HATUMKUBALI MUFTI WA AINA HII , HATUUFATI MWEZI WA KUTANGAZWA KATIKA MEZA, KHUTBA YA EID 10\04\2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 167

  • @AllyhHassani
    @AllyhHassani 8 หลายเดือนก่อน +3

    Sheikh uko vizuri allahamdulillah

  • @UmmuMunawarAliy
    @UmmuMunawarAliy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Yoyote mwenye kumuamin Allah na mtume wake aonge lakheri km Hana anyamaze . Ww watoa maneno kwa mkhutubu huyu wakati yy ni Binadam kukosea nilazima wamekosea Wana wa zuoni. Je yy jiangalie kujua kusoma. Adurusulmuhimma usikufanye ukanza kutoka kejeli

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 8 หลายเดือนก่อน +6

    Nilicho gundua kwa huyu khatwibu ni mambo yafuatayo
    1. Hajafanya muraajaa wa khutba yake
    2. Hajui Sira
    3. Ana Jazba
    4. Analingania farqa na Siyo umoja
    5. Hajasoma adabu za kielimu
    6. Bado Mchanga wa lugha ya Kiarabu
    7. Hafahamu Sheria za Zakaatulfitri
    8. Hajui ikhtilafu za Wanazuoni katika mambo mbalimbali ya kidini
    9. Mchanga Sanaa katika Elimu ya Hadithi
    10. Anatumia akili yake ndogo kuliko Dalili

    • @MaalimYussuf-qy9ic
      @MaalimYussuf-qy9ic 8 หลายเดือนก่อน

      Hawa watu hawana elimu isipokuwa wanadanganya watu bas

    • @YaziduIddy
      @YaziduIddy 8 หลายเดือนก่อน

      Umesema kweli

  • @UmmuMunawarAliy
    @UmmuMunawarAliy 7 หลายเดือนก่อน +1

    Masalafi t wao ni malaika au ? Mtume . Kua almaasuum khutba zao ni wahyi. Hawakosei . Acheni kibri

  • @SaidShabani-s4o
    @SaidShabani-s4o 8 หลายเดือนก่อน +6

    Wewe huna elimu unaropoka halafu nenda ukasome Tena kwani marangapi Saudia pamoja na nuinyi mnaojifanya mnamwezi wa kimataifa mnafunga 29 sisitunafunga 30 mbona hamkufungua na naijelia Kama nyinyi mnafuata mwezi wa kimataifa

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Kama huna hoja funga domo lako hii ni dini na sio ushabiki wa Simba na Yanga!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Au na wewe uambiwe Tu umesema!pengine hata kunawa najisi yako hujuwi !unakosowa watu!Jambo usilolijuwa?Kapeleleze huko ktk Ofisi ya Mufti wanakowatangazia mwezi wenu wa Kitaifa uone wanavyofunga na kufungua baadhi Yao!na pia ukijaaliwa kwenda Hijja wewe kamilisha Hijja yako Kwa hii hii tarehe yenu ya Kitaifa

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe akili zako ni za Samaki!hata usemalo hulijuwi maskini!huu mwezi nyie mumefunga 29 na sio thelathini na tena mumetangaziwa Tu Kwa aibu ili mufunguwe maana ktk muandamo hili liko wazi mwezi ule hakukuwa WA siku muliouona na hili hata hao wenzenu (MAGHULAFI)walikiri Hilo na wengine wenye kujuwa wamesema watalipa siku muliokula mchana Kwa kiburi chenu!

    • @fatibra7768
      @fatibra7768 8 หลายเดือนก่อน

      ALLAHatuongoze ktk haqq

    • @keddymakemba5301
      @keddymakemba5301 8 หลายเดือนก่อน

      No hotbed Nouri undertake cliches huru kutafakari kwa kina kujua madini yaliyomo.

  • @w4058
    @w4058 8 หลายเดือนก่อน

    Hawajui kweli watabakia na ujinga wao maisha hao

  • @saidathuman1536
    @saidathuman1536 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kwani huyu yupoje, cjamuelewa

  • @omarkhamys9818
    @omarkhamys9818 8 หลายเดือนก่อน +1

    Waislam duuu!! Mtihani!! Majanga!! Wakosoaji tobaaaaa!! ingekuwaje angekosolewa na wasiowaislam?!!!!

