PART3:KIJANA ALIEPENDWA NA JINI KUWA WAPENZI/AMENIHARIBU NGUVU ZA KIUME/NINAE SIJUI NAMUACHAJE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 362

  • @khammykisenga1364
    @khammykisenga1364 4 ปีที่แล้ว +58

    Aliye sikia neno Ntumeeee agonge like.

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 ปีที่แล้ว +8

    Daaahhh story tamu yaaan so. Amazing 👌 mfaume comedian live

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 4 ปีที่แล้ว +1

    Devista kazi yako ngumu, Mungu akutie Nguvu ! Majini wasijekuku mind siku moja. Ila kama una YESU ,upo upande salama!

  • @florachuwa301
    @florachuwa301 4 ปีที่แล้ว +2

    Nimegundua wamakonde wanaongea vizuri sana...very unique...yan tangu yule wa mashalaiti na uyu ni burudani tuu

    • @azizamohd5728
      @azizamohd5728 3 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @carolinetalam5832
    @carolinetalam5832 4 ปีที่แล้ว +8

    Eti Leo naona tu laivu 😀😀 this guy is a good story teller tuned from 🇰🇪

  • @hammiedully7619
    @hammiedully7619 4 ปีที่แล้ว +2

    Nikasema Ntumeeeee🤩🤩🤩

  • @nagibtimimi6027
    @nagibtimimi6027 4 ปีที่แล้ว +12

    Leo davistar umepatikana uliposikia yuko hapa sura ilichange ghafla🤣😂

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว +1

    Mweee hizi storiii...masufuria si yakadondoka usikuu...mweee nikaogopaaa...duuh wanayopitia poleni Sanaa..Mungu awavushe..Mimi sijui aisee

  • @yasinhamis1504
    @yasinhamis1504 4 ปีที่แล้ว +1

    Ngoja nkuite kingereza ....Mfums hapo ulifeli Mtoto kaja kwa wema kakupenda , Istoshe Nkali sio mkaliii, Ni Nkalii haswaaa ulizingua

  • @mathewrongorongo8841
    @mathewrongorongo8841 4 ปีที่แล้ว +3

    Njoooo kwa YESU ndio usalama wako

  • @peterbrown1860
    @peterbrown1860 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha kapotea tu "npafuuu mwanga uliporud ntoto hayupo eti NTUMEEEEE"
    Hahahaha siumetaka mwenyewe uone hapo hujabinywa bado.

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว +3

    Hii story nzuri aiseee, ntoto nzuri😄😂😂😂😂

  • @lasandrasandra7453
    @lasandrasandra7453 4 ปีที่แล้ว +11

    Mariam anamchora tu Davista 😂😂

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว +2

    Kk Davi umeskia yupo hapo umechange ghafla😂🤣🤣🤣🤣

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว +1

    Wow story nzuri sana pole sana kakangu Mungu pekee atakusaidia

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +1

      Yuko hapohapo anakusikiliza

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 naona mpaka davister wetu ameshtuka😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 jmn mimi nilikwambia sitaki masihara na jini...

    • @hebronsdaughter1661
      @hebronsdaughter1661 4 ปีที่แล้ว

      @@dorcaskidoti249 😂😂😂😂😂

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      @@hebronsdaughter1661 unanicheka jmn si unaona anavyouwa watu na kuwatesa bila huruma

  • @africandarling6925
    @africandarling6925 4 ปีที่แล้ว

    Daaa AISSEH raha kusikia kwa mwezako tu usiombe yakukute Daaa Aisseh pole sana mfaume kwa mtiani uliokufika

  • @linkreuben5804
    @linkreuben5804 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀jamaa anachekesha sana,
    Et akatowekaaa Ikawa gizaaaa totoroo🤣🤣🤣

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani6476 4 ปีที่แล้ว +6

    Dah huyu jamaaa .mumpe tuzo.manake dah mbavu sina 🤣😂😅

  • @bisunmwamini6993
    @bisunmwamini6993 4 ปีที่แล้ว +22

    Ntuumeee haahaa haaaa!uyu jamaa nyoko,kama story isiishe vile

    • @moalawy7001
      @moalawy7001 4 ปีที่แล้ว +2

      Yani nimecheka kweli. Ntumeeeee😂😂😂😂😂😘😘

    • @twaibumikidadi7377
      @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว +1

      hahaha!!

    • @amriyalibent8441
      @amriyalibent8441 4 ปีที่แล้ว +2

      Ntumeee anavyoitamka hahaha

    • @naomioman9794
      @naomioman9794 4 ปีที่แล้ว +1

      @@moalawy7001 🤣🤣🤣🤣ntumeeee

    • @daishajumanne5990
      @daishajumanne5990 4 ปีที่แล้ว

      nime cheka sana😃😃😃 watani zangu hawa wamakonde

  • @jamilaally3172
    