A Point Of No Return Part 2 - Wema Sepetu & Steven Kanumba (Official Bongo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1.1K

  • @salomejames9639
    @salomejames9639 9 หลายเดือนก่อน +109

    Tunaoangalia muvi ih mwaka 2024 gonga likes

    • @NellyMutuku
      @NellyMutuku 8 หลายเดือนก่อน

      Here I am ..a very interesting movie

    • @ChristineTally
      @ChristineTally 5 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂

    • @SalomeJames-k6v
      @SalomeJames-k6v 7 วันที่ผ่านมา +1

      Salome James

    • @salomejames9639
      @salomejames9639 5 วันที่ผ่านมา

      @@SalomeJames-k6v wajina

  • @janendunge639
    @janendunge639 4 ปีที่แล้ว +113

    wah!huo wokovu umeniokoa,,,,,,Mungu inuliwa............kama tuko pamoja gonga like apo chini

  • @aorosigu1516
    @aorosigu1516 ปีที่แล้ว +22

    08/08/2023 i believe in the power of Jesus still. Nguvu za mwangaza haziwezi shindwa na nguvu za giza. Amina😊😊. those who are watching lately and believe in the power of Jesus like ky comment for reference please 🎉😢

  • @HappyKimati
    @HappyKimati ปีที่แล้ว +16

    Ndo leo nimepitia marudio ya hii movie.. Kwakwel inafundisha na inamatumain kuwa mungu yupo... Tujifunze meng kuputia hii movie... Thanks dada wema🤲🏻

  • @nanajoemuzikikwanza
    @nanajoemuzikikwanza 11 หลายเดือนก่อน +43

    2024 still watching The Great Kanumba Movie 🎥 May Soul Of Champ Rest In Peace...

    • @princiamuhoza279
      @princiamuhoza279 9 หลายเดือนก่อน +3

      Mim nipo apa

    • @nanajoemuzikikwanza
      @nanajoemuzikikwanza 9 หลายเดือนก่อน

      @@princiamuhoza279 umetisha sana best

    • @donaldedia7470
      @donaldedia7470 9 หลายเดือนก่อน

      May he rest in peace

    • @niyonkurusamuel3217
      @niyonkurusamuel3217 2 หลายเดือนก่อน

      Legend ñever die Steven was king of movies in eastern africa

    • @LakyahHemedy
      @LakyahHemedy หลายเดือนก่อน

      @@niyonkurusamuel3217pe

  • @shabanfitnesstv3977
    @shabanfitnesstv3977 4 ปีที่แล้ว +208

    1:20:06 wema okoka, yaan kumbe mwimbaji mmoja mzuri sana, kama unamkubali wema a kigonga gospel hit like basi

  • @celestinebahati288
    @celestinebahati288 5 ปีที่แล้ว +233

    Wako wapi funs wa Kanumba na Wema. Nipeni like mi mja wao.

  • @WambuaAlex-zz6wc
    @WambuaAlex-zz6wc 11 หลายเดือนก่อน +16

    2024 still watching 📺continue resting in peace kanumba

  • @hekimakenyatta9883
    @hekimakenyatta9883 3 ปีที่แล้ว +15

    Waoo kumbe @l#wema_sepetu mwimba kwaya mzuri tyuu kama umemuona gonga like hapa twende pamoja 2021 leo

  • @irenemwanaa8160
    @irenemwanaa8160 4 ปีที่แล้ว +50

    Dada wema nakupenda sana karibu kwa yesu nikuzuri sana!

  • @millyjames3315
    @millyjames3315 3 ปีที่แล้ว +49

    Naombeni like kwa wale tunao angalia mwaka huu...R.I.P Kanumba

    • @cgbb2848
      @cgbb2848 ปีที่แล้ว

      😢😢😢😢😢😢😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭☝️🇧🇮🤦

  • @jackiejackie1272
    @jackiejackie1272 6 ปีที่แล้ว +644

    Waoo ambao hatuchoki kuiangalia hii movie tujuane 😃😃😃😃😃

  • @juliasjembelayexu6482
    @juliasjembelayexu6482 4 ปีที่แล้ว +106

    Yap mungu pekee ndyo kila kitu Katika Dunia, hiii !!Yap!! Piga "like"

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 3 ปีที่แล้ว +18

    DADA WEME UNAFAA SANA KUWA MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI , UNA SAUTI NZURI SANA YA KUIMBIA.❤️❤️❤️🔥🔥🔥🔥