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 8 หลายเดือนก่อน +5

    Wallah hata sijui Mada yake ni nini

    • @fatibra7768
      @fatibra7768 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huwez kuelewa

    • @jumafaki2891
      @jumafaki2891 8 หลายเดือนก่อน +1

      hatuwezi kuelewa Kwa Nini mulipokataa mwezi wa Mali Nigeria na afhanistani hamukusema kua muliuhalifu mwezi wa kimataifa na Kwa Hali hiyo nyinyi ni waongo

    • @salumjumaruhaga2513
      @salumjumaruhaga2513 8 หลายเดือนก่อน +1

      Huwezi kuelewa ikiwa weewe ni miongoni mwa watu. Waliioghadhibikiwa na ALLAA

    • @UmmuMunawarAliy
      @UmmuMunawarAliy 7 หลายเดือนก่อน +1

      We mwenyeo hujielew utaelewa madam yake jielewe ww.

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hakuna Zakaatulfitri baada ya Swala bali hiyo ni Sadaka kama sadaka nyingine tuu kama alivyo tufahamisha Bwana Mtume Swallallahu Alayhi Wasallam

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 8 หลายเดือนก่อน

      Na hiyo sala mwisho saa ngapi? Je mukiamua sala iwe saa 5 au 6 vipi sio sala?

    • @zaynabkarama178
      @zaynabkarama178 8 หลายเดือนก่อน

      Haitakuwa sala ya iddi ila dhuha na kufuatiwa na dhuhur

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kapangwa pangwa akazungunze maana inainekana hao wenziwe wameogopa hata kuongea maana hawanachoooo😂😂😂

  • @AbdillahSaleh-og1gu
    @AbdillahSaleh-og1gu 8 หลายเดือนก่อน +3

    Khutba gani hii ya idi?

    • @UmmuMunawarAliy
      @UmmuMunawarAliy 7 หลายเดือนก่อน +1

      Kwan ww nani mpaka useme ivooh . Ww unayo yafanya yote unauhakika nayo

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 8 หลายเดือนก่อน +1

    mara ngapi munafunga 29 kwahio nyinyi ndii muko sahihi pekeyenu 😂 unachekesha san kwan umekamata bakora alafu unajitandika mwenyeo

  • @salumkagame509
    @salumkagame509 7 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kujuwa tofauti ya bakwata na miskiti.mingine bakwata ijuma wanaongea kwenye khutba kupokea matajiri ao watu marufu wauza tasbihi anazinga khutba ikisomwa wtoza sadaka hawasikiyi khutba wanatembea navitunga vy kuwekeya hela namengine mengi nakutangaza viongozi walio swali ijuma bada ya swala

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe sema tu unamufti wako wa SAUDIA lakini kumbuka hata huyo Mufti wako wa Suudia anatangaza Mwezi Kwa sababu kaambiwa atangaze na Mamlaka ulijuwe hilo kama hulijuwi.

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 8 หลายเดือนก่อน

    Wahubiri mnpohubiri ujumbe wa Allah na wa Mtume wake fafanulieni watu kwamba Bidaa (au mambo mapya yaliyokatazwa ni mambo ya ki badah au ki sharia) lakini katika mambo ya kidunia kama ya ki sayansi kama ya uhandisi na tiba uvumbuzi haukukukatazwa.

  • @muktarkassim6647
    @muktarkassim6647 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nyinyi masheikh munauchechezi kwa Umma

  • @uqbahzahor2340
    @uqbahzahor2340 8 หลายเดือนก่อน

    Midude miharibifu hii sijapata kuona mijaahil kwanza haina tahqiiq yyte ya elimu

  • @salumjumaruhaga2513
    @salumjumaruhaga2513 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani siwwez fata bakwata abadani

  • @AbubakarJuma-fp8fb
    @AbubakarJuma-fp8fb 8 หลายเดือนก่อน +1

    unawambia watu wanyanyuwe kidole uchukuwe zakatul fitry watakaukuosanye pesa ukaibie watu waache wakatoe winyiwao

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Na hao hapo ulokaa nao mbele yako wanakusikiliza utawakataa siku ya Kiama maana na wao hawajuwi hata unalolizungumza.
    Subhaanallaah

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe unajuwa mambo ya ghaib?jiangalie Kwanza wewe uko sahihi?au tayari umeshapewa wahay?jiangalie tena mara ya pili je hutomkataa Mufti wetu siku hiyo?na je utakuwa Bali la kujibu kuhusu Kula Ramadhani na kufungua sikukuu?

