The Cold Wind 2 - Vincent Kigosi, Jenifer Mwaipaja (Official Bongo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 420

  • @abdulrahmanmohd4064
    @abdulrahmanmohd4064 5 ปีที่แล้ว +50

    Game 1st Quality Tanzania limited hongera sana kaka mtitu G Game kwa kazi nzuri kipindi hicho ulikuwa na vichwa kwenye move sio sasa hivi kama kweli una kubali mtitu alikuwa na vichwa kipindi hicho gonga like hapa

  • @jacksonseleman3160
    @jacksonseleman3160 ปีที่แล้ว +4

    Good story daah funzo kubwa sanaaa 2023 maishaaa ni fumbo Sanaa like kwako bro

    • @NeemaStephen-oe4ww
      @NeemaStephen-oe4ww ปีที่แล้ว

      Hii namafunzo sana usikimbie mtu kwa hali yake duni na hujui mwisho wako

  • @okwarotv
    @okwarotv 2 ปีที่แล้ว +16

    Hapa Kenya sai 2022🇰🇪Bado tunawatch hii movie ya kigosi... kigosi is the kamumba who is alive,,,ka Bado unawatch hii movie like ukisema kitu

  • @tracyk152
    @tracyk152 8 หลายเดือนก่อน +11

    Who else is watching this movie 2024 😢Lesson learned 🙌🏾

  • @fahimamohammad6251
    @fahimamohammad6251 2 ปีที่แล้ว +14

    i felt bad for him, he's so loyal to his wife and that's wht she did to him😢 thanks for this It teaches alot

  • @beatachakupewa8556
    @beatachakupewa8556 4 ปีที่แล้ว +50

    30/12/2020 hadi leo hii movi naangalia kama tuko pamoja gonga like hapa

  • @kaburamechack4071
    @kaburamechack4071 ปีที่แล้ว +4

    Amakweli dunia tuyiache ilivyo kila unacho kitendea watu juwa nawe kitaja kukuta, Amini kuwa pindi unapojisaidia njiani huwezi kukosa kukutana na inzi wakati unarundi nyuma. Tujifunze kuona dhahabu kwenye tope. Mungu Awabaliki kwa kuzidi kuelimisha jamii Big up xna 💪💪💪🙏🙏🙏

  • @siliviamgisha2003
    @siliviamgisha2003 4 ปีที่แล้ว +14

    Like Nying kwa wote wanaoangalia bongo movies

  • @lucaslimpopo4525
    @lucaslimpopo4525 3 ปีที่แล้ว +4

    Disprini ya zamani na sasa imekuwa tofauti sana, ndomaana filamu zimeshuka sana. Mimi nashauli tujaribu kurudi nyuma tena mimi naona kuna kitu tulikiacha. Ebu tuache kutanguliza umaharufu mbele, tukijituma vizur kwa sana umaharufu unakuja wenyewe tu na tutapata kile tunacho kihitaji.

  • @JumaMadebe-gp7ov
    @JumaMadebe-gp7ov 2 หลายเดือนก่อน

    Kigosi, mwanangu, nakubali sana, mwamba, wafundishe, na madogo, Vincent,! Kwenye senema zetu! Saiz akuna kitu! Zidi ya udabulo, tupu! Yani

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 3 ปีที่แล้ว +13

    Aliye muona shumileta agonge like

  • @zainabuwahid3147
    @zainabuwahid3147 4 ปีที่แล้ว +9

    Suhannallah muv imeniliza hii mungu tusaidie wanawake tusijekua narihozakinyama hiv

  • @aggyshaz5539
    @aggyshaz5539 3 ปีที่แล้ว +4

    Makipo ni hapa hapa duniani and what goes around comes around. Hii movie ina funzo kubwa sana. Kuna jambo nimejifunza hapa

  • @Pascal1122
    @Pascal1122 2 ปีที่แล้ว +3

    Dada ulicheza vizuri saaana parti tako swadakta kabisa , na enjoy films 🎥 yetu.🔥🔥🔥🔥🔥🤣💋💚💚💚💚💚💚💚🇨🇩 from.

