Uchomaji maiti ni desturi ambayo imeanza kupata umaarufu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • Katika siku za hivi karibuni, mazungumzo kuhusu kuteketezwa kwa miili yamekuwa yakitawala miongoni mwa wakenya hasa mitandaoni. Wengi wanafahamu tu kwa kusikia, lakini je unafahamu shughuli nzima ya kuteketezwa mwili inavyofanywa na ni nini sababu ya wakenya wengi kuchagua njia hii badala yakuzikwa?

ความคิดเห็น • 50

  • @expeditionquran
    @expeditionquran 5 ปีที่แล้ว +5

    Uchomwe hapa, hutahepa kesho Jahanamu....utarudishwa venye ulikuwa urudi kuchomwa tena. Wachaneni na hiyo upuzi

  • @sallysarch9441
    @sallysarch9441 5 ปีที่แล้ว +6

    Mkenya 40k. Mhindi 25k. Nanikwetu. And wastage of trees

  • @samanthaali873
    @samanthaali873 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awasamehe jamani😢hamjui mnacho kifanya laana gani hii

  • @hopescharbatke2795
    @hopescharbatke2795 5 ปีที่แล้ว +7

    Wah, na huyu wa kuchoma c anatisha😳😳😳😳😳

    • @nonohngetich73
      @nonohngetich73 5 ปีที่แล้ว +1

      Hope Scharbatke macho yake inakaa vibaya woi anaeza kuua woi

    • @hopescharbatke2795
      @hopescharbatke2795 5 ปีที่แล้ว +1

      Nonoh@ no wonder alichagua hiyo job😂😂😂

    • @megkarugi9665
      @megkarugi9665 5 ปีที่แล้ว +1

      Nonoh ngetich haha

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 5 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅

    • @nonohngetich73
      @nonohngetich73 5 ปีที่แล้ว +1

      Mimi huyu nikimwona mbio ntatoka ntavunja record I say🤣🤣🤣

  • @cherylzawadi2264
    @cherylzawadi2264 5 ปีที่แล้ว +6

    Shindwe katika jina la Yesu....eiiiiiiihhhhhsh God forbid

  • @dianakorir9049
    @dianakorir9049 5 ปีที่แล้ว +2

    We have lost our culture as Kenyans and are busy losing the little that is remaining. We just accept foreign traditions at the cost of our traditions and call it change, modernisation, evolving or whatever name people term it
    In other countries you don't see them changing theirs but here we are🤦🏻

  • @ahmedibrahim-bg2uz
    @ahmedibrahim-bg2uz 5 ปีที่แล้ว +4

    Ushetani ya kihindi uzikiwe kuliko kuchomowa balaa kweli

  • @gm859
    @gm859 5 ปีที่แล้ว +7

    Kenya can be colonized by any other country in the world. You gotta have your own principles of doing things not just following everything.........that you seeing other cultural doing

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 5 ปีที่แล้ว

    Sasa jamani ukifa unachomwa mot je ukifik huko Akher itakuwaj mungu wangu

  • @babikirmusa6963
    @babikirmusa6963 5 ปีที่แล้ว +2

    Yani anashika bila gloves

  • @Diamond4U1000
    @Diamond4U1000 5 ปีที่แล้ว +2

    Muacha mila ni mtumwa

  • @binthassancollection.6308
    @binthassancollection.6308 5 ปีที่แล้ว

    SUBHANNALLAH

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 ปีที่แล้ว +1

    Uchomwe duniani tena uchomwe siku ya kiama

  • @sallysarch9441
    @sallysarch9441 5 ปีที่แล้ว +3

    Just because Bob Collymore did it mtacopy tu

    • @muiritumuthaka
      @muiritumuthaka 5 ปีที่แล้ว +3

      Sally Sarch Wangari Mathai did IT before Bob.

    • @thinkingkenyan9002
      @thinkingkenyan9002 5 ปีที่แล้ว +1

      @@muiritumuthaka huyu pole kwake amejua cremation kupitia marehemu Bob...