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Tatizo kubwa la Hawa Maghulafi ni kusoma BABU MAJAAA Tu!kitabu cha kuwashajiisha watoto!sasa wakisikia mambo mengine huona ni ajabu kwao!hawataki hata kuchungulia ktk vitabu vyengine wao dini ni urithi na sio kusoma,wakiambiwa huchukuwa bila tafakuri na Kwa haya si ajabu maana hata Mitume walipokuja na hoja za kusini walipingwa na kupewa majina mabaya na wengine kupigwa na kuuliwa na ndio maana Leo hii wale Wasomi WA kweli hupata misuko suko mikubwa Kwa wapingaji haki Kwa mazoeya Yao waliorithi Kwa wazee wao! Lkn mapambano ya kuitangaza haki hatutaacha Hadi siku ya mwisho na hatutokata tamaa Kwa figisu zenu

  • @IdrisuMabuda
    @IdrisuMabuda 8 หลายเดือนก่อน

    Yupo sahihi sana sana .Tafakari sana Acha chuki utamwelewa tuu.

  • @IdrisuMabuda
    @IdrisuMabuda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli watu mna chuki isiyo na akili Mimi naomba mjue kuwa calendar ni moja tuu na imefasiriwa na wanazuoni wote duniani ,kwa nini nyinyi hamuifati nyie calenda yenu ni ipi? .Hembu tia akilini Saudi na Tanzania kama kule ni saa 2.00 naTanzani ni 2.00
    Acheni mambo yenu

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 8 หลายเดือนก่อน

      Saudia saa 2 na Tanzani saa 2 je marekan na nich nyengine inakua saa ngap au tufuate saudia tu?

    • @YaziduIddy
      @YaziduIddy 8 หลายเดือนก่อน

      Kwahiyo dini ya uisilam misingi yake umejengeka Kwa kufuata saudia? Hata kama saudia wanakosea kwahiyo tuwafuate tu? Na kama uisilam upo saudia kwanini waislam wote wasiwe na kiongozi mmoja mbili kama Saudia ndo nguzo ya kutangaza mwezi kwanini waislam wote duniani wasifunge na kuswali Kwa matlaghe ya saudia? Kwamfano alifajiri ya saudia sio alifajiri ya Tanzania ni tofauti kabisa tatu kama mungu angetaka waislam wote duniani wafanye Ibada Kwa kutazama saudia basi usiku na mchana ungekuwa ni mmoja na mwezi ungetoka Dunia nzima Kila mtu auone kuweni na akili

  • @LionKijazi
    @LionKijazi 8 หลายเดือนก่อน

    Simu na TV vimewachanganya wanataka kumaliza khitilafu za miandamo kwa bando.. Nunueni darubini ya tanga basi ili nanyi sikuzingine muwatangazie wasudia... Misikiti yenu inafujo kuliko
    Lugha hamjui

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    NA ILE ALOSEMA MTUME..MANSANNA SUNNATUN HASANAH...UNAIZUNGUMZAJE?

  • @HusseinMdee
    @HusseinMdee 8 หลายเดือนก่อน

    Zakatul fitri kweli yatolewa baada ya swala kweli au ndio allah ameamua kuwadhalilisha na tukiuliza kiwango chako ,cha elimu tutaambiwa umesoma madina jiangalie

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe hiyu kasoma madina huyu hana kiwango cha elimu kiwango chake ni ukhawariji hamasa za kushik dola kupigana jihdi kushik kitabu akasoma hayaki kwaiyo hajasoma mdina mwalimu wake mkubwa ni siri yangu nitafute nikuambie

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน

      Tukufuate wapi sasa ebu tuambie au ni bwana musselem bin Ally 😢​@@MohdIkra-d7s

    • @abbaspaziaog2188
      @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน

      Na kwanza huyu sio mtu wasunnah ni uhl bidaah kama hao masuffiy wengine

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Nani kakwambia kua walitakiwa wafunge 30?
    Kwakua nyinyi mara hii mumefunga 30? Mushafunga 29 ngapiiiiiiii...haata idadi yake ni kubwa sanaa

  • @habibhassan8733
    @habibhassan8733 8 หลายเดือนก่อน

    Alikosea badala ya Zakat fitr alisema swadaqat fitr lakini ni makosa ya kiulimi tu

