DOTTO MAGARI AMUWASHIA MOTO JUMA LOKOLE / NAWAPELEKA POLISI / WAMENIDHALILISHA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 พ.ย. 2023
  • SIKIA MWANZO MWISHO DOTTO MAGARI ALIVYO WAWASHIA MOTO JUMA LOKOLE NA KWISA BAADA YA KWENDA KUONESHA ANAPOISHI / NAWAPELEKA POLISI / WAMENIDHALILISHA SANA TAZAMA HAPA FULL ENTERVIEW
    #manaratv #dottomagari #jumalokole #hajimanara #wasafifm #wasafitv
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 95

  • @hajikhamis3288
    @hajikhamis3288 8 หลายเดือนก่อน +16

    Njooo Zanzibar muwaone matajiri WANAPO kaaa ....na wanaranda na ndaraaa wakati pesaa ipoo kwenyee mkobaaa WA ukiliii

    • @khamisbk8569
      @khamisbk8569 8 หลายเดือนก่อน

      Umeonaeeeee yaan wale wazee WA kutokea Nungwi😊😊😊😊😂😂😂😂😂

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 8 หลายเดือนก่อน +3

    Dotto naomba nikushauri mdogo wangu interview zako fanya mara 3kwa wiki mfano jumatatu, jumatano na ijumaa,hiyo itakuweka kwenye game kwa mda mrefu,interview za kila siku watu watakuzoea utapoteza umaarufu,huo ni ushauri tu

  • @sarafinatenga6466
    @sarafinatenga6466 8 หลายเดือนก่อน +5

    Mikono ya dotto na binzari zake mimi hoiiiii😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hajikhamis3288
    @hajikhamis3288 8 หลายเดือนก่อน +9

    Hakuna brand ilochafuka wakeee ni watumwaaatuu maishaa ni popote hivii mmnazani tajri yake hawezi mpaaa pakukaaa pazuri lakn huenda kashataka kumpaaa lakn mwamba hapendi hayo mambo ....na walaaa usiwashtaki ndugu ukigombana na wanawakee na WW itakuaaa mwanamke ...tukopamoja sanaaa

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dotto Ketto, oya oya , yaani brand ndo linazidi kupepea jambazi langu...!..big up

  • @khaliduhadi2336
    @khaliduhadi2336 8 หลายเดือนก่อน +18

    Huyu jamaa hata kama una stress zinaisha hapo hapo

  • @mdmohammed9411
    @mdmohammed9411 8 หลายเดือนก่อน

    Ila doto❤❤❤

  • @kivuswahilitv6833
    @kivuswahilitv6833 8 หลายเดือนก่อน +4

    MTU mhimu sana huyu doto stress hazina nafasi

  • @maisarah6819
    @maisarah6819 8 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mtu ashaanza kunitoa stress saii,mchawi bando tuu apa😂😂😂😂

  • @DaimaMwasile-wm2ii
    @DaimaMwasile-wm2ii 5 หลายเดือนก่อน

    Dotto magari 🦁🦁

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dotto ❤🔥

  • @kaparohafidh2915
    @kaparohafidh2915 8 หลายเดือนก่อน +5

    Uyu jamaa ilimuuma sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 8 หลายเดือนก่อน +2

    Jamaa Dotto magari kabananishwa ndio maana kapawa.

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 8 หลายเดือนก่อน

    Ehhh

  • @wemaMichael-fr4th
    @wemaMichael-fr4th 8 หลายเดือนก่อน

    khaaa kumbe kuna masaki ya chini daa nilikuwa sijui

  • @sarafinatenga6466
    @sarafinatenga6466 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa mama kizimkazi😂😂😂😂😂😂😂

  • @AbdulMahmud-ut7ee
    @AbdulMahmud-ut7ee 8 หลายเดือนก่อน +3

    Namkubali Sanaa kizimkazi

  • @VeroAkyoo-kr1tk
    @VeroAkyoo-kr1tk 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa kama unapesa ndo mke wako akae pabaya ivo mwanamke unaependa mmmh mungu akufanyie wepesi

  • @moseskulola6913
    @moseskulola6913 8 หลายเดือนก่อน

    Hapo sasa

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 8 หลายเดือนก่อน +1

    ulijiskia vby walivyopajua kwako dotto

  • @sadickshabankiloya4622
    @sadickshabankiloya4622 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo pete alipewa zawad nn maana anahojiwa akili yake yote inawaza ahojiwe kuhusu pete

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 8 หลายเดือนก่อน +2

    We fala siulikataa siyo kwako ni kwa mama mkwe wako😂😂😂😂😂

    • @JacklineNamundengozi
      @JacklineNamundengozi 8 หลายเดือนก่อน

      You are just a hater leave Dotto alone 😏

  • @KhalimaSaid-hx4tc
    @KhalimaSaid-hx4tc หลายเดือนก่อน

    Jaa yupo frexh ila By the way nying sana kila wakat lazima aziweke aaaah aiko ivo