    • @guy0110
      @guy0110 5 ปีที่แล้ว

      @@thinkingkenyan9002 😂

  • @lidiahjohnnyaboke3805
    @lidiahjohnnyaboke3805 5 ปีที่แล้ว +1

    N nan aliongoja hyo journalist wa citizen aguze hyo jivu

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB 3 หลายเดือนก่อน

    kuadhibu maiti. Maiti yuko na hisia.

  • @tomombui3888
    @tomombui3888 ปีที่แล้ว

    Hata historia ya uumbaji inasema mababu wetu wa zamani akina Abraham walizikwa hata Mohamed mwenyewe alizikwa.Hio mbinu ya kujoma miili ya binadamu ni ushirikina na usheetani mtupu.

  • @nonohngetich73
    @nonohngetich73 5 ปีที่แล้ว +3

    This man looks evil...the eyes tell it all,shindwe kabisa.

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi97 5 ปีที่แล้ว

    Huwo niujinga waafrika kila kitu tunatawaliwa hata hili pia? Mababu zetu waliotangulia wali chomwa? Hakukua na moto? Waafrika tujiulize tunanini wazungu wafu wao wanawaita watakatifu, sisi wetu twaita mizimu. Ninani aliyeturoga?

  • @SturehCharles
    @SturehCharles 5 ปีที่แล้ว

    Sio wakenya wengi jameni, ni wachache tu

  • @morgan_biggy9614
    @morgan_biggy9614 5 ปีที่แล้ว +3

    Huyu mpishi ni original 😂🙄

  • @gesyogongi5659
    @gesyogongi5659 5 ปีที่แล้ว +2

    Wakenya hawana msimamo, wanatelekeza watoto, wake zao, na hata lugha. Wasikie wakiongea kizungu matangani vijini kwao, ambako najirani na marafiki na hata ukoo wao hawaelewi kizungu.
    Ku_eni wastarabu, furahieni Mila na lugha yenu. Wangapi wame hudhuria matanga ya wazungu? Wao huongea kiswahili? Mke wa Keni kwa miaka alijisifu kuishi nayee alitamka hata Nemo moja la kiswahili au kijaluo? La, hangeweza , kwanini?
    Kwanini tusiwaige ndugu zetu wa Tanzania, wanajivunia kiswahili. Kwani wakenya wakisema kiswahili hawataeleweka? Lazima waongee kizungu iliwajulikane walisoma? Tafadhali tuondoleeni ushenzi wa kizungu msibani mwa Wajenya. Kupoteza Mila na desturi zenu kwa jina la kusoma na kuoa wake au Waume wazubgu ni ujinga na ushenzi was Hali ya juu.

    • @eriminahmshai
      @eriminahmshai ปีที่แล้ว

      Eti nahuku wanasema lugha yataifa nikiswahili ata Mimi nachukia na sikwamba sikuso nilisoma wachina wanafanya Nazi kenya na hawajue English wanashinda wakitusumbua hapa tu

  • @phoebemukhwana3058
    @phoebemukhwana3058 5 ปีที่แล้ว

    Wonders biblical not

  • @khadijaomar3299
    @khadijaomar3299 5 ปีที่แล้ว

    Jamani 😢😢😢

  • @mariyanegoodone172
    @mariyanegoodone172 5 ปีที่แล้ว

    Wakuchoma maiti mwenye anaogopesha yani ata aogopi maiti wali mapaki ya mwili Wa maitii

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyo mchomaji nimemark nikimuona kwa njia natoka njuti kabla hajaniona, maana inaelekea yuko na roho ngumu kama shetani

    • @khadijaomar3299
      @khadijaomar3299 5 ปีที่แล้ว +1

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂uwe makini usijikwae maana ukianguka tu huna chako

    • @justjassy7119
      @justjassy7119 4 ปีที่แล้ว

      Hahahaa umenivunja mbavu

  • @sallysarch9441
    @sallysarch9441 5 ปีที่แล้ว +2

    Wasting trees hiyo kuni zote He looks evil

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 ปีที่แล้ว

    huyo mchomaji🏃🏃🏃🏃

  • @beller9304
    @beller9304 3 ปีที่แล้ว

    Anashika mifupa bila kuogopa

  • @faithklove9419
    @faithklove9419 5 ปีที่แล้ว +1

    Shetani shidwe kabisa