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 7 หลายเดือนก่อน

      Sio zakatul fitri kwasababu wamemaliza kusali ni swadakha eleweni ndungu zangu kabla ya kuongea

  • @saidisaidi2310
    @saidisaidi2310 8 หลายเดือนก่อน +1

    Fitri baada ya swala ya idi ww hujui kweli

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน

      Hajui huyuuu

  • @husseinfikirini9849
    @husseinfikirini9849 7 หลายเดือนก่อน

    Shekh ata kazi ya مع hujui aibu الذين صائمون wewe jmn

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani hapo anaongea mwenyewe wasiwasii mtupuuuu

  • @saidisaidi2310
    @saidisaidi2310 8 หลายเดือนก่อน

    qaalal habiibil mustwafaa hata hata hili nalo

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Eeeee..jamaniiii...elimu si maskhara janii

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Alotangaza Mwezi wakati wa Mtume alikua nani? Hebu naomba majibu. Ni nani alotangaza Mwezi mjombaaa? Swahaba gani?

  • @ShumbaVyamboni
    @ShumbaVyamboni 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu Ami ni haramu kwa mwenye akili kumsikiliza, sikwambii mwenye elimu .. mwenye akili tu haifai kumsikiliza
    Si kiarabu wala kiswahili anavuruga tu
    Si sheria wala hukumu anavuruga tu
    Si mawaidha wa Daawa anavuruga tu
    Tena la kushangaza umati unaomsikiliza ni mwingi
    Yote haya ni ukosefu wa elimu ndio maana watu wanapelekeshwa na huyo

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 8 หลายเดือนก่อน +2

    Leo siku ya furaha wewe unaleta farka ndani ya uislam umevaa mkashda waona haya

  • @NassorBakar-h1k
    @NassorBakar-h1k 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nenda kasome tena we mzee acha kupotosha umma

    • @fatibra7768
      @fatibra7768 8 หลายเดือนก่อน

      Ikiwa huyu ni mpotoshaji, ww twambie Haqq ni ipi?

  • @SlemanJuma
    @SlemanJuma 8 หลายเดือนก่อน

    Waacheni hao hawtakwisha wanaosikiliza kwa kutafuta makosa sio kwa kupata faida hata wakati wa mtume walikuepo wanatafuta nafasi ndogo kukataaa ujyumbe

  • @MussaAddam
    @MussaAddam 8 หลายเดือนก่อน

    Wengi wenu mlio comments wachafu wa nafsi hata wislam wenu hamufaham kaeni msome dini yenu

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 8 หลายเดือนก่อน

    Bakwata wameona duh na mwaka huu tule cku ya Eid kama miaka ya nyuma!
    Eti wamekırupuka kutangaz mwez
    Eid ilikuwa nchı zote za kııslam mwez ulıkuwa umetoka
    na ngewashangaa sana
    kıukweli ndıo ıpo hıvyooo ila uongozi wenu unataka kujıfanya wao wako kıpekee ndıo maana kuna kıpınd hata ukımletea taaarifa kuwa mwez umeonekana atakuambıa tulisha haujaonekana!!
    Bakwata ni Siasa tu hakuna Tawheed hapoo.

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu na watu wa madufu hawana tofauti. Maan khawarij na watu wangoma watu wamadufu lao ni moja

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 8 หลายเดือนก่อน

    Hata akiongoza mtumwa basi atiiwe hiyo ndio suna sasa nyinyi hamumfati mufti wa tz mnafata suudia hamjui kila mfalme anamipaka yake Sawa je nyinyi Kawa chaguwa Nani maana taasisi zipo nyingi tz lakini hazi fanyi kama nyinyi eti hamutaki kumfata mufti je nyinyi Kawa chagua Nani

  • @SalamaKhamis-un8vn
    @SalamaKhamis-un8vn 8 หลายเดือนก่อน

    Sijapata kuona mashekh khatari kama hawa wakiwahabi Yaani aya za makafiri zinahusishwa na waislam ambao hawako mrengo wako duh!