  • @matimfuko641
    @matimfuko641 8 หลายเดือนก่อน

    Infolensa❌ influencer☑

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa nn asiandike nimeleft group😅😅

  • @robinsonphilip7393
    @robinsonphilip7393 8 หลายเดือนก่อน

    kichaaaaa huyo

  • @saidirandon
    @saidirandon 8 หลายเดือนก่อน +1

    Oya mtt wa kzmkaz aunabaya kaka🎉🎉

  • @furaiNvita
    @furaiNvita 7 หลายเดือนก่อน

    Hapa ipoo😅😅😅😅😅

  • @user-on6eb7ty2r
    @user-on6eb7ty2r 8 หลายเดือนก่อน

    Pakulala ana anajiona zalau adi Kwa wana

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mdgo ake Bambo 😂

  • @lweyendelabenito
    @lweyendelabenito 7 หลายเดือนก่อน

    eti yondo sister😂😂😂😂

  • @jaydenbedas5729
    @jaydenbedas5729 8 หลายเดือนก่อน +2

    Kama ulifuatwa yawezekana hata chief Godluve sio yake ile nyumba

    • @swissvany55
      @swissvany55 8 หลายเดือนก่อน

      Ile ya chief NI yake mzee...tulipaka rangi ndani Ile nyumba na yy ndo alitulipa

  • @user-fp4ru5qh3p
    @user-fp4ru5qh3p 8 หลายเดือนก่อน

    😂kaharibiwa

  • @abdull_hafidh
    @abdull_hafidh 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hili jamaa shindikaanaaa

  • @victaboy7273
    @victaboy7273 8 หลายเดือนก่อน +1

    Anaonesha silaa

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 8 หลายเดือนก่อน

      Hana silahaaa anafurahishaaa tuu watuuu

  • @MSABAHATECH-lc4rk
    @MSABAHATECH-lc4rk 8 หลายเดือนก่อน

    Doto kumbe ulikua unacheka Cheka wakati moyoni imekuuma

  • @kazikazini1042
    @kazikazini1042 8 หลายเดือนก่อน +4

    Fanya yako ila epuka kumtajataja ovyo Rais itakuja kukugharimu

    • @chibudenga8977
      @chibudenga8977 8 หลายเดือนก่อน

      Uzuri wake hamjasema Vibaya

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji 8 หลายเดือนก่อน

      Sasa kitamgalimu nn Si raisi wake au nikosa kisheria kumtaja raisi kwania njema

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 8 หลายเดือนก่อน

    Ukaguzi wa slaha

  • @johannmaloda6027
    @johannmaloda6027 8 หลายเดือนก่อน

    Kwaio Juma lokole aliharibiwa?

  • @changarawemichael5556
    @changarawemichael5556 8 หลายเดือนก่อน +1

    Infulensa mtoto wa mama kizimkazi😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-ww9gd8pb7o
    @user-ww9gd8pb7o 8 หลายเดือนก่อน +2

    Unaongea sana, unaishi pabaya. Uza magild utengeneze unapoishi. Unaongea sana utafikiri babu kubwa. Uwapeleke police kwanini? Punguza kujidai tengeneza unapoishi.

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน

      Fanya kitu inapenda so utumwa achen mambo fake

    • @user-ww9gd8pb7o
      @user-ww9gd8pb7o 8 หลายเดือนก่อน

      @@najmasalim-rg6ow ukimsikia anavyojimwambafai utrafili anaishi kwenye mention, kumbe uchocholoni. Wamwmkomoa, naungana I CU leo. Watu wa Jitahidi kimaisha sio maneno tu.

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 5 หลายเดือนก่อน

    Mtangazaji kubali kuwa wewe mshamba. Kila vazi linamahali pake na kila mahali kuna vazi lake. Kila nguo inawakati wake na kila wakati una nguo yake. Utavaaje track suit ukiwa kazini kwani upo kwenye physical exercise. Kubali weeee bonge la mshamba na joto la Dar.

  • @nasraswakala
    @nasraswakala 8 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo 8 หลายเดือนก่อน

    Kweli juma kaenda kufirwa akapata renji na hata chuma cha chuma kasema hana muda ataachia saiti za juma akiwa maeneo nabaya kwaio doto kusema juma kahalibiwa duniani nikweli kabisa

  • @Moosamly
    @Moosamly 8 หลายเดือนก่อน

    DOTO MAGARI unayumba unavaa MSALABA

  • @user-mz3vu5jm5f
    @user-mz3vu5jm5f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Ujue watu awamjui doto magari maana doto ananyumba town alafu siyo mshamba alafu ataki kufosi maisha

  • @WycliffDonald
    @WycliffDonald 8 หลายเดือนก่อน +1

    maisha ni kujikubali tu kwahiyo hamna shida popote kambi

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 8 หลายเดือนก่อน

    Vinguo kama mkono wa gita

  • @user-on6eb7ty2r
    @user-on6eb7ty2r 8 หลายเดือนก่อน

    Kifala tu akina mpango wwt

  • @zuwenaabdallah7748
    @zuwenaabdallah7748 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mtangazaji bado kabiisa hajui kitu😊

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 8 หลายเดือนก่อน +1

    Usianzishe ugomvi wakati unaishi nyumba ya vioo .Dotto kaumbuka ukweli unauma .Kweli Mzee wa binzari anaishi kwenye Banda la kuku.

