🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJJI SEHEMU YA 3 - JAN 18 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024
  • 🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJJI SEHEMU YA 3 - JAN 18 2024
    #jioniyaleo #efmtanzania #Live #lipotiyaleo
    -
    Muziki Unaongea 🎶
    -
    Blogger 📻 93.7 Dsm | 93.9 Moshi | 103.7 Arusha | 94.1 Iringa | 91.3 Mwanza | 88.9 Tanga | 92.5 Dodoma | 95.5 Moro | 102.9 Kigoma | 103.3 Mbeya | 93.7 ZNZ 📻
    -
    Follow Us On:
    INSTAGRAM:
    efmtanzania
    TWITTER:
    efmtanzania
    FACEBOOK:
    efmtanzania

ความคิดเห็น • 84

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 8 หลายเดือนก่อน +16

    Yaaan kuna simulizi nyingi xan zinazogusa moyo wangu lkn hiii simulizi ya haji imenirudixhia maumivu upyaaaa kabisaa ktk maixha yangu " hata haya maixha magum tunaixhi leo yamesababixhwa na wao mama zetu wadogo" niamini Vero kila kwenye watt kumi ujue nane wameixhi hayo maixha haswa cc mama zetu walotangulia mbele ya haji "MOYO" wangu unaugua xana 😭😭😭

    • @Nuyusal96
      @Nuyusal96 8 หลายเดือนก่อน

      Pole Sana, Mungu akucmamie kweny kila hatua,#baada ya dhiki ni faraja#

    • @abdulsalim1069
      @abdulsalim1069 8 หลายเดือนก่อน +1

      @@Nuyusal96 amiiina🙏🙏

    • @janethkomba4485
      @janethkomba4485 8 หลายเดือนก่อน +3

      Pole sanaaa💔 yani comment yako pia imenifanya nizid kutoa machozi😭😭😭😭ujue kunawatu hizi simulizi awazianini nawakati nimaisha halisi yawatu tunapitia😭😭😭😭

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 8 หลายเดือนก่อน

      Tuko wengi tumeyapitia,pole

    • @naimamalekela812
      @naimamalekela812 8 หลายเดือนก่อน

      Wababa inawahus hii

  • @gilbertsamwel4947
    @gilbertsamwel4947 8 หลายเดือนก่อน +2

    Dada tuwekee TH-cam Kwa mfumo ule mwingine jamanii

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 8 หลายเดือนก่อน +2

    Simulizi imeniliza😭😭😭😭😭ila baadhi yawanake Mungu anatuona pole sanaa haji💔pia nimependa msimamo wababa haji💕💕💕🙏

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 8 หลายเดือนก่อน +6

    Na hyu mama wa kambo ukifatilia kabila lake anaweza akawa mbulu wambulu wanaroho ya shetan kabisa mpaka nashangaaga mwenzenu maana daah😭😭

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 8 หลายเดือนก่อน

      Siyo wambulu mamy ni roho ya mtu Nakwambia hivi

    • @Zuhuranadadoita
      @Zuhuranadadoita 8 หลายเดือนก่อน

      Mimi niko Warabu Wana roho mbaya wachoyo wa chakula pia atakuwa wambulu

  • @StevenMduge
    @StevenMduge 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hajj anamoyo mzuri wa kusamee

  • @lovenessmjaka9754
    @lovenessmjaka9754 8 หลายเดือนก่อน +1

    Da vero nakupenda sana 😊 yani una simulia kwa vitendo

  • @chidugalesembuli6650
    @chidugalesembuli6650 8 หลายเดือนก่อน +2

    Mama anabebamimba miez 9 anazaa kwauchungu na mtoto wake mwenyewe anam2pa chooni unategemea aje amsamini mtoto ambae hajakaa kwenye 2mbo lake wamama punguzeni roho mbayaa inauma sanaaaaaa