  • @AbdulkarimShosi
    @AbdulkarimShosi 8 หลายเดือนก่อน

    Wallahi huu ni mtihani mkubwa huyu sheikh na wenzake kina barhiyyan ni watu wakuleta farqa na fitna kwenye dini katika uma wa kiislamu dalili zao zote ni dhaifu hazina mashiko tuwaombeeni mungu aeaongoze kwenye njia ilionyoka

    • @jumadinya3796
      @jumadinya3796 8 หลายเดือนก่อน

      Acha maneno ombini mdahalo usimamiwe na dola na tuagize masheikh toa kote duniani waje tujue nani anajua nani hajui acheni kutukana masheikh wetu kama mnajua kelele zanini kutangaza Ibada kosa liko wspi kisheria acheni chokochoko za kusemana tunashindwa kuwapa waisilamu Dini na maendeleo yao kama Elimu uchumi hosptali hatuna ya kinamama leo huoni huruma juu ya mwanamke kwenda kupimwa na wanaume unaona ni jambo zuri hilo mbona hamkemei hilo jitambueni acheni kupoteza malengo katika jamii yetu tushikamane pamoja kwa Dini yetu sisi tujiokoe na uchumi fikira hizi sijaona yoyote aseme humu kazi yatu ni fitina kila siku tuache ALLAH ATUPATANISHE TUWE KITU KIMOJA AMINA

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Saudi Arabia si Sudeisi wala mwenziwe Sudesi ambae anatangaza Mwezi pasipo na amri ya Mamlaka.
    Nadhani weengi hamulijuwi hilo.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Kama Sudeis kapata taarifa au kauona mwezi amsubiri Nani?suala la kupewa amri na Mamlaka limetoka wapi?na Mamlaka ipi?usizunguke kitu Kwa jazba na ushabiki ktk dini!dini si ya mamlaka ya viongozi wahafidhina

    • @HamadaZubeirTahir
      @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo Huwezi kudanganya watu ambao wameshakaa SAUDIA miaka zaidi ya minne. Sudeisi hawezi kutangaza Mwezi mwandamo bila ya amri kutoka Mamlaka na hilo mjomba halihitaji toochi wala tungi la umeme

    • @HamadaZubeirTahir
      @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo Na hakuna mtu yeyote ndani ya Mamlaka ya Saudi Arabia ambae atatangaza Mwezi mwandamo uwe wa kufunga ama kufungua bila ya idhini ya Mamlaka narejea tena.
      Wewe endelea kupinga kwa ubishi wako sasa

    • @HamadaZubeirTahir
      @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo Maana sio Sudeisi tu na wenzake Sudeisi.
      Wewe ulishasikia kwamba SAUDIA kuna sheikh katangaza Mwezi na mwengine katangaza na mwengine katangaza? Nitajie mmoja tu.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      @@HamadaZubeirTahir Ustadh Kule hakuna unafiki juu ya mwezi maana hakuna miandamo miwili muandamo na teh ni moja Tu ya Kiislamu na utake usitake pale ndio kitovu cha waislamu

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Naona yuko hapo hapo

  • @AshuraKimera-nn3bj
    @AshuraKimera-nn3bj 8 หลายเดือนก่อน

    mashekhe mnaitilafiana nini kaeni pamoja munachuchanya tusome kwa mashekhe gan

    • @mashakalukinda2350
      @mashakalukinda2350 8 หลายเดือนก่อน

      shekh yukosawa kabisa wewe unayemkosowa huna uelewa hata kidongo

  • @AllyAbdulrahman-d3j
    @AllyAbdulrahman-d3j 8 หลายเดือนก่อน

    Mwezi ni mmoja2 na hata kama watu wanatofautiana masaa haina maana kwamba watu wapishane na hakuna mwezi wa Tanzania

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 8 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli mwezi ni mmoja ila huoneka tofaut kam unavyokua unaonekan saudia ila Tanzania na nchi yengine hauonekan

  • @AffectionateFood-rz5sv
    @AffectionateFood-rz5sv 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo ni upole na unyonge wa bakwata
    Meno wanayo lkn wanashindwa kung'ata.
    Matusi na dharau juu ya mufti yataendelea hadi pale viongozi wa bakwata watakapojitambua na kuacha mazowea

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Wape muelekeo na ikibidi kajiunge nao mutuoneshe hayo meno yenu!hii dini siyo ya Bakwata wala ya Kikundi chochote naona mawazo yako yameganda kama mtindi wa ASAS!Mimi nadhani pelekeni maombi ktk Serikali ibadilishe katiba na pia kama kuna uwezo badilisheni na Aya ktk Qur-aan muingize kipengele cha kumpa mamlaka kumtangaza mwezi Mufti wa Bakwata

  • @hassanlibingai8811
    @hassanlibingai8811 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona kuna mada nyingi tu za kuongelea? Waislamu tuna mambo chungu nzima ya kuelezana, kuliko ujinga huu wa mwezi kila wakati

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahir 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo mtu akijiona au akionekanwa anajua kuweka kitambaa kichwani keshakua Shekheee

  • @jumamigindu7639
    @jumamigindu7639 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa maana hiyo, mashekh wanawalingania waislamu kuingia motoni? Kua makini maelezo yako. Nawe pia utaulizwa kwa maneno hayo unayoyatoa jiandae kwa hilo la kulingania farqa.