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 8 หลายเดือนก่อน

      Pambee tu Almuhim maokoto yapo

  • @user-we2zc8sp7r
    @user-we2zc8sp7r 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mwamba Yuko sahihi hao ni washamba tu kwako ni kwako kwenu ni kwenu achana na hao mashoga

  • @user-yl8yp6vy8c
    @user-yl8yp6vy8c 8 หลายเดือนก่อน

    doto keto

  • @user-nl5mm5pu1g
    @user-nl5mm5pu1g 8 หลายเดือนก่อน +1

    Achana nao doto juma lokole Kuna mtu yupo Dubai anateta posa mwanamke achana nae juzi hakuvaa suruwali kavaa chupi unajuwa yule ni mwanamke achana nae

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kujisifu silaha kila muda iko siku utauwa wewe

    • @JumaJuma-fu7ji
      @JumaJuma-fu7ji 8 หลายเดือนก่อน

      😅😂🤣akina lokole wampite mbali man dotto inaonekana ni mtu wakisasi

  • @sofitanzanian955
    @sofitanzanian955 8 หลายเดือนก่อน

    Nashangaa kila muda silaha kuinadi shetani atakushawisho uuwe

    • @allybobsaith
      @allybobsaith 8 หลายเดือนก่อน

      Aaah wewe hio ni simu kitochi😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @KS-iw7qv
      @KS-iw7qv 8 หลายเดือนก่อน +1

      Hana lolote huyu comedy

  • @davidrulobhavako8551
    @davidrulobhavako8551 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu ndiye Dotto magari hizo kunguni piga chini

  • @hajikhamis3288
    @hajikhamis3288 8 หลายเดือนก่อน

    Tukoo pamojaaa pambaanaaa mzeee waachee haoo madooo ya fruit

  • @mohdmbarouk8116
    @mohdmbarouk8116 8 หลายเดือนก่อน

    Doto magar amenyooka

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 8 หลายเดือนก่อน +3

    Mguu wa kuku ni kwa ajili ya wale wanaokuja nyumbani kwako bila taarifa,wamevaa vinguo vimewawamba.🤣😆🤣😆🤣🤣🤣🤣
    Napenda kumsikiliza Dotto,ana vijimisemo na vinachekesha.

  • @DiabTutty-ke9bs
    @DiabTutty-ke9bs 8 หลายเดือนก่อน +2

    Uķwapeleka polisi na wewe pia utakamatwa maana umemdhalilisha juma na maneno na kashfa zako,wakati wenzio wapo kazini,kwenda zako minywele kma kichaa

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 8 หลายเดือนก่อน

      Ss kamzalilisha au kajizalilisha kwan alimuedit au kavaa mwenyew? Unajua kuzalilisha mtu au ndio wale wale

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 8 หลายเดือนก่อน

      Huyu nae kapaniki mbona yeye anawadoboaga wenzie

    • @svt3
      @svt3 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@nassleydady5783 Pia ICU hawaja shush brand yake au nini hapo Gadulo ndio kwake aache kupiga kelele anapesa wakati haana

    • @nassleydady5783
      @nassleydady5783 8 หลายเดือนก่อน

      @@scholamodestus9386 ss apo nan kapanik mm nimeuliza kazaliliswa au kajizalilisha mm natak kujua mana mtumzima kuvaa kinjunga alaf useme umezalilishwa kwel ni akil

    • @scholamodestus9386
      @scholamodestus9386 8 หลายเดือนก่อน

      @@nassleydady5783 hujanielewa....nimemaanisha doto kapaniki watu kujuwa anapokaa ila yeye kuwachamba wenzie anaona raha

  • @niyakhalid5650
    @niyakhalid5650 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa anakaa chokora

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi 8 หลายเดือนก่อน

    Dotto ❤🔥

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa nn asiandike nimeleft group😅😅

  • @salumhamad8949
    @salumhamad8949 8 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaa chizi zimejaa pumba kichwani. lembukeni tajiri huwa haonyeshi pesa ovyo.

    • @allybobsaith
      @allybobsaith 8 หลายเดือนก่อน

      Tatizo wewe huna, wewe kama ICU

    • @user-ww9gd8pb7o
      @user-ww9gd8pb7o 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli. Alikuwa anajiona kumbe anaishi vibaya hivyo.

    • @rizikiabdalla2501
      @rizikiabdalla2501 8 หลายเดือนก่อน

      Aliyeee kwambiaa doto Tajiri nani yy hapo anagangaaa njaaa tuuuu

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 8 หลายเดือนก่อน

    Kwa nn asiandike nimeleft group😅😅