Mungu akubariki sana yaani kuna muda nilifika nikajua kuwa Mungu ameniacha na nikajua hapa naenda kuchekwa na naenda kuaibika lkn mkono wake ulivusha jamani,hii nyimbo ni nyimbo yangu ya kufunga mwaka maana nikikuwa naenda kuchekwa mungu amenishangaza pakubwa sana eeeh Yesu wangu nashkuru sana tena mno........Kwa Mungu yote yanawezekana jamani,eeeh Mungu mbariki sana mtumishi wako na Mbariki daima❤
Kushukuru ni kitendo cha kutambua na kuthamini neema, fadhila, au msaada uliopatikana kutoka kwa mtu au kitu fulani. Ni njia ya kuonyesha uthamini na kutambua kwamba umepokea kitu kizuri au cha maana. Kwa mfano, unaweza kushukuru kwa: Neema za Mungu: Kama vile afya, riziki, na ulinzi. Msaada wa watu wengine: Kama vile msaada wa kifedha, ushauri, au msaada wa kimwili. Matukio mazuri: Kama vile mafanikio, furaha, na upendo. Kushukuru ni tabia nzuri ambayo inaweza kuleta furaha, amani ya ndani, na uhusiano mzuri na wengine.
Shukrani zimwendee aliezifanya mbingu na Nchi ..❤❤❤.Barikiwa sana mtumishi wa Mungu nimekuja kushukuru🎉🎉🎉
Ujumbe mzuri pia nashukuru kwa kazi nzuri hiyo
Kazi makini sana Mungu azidi kukuinua kaka chukua mauwa yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Woooow 🔥
Naungana nawe kushukuru huyu Mungu
Amaizing brother ubarikiwe sana sana sana sana sana sana💪💪💪💪
kama Mungu duniani kungekua na nano zuri zaidfi Ła kukuambia zaidi ya ahsante ningesema lakini pokea shukrani za mioyo yetu tuu hakikahsante.
Mungu umekua mkuuu sana kwangu
Hivi ni kweli ama naota wimbo wangu wa kuvukia mwaka
Butati barikiwa mdogo mdogo wangu Mungu akuinue kwa viwango vikubwa mtumishi wa Mungu
Nimelia sanaaaaaaa jamani huuu wimbo Kuna jambo Mungu kafanya mwishon mwaka nilikua natafuta wimbo wa kuimba siku ya kutoa sadaka ya shukrani yani
Nami nashukuru pamoja nawe muimbaji kwa kumaliza mwaka muzima.
Hii ni mwanzo kabisa kaka yangu , kweli hiyo nyimbo naipenda sana nakuomba please tuimbe ile nyimbo pamoja
Wow nice song brother huuwimbo ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Paka tu one mwaka mupia amen🎉🇨🇩☑️
Mungu akubariki sana yaani kuna muda nilifika nikajua kuwa Mungu ameniacha na nikajua hapa naenda kuchekwa na naenda kuaibika lkn mkono wake ulivusha jamani,hii nyimbo ni nyimbo yangu ya kufunga mwaka maana nikikuwa naenda kuchekwa mungu amenishangaza pakubwa sana eeeh Yesu wangu nashkuru sana tena mno........Kwa Mungu yote yanawezekana jamani,eeeh Mungu mbariki sana mtumishi wako na Mbariki daima❤
Hakika tumekuja kushukuru yesu umetenda makuuuu
Hareruya utukufu kwa Yesu🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😢🙌🙌😢
Hongera kaka kazi nzuri ubarikiwe
Katika maisha usikubali kutoa nafasi ya mungu na kumuweka mwanadamu yani pigq goti ipo siku mungu atakushangaza sana sana ...........
Kama ww unampenda hii wimbo weka like hapa
Nimekuja Kushukuru Yesu wangu😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu akubariki mtumishi
I love this artist he is my favorite. I am not Swahili but l can sing and understand his songs. I play Wataulizana every day of my life ❤
Hii itakua fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hiiiii ni ya kufungulia mwaka kabisa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉nimekuja kushukuru
hakika kaka BUTATI nyimbo zako zinanibariki .