  • @maggiebernard
    @maggiebernard 6 ปีที่แล้ว +42

    Kweli ya hapa dunia malipo Ni hapa hapa tu.. nimejifunza mengi Sana... Glory to God ...

    • @echoricodezzarie6052
      @echoricodezzarie6052 6 ปีที่แล้ว +2

      Ufalme wa mbinguni unatambua matendo yako Hivi kweli huyo Doris hangefaa kujitia kitanzi ili aishi kuyasimulia mema ya Mungu yaliyomo ndani mwa Daniel

    • @jumaalfani6609
      @jumaalfani6609 4 ปีที่แล้ว +1

      Jya siad

    • @abelsiyame7863
      @abelsiyame7863 3 ปีที่แล้ว +1

      Dhaa maisha

    • @mkangafuyasini1895
      @mkangafuyasini1895 2 ปีที่แล้ว

      Kwaniumeonanini naukowap

    • @aimablebahati7844
      @aimablebahati7844 2 ปีที่แล้ว

      Ahaa,maajabu minasigitika kzbisa

  • @magdalenaandrew5457
    @magdalenaandrew5457 4 ปีที่แล้ว +5

    Wallah movie TAMU Sana na inafunza visent kigos nakupenda bure kwa kilema chote hicho na maudhi yote hayo lakn bado hukukata tamaa mungu atutie nguv tusivunjike mioyo hasa katk magum tunayopitia hapa chini ya jua

  • @euginemusonye8028
    @euginemusonye8028 5 ปีที่แล้ว +13

    Hongera sana mtitu g game, filamu hii itaswafunza wanawake wa kisasa

  • @hidayaomary6289
    @hidayaomary6289 3 ปีที่แล้ว +7

    Kila mwenye kusubiri yupamoja na mungu,nice move

    • @bekabakari7857
      @bekabakari7857 2 ปีที่แล้ว

      2022 bd naipenda km imetoka jana kanumba ww umeacha pengo

  • @hasnasaif1075
    @hasnasaif1075 5 ปีที่แล้ว +21

    Nimejifunza kitu kupitia hii move tena c kidogo asante ray

  • @cabylake2320
    @cabylake2320 8 หลายเดือนก่อน +5

    Like za 2024 kutoka Saudi Arabia tujuane

  • @piusmnanka2755
    @piusmnanka2755 5 ปีที่แล้ว +16

    Picha nzuri tatizo mnaweka ngono nyingi hutuwezi angalia na watoto wetu...!

  • @dennismwita3554
    @dennismwita3554 3 ปีที่แล้ว +2

    My GOD bless aunt and other people Lyke here na ningependa kuambia wanawake wawe wavumilivu

  • @phariankhamayi494
    @phariankhamayi494 3 ปีที่แล้ว +5

    Waaah!hii ni dhararau kubwa Sana😭😭😭 .God hve mercy

  • @joshuajohn7106
    @joshuajohn7106 2 ปีที่แล้ว +1

    naomba mtu mwenyenamba ya visent kigosi anisaidie

  • @dommylewin9985
    @dommylewin9985 4 ปีที่แล้ว +8

    Palipo na Vincent kigosi hapakosi vinanda vitaaaaamu katika firamu hizo

  • @EmanuelTemba-fr6xc
    @EmanuelTemba-fr6xc ปีที่แล้ว +1

    Naipenda sana hii movie

  • @zuenafrancis9923
    @zuenafrancis9923 ปีที่แล้ว

    Napenda san we Ry waaaaaaaah mungu kamlipa kutokana na yaliokufanyia malipo ni hap hap dunia, nimejifunz kitu kupitia hii

  • @kennethkiprop3375
    @kennethkiprop3375 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana kwa movie,,,filamu tamu sana ,,,inamafunzo busara sana kwa mabinti wa kisasa wapi like 20/06/2022

  • @allymachanokeis3764
    @allymachanokeis3764 4 ปีที่แล้ว +5

    Kabla hujafa hujaumbika.
    Leo kwako, kesho kwa mwenzako.