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Farka ya Mufti wenu wa Tanzania hukuiona?anayotaka Serikali iwakamate na iwaweke ndsni wasiokubaliana na yeye?na Kwa akili zako Farka ni kusema ukweli?kasome wewe uone Muislamu anayelingania dini kufikwa na nini?na hata Mitume yote nini kiliwapata wakati wa kulingania haki!Sheikh wa kweli hawezi kwenda sambamba hata siku moja na Serikali za kiimla!watu wa demokrasia na jiulize ni vipi Serikali isiyokuwa na dini kwann iwachagulie Waislamu viongozi wao?na msikilize vizuri Mufti wenu Zubeir alipokuwa anatowa shindikizo lake Kwa Serikali ili wanaotangaza mwezi kinyume na yy wafanyweje? Na aliutowa Lisa cha marehemu Hemmed bin Jumaa slipopewa amri wa mamlaka kutoka juu autangaze mwezi ambao ilikuwa haujaonekana!na akatangaza lkn yeye hakufungua je hata hapa hamujapata Sono?ni Waislamu wa Aina gani nyie musiotafakari?

  • @princesaha3262
    @princesaha3262 8 หลายเดือนก่อน +2

    Naona hueleweki!!!

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน

      Mcharazeni huyuuu anapenda kuporojaa

  • @hamisiramadhani3538
    @hamisiramadhani3538 8 หลายเดือนก่อน

    Halafu hii nikama nchi zima hawa jamaa hii misimamo yao haina kichwa wala miguu nawashangaa sana huwa wanasema mwezi ukionekana popote duniani wanawafuata mbona mwaka huu hawajafuata Mali mwezi ulionekana kwa hiyo bila msaudia hawafuati wengine

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 8 หลายเดือนก่อน

    Me Mkristo! Niliwashangaa jamaa wa vpedo wamefanya ckukuu na walofunga 30,wao c wanafunga cku moja kabla? Kwa hiyo waligunga 31??? Oyooyoooo.

    • @AljuhaniAllyy-dg4ld
      @AljuhaniAllyy-dg4ld 8 หลายเดือนก่อน

      Silimu kwanza uwe muislamu ndio utajua kinachoendelea 31 hiyo imetoka wp? sasa wewe ni mkristo unaingia vp ktk mjadala huu.

  • @MaalimYussuf-qy9ic
    @MaalimYussuf-qy9ic 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo umesema kweli kuwa kila kitakacho kuja ni bidaah kama mulivyo vizusha nyinyi

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 8 หลายเดือนก่อน +2

    Wewe mjinga uko na wajinga wenzako naona ukasome baadae utoe hutba

  • @allykanju2464
    @allykanju2464 8 หลายเดือนก่อน

    Waislam hatuna maneno mazur ktk kukosoana ndio wakristo na wasio na dini wanashindwa kuja ktk uislam kabla hujazungumza fikiria mitandao isitutie wendawazimu tunatusiàna na ķudhaŕauĺiana ķam shekh kaķòsea toà dàlil ķwa unachoelew sio kukashifiana

  • @SlemanJuma
    @SlemanJuma 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa kawaida khutba ya idd haina mada

  • @RamadhanKhalfan-tq1go
    @RamadhanKhalfan-tq1go 8 หลายเดือนก่อน

    Hamna sheikh hapo hamna lolote nyinyi vikanzu vifupi

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 7 หลายเดือนก่อน

      Ndugu ACA matusi unataka aseme nini ili umpende?

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 7 หลายเดือนก่อน

      Unataka aburuze kanzu kama wanawake?