Kushukuru ni kitendo cha kutambua na kuthamini neema, fadhila, au msaada uliopatikana kutoka kwa mtu au kitu fulani. Ni njia ya kuonyesha uthamini na kutambua kwamba umepokea kitu kizuri au cha maana.
Kwa mfano, unaweza kushukuru kwa:
Neema za Mungu: Kama vile afya, riziki, na ulinzi.
Msaada wa watu wengine: Kama vile msaada wa kifedha, ushauri, au msaada wa kimwili.
Matukio mazuri: Kama vile mafanikio, furaha, na upendo.
Kushukuru ni tabia nzuri ambayo inaweza kuleta furaha, amani ya ndani, na uhusiano mzuri na wengine.
Ahsante yesu kwa yote umetenda🙏🙏🙏🙏
barikiwaaaa Sana'a kwa Ujumbee huu mkubwaaa
❤❤❤🎉🎉🎉🇧🇮tunakukubali san
Wenywe wanawatch 31st Dec 2024 tym 23:45 ...Asante kwa wema wako nmekuja kushuru nliomba umejiba baba Asante
Mambo mapya yanakuja waoooooooo
Lazima tumshukuru Mungu kwa matendo yake makuu
Moto utawaka utawaka hiiii siyo kukosa
YESU ni mwema kwakweli tumesona mikono wake
Hiiiii ni ya Baraka sanaaaaaaa
Wimbo wa kufungia mwaka huu
Hiiii Ni ya Baraka sana
Nangoja Kwa ham sana hiiiiiiiiiiiiii
Nimekuja kukishukulu MUNGU wangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏
YESU Yuko juuu ametenda makuuuuuuuuuu
Pokea sifa yesu Nashukuru kwa yote 🙏
Hiiii siyo ya kukosa kabisa
Hiiiiiiiiiii siyo ya kukosa kabisa
Tunafunga mwaka kwa kishindo
Bwana a pewe sifa
Estou ligado a partir de Angola Deus abençoe você servo de Deus
Good work bro, keep it up Sir❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ubora umezingatiwa
Asante Mtumish wa Mungu kwa zawadi hiiiiiiiii
Hiiiii ni baraka kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Binafsi namshukuru Mungu kwa ajili yako
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ kushukuru 🎉🎉🎉🎉
na mimi nina sababu zaa kushukuru Mungu
Bado siku ngap kwani😊
Yesu Asante Kwa neema Yako umenipa nafas tena
Zawad ya Christmas hiii imenibariki sana
Wanao ngoja kwa ham hapa ni wangapa ni wa ngap tujuane😂
Hiii tunaingojea kwa ham kutokea mitaa ya kazuramimba
Nimekuja Kushukuru Yesu wangu
Hiiii tunaingoja kwa ham
Baraka juu ya baraka asante Yesu
Hakika ni muda wa kushukulu
tuko tayari
Moto utawaka tar25 🔥
Hiii tunaingojea kwa ham kubwa
Nyimbi imekuja wakati sasahihi kushukuru
Oooh haleluya namshukuru MUNGU nimekuja kushukuru
Tunaingoja kwa ham
Naona kama ni mbali😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Tulia
Tulia😂
Tulingojs sana
Hiiiii ni baraka sana tunajia
Umetenda mengi yesu hakika umetubeba
Hiiii ni nyimbo yangu nimeiwai 😅😅😅😅😅😅
Nimekuja kushukuru
Nimekuja kushuru
Harerujah utulufu kwa Yesu
Kushukuru nimekuja Yesu
Nimekuja kuchukuru Yesu
Kenya tunangoja
Nimekuja kushukuru Yesuuu
Hiii imenibariki
Tunaisubiri mkuu
Kijiweni hapa tunaingoja
Tunasubili kwaham
Jjozam on the mixing 🔥
Kushukuru on 🔥🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
na mshukuru mungu
Hii double release sasa imewekwa mbali
Double release ya kibabe
Kali kaka Aniseti
Inangojewa hiii
Kushukuru yanii kushukuru 🎉🎉🎉🎉
Asante Yesu umenitendea
Hiii itakua ya baraka sana
Kabisa
Hiii siyo ya kuikosa hiiiii
🎉🎉🎉 ameeeeen 🙏
Tunaingioja
Asante yesu 🙏