WAISLAMU WAFUNGULIWA MILANGO NA KUSWALI KANISANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 72

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 4 ปีที่แล้ว +5

    Mashallah inapendeza

  • @marrytanzania9035
    @marrytanzania9035 4 ปีที่แล้ว +9

    Mungu ni wetu sote

  • @babusadala5732
    @babusadala5732 4 ปีที่แล้ว +2

    Hapo ndo mjuwe kuwa mungu ni mmoja tuu ....hayo mengine ni ubabaishaji tuu ,imependeza 🙏🙏

  • @wenceslauskubezya
    @wenceslauskubezya 4 ปีที่แล้ว +9

    Wa kwanza kuangalia 🙏🙏🙏🙏🙏
    Like zangu wapendwa👍👍👍👍

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 4 ปีที่แล้ว +4

    Masha Allaah

  • @nadyasalum88
    @nadyasalum88 4 ปีที่แล้ว +5

    mashallah heri inshaallah

  • @mwanamisp0fu760
    @mwanamisp0fu760 4 ปีที่แล้ว +2

    Subhana allah

  • @hysamhysamidrisa4234
    @hysamhysamidrisa4234 4 ปีที่แล้ว +4

    Allah yaalam

  • @beatriceantapa5940
    @beatriceantapa5940 4 ปีที่แล้ว +4

    Nmeipenda hii

  • @lilianmuhochi1152
    @lilianmuhochi1152 4 ปีที่แล้ว +5

    Yaan waisalm wengne bhn. Mmesaidiwa lkn bado mnatoa mapovu iv mnataka nn haswaaa! Tuweni na umoja jmn izi Vita mpaka lini!!?

    • @davallamchambe5275
      @davallamchambe5275 4 ปีที่แล้ว +2

      Hakuna povu kila mtu adili na dini yake huu ni mpango wa shetani kutaka kua dini moja alafu isiyo na haki

    • @lilianmuhochi1152
      @lilianmuhochi1152 4 ปีที่แล้ว

      @@davallamchambe5275 🙄

    • @dronemiguel2230
      @dronemiguel2230 4 ปีที่แล้ว

      @@davallamchambe5275 Nmekuelewa xana kaka

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 3 ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 4 ปีที่แล้ว +3

    Watakuja hapa watanzania wenye mitazamo ya dini nasio mtazamo wa Mungu nao wataona kama ni kitu cha ajabu waislamu kufanya dua/ibada zao kanisani.
    Kama wanadamu tunatabia ya kubaguana basi Mungu wetu hivyo maana Mungu ndiye mmiliki halali wa watu wote yaani nikimaanisha watu wasio mjua Mungu na watu wanaomjua Mungu.
    ☝usije ukafikiri hata siku moja kwa sababu ulimkataa Mungu eti huna uhusiano na Mungu!hilo liondoee akilini mwako maana hata kama ukifa katika dhambi bado Mungu atakulinda mpaka siku ile ya hukumu na ndio maana malaika wote walioasi nao wanalindwa mpaka siku ya hukumu kwa sababu bado wao ni mali ya Mungu japo waliasi.
    Tujifunze kupendana na tuondoe chuki ya kujiona kundi hili ni bora kuliko kundi jingine maana Mungu anawajua walio wake.

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

      Soma sura Al Kafirun

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 ปีที่แล้ว

    🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽

  • @zulfamohamed4549
    @zulfamohamed4549 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa misikiti imeisha au ilikuwa akuna kabisa mbon alingii akilin ata bora mungeswali ata viwanjan maan mmerusiwa nasiyo makanisan jaman mbon munaupereka mwislamu kwenye ali mbaya ivyo

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      Walitaka kuswali jamaa na kulikuwa na Hali ya mvua na misikiti imejaa na mingine imefugwa kutokana na korona hivyo ilibidi waombe kuswali

  • @philemongomwa3728
    @philemongomwa3728 4 ปีที่แล้ว +1

    Safisana sisi sote nindugu

  • @davallamchambe5275
    @davallamchambe5275 4 ปีที่แล้ว +1

    Izi sasa laana munazitafuta kwa mola wetu mlezi na nyinyi sio waislamu mulio sari kanisani bari ni wanafiki ila adhabu za Allah zina wasubiria

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      Natuone hiyo laana watakayo pata

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว

      Nawakiipata nijurishe

    • @davallamchambe5275
      @davallamchambe5275 4 ปีที่แล้ว

      @@m.mmarckus6298 nakuurumia na ukafiri wako uenda ukawa mtto wa nje ya ndoa

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว +1

    Na mi sanamu zao humohumo

    • @janessamila3269
      @janessamila3269 4 ปีที่แล้ว

      Waingie mwao! Ukaribishwe bure bado uhoji ulivyovikuta! Shukrani ya punda ni mateke

    • @bjzee1981
      @bjzee1981 4 ปีที่แล้ว

      @@janessamila3269 . Haifai hata Kama bure

    • @olivanooraladin5436
      @olivanooraladin5436 2 ปีที่แล้ว

      Wao waliinga kuswali na sio kuomba kikristo na walivovikuta haviwahusu mtu unaruhusiwa kuswali popote kikubwa Imani yako ni ka mwenyezi mungu

  • @kyelaonlinetv2
    @kyelaonlinetv2 4 ปีที่แล้ว

    Dar ila ili janga

  • @strongfighternal6512
    @strongfighternal6512 4 ปีที่แล้ว +1

    Is not good 😳😳😳 guys sijui kama mungu ataipenda hii

  • @francisemanuel2539
    @francisemanuel2539 4 ปีที่แล้ว

    Padri wa kike hakuna iyo huyo siyo padri ni mama tu

  • @EL-LOFFY
    @EL-LOFFY 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwamba miskiti haipo imeisha au vp yani ...hz acting tu

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      Inaonekana imejaa kwan ujui kukaa mita moja

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      Na walitaka kuswal jamaa na inaonekana kulikuwa na Hali ya mvua

    • @EL-LOFFY
      @EL-LOFFY 4 ปีที่แล้ว +1

      @@anordsakaya9852 hta kma bro lkn hio haitotokea hta cku moja waislam kuswali kanisani na licha ya kwmb wanaswali mita moja bac bdo nafasi zipo coz miskiti mikubwa ipo..hzo nyngn ni njama za watu flani tu kutaka kupotosha watu wengn lkn mwny akili timamu hapo anaelewa

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      @@EL-LOFFY yaani hiyo nchi ni ambayo Imeathirika mno na korona na kumbi zimefugwa kasoro nyumba za ibada sasa misikiti imejaa kutokana na kukaa mita 1.5 na wanataka kuswali jamaa na kulikuwa na Hali ya mvua

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      @@EL-LOFFY ilibidi watie nia na imani kwan kuswali ni mahali popote japo ni mtihani kweli

  • @husseinalawi8045
    @husseinalawi8045 4 ปีที่แล้ว +3

    Mxituzonge apa kanixani vp na nyie kanixa xio nyumb ya allah bwana

    • @ilynpayne7491
      @ilynpayne7491 4 ปีที่แล้ว

      Mi naona bora usali kanisani japo ki islam kuliko kuto sali

    • @davallamchambe5275
      @davallamchambe5275 4 ปีที่แล้ว

      Wapuuzi tu hao vibaraka wa shetani ila adhabu Yao kali na chungu ipo kwa Allah

    • @husseinalawi8045
      @husseinalawi8045 4 ปีที่แล้ว +1

      @@ilynpayne7491 bora nyumban kk

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      Walitaka kuswali jamaa na kulikuwa na Hali ya mvua

  • @dronemiguel2230
    @dronemiguel2230 4 ปีที่แล้ว +1

    Daaaa!! Yaan mambo mengn bhana bax tu upuuzi tu Maan dini ya haki inajulikana xaxa huo msaada vp

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      Kulikuwa na Hali ya mvua na walitaka kuswali jamaa na mosque zimejaa

  • @feisalaley3629
    @feisalaley3629 4 ปีที่แล้ว

    Wanahisi tutaiga wenye kupenda kuiga watu

    • @Hottatto816
      @Hottatto816 4 ปีที่แล้ว +1

      Unaakilindogo sn, I think n mtoto alie comment

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      Corona imepungua Tanzania

  • @feisalaley3629
    @feisalaley3629 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwani hakuna miskiti mpaka waende makanisani iyo actors

    • @haimahaima9473
      @haimahaima9473 4 ปีที่แล้ว

      Elewa miskit imefungwa

    • @hassankijuvi5768
      @hassankijuvi5768 4 ปีที่แล้ว +1

      Misikiti iwe imefungwa kanisaa liachwe wazi lisifungwe...io haiingi akilini.
      En pili muisilamu haruhusiwi kufanya ibada yake mahali ambapo kuna masanamu/picha yoyote etc....

    • @kimzymamy6594
      @kimzymamy6594 4 ปีที่แล้ว

      duh hpo kuna mtiani Allah yalaam

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว +1

      @@hassankijuvi5768 shida ni kukariri sio kila kanisa Lina sanamu na hata kama Lina San amu wanaviondoa ili mfanye swala zenu msipende udini

    • @haimahaima9473
      @haimahaima9473 4 ปีที่แล้ว +1

      @@anordsakaya9852 swadakit

  • @Kai_busati
    @Kai_busati 4 ปีที่แล้ว

    UISLAMU NDO DINI YA UKWELI,DINI ZINGINE NI UTOPOLO TU😊🙇

    • @christsflowe.r
      @christsflowe.r 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwahiyo ndo unayofundishwa haya huko kwenye dini yako ambayo unayosema ni ya ukweli?? Maneno unayoongea hayafanani na unachoongea kama unanielewa!!! Kila mtu kwa imani yake heshimu imani za wengine. Na kama basi unaona dini yako ni ya ukweli represent it well ili wale ambayo sio wa dini yako wavutiwe nayo ila kwa haya unayosema wala hurepresent dini yako / Imani yako vema .

    • @godfreypaulo8355
      @godfreypaulo8355 4 ปีที่แล้ว +1

      Aliekudanganya nani wakati ukristo ulikuwepo hata kabla ya uwislam

    • @oliverjohnsonmmary5333
      @oliverjohnsonmmary5333 4 ปีที่แล้ว

      Acha ushamba dini ya kweli ni. Imani yako

    • @mandytv2667
      @mandytv2667 4 ปีที่แล้ว

      Kwa kip ww kwa mfano ulicho kitenda sasa ukiwa kama muhislamu din aimfikishi mtu mbinguni bal matendo yako mema ndio ndiyo yatakufanya umuone Mungu

    • @anordsakaya9852
      @anordsakaya9852 4 ปีที่แล้ว

      Dini haikupeleki mbinguni Bali matendo yako mema uliyofanya duniani ndo yatakufanya uingie mbinguni

  • @chriskingnampoto3214
    @chriskingnampoto3214 4 ปีที่แล้ว

    Hawa jamaa wabaguzi sana unawakalibashaje waislam hapo ndani kha