  • @mwanaidimussa
    @mwanaidimussa 8 หลายเดือนก่อน +3

    Da vero anaelezea vzr utazani yy ndo haji!😂

  • @ufudhcjxc1359
    @ufudhcjxc1359 8 หลายเดือนก่อน +2

    Subra nikuulize nikiwa lraq kurdistani Haji nimekumbuka mdogo wangu enzi iyo ali yapitia mwaka1 😢yaani alivyo kuja likizo mmmmh mdogo wangu alizoofika mama akasema awezi kuludi tena kwa bb 😢 Atimaye alamosa elim na alikuwa na uwelewa lkn kutokana na mazingila 😢

  • @NghwaniNkwabi
    @NghwaniNkwabi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu uzidi kusema na akina Mama Asante sana Vero sauti yako Tamu ndio yanogesha Hii simulizi ❤

  • @DottoMwindika
    @DottoMwindika 8 หลายเดือนก่อน +1

    Naipenda hii stori dada ongera umependeza sn naipenda unavyoongea

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 8 หลายเดือนก่อน +6

    Hao ndio wale wamama wanaoharibu sifa za mama wa kambo shenzi😞☹️

  • @ambrosemapande
    @ambrosemapande 8 หลายเดือนก่อน

    mbona hatuzipati za sehemu ya tano na kuendelea????????????????????????????????????????????????????

  • @maryndailech7227
    @maryndailech7227 8 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn simuliz hii imeniliza 😭huyo mama hafai hata kdg

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน +1

    😅😂🎉😂

  • @JakrinJakrin-e4w
    @JakrinJakrin-e4w 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana haji

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 8 หลายเดือนก่อน +3

    NA DA VERO UNAVYO JUA. KUELEZA KMA ULIKUWE PO😅😅😅😅

    • @vickysteven1172
      @vickysteven1172 8 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂

    • @BintHassan-o1y
      @BintHassan-o1y 8 หลายเดือนก่อน

      @@vickysteven1172 umeonaeeh

  • @Mrs-sh4fx
    @Mrs-sh4fx 8 หลายเดือนก่อน

    Huyo mama kachanganyikiwa kupoteza maisha ya hapo na watoto wawili nani atampokea

  • @Jenniferabushehe
    @Jenniferabushehe 8 หลายเดือนก่อน

    Nimejikuta nacheka sana da vero unavyoadithia kama ulimuona anavyolia na makamasi

  • @naimamalekela812
    @naimamalekela812 8 หลายเดือนก่อน

    Eeeeh mungu tujalie roho za kulea vyema watoto wa wenzetu😢

  • @esterlwanda
    @esterlwanda 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wamama wengine hofu ya Mungu

  • @gracesuguta
    @gracesuguta 8 หลายเดือนก่อน +2

    Grace SUGUTA nipo DODOMA Tutake radhi da vero 😂Dar sio mji mkuu,😂😂😂 tuendelee na story

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 8 หลายเดือนก่อน +1

    HASANTEE

  • @careen26mrope76
    @careen26mrope76 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ulimbukeni nao ni mbaya sanaaa, yaani huyo Mama ake Haji wa Kambo hakuwahi kuvipata hivyo alivyokuwa anavipata kwa Baba Haji hivyo ulimbukeni ukamfanya azuzuke.

  • @mwasitijumaarafa9805
    @mwasitijumaarafa9805 8 หลายเดือนก่อน +2

    Leo baba haji alichokifanya nimefurah kiyasi

  • @HassinaMakame
    @HassinaMakame 5 หลายเดือนก่อน

    Davero mbona huzipang et 😢

  • @khorima
    @khorima 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu Baba ni master sana na nioijua tu huyu Baba mambo yakijulikana itakuwa soo

  • @jumakingambe4323
    @jumakingambe4323 8 หลายเดือนก่อน

    MWENYE NO YA KUWASILISHA MIKASA ANITUMIE TAFADHALI

  • @FridaMangulisa
    @FridaMangulisa 8 หลายเดือนก่อน

    Aise ni hatari

  • @DastanElivin-ki8rn
    @DastanElivin-ki8rn 8 หลายเดือนก่อน

    Dastan nipo kagera nakupata vzr dada veronica

  • @MaryamKhamic
    @MaryamKhamic 8 หลายเดือนก่อน

    So sad😭

  • @josephinekamluc1969
    @josephinekamluc1969 8 หลายเดือนก่อน

    Uko nyuma upo vizuri

    • @kakukili6173
      @kakukili6173 8 หลายเดือนก่อน

      Haji una akili kwa ulivomjibu huyo maza ila ngoja nione mwisho

  • @majidy-zh3lc
    @majidy-zh3lc 8 หลายเดือนก่อน

    Hay mko pw wanafamilia wa vero?

