Nina experience ndogo ya avocado for busness, ukitaka kulima kwa biashara tafuta maeneo kimo 1500 from sea level, alafu yawe yenye mvua za kutosha, hutapata shida kuhudumia. chini ya 1000m, ww lima kwajiri ya chakula chaco tu. ukifika Arusha ukaangalia hass inavobeba, alafu ufike dodoma uangalie unaelewa kwamba dodoma umeforce,
Mkuu nimeingia you tube mara kibao kufatilia kilimo cha ovacado ila sikupata jibu, niko wilaya ya kibiti kilomita 2 kutoka baharini,je naweza kulima na mimi ovakado ama sio sahihi kwa kilimo hicho?
Inawezekana ndugu, Mimi Niko Masoko karibu na Kyela Kuna joto pia lakini nimepanda avocado na navuna kwa sasa kama uko what's app nitakutumia picha kwa ushahidi zaidi
Sawa bwana Mpanzi nimekuelewa sana ndugu yako wa seedco hapa
Nashukuru kwa somo zuri, nimejifunza kitu hapo 🙏
Karibu sana
Asante sana kwa darasa zuri naomba mawasiliano ni kilimo tija
Karibu, 0715 866 027
Nimependa sana mafunzo
Karibu sana
Asante kwa elimu. Naomba mawasiliano yako, nahitaji kuwekeza katika hii industry
Karibu sana 0715 866 027
Mbona hujaizungumzia songea kwani huko parachichi haifanyi
@@suaside7021 Mkoa wa Ruvuma pia unaweza kulima parachichi na ukapata matokeo bora, ni moja ya mikoa mikuu ambayo unaweza kulima! Karibu
Naomba what's up number
mi natoka Songea, mwinuko 1060m. vipi unadhani avocado inaweza kukuballi vizuri kama ntazingatia mahitaji mengine kwa usahihi.
Ndio unaweza kulima vizuri tu! Karibu 0715 866 027
@@KilimoProTanzania ahsante ntawatafuta
Nina experience ndogo ya avocado for busness, ukitaka kulima kwa biashara tafuta maeneo kimo 1500 from sea level, alafu yawe yenye mvua za kutosha, hutapata shida kuhudumia. chini ya 1000m, ww lima kwajiri ya chakula chaco tu. ukifika Arusha ukaangalia hass inavobeba, alafu ufike dodoma uangalie unaelewa kwamba dodoma umeforce,
Asante kwa Mchango wako, Karibu
Mimi nawaza kuanza kilimo hicho handeni tanga ila bado sijafanya utafiti mana nipo nje ya nchi sijui unaweza kunishauri nini hapo kiongozi
ASANTE SANA.
UMETOA SOMO ZURI SANA
MUNGU 🤲AKUBARIKI & AZIDI KUKUPA NGUVU YA ELIMU KILIMO TUKIPENDE.
UMENIGUSA SANA NA NITAKUTAFUTA TUFANYEKAZI PA1🌹👊
Asante Karibu sana! Endelea kufuatilia vipindi vyetu
👏 👏 👏 👏 👏
Karibu
Natafuta soko la kuuza parachichi naomba connection, nipo Iringa, wiliya ya Mufindi
Wasiliana Nasi 0715 866 027
@@KilimoProTanzaniaKwa Iringa aina Gani ni Bora Zaid?
@@AZAM_MEDIA Hass Avocado
Naweza pata namba yako
@@witnescholela1156 0715 866 027
Broo upo vizuri sana. Unajua kuelezea sana. Mungu akubariki. Ntakuchek kwenye namba yako kwa ushauri zaidi.
Karibu sana
Unayo namba yake nisaidie kiongozi
@@corneljoseph6653 0715 866027
Me hivo vikaratasi napataje kwaajir ya buding
@@DoriceDaniel-f3h 0715 866 027
Kwa Kanda ya ziwa ipi mbegu bola yakulima
Hass Avocado! Inapatikana kwetu, Karibu 0715 866 027
Tarime je
Mkuu nimeingia you tube mara kibao kufatilia kilimo cha ovacado ila sikupata jibu, niko wilaya ya kibiti kilomita 2 kutoka baharini,je naweza kulima na mimi ovakado ama sio sahihi kwa kilimo hicho?
Inawezekana ndugu, Mimi Niko Masoko karibu na Kyela Kuna joto pia lakini nimepanda avocado na navuna kwa sasa kama uko what's app nitakutumia picha kwa ushahidi zaidi
Unauzaje hizo kaka kama nahitaji za biashara
Njoo Iringa
Iringaa sehem gani Kuna parachichi nzuriii !!
tatizo huoneshi picha
Karibu, picha gani unazotaka zionyeshwe?
Umetisha kijana wangu
@@KilimoProTanzaniani vizuri inapotajwa aina ya parachichi inawekwa na picha yake au mwalimu anashika sample kuonyesha...ni muhimu sana.
@@yasirabdalla1430 Sio parachichi zote zilizotajwa zinalimwa Tanzania, ndio maana unazoziona ndio zilizopo!
@@ahz6907 Zingine hazipo hapa Tanzania