  • @ahmedsalim9463
    @ahmedsalim9463 8 หลายเดือนก่อน

    Tusomeni tujue dini yetu
    Hawa wengine bado hutba haina mashiko

  • @abuutasniym2675
    @abuutasniym2675 8 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko nasuala moja kuhusu zakatulfitri
    Sheikh amesema yakua kama mtu hajatoa zakatulfitri funga yake haikubaliki
    Suali: Vip kuhusu mtu ambae hana chochote atoe nini?
    Najee huo utakua ndio uadilifu wa Allaah kwawaja wake?
    Nakama nilazima kufanya hivyo sasa atapewa nani hio zakatulfitri wakati kila mmoja anatoa?
    Kwasababu mwenye uwezo ndie anaetakiwa kutoa sasa hii imekaaje?
    Mimi sidhani yakua hadithi hio kama ipo sahihi nakama ipo sahihi basi inazungumzia watu maalum yaani hukmu hio yakuto kukubaliwa funga zao nikwawale wenye uwezo wachakula chasiku hio halafu wakaacha kutoa hio zakatulfitri ndio hao ambao funga yao haito kubaliwa
    Ama kwawale wasio nauwezo hio hukmu haiingi
    Ningeomba huyu sheikh angepitia vizuri kabla yakuongea

    • @salumkagame509
      @salumkagame509 7 หลายเดือนก่อน

      Mwenye uwezo hio hukmu inamhusu ila mwenye Hana hukmu hamuhusu yeye atapewa

  • @SlemanJuma
    @SlemanJuma 8 หลายเดือนก่อน

    hii nd kawida usichokipenda huezi kukikubali hata kiwe vipi na unachkipenda utakisifu hata kikiwa kibaya vipi ndio kawaida wapingaji wa dini ndio tabia yao hata mtume alitukanwa na apinzani wake

  • @OmaryBakariOmary-ts3mf
    @OmaryBakariOmary-ts3mf 8 หลายเดือนก่อน

    Wewe unaokosoa unaelimu gan

  • @kingsolomn3550
    @kingsolomn3550 8 หลายเดือนก่อน

    Bora ujifunze vizuri Kiarabu kwanza. Ushauri tu. Sio amri. Na hii Quran si ya baba yako, naona unajisomea unavyotaka tu. Mshaaka mtupu.

  • @saidisaidi2310
    @saidisaidi2310 8 หลายเดือนก่อน

    wah الذين صامون صياما 😂😂😂 بعد صيامة

  • @ramadhanlipendelee3496
    @ramadhanlipendelee3496 8 หลายเดือนก่อน

    Wakullu bidgha ti KUTUMIA DARUBIIINI.

  • @GSaleh-xr3vn
    @GSaleh-xr3vn 8 หลายเดือนก่อน

    Sheikh anauhakika kua kila kinachozuliwa ni upotevu anashindwa kujua kua mwezi wa kimataif nao haukuwepo nyakat za nyuma

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Wewe Kwa kweli Una akili za samaki!hufahamu neno mwezi wa kimataifa? na uko nyuma hakuna?yaani Waislamu kama wewe ni shida!

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 8 หลายเดือนก่อน

      Kasome Imam Malik,Imam AbuHanifa na Imam Hambal ilinuone na ujuwe mwezi wa Kimataifa

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 8 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo kusoma ndio huku nieleweshe tu upate thawabu na huu mwezi wa kimataif umetajwa katik aya au hadithi gan naomba unipe elim

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 8 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4mo nimeshachelewa kusoma naomba unipe elim wamesema umepatikanaje mwezi wa kimataif

    • @GSaleh-xr3vn
      @GSaleh-xr3vn 8 หลายเดือนก่อน

      @@AliSalim-yu4moMtume amesema nifikishieni walau aya moja naomba nieleweshe sio kunilaum mwenzio sijasoma

  • @abuuhumaidsalumassalafiyy3688
    @abuuhumaidsalumassalafiyy3688 7 หลายเดือนก่อน

    Ni katika wajinga tu hao kisha nasikia ni mganga baadae asimama kutoa khutba hizo hakuna jengine ila kupotosha watu tu