    • @dollarjohn9292
      @dollarjohn9292 2 ปีที่แล้ว

      Wema ni muislam hawez kuimba injili

    • @annastaziaurassa592
      @annastaziaurassa592 ปีที่แล้ว

      🤝🤝🤝

    • @carolynesimiyu3460
      @carolynesimiyu3460 ปีที่แล้ว

      Mwenyeziungu Ni mmoja tuu,, akikusudia Wema sepeto aimbe injili Na ibadilishe wengi inawezekana tuuu

    • @danrevelian
      @danrevelian ปีที่แล้ว

      ​​@@dollarjohn9292 kwamba hawezi kuimba nyimbo za Injili, kwenye hii movie ameimba Nini...??😂😂😂

    • @ScolaChelsea
      @ScolaChelsea วันที่ผ่านมา

      😅😅😅😅 kwan anaimba nn ​@@dollarjohn9292

  • @sharonrobinson7204
    @sharonrobinson7204 ปีที่แล้ว +11

    Kanumba and wema was the best combo ever....we miss you so much our legend continue resting in peace

  • @shoshoaaa2176
    @shoshoaaa2176 4 ปีที่แล้ว +220

    Kama kuna yule bado anatazama hii movie naomba like hapa tafadhali

  • @mercyamimo6821
    @mercyamimo6821 ปีที่แล้ว +3

    2023 wapi likes. But najiuliza tu if wema ndio aliimba huo wimbo, huimidiwe yesu. Kwasababu huo wimbo ni mtamu sana hongera sana wema sepetu.

    • @Mamakeleony
      @Mamakeleony ปีที่แล้ว

      Nko huku pia leo, educative movie, glory to be God

  • @bonypaulrapando8867
    @bonypaulrapando8867 2 ปีที่แล้ว +12

    Wema sepetu congrats....i really like how the way u perform love parts...100%

  • @peterndossy3008
    @peterndossy3008 4 ปีที่แล้ว +24

    Mr Kanumba daima tutakukumbuka na kwa wale wanaoitazama kwa mwaka huu like zenu tujuane

  • @minisayounice9903
    @minisayounice9903 ปีที่แล้ว +18

    Team 2023bado tunasema amani ya bwana yatosha😭Jesus Christ is the King of kings 🙏

  • @mikombewehu3862
    @mikombewehu3862 5 ปีที่แล้ว +48

    mungu abariki kila anaye agalia

  • @flowaandai
    @flowaandai 2 ปีที่แล้ว +137

    Dec 2022bado nawatch movie wale wanaamini kuna nguvu katika jina la Yesu wanipe likes hapa AMEN 🙏🙏🙏

    • @roselynemweni3031
      @roselynemweni3031 ปีที่แล้ว +2

      Amen

    • @wisdom123-s3k
      @wisdom123-s3k ปีที่แล้ว +3

      Yesu kristo nimfalme mpaka mwisho wamaisha yetu milele na milele amen

    • @SjbwvXhbdddhdj-hw3kv
      @SjbwvXhbdddhdj-hw3kv ปีที่แล้ว +1

      ​@@wisdom123-s3k Amen in the name of jesus

    • @dayanaamoit6951
      @dayanaamoit6951 ปีที่แล้ว +1

      Ameen, ameen 🙏

    • @sallykavuna6574
      @sallykavuna6574 ปีที่แล้ว

      Amen 🙏 tutashinda vita vya Dunia in the name of Jesus Christ 🤲🤲🤲🙏🙏🙏⛪⛪📖📖📖📖

  • @natashabianca1199
    @natashabianca1199 ปีที่แล้ว +6

    Stephen remains to be a legend and he will remain in our hearts forever,we will keep remembering you through watching your movies.

  • @saudahamad7481
    @saudahamad7481 4 ปีที่แล้ว +15

    Leo tarehe 22 December 2020 bado naangalia hii movie kama upo pamoja na mm gonga like nyingi.... Rip kanumba

  • @jacklinemuksi7170
    @jacklinemuksi7170 2 ปีที่แล้ว +62

    February 2022 still watching the movie.. Till we meet again,may your Soul continue to rest in peace Steven Kanumba.