  • @monicanjoki5925
    @monicanjoki5925 ปีที่แล้ว +1

    😂😂Ohh my goodness utamu😮Vincent utajuwa ujiwi😂😂😂😂😅

  • @wachira1545
    @wachira1545 2 ปีที่แล้ว +2

    Movie nzuri sana nakupenda sana Vincent

  • @RoseSango-o5g
    @RoseSango-o5g 5 หลายเดือนก่อน +1

    Tunao angalia in2024gonga like 😊

  • @NeemaStephen-oe4ww
    @NeemaStephen-oe4ww ปีที่แล้ว +1

    20/11/2023 nikiwa Egypt naitazama movie hii yenye mafunzo kama bado unaiangalia gonga like tukisonga

  • @nkeshelias4272
    @nkeshelias4272 4 ปีที่แล้ว +3

    Hiii movie iliniliza sana na ile ya kanumba family tears nililiaga sana

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 2 ปีที่แล้ว +15

    Wale tunao angalia in 2022 jamani tujuane

  • @alexbarasa4319
    @alexbarasa4319 6 ปีที่แล้ว +14

    Kama hauna ubaya na mtu badayie. ubaya wake umurudiya good

  • @joshuaindeche6130
    @joshuaindeche6130 2 ปีที่แล้ว +3

    This kanumba and Vincent movies are still the best

  • @annmebarni5757
    @annmebarni5757 3 ปีที่แล้ว +2

    I really liked this movie....n kweli what goes round comes around

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 3 ปีที่แล้ว +1

    Movie zuri Sana tuwe na upendo wa kweli kwenye mahusiano jamani mtu Kama alivyo

  • @MukomboiMuisyo-rm4go
    @MukomboiMuisyo-rm4go ปีที่แล้ว

    Usimudharau kiwete ujui kesho yake.leo mm kesho wewe iyo move ina mafunzo mzuri sana

  • @bonysiviri2648
    @bonysiviri2648 6 ปีที่แล้ว +6

    nice movie and ina mafunzo nice Vincent kigosi

  • @stevennjenga4761
    @stevennjenga4761 2 ปีที่แล้ว +2

    Am a man but I find myself shedding tears whenever I watch such emotional films. Nice teachings from Vincent

  • @francismutua6497
    @francismutua6497 2 ปีที่แล้ว +6

    2023 kujeni tujumuike hapa Kuna lesson inaendelea

  • @amanibusara5801
    @amanibusara5801 6 ปีที่แล้ว +38

    Maisha safari usiyoweza tabiri usimdharau mwenzio hujui ya kesho yake aisee

  • @maureenjames458
    @maureenjames458 2 ปีที่แล้ว

    Kweli mungu hawezi sahau ,,kingoso I request for your latest movie please

  • @aureliamakundi8181
    @aureliamakundi8181 4 ปีที่แล้ว +2

    Jaman ant Ezekiel katisha kajitahd kunfurahsha

  • @mmnn3060
    @mmnn3060 4 ปีที่แล้ว +4

    Leo nimbaya kesho zr sana kbx

  • @victorwanyama6217
    @victorwanyama6217 2 ปีที่แล้ว

    kaka Vincent, thanks sana,Kwa hii filam,hata ndo maisha nayapitia hapa kenya

  • @shannychacha9837
    @shannychacha9837 2 ปีที่แล้ว

    Iyi movie nimependa sana so wanakwambia usiwai fanyiya mwanahadam mwezako mambaya fanya wema utalimpiwa na mungu

  • @jonathankitili6904
    @jonathankitili6904 6 ปีที่แล้ว +6

    Shida yako Vincent ni maneno mengi movie zako ziko tu sawa

  • @janetrixakoth8067
    @janetrixakoth8067 6 ปีที่แล้ว +19

    Funzo kubwa kwa wenye madharau namajivuno.ungonjwa wala ufukara sio muisho wamaisha.aliye juu mngoje chini.

