Zanziba yote mshaimaliza Kwa kuiba mnawaambia wananchi mnawajengea nyumba za kukaa halafu mnauza Kwa matajiri sisi walahoi mnatufanya mazuzu Cha ajabu mnafanya biashara Kwa pesa za uma mnajinufaisha nyinyi halafu oye mnatufanya mambwa sio hatujielewi subirini mkifika makaburini hatuwasamehi
Mkasi utaongea
Huseni mwinyi kashanza kuuwa Pemba