    • @babamalik765
      @babamalik765 2 ปีที่แล้ว +2

      Too Feb 22 2022

    • @calebwamalwa8417
      @calebwamalwa8417 2 ปีที่แล้ว

      P

    • @CM-gh3jy
      @CM-gh3jy 2 ปีที่แล้ว

      July 2022 still enjoying this talented Legend🥰✌️

  • @J.F.Entertainmenttv
    @J.F.Entertainmenttv ปีที่แล้ว +9

    2023 January niko hapa..who believe there's power in prayer agonge like tukiendaga🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @lisathebosslady
    @lisathebosslady 4 ปีที่แล้ว +31

    Kanumba wangeee😭😭😭😭 I miss you so much mbona ulienda mapema😭😭 napenda movie zako. Won't forget you in my life and won't stop watching your movies till my death I promise you wherever you I know that you are loved by your find, RIP

  • @carrendan874
    @carrendan874 5 ปีที่แล้ว +59

    Jamani kanumba pumzika kwa amani kaka💔 sichoki kurudia hii movie

  • @catherinemutheu
    @catherinemutheu ปีที่แล้ว +9

    Legends NEVER die
    They rest
    Continue Resting in Peace Kanumba

  • @ericwafula543
    @ericwafula543 3 ปีที่แล้ว +18

    Actually, Kanumba you were the best actor in the whole world. May your Saul rest in eternal peace. Continue dancing with the angels until we meet again. Hop you you're still making fans even in the heavens their

  • @faithgitau7056
    @faithgitau7056 6 ปีที่แล้ว +69

    I love the scene when Wema is singing for the Lord I hope Wema you sings for the Lord in real life too.You've got a nice voice.

  • @soniakakhur8792
    @soniakakhur8792 3 ปีที่แล้ว +4

    Nimependa song yako wema imenibariki sana, wacha mungu ahimidiwe,God bless you wema

  • @sharzwalis8012
    @sharzwalis8012 5 ปีที่แล้ว +30

    Oh my wema....mtoto mtulivu jamani...nakupenda Bure still watching #254

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 ปีที่แล้ว +8

    Huyu mtt kafa mapema kwa kuabudu mashetani wallah bado tunamiss kazi zake

  • @Gracie_Trixie.
    @Gracie_Trixie. ปีที่แล้ว +18

    2023 still re_watching ..may the soul of Stephen Kanumba continue resting in peace..

  • @asimwejoswamu5317
    @asimwejoswamu5317 11 หลายเดือนก่อน +1

    1- 2 2024 still watching this movie kwa ajil ya wimbo aloimba wema.jmn naupenda sana❤❤

  • @supambpasha1493
    @supambpasha1493 5 ปีที่แล้ว +40

    Amen praise God I like dis prt ov worshipping God 🙏🙏🙌🙌💃💃💃God is de alpha and omega Amen there's nothing better than God. 💃💃💃💃💃💃💃🙌🙌🙌🙏🙏

    • @shanizkanini1693
      @shanizkanini1693 4 ปีที่แล้ว

      Exactly dear what dinnah did it's amazing,,, and it's wonderful I really like party 2

  • @iduemodenyi6327
    @iduemodenyi6327 2 ปีที่แล้ว +2

    Nani kama Mungu...ahimidiwe sana yesu ..nakupenda bure wema ulijaliwa sauti nzuri sana...kaka stive endelea kupumzika kwa aman tunakumisi kila siku.

    • @omondiedwin
      @omondiedwin 7 วันที่ผ่านมา

      At a mm nmemwaminia yeah cristo 🙏🙏

  • @amanimark4661
    @amanimark4661 4 ปีที่แล้ว +7

    Kanumba nimependa sana film zako sana Wema ulikuwa Murembo sana hiyi wakati hogera sana

  • @gabinessjeniffer653
    @gabinessjeniffer653 2 ปีที่แล้ว +2

    Aki wema sepetu,, umejaliwa sauti nzuri sana, Mungu akubariki sana,,,,,Nasiuokoke tu Dada yetu ....unapendeza sana ukiimba gospel....uko na neema ya Mungu ,,,mungu akubariki sana,,,umtumikie Mungu, kwa njia ya uimbaji au Utumishi🙏🙏🙏

  • @dadyhaule6702
    @dadyhaule6702 4 ปีที่แล้ว +16

    naiangalia 24/03/2020 R.I.P my brother Steven kanumba na wema hapa ndio ulikua uko vizuri sana