  • @joycejawa3960
    @joycejawa3960 6 ปีที่แล้ว +17

    Subira huvuta kheri. Kuvunjika kwa mwiko si mwisho wa upishi.

  • @salamabahati3409
    @salamabahati3409 2 ปีที่แล้ว

    Hujafa hujaumbika ....Nimejifunza sana kwenye movie hii

  • @bonydet7218
    @bonydet7218 2 ปีที่แล้ว

    Usicheke kilema utazaa chako, , , ya mungu ni mengi ya kuku ni mayai

  • @magabewambura9081
    @magabewambura9081 4 ปีที่แล้ว +3

    Wabongo fikilieni matukio mengine tofauti na kugongwa na gari

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 6 ปีที่แล้ว +6

    Nice muvi nimejifunza kitu kupitia hii muvi ni fundisho tosha kabisa

  • @danielchamoto9376
    @danielchamoto9376 7 หลายเดือนก่อน

    Yes we don't know our tomorrow. Very good story

  • @keziawairimu4575
    @keziawairimu4575 6 ปีที่แล้ว +10

    Nimeipenda sana amakweli dunia mzunguko

  • @WillyPeter-ew2zi
    @WillyPeter-ew2zi 7 หลายเดือนก่อน

    Nimejifunza vitu vingi Sanaa kutoka kwenu

  • @stitore2388
    @stitore2388 2 ปีที่แล้ว

    Kweli yapa nihapa maripo nihapaduniyani🇧🇮💯🇧🇮💯💯🤛🤝💪🤲🤲👌🙏

  • @sandrakateslopez2488
    @sandrakateslopez2488 4 ปีที่แล้ว +4

    😭😭😭😭😭ladies tujifunze pesa mbayaaa

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 4 ปีที่แล้ว +2

    Big up 👆 👆 👆 👆
    Kaz. Nzur sana haichujii

  • @karimmfinanga1948
    @karimmfinanga1948 5 ปีที่แล้ว +4

    Na mkubali san Rei kigosi

  • @vuswagebmeadia9100
    @vuswagebmeadia9100 2 ปีที่แล้ว +3

    This was my favourites God bless you steven kigosi

  • @happyhubert6313
    @happyhubert6313 6 ปีที่แล้ว +6

    nice movie

  • @vincentndambukimwangangi5489
    @vincentndambukimwangangi5489 4 ปีที่แล้ว +1

    Lesson learned,(watching from Kenya 2021)

  • @salehemavengero5081
    @salehemavengero5081 3 ปีที่แล้ว +2

    Nice nzur sana

  • @anyandastarn6980
    @anyandastarn6980 6 ปีที่แล้ว +11

    Naipenda sna..kisha hapo mwisho

  • @mwetafils8875
    @mwetafils8875 4 ปีที่แล้ว +5

    Alieona mlevi akipiga mbio zile a like

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 4 ปีที่แล้ว +5

    Movie nzuri Sanaaa hongeren washlki wote 🙏

  • @Antonio-cy9rg
    @Antonio-cy9rg 2 ปีที่แล้ว +1

    Africa muves

  • @veronicamwihakimaina2290
    @veronicamwihakimaina2290 4 ปีที่แล้ว +1

    Usidharo madafu maebe ni ya msimo good movie

  • @sarahdjuma2566
    @sarahdjuma2566 4 ปีที่แล้ว +3

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭jaman wanawake munguwangu movie nzuri ila inatia ucungu kabisaaa

