribu mnchi ikue Ka Sudan yenye Aina uchumi yeyote ....wait 2027 upige Kura yako
My eyes were on Duale and Kindiki am happy that they back.
Pres.Ruto must Elect Youths Z to the CABINET to Represent the Youths in the Affairs of Kenya ❤
hii ndio ufala we want to erase ,awe kijana ,mzee haijalishi kama system ni corrupt
wabunge chungeni msirudishe genz barabarani tena mtolewe mbio! hiyo list ni mbovu
Mwenye nguvu mpishe tu.
Let's focus on the things above, 'pure and noble'.... ya dunia yatapita. Focus on the Cross and you'll find peace that exceeds human understanding.
Sasa kwa nini aliwaondoa kama tena anawarudisha kwenye nafasi zilezile? Upuuzi tu.
👏
Akili yake maji😅
We expected new people,new faces.... this president doesn't know what he's doing at all
Mbwa yeye
They were escorting their fellows, did you expect Duale kindiki Alice chirchir to go anywhere far from cabinet,I also have a strong feeling murkomen is not going anywhere
Wuee, I feel for the blood that has been shed
All Robbers are back 🤬😠😡
kama nani hapo
But their chief is incharge
Pastor ng'ang'a itakuaje na alikuwa amefurahi kindiki ayuko
@@josykogei7647 Aki tena
No comment! Just Shocked!!
Let's meet at the streets
to do what...none of those are bad
Better watu wawe Road mpaka aeleewe
@@timothykinoti7768how do you know?How can he even dare to nominate a running mate of machogu again
@@timothykinoti7768 😂😂 jingazzzzz
@@timothykinoti7768non are bad?!
God bless you now I was praying you to get the cabinet back pishop Manasseh
Bure kabisa siungewaacha tu mpuuzi ww
Remember no person is indispensable. 🇰🇪Kenya continues.
Waaa kenya mungu tu
Nmekubali uyu jamaa amechanyikiwa nka io ofisi haikua yake😂
Watu waambiwa ba hatukuwa makini
Hii ndio atashindia hadi 5years
Wapi tunaelekea jamani yaan hao waliokosolewa leo hii wanarudishwa tena,naona pressure ikiongezeka kwa gen z
Please let's not criticise everything
What do you expect @@ruthkarimi2646
@@ruthkarimi2646 Ata kama ila huwezi tenganisha chui na mbuzi halafu uwaeke pamoja tena unahisi kutakua na usalama kweli?
Let Parliament approve them if they are good to go but if NOT home they Go! Over to you Parliament!!!
Most of social media platforms they don't approve president appointment. Instead of waiting Tuesday and address Nation on Wednesday. Just withdraw those names n check temperature again
Congratulations 🎉
Eti congratulations ...ebu vijana salimieni hawa..
😂😂😂😅@@rizikimwakumanya8122
Useless kindiki and duale
Muuaji
Mbona hakuita both Azimio leaders and UDA ndo wachaguane nusu bin nusu?..yy ni na anachagua peke yake?
Did Stephen letoo said Rais Ruto ataendelea kupanda miti na Soipan Tuya😂
huyu mtu ni wazimu
I was watching kindiki and nduale..I'm so grateful. My prayers answered
I'm with you 💯😊
Noma sana
Unapochagua fisi kulinda mbuzi msitete mbuzi wanapoliwa
Hiyo ndio ni matokeo ya kuhapa na bibilia kwa uongo.. Ruto usipochunga utaenda mathare hio kichwa Yako si sawa
Confident with julius ogamba❤❤
I just love Letoo
Ruto akiachwa aendelee na huu upuzi wa kurudisha wezi juu anajua watatoa siri zake amechokoza chui,ataona moto sasa.
😂
Kwenda wamekuibia nini
@@rashowshine7849unaishi Kenya gani wewe mbona aliwafuta
@@rashowshine7849 wameniibia kuma
Kobe amevaa ngozi y chuii Ruto mfisadi nothing else you hv done 😮 the same same arrogant pple you hv been appointed ndo walileta shida Kenya hii bure kabisa
Hakuna kitu kama hio
Kindiki, Duale, and Wahoms should not be brought back
Duale is bck
Minister of defence for the rest of his life
Ruto and his advisers and all his associates are shameful to Kenyans 😢😢.
Ruto is suffering from bipolar 😢😢
Remove kindiki, Duale replace hom with some Ogaden man, then chirchir, waome, have there, the young girls and sons of 🇰🇪Kenya.
What was the reason of dissolving the cabinet,,,, umedunga msumari kwa kidonda😮
Adan bare must go
Ruto is joking..
Ruto bado anatuletea story za Jabaaa 😂
Tuesday itafika lini
:Ruto ataendelea kupanda miti na tuya😂😂 Stephen lettoo
Reshuffle Shenziii kabisaa
Pure comedy. From the frying pan to the fire.
Ataendelea kupanda miti na Soipan Tuya 😂😂😂😂
Hahahaha hapo kwa Soipan Tuya ulichoma bwana
Simba wa garrissa amerundi porini 😂😂
Samaki wamerudi baharini
Even gachagua cant believe what he is hearing 😮
Useless appointment
Ruto ni mjanja......man
Kupanda miti😀😀😀😀
Iazima Dwale angerudi? Hilo jina sitaki hata kuliskia😏😏😏
Mbona kathua nyaai ni maingi muno kana iveti iingi iyasyaa?
45% is from mt Kenya. and he says its the face of kenya
Ukabila hauwezi kuisha.. Kenya Kuna kabila 44 lakini tayari dalilli inaonesha mambo yatakua Yale Yale ya jamii mbili kwenye mawaziri
Huyu Soipan Tuya anakuzunguka nini
Great move
All robbers are back
Bado yeye ashuke chini watu wafanye uchaguzi mpya
What was the point
Wabunge ni walewale tuu...
A highly raised middle finger to Gen-Z
Be ready on Tuesday it's more than all past mpaka achague GEN Z ama ambao c wanasiasaa
Tuesday haifiki
Bungee isipitishe iyo
Sasa what was the point ya kuwafuta kazi😂😂😂
Sisemi kitu,acha tu waendelee kupanda miti 😂
Nani aliroga huyu jamaa😮
😂😂😂
😂😂😂😂😂
I now believe that we are dealing with mad man
Ruto is very aware of what he's doing. Kissing US a$$, looting, and becoming a dictator .
Kubbafff
Heri Hange dissolve
Playing on people s brains
Confused president 😂
Aliwatimua ili amwachise kazi jb muturi kazi...sisi sio wazimu
😂😂😂😂 eais araendelea kupanda miti na soipani
Huyu mtu amekosa raada
List of shame
Broad based na watu from central ni kadhaaa???
Yaa ndio watulie
Ruto 'ataendelea kupanda miti na Soipan Tuya'😂.
Kuna tribalism hapo, huyu sio raisi kweli,
Nonsense
Ruto you are real man, those oppossing your appointments shoul table their CVS
Akili ndogo jingazzzzz
Tuesday tuko streets
Hakuna kitu amefanya apo,,
I'm much disappointed in this sugoi man... He is very stupid. Arudi nyumbani alinde watoto wake. Kumanina
Now he is acting like resident,but not president
He should have just done reshuffle at first Mr.ruto he's playing around with kenyans
Kupanda miti😂
Huyu ameongeza chumvi kwenye kidonda !!!!!. Now millenials will join Gen Zs in demonstrations.
Mafi tupu
What is this ? Haujasikia mtundu..
Yenyewe umechanganyikia wewe😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Kindiki ako sawa
Ulikuwa unawatoa wa nn ama n comedy tu unafanya