  • @besteva499
    @besteva499 11 หลายเดือนก่อน +3

    2024 wakwanza nikohapa❤❤❤🎉

  • @mrspeter9487
    @mrspeter9487 4 ปีที่แล้ว +58

    Waooo 2020 bado Ina heat rip kanumba wetuu

  • @carolibenahwera2791
    @carolibenahwera2791 5 ปีที่แล้ว +21

    God always the winner! Praise him

  • @teclajosphat3155
    @teclajosphat3155 4 ปีที่แล้ว +5

    Eish it was so sweet, rip kanumba,,, kipenzi wema love u for your talent,, 12/12/2020 from Kenya

  • @silayojerry737
    @silayojerry737 5 ปีที่แล้ว +45

    Daaahhh kiongoz kanumba tutakukumbuka daima

    • @kitemerosanga5046
      @kitemerosanga5046 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa tutamkumbuka sana stivin kanumba lala mahala pema peponi

    • @kitemerosanga5046
      @kitemerosanga5046 4 ปีที่แล้ว

      Kabisa tutamkumbuka sana stivin kanumba lala mahala pema peponi

  • @adelinaadoloph5311
    @adelinaadoloph5311 4 ปีที่แล้ว +5

    Asante Yesu kwa Neema ya wokovu ulionipa ,,,,hongera wema kwa kucheza part ya kumtumikia Mungu ulionesha msimamo mpk raha na unapendeza ukiokoka

  • @QueenTyler
    @QueenTyler ปีที่แล้ว +2

    One of my favourite movie❤❤ continue resting in peace kanumba 😢❤2023 still watching 🤙 worship section if more touching😊❤

  • @nybtv2377
    @nybtv2377 4 ปีที่แล้ว +23

    Wanao ipenda sauti ya Wema gongeni like zake👍🏻

  • @shanizkanini1693
    @shanizkanini1693 3 ปีที่แล้ว +2

    Rip kanumba may God receive your soul😭😭🥺🥺🙏🙏tuna Iman unamwona mungu macho kwa macho😭🙏🙏🙏🙏

  • @irenemoris3655
    @irenemoris3655 5 ปีที่แล้ว +189

    Kama ulinogewa na hii film kama mimi gonga like

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 3 ปีที่แล้ว

    Naona Pastor WEMA SEPETU Anaombea Watu Na Wanafunguliwa , Uko Vizuri Sanaaaaa 😀😀😀😀

  • @andrewjuma4580
    @andrewjuma4580 4 ปีที่แล้ว +81

    Leo tarehe 13.4.2020 gonga like amabodo unahangalia

  • @justusaganyilatvonline1417
    @justusaganyilatvonline1417 4 ปีที่แล้ว +6

    First time naangalia hi movie it was 2010 nikiwa form 2 na saiv nairudia nikiwa Ni mbaba kabisaaa dah Yan hii movie mi naona Kama kanumba bado Yuko uhai aiseeh. Kama uliwatch this movie 2010-2012 na unaangalia Tena 2020 dondosha coment yako chin hapo na like za kutosha

  • @faithkemunto7191
    @faithkemunto7191 4 ปีที่แล้ว +10

    Mafunzo teletele😘😘😘2020 march
    Continue Rlp kanumba😢😢😢😢we miss this sweetness

  • @chachamniko3604
    @chachamniko3604 ปีที่แล้ว +2

    Movie ilielezea maisha halisi ya kiafrika R.I.P kanumba.

  • @christinajuma2051
    @christinajuma2051 4 ปีที่แล้ว +10

    Wema rudi huku pazaman huko pasasa hivi hapakufai Leo ndo naangalia trh15/3/2020

  • @EgoThefuture
    @EgoThefuture 27 วันที่ผ่านมา

    Sikuwahi ona hii movie leo nimejipa mda kuichek aise ni kali sana. 7.12.2024 ndo naichek hapa.

  • @josephramsonmtukufu3149
    @josephramsonmtukufu3149 6 ปีที่แล้ว +60

    We shall never forget you Mr Kanumba

  • @estherjohn4238
    @estherjohn4238 3 ปีที่แล้ว +2

    Mungu ni mwema tunajifunza kupitia alama zako ulizotuachia acha alama utakumbukwa😭😭

  • @dicksonkidiga3126
    @dicksonkidiga3126 3 ปีที่แล้ว +52

    It's now 2021 who is still watching with me, very nice indeed, RIP our actor kanumba

  • @EgoThefuture
    @EgoThefuture 27 วันที่ผ่านมา

    Nafikili Kanumba alikua mbelee ya mda sana respect kwake. Wema alifanya poa sana humu nashukuru kwa kuibaliki leo yangu. 7.12.2024 nitabaki kuikumbuka sana🙏🏻🙏🏻