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 ปีที่แล้ว

    Dolic nae noma si kwa hivo jamani inauma sana kama mke na kama mme

  • @zefaniamagala4315
    @zefaniamagala4315 ปีที่แล้ว +1

    Jamani tunaoangalia 2023 tujuane hapa

  • @maryamaly9614
    @maryamaly9614 6 ปีที่แล้ว +2

    Nimejifunza kitu thanks ray

  • @himidijenga535
    @himidijenga535 3 ปีที่แล้ว

    Asante ray kazi nzuri ni fundisho

  • @josephmacharia615
    @josephmacharia615 4 ปีที่แล้ว +1

    Ray you are the best

  • @uzalendowangutanzaniayetu
    @uzalendowangutanzaniayetu 2 ปีที่แล้ว

    Dah thanks l

  • @under1449
    @under1449 ปีที่แล้ว

    Watching from kenya. Lesson learned

  • @ashuramalikimkuna5282
    @ashuramalikimkuna5282 4 ปีที่แล้ว +3

    Ant nampenda sana

  • @shabanipili4919
    @shabanipili4919 4 ปีที่แล้ว +4

    Hivi nilikua nikiangalia nalia enzi zile

  • @bonifacemollel87
    @bonifacemollel87 ปีที่แล้ว

    2023 mwezi 11 tumepigwa na YANGA 5G leo nae Kigosi mke wake apewa 5G akisikikizia mlangoni 😂😂😂

  • @JudyNyabongoye
    @JudyNyabongoye ปีที่แล้ว

    God is with you

  • @Obedizakayokivuyo
    @Obedizakayokivuyo 11 หลายเดือนก่อน

    Nilipenda sana bongo movie ila kwasasa

  • @patrishadickson3365
    @patrishadickson3365 6 ปีที่แล้ว +8

    tatizo muvi za kibongo nying hazifai kuona na watoto ngoja niendezangu kwenye season

  • @taekwondotrainingandsparri3033
    @taekwondotrainingandsparri3033 4 ปีที่แล้ว +5

    Big up and good job

  • @jamilamwarabu3890
    @jamilamwarabu3890 ปีที่แล้ว

    Mpka nipata nyegee❤❤

  • @dianatarimo4797
    @dianatarimo4797 2 ปีที่แล้ว

    Jamani ya Mungu mengi malipo ni hapa hapa duniani

  • @petersaitotilaizar9176
    @petersaitotilaizar9176 3 ปีที่แล้ว +1

    Nice one love movie zàko bro

  • @bhengzaid5607
    @bhengzaid5607 3 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kilicho n mwanzo kina mwisho wake

  • @milengeclestine4421
    @milengeclestine4421 2 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah 🙏🏾🙏🏾

  • @febroniasamwel2822
    @febroniasamwel2822 4 ปีที่แล้ว +1

    Very nice

  • @benardmp.6977
    @benardmp.6977 2 ปีที่แล้ว

    Nimepata somo kubwa sana

  • @brendahetyang5430
    @brendahetyang5430 6 ปีที่แล้ว +26

    I wish ingekua reality nmwambie Daniel aliyemgonga n Alex

  • @venicemhumble3364
    @venicemhumble3364 6 ปีที่แล้ว +4

    Nyc movie

  • @richardmwabe9159
    @richardmwabe9159 4 ปีที่แล้ว +3

    Mwanadamu si mtu mzuri hata kidogo

  • @brigidnwafulawafula8574
    @brigidnwafulawafula8574 5 ปีที่แล้ว +8

    Subira huvuta Kheri
    Na mvumilivu hula mbivu

  • @YudaEzekiel
    @YudaEzekiel หลายเดือนก่อน

    Daah haichoshi kuitazama lkini mbona kama hatuon zingne mpya

  • @beatricetenywa4367
    @beatricetenywa4367 4 ปีที่แล้ว +3

    Huo mdundo unaskiitisha jaman😥😥