- 48
- 39 817
Daughters and sons of Jerusalem ministries
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 8 ม.ค. 2019
Hapa ni mahali pa mafundisho juu ya mabinti juu ya maisha yao ya ubinti.
28 December 2024
KONGAMANO LA VIJANA , UNLOCKING THE TREASURE WITHIN YOU ( season 2)
SAFINA HALL DODOM
SAFINA HALL DODOM
มุมมอง: 54
วีดีโอ
BAADHI YA OVYO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA SASA
มุมมอง 2.7K4 หลายเดือนก่อน
BAADHI YA OVYO ZINAZOWAKABILI VIJANA WA SASA
PESA ISIWE SABABU AU MSINGI WA MAHUSIANO
มุมมอง 735 หลายเดือนก่อน
PESA ISIWE SABABU AU MSINGI WA MAHUSIANO
USAFI KATIKA KIPINDI CHA UJANA ( Sehemu ya pili)
มุมมอง 1026 หลายเดือนก่อน
USAFI KATIKA KIPINDI CHA UJANA ( Sehemu ya pili)
USAFI KATIKA KIPINDI CHA UJANA (Sehemu ya Kwanza)
มุมมอง 4376 หลายเดือนก่อน
Pamoja na kijana kukumbwa na changamoyo nyingi zinazosababishwa na utandawazi upo imuhimu wa kumjenga katika maadili ya kutunza usafi wa maisha yake. Hii ni kwa sababu jambo hili lina mchango mkubwa huko mbeleni anapoyaendea maisha ya ndoa na kujenga familia iloyo bora. Ninamuomba Mungu awape macho ya ndani kuona na kuelewa somo hili. YESU AWATUNZE kwa ajili ya utukufu wake AMINA
NAFASI YA MWANAMKE KATIKA MALEZI YA MTOTO
มุมมอง 1367 หลายเดือนก่อน
Tunaishi katika ulimwengu amabao kila mtu yuko busy na majukumu mengi. Baadhi ya wanawake wa sasa wako katika hatihati ya kushindwa kuwatengeneza vema familia zao ikiwemo kutoa malezi bora kwa watoto kwa sababu muda mwingi wanutumia ofisini, kwenye biashara , wakitafuta pesa kwa ajili ya kujikimu pamoja na familia. Sababu zipo nyingi lakini kubwa ni pale wanawake ambao ndio walezi wakubwa wa fa...
MAKOSA YA KIMAISHA YANAYOWAKUMBA VIJANA
มุมมอง 1459 หลายเดือนก่อน
Katika maisha, kutambua kosa ni hatua muhimu katika kushughulika na kosa hilo. Katika wakati wa sasa, vijana wengi wanakumbwa na misukumo unayowaingiza katika kutenda makosa mbalimbali. Jambo linalosikitisha ni kwamba, wengi wao huwa hawatambui mapema na kurekebisha bali shetani anawapiga upofu na kuwafanya kuona wako sawa. Jambo ambalo hatimaye linaleta uharibifu. Baadhi ya makosa ni matumizi ...
JE UNALISHA NINI AKILI YAKO NA UBONGO WAKO
มุมมอง 3299 หลายเดือนก่อน
Mwanadamu ameumbwa katika sehemu kuu tatu. Mwili nafsi na Roho. Siku zote mwili ushindana na Roho kupitia nafsi. Sehemu inayochakata maamuzi , emossions ni katika nafsi. Nafsi inajumuisha matumizi ya akili, ubongo ambavyo hufanya maamuzi kutokana na ni nini unalisha au unatunza kupitia milango ya fahamu. ni vema kuwa mwangalifu nini unasikiliza au unaona ili kusaidia Roho iwe na nguvu kuliko mw...
JE UNAFANYAJE UNAPOKUTANA NA "MSHANGAO" KATIKA MAHUSIANO?
มุมมอง 3159 หลายเดือนก่อน
Dunia imejaaa mishangao ( suprises) miongoni mwake ni pale unapokutana na tukio ambalo hukutegemea toka upande uliofikiri kuwa mko pamoja. Mwl Joyce Kisha anakuletea baadhi ya njia rahisi za namna ya kukabili na kisha kubaki salama na ukiwa focused na kuendelea na maisha bila kujidhuru wala kudhurika. Vijana wengi tunakutana na breakups na mara nyingi wengi tunaathirika kitabia, kimwenendo na h...
Mitazamo katika mahusiamo - semina ya mabinti
มุมมอง 62ปีที่แล้ว
Mitazamo katika mahusiamo - semina ya mabinti
ZIJUE FAIDA ZA KUWA NA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
มุมมอง 268ปีที่แล้ว
ZIJUE FAIDA ZA KUWA NA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
WATOTO WAFUNDISHWE HESHIMA WANGALI WADOGO
มุมมอง 45ปีที่แล้ว
WATOTO WAFUNDISHWE HESHIMA WANGALI WADOGO
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
มุมมอง 4.5Kปีที่แล้ว
FAHAMU VIASHIRIA VYA KUWEPO KWA HESHIMA KATIKA MAHUSIANO
MAKUZI KWA VIJANA WADOGO (TEENEGERS) SEHEMU YA PILI
มุมมอง 29ปีที่แล้ว
MAKUZI KWA VIJANA WADOGO (TEENEGERS) SEHEMU YA PILI
MAARIFA MUHIMU KWA MTOTO WAKO ATAKAPOKUWA MKUBWA KWENYE ULIMWENGU MPANA
มุมมอง 133ปีที่แล้ว
MAARIFA MUHIMU KWA MTOTO WAKO ATAKAPOKUWA MKUBWA KWENYE ULIMWENGU MPANA
MAARIFA YA NYUMBANI KWA WAZAZI WA KIZAZI KIPYA
มุมมอง 218ปีที่แล้ว
MAARIFA YA NYUMBANI KWA WAZAZI WA KIZAZI KIPYA
NGUVU YA MAKOSA / THE POWER OF MISTAKES.