  • @sharonmichelle4190
    @sharonmichelle4190 4 ปีที่แล้ว +8

    The movie is fine😊❤️... hamuez amin nkaangalia naogopa hadi najificha😂😂

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha KWA Nini Ujifiche ?🤣🤣🤣🤣

  • @NevisterMichael
    @NevisterMichael 9 หลายเดือนก่อน

    2024 mpo wapi ambao Bado mnaangalia hii movie 🎥🎥 mungu amlaze Steven kanumba mahala pema peponi AMINA 🙏🙏

  • @nehemiadaudi6449
    @nehemiadaudi6449 4 ปีที่แล้ว +7

    Daaaa," Mungu anamejibu kwa moto"

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 ปีที่แล้ว +1

    Wema ni yule dada wa karibu yako ndio mbaya kwako.I love you Wema.

  • @zainakihwele8759
    @zainakihwele8759 4 ปีที่แล้ว +41

    Wanang wa 2021 tujuane......🖐

  • @cruizk8183
    @cruizk8183 5 ปีที่แล้ว +21

    Tulio pamoja kuiangalia 2019 mikono juu,so touching

  • @jerumayamwasomola1065
    @jerumayamwasomola1065 4 ปีที่แล้ว +28

    Aliegundua Kanumba hana usingizi toka mwanzo, gonga like

    • @fl0rencemutuku40
      @fl0rencemutuku40 4 ปีที่แล้ว +1

      How my friend? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Sielewi unayo Sema papanua

    • @sarahngige1589
      @sarahngige1589 4 ปีที่แล้ว

      @@fl0rencemutuku40 c papaya ni fafanua, 😍pamoja dadangu

    • @fl0rencemutuku40
      @fl0rencemutuku40 4 ปีที่แล้ว

      @@sarahngige1589 pamoja

    • @lazakikiatu3975
      @lazakikiatu3975 4 ปีที่แล้ว

      Haw ndio wasanii

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @nancykaloki9412
    @nancykaloki9412 ปีที่แล้ว +11

    2023 july still here🤪🤪🤪 we miss you kanumba❤️

  • @christinebeyajp9774
    @christinebeyajp9774 4 ปีที่แล้ว +4

    #wemasepetu mbona unaweza okowa mioyo ya watu wengi 🙏🙏🙏alelua 🙋🙋🙋🙌🙌🙌🙌💗💗💗💗💗

  • @mourencharlesmwikali6642
    @mourencharlesmwikali6642 5 ปีที่แล้ว +19

    Aki ya mungu kuolew no shughuli mungu tusaidie sisi mabinti

  • @beckybecky7754
    @beckybecky7754 6 ปีที่แล้ว +12

    My sister God love you ukoka uone mungu akikutetea kwa kila jambo

  • @aggyshaz5539
    @aggyshaz5539 3 ปีที่แล้ว +1

    Wema ana sauti nzuri sana. To God be Glory. Rip Kanumba

  • @judithwillium6198
    @judithwillium6198 5 ปีที่แล้ว +195

    Tunaoangalia hii movie 2019 like hapa

  • @msabahafarijara2656
    @msabahafarijara2656 4 ปีที่แล้ว +52

    Kama tupo pamoja mwezi wa nane gonga like twende sawa.

  • @julieandega1505
    @julieandega1505 4 ปีที่แล้ว +29

    We still miss u kanumba,may you soul continue resting in peace 🙏. I love all your movies ❤️ w

  • @stn4873
    @stn4873 3 ปีที่แล้ว +1

    Wemaa mwenye Sepetu yake, enzi hizo at her top top top quality.

  • @kalenjames8426
    @kalenjames8426 5 ปีที่แล้ว +62

    7/3/2019. Miaka saba katimia tangu ulipotuacha kaka,,, mungu azidi kuilaza roho yako mahali pema peponi

    • @mercyngina
      @mercyngina 4 ปีที่แล้ว

      Wewe unajua kuisabu wah nakumbuka nilikua mahali panaitwa makindu niliuzunika sana

    • @denniskimanzi5083
      @denniskimanzi5083 4 ปีที่แล้ว

      Mr kanumba tunakupenda sana we r still waiting you

  • @tonnykongogo
    @tonnykongogo ปีที่แล้ว

    Mungu mlaze mahali pema peponi Steven Kanumba,🙏🕊️🕊️

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 4 ปีที่แล้ว +3

    Wema umekitendea kazi kipande cha kanisani kuanzia Mavazi na unyenyekevu iko pow sana hii muvi 2020😅😅😅