  • @khorima
    @khorima 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa kumbe jasiri sana

  • @LoveAron
    @LoveAron 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mala hii baba yako atalogwa atakuchukia hata wewe pia kwaajil ya madawa

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisaaaa 😢

  • @abisaimuhanji3687
    @abisaimuhanji3687 6 วันที่ผ่านมา

    Kuna watu sio wa kuwaleta kwenye familia yako...huyo mwanamke ni hatari sana

  • @Zuhuranadadoita
    @Zuhuranadadoita 8 หลายเดือนก่อน

    Yaani wanawake si Bure mtume alisema kuona peponi mtihani walah unapata wapi mwanaume wa hivi

  • @DottoMwindika
    @DottoMwindika 8 หลายเดือนก่อน

    Wangeondoka tu hao 5:57 6:00

  • @EmilianaVedasto
    @EmilianaVedasto 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman huyo mama ana roho mbaya hatari

  • @GraceDavid-nq4zc
    @GraceDavid-nq4zc 8 หลายเดือนก่อน

    Da hila huyo mama ni wakumfukuza tu sio wa kumsamehe kabisa shenzi zake🎉🎉🎉

  • @JacklineNamahala-r4y
    @JacklineNamahala-r4y 8 หลายเดือนก่อน

    Ila da vero😂😂😂😂 hii fasihi simulizi unaiweza km ulikuwepo vle 😅😅😅😅

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 8 หลายเดือนก่อน

    Wangekuwa wababa wote wanamsimamo kama baba haj tungekuwa na aman

  • @regnachume2619
    @regnachume2619 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli uvumilivu hula mbivu na malipo Ni hapa hapa duniani kila mbengu hunayo panda humea na huzaa Na ina mavuno pia wema Ni hakiba na ubaya Ni hakiba pia

  • @MaryamKhamic
    @MaryamKhamic 8 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha jamn kuna wanawake hawabadilik tabia

  • @EmmanuelJohn-gx5cn
    @EmmanuelJohn-gx5cn 8 หลายเดือนก่อน

    Mim Emmanuer John napatikana upanga ila kwa huyo mama ni was moto inaniumama saaan kwa Kijana mwenzangu

  • @HalimaOmary-e5f
    @HalimaOmary-e5f 8 หลายเดือนก่อน

    Hao wamama wachache ndo wanawafany wamama wa kambo kuonekan wabaya

  • @HalimaOmary-e5f
    @HalimaOmary-e5f 8 หลายเดือนก่อน

    Uyo anaekukorofish ntamchapa😂😂

  • @hanifamshale3624
    @hanifamshale3624 8 หลายเดือนก่อน

    ata mim nina mama angu wakambo ananichukia bila kisa😳😳😳

  • @eunicebuseni
    @eunicebuseni 8 หลายเดือนก่อน

    Ila haji usingesamehe wakaondoka tu

  • @tunkuh661
    @tunkuh661 8 หลายเดือนก่อน

    Ubinafsi uzaa Tamaa, Tamaa huzaa wivu, uchoyo, manyanyaso, fitina n.k vitu hivyo kwa pamoja huzaa uharibifu hata mauti.
    Wanawake wakiondokana na hili suala la ubinafsi dunia itakuwa ni pahala salama pa kuishi.

  • @Zainaburamadhani-rk7en
    @Zainaburamadhani-rk7en 8 หลายเดือนก่อน

    Pole sana haji

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

  • @희정홍-s9e
    @희정홍-s9e 8 หลายเดือนก่อน

    😅😂🎉😂

    • @vumi8371
      @vumi8371 8 หลายเดือนก่อน

      Hee!🤔