  • @SalumMohammed-r8n
    @SalumMohammed-r8n 8 หลายเดือนก่อน

    Wawapi huyu

  • @SlemanJuma
    @SlemanJuma 8 หลายเดือนก่อน

    Mnatakiwa mlijue hilo tafuteni hakki acheni chuki

  • @AbubakarJuma-fp8fb
    @AbubakarJuma-fp8fb 8 หลายเดือนก่อน

    wee umesoma wapi Acha kurop9oka

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน

      Kasoma huyu mwalimu wake ni kitabu hununua kitabu akajifugiaa kisja akasomesha

  • @SlemanJuma
    @SlemanJuma 8 หลายเดือนก่อน

    Au kwa sabb wametajwa mayahudi mabwna zenu

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 8 หลายเดือนก่อน

    Hhhh kazi kutangaza firaqi

  • @ShumbaVyamboni
    @ShumbaVyamboni 8 หลายเดือนก่อน

    Nawaomba ADIL TV waondoe hii video wanatukanisha Uislamu.. ikiwa Sheikh yuko hivyo tunaonekana sote watanzania tuko hivi

  • @sheikhabdillahmassawe5302
    @sheikhabdillahmassawe5302 8 หลายเดือนก่อน +2

    Khatwibu Mbaya huyu

    • @MohdIkra-d7s
      @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

      Ehee taratibu ubaya wake ninini eleza kwa uadilifu usiwe "BAGHYAA" chuki choyo roho mbaya husda eleza kwa uadilifu sisi huyu tunamjua na tunamkosoa kwa uadilifu

    • @UmmuMunawarAliy
      @UmmuMunawarAliy 7 หลายเดือนก่อน

      Ww so muislam ndo ukasoma ivih

    • @UmmuMunawarAliy
      @UmmuMunawarAliy 7 หลายเดือนก่อน +1

      Ww so muislam ndo ukasoma ivih

  • @husseinfikirini9849
    @husseinfikirini9849 7 หลายเดือนก่อน

    شهر رمضان ثلاثين akuna ufai ats kurekodiwa wewe

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 8 หลายเดือนก่อน +4

    Aisee huyu jamaa nimjinga sana. Asilimia tisini na tisa ya maneno ya kiarabu aliyo yatamka katamka makosa. Dah! Watu wana ichezea dini sana jamani

    • @HamisMohamed-gi1pi
      @HamisMohamed-gi1pi 8 หลายเดือนก่อน

      Asante shekhe kwa ukumbusho ulio bola

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 8 หลายเดือนก่อน

      Toa mfano wa neno aliokosea kutamka la kiarabu ili tukuelewe sio unasema kijumla jumla huenda wewe ndio unamatatizo ya kusikia

    • @NassorBakar-h1k
      @NassorBakar-h1k 8 หลายเดือนก่อน +3

      Acha kumtetea amekosea cn t

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@NassorBakar-h1k mwenye afya nzuri ya akili huwa akikosoa huonyesha kosa mpayukaji huwa anapayuka tu pasina faida yeyote.

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 8 หลายเดือนก่อน +2

      ​@@maftahmusa9513acha ushabiki huyo sheikh ni mtupu sana Hana chochote ajuacho kuhusu dini yeye ni mbumbu

  • @LionKijazi
    @LionKijazi 8 หลายเดือนก่อน

    Ujinga wa kusomea
    Inamaa hujui khitilafu ya miandamo.. Umejifunza fujo tu. Ndo mana mnatamani jihadi kwenye nchi huru

  • @MtandaKibari-zm4bj
    @MtandaKibari-zm4bj 8 หลายเดือนก่อน

    Staki kuhoji sana kuhusu hii video ila nilicho kichunguza huyu shehe alikuwa amevuta bangi cyo akili yake na simuiiti shekhe kwasababu hana sifa ya kuitwa shekhe

  • @AbdullahiHamadi
    @AbdullahiHamadi 8 หลายเดือนก่อน

    Uko sahihi shekh wengi waislamu majina tungesoma tusinge pelekwa pelekwa na hao wanasiasa akina Zuberi nandomana wanajitahidi watu wasisome dini ya haki ili waje kuabudiwa wao

    • @AbdulkarimShosi
      @AbdulkarimShosi 8 หลายเดือนก่อน

      Nenda ukasome acha ushabiki hiyo yako ni taasub

  • @SalumMohammed-r8n
    @SalumMohammed-r8n 8 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂

  • @HusseinMdee
    @HusseinMdee 8 หลายเดือนก่อน

    Kasome wewe mwenzenu bachu alipewa ofa kwenda kenya kusoma wewe njoo tanga uchague chuo ila kisiwe cha kihabi kinawapoteza wengi mana wewe umetaka kuonekana tu ila elimu huna ni aibu watu wamejua kwamba hamna jipya ni aibu tupu ,tuzindukeni lugha hujui fani yani hujulikani ,unachoongea😂😂😂😂