  • @zulehamoshen2760
    @zulehamoshen2760 ปีที่แล้ว

    Wema sepetu kazi jema kamama nakupenda sana I wish you will coz I really love you Zuleya from Uganda 🇺🇬

  • @francemwanawesa5966
    @francemwanawesa5966 4 ปีที่แล้ว +6

    For 100℅ uliwaumbua sanaa hawa washkaji ni halali kabisa wakuchukue kanumba,, bt rest in peace mkurugenz we2

    • @patrobamalema8631
      @patrobamalema8631 3 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha Angalia Uaijechukuliwa Na Wewe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 ปีที่แล้ว +20

    6|4|2020 twende Pamoja kama mpo nataka like 5 tu.

  • @doricekanundu6483
    @doricekanundu6483 4 ปีที่แล้ว +202

    Wale wana watch 2020 gonga like zenu tuone

  • @aishaynununu1307
    @aishaynununu1307 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman anaetaman aendelee kuangalia pasikuche gonga likes

  • @shuubinty1447
    @shuubinty1447 4 ปีที่แล้ว +54

    2021 wangp Tupooooo 😋😋❤️

  • @suzanmakarius2381
    @suzanmakarius2381 6 ปีที่แล้ว +46

    Mchungaji nakupendaga sana yaani km mchungaji kweli😙😙😙😙

  • @هلااهليني
    @هلااهليني 6 ปีที่แล้ว +30

    Dah move mzury sana jamani yee eeee kanumba iyeeeeeeeee 😭

  • @bettywilson8818
    @bettywilson8818 5 ปีที่แล้ว +35

    Tunaoangalia tarehe 27/05/2019 tupia like hapo chini. Rip kanumba

    • @mwanaidiathumani2621
      @mwanaidiathumani2621 4 ปีที่แล้ว

      Tamu mno

    • @mwanaidiathumani2621
      @mwanaidiathumani2621 4 ปีที่แล้ว

      Mzee amezid

    • @tinababy265
      @tinababy265 4 ปีที่แล้ว

      Da wema umenifanya nimetoa machozi hakika mungu ni mungu2 anasitahili sifa na utukufu. R.l.p kanumba hakika tutakukumbuka daima

  • @restuthermganyizi6532
    @restuthermganyizi6532 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwenyezi mungu ulibemba kitu cha thamani sana katika maisha yangu nakuomba unijalie amani ya moyo ili niweze kuyavumilia haya maumivu niliyonayo amen

  • @husnamushi1163
    @husnamushi1163 5 ปีที่แล้ว +31

    23/5/2019 jamani ndio nacheki nipeni like na mimi basi 😁😁😁

  • @raeldiana7851
    @raeldiana7851 2 ปีที่แล้ว +5

    We should always trust in lord Jesus for he will answer our prayers. 🙏🙏

  • @azizatumaini1490
    @azizatumaini1490 6 ปีที่แล้ว +14

    Congratulations nakupenda saaana wema ulivyo ingiza

  • @MichaelAlexander-k7j
    @MichaelAlexander-k7j 10 วันที่ผ่านมา

    Sina hakika kama filam industry inakuwa hapa nchini mara baada ya nguli Kanumba kuiga dunia. Angekuwa mbali sana katika uigizaji.!

  • @jacobta6549
    @jacobta6549 4 ปีที่แล้ว +19

    The movie... Is very very interesting I love it

  • @shanizkanini1693
    @shanizkanini1693 3 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sanaa pastor Emanuel myamba 💖💖una upendo wa yesu🙏🙏🥺🥺mungu awabariki Sanaa

  • @lydiamuli3328
    @lydiamuli3328 4 ปีที่แล้ว +4

    How i wish Wema even today you could be bleaving in this same God😁in deed Wema you have something to thank God for, look you are still alive yet your comedian acter Kanumba he is not alive😘😘may he continue resting in peace, i miss his presence 😘😘

  • @rehemawaweru5373
    @rehemawaweru5373 2 ปีที่แล้ว +1

    Our lord is the all mighty he is capable of doing wonders that no one can ever think of an I think wema can do more than that such a good thing when your worshiping God is watching you chimumy

  • @shanizkanini1693
    @shanizkanini1693 4 ปีที่แล้ว +4

    Stv sikukuona ukilala ata siku moja,,, ghai 😂 wew,, but I appreciate wema sepetu,, you are gud dear,, cudos