มุมมอง 425ปีที่แล้ว
NGUVU YA MAKOSA / THE POWER OF MISTAKES.
Asanteh sana
barikiwa Joyce, kazi yako ni njema! nimekumis!
Ooh jamani, habari za siku ndugu yangu Tutafutane 0745 069443
Huwa nabarikiwa sana mama namafundisho yako Mungu akubariki sana
@@VeledianaKalolo Amina Amina
Wagalatia 6:7 apandacho mtu ndicho anacho vuna
Barikiwa sana sana tuponye vijana Mungu akubariki sana
Amina Amina
Hongera sana mafundisho safi
asante madam, mungu akubaliki nimefunguliwa sana
Barikiwa sanaaa mtumishi wa Bwana Mungu na azidi kukutunza.
Kwa mwanaume kujua kuhusu mkewe sio shida sana ila kuhusu mke kujua wengi hukosea kuanza kukupangia kwa kila kijisenti kitu ambacho wanaume huona km tunatawaliwa ktk hilo na sometimes inategemea na huyo mke mwenyewe km anauwezo wa kumanage hali ya kubaki ktk utulivu wa matumizi ya kifedha hata pale ambapo anajua kuna pesa nyingi hivyo ni sahihi kabisa ila inategemea una mke wa aina gani kwasabab wapo wasiokua na uwezo wa kutulia wakijua kuna fedha/money management hivyo basi n vema usemacho ila msome mwenzio n mtu gan kwanza ndipo utafanikiwa eneo hilo.
❤mom
Shalom Mwl. Kisha. Mungu akubariki kwa unayotulishia chakula cha rohoni mabinti zetu.
Hii shule ni kali na iko vizuri
Gharama ni sh ngapi kitabu. Kinapatikana wapi?
Ni shilingi elfu kumi tu, kama uko nje ya Dodoma kinatumwa kwako Contact: 0745 069443 Barikiwa
Amina Mama
Amina Mama
Wawww... Nimebarikiwa
Ameen
Ubarikiwe sana mwalim nakupenda bureee
Amina mama❤
🙏
❤
❤Amina mama
❤️🔥
🎉
kunakitu nimepata hapo Mama!
Mama umereza vizuli sana japokua siamini mwanamke kufundisha
❤
🔥🔥🔥❤❤
Amina Mungu akubariki
DAH BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU NIMEPATA CHANGU HAPO
Amen and Amen
Mtumishi wa Mungu Asante Kwa mda wako na kuitikia mwito wa Mungu Kwa utumishi huu, Mungu anisaidie ili namimi nitumie Kwa nafasi ya wito wangu, haki nahitaji msaada wa Mungu nimeokoka ndio ila itakuaje Yesu akirudi na kunipata nimeitika ila sijatekeleza Mona nashindwa! Ee Mungu wangu nisaidie . Nashukuru Mungu Kwa ajili yako Mwl Joyce ukipata nafasi nikumbuke Kwa maombi nami nitaendelea kukuombea , hata watu wasipo comment usiache Wala kulengea nimeona kitu ulichopewa ubarikiwe katika jina la Yesu Kristo
Amen, nimefurahi ujumbe mzuri , lakini hauelezi mizigo ikijaa network huwa inakamata hasa akipita mrembo mzuri, au umeamka zako tu asubuhi mtambo unakuta upo full charge au na enyewe tukimbie?
Gdbless madam somo nzuri sn
Somo nzuri sn madam ubarikiwe sn
Ameee
Mungu akubariki mtumishi wa mungu
❤🎉
🔥🔥🔥🔥❤❤❤
Asante kwa comments nitafanya hivyo
Safi sana mwalimu Joyce wambie pia wazazi waombee watoto wao na familia zao kila wakati ili Mungu awaongoze katika hayo mafunzo
Ninaomb namba zako za simu
Mungu akubarki mamy
Safi sana👍🙏
Mungu akuinue sana
Amina
Congratulations mom🥳🥳🥰
God bless you my daughter keep watching better is not enough the best is yet to come
🔥🔥
Ameeen
Hongera sana Mwl kisha
Asante sana mentor wangu, Mungu akubariki sana
🥳🔥
💃💃💃💃💃
God bless you. Great teachings
Amen, God bless you Thank you for your comment
Thank you, God bless you, please assist by sharing to others
Ameen
Ahsante sana mwalimu Joyce kwa mafundisho mazuri sana kwa vijana wetu. Nikuombe pia semina hizi ufanye na kwa vijana wetu wa kiume.
Ndiyo kwa sasa najitahidi kuongea nao pia, nitajitahidi wqkati ujao kizingatia hilo maana wengi wananiambia hivyo Ubarikiwe kwa comment yako, tafadhali endelea kiwqjuza na wengine wafikiwe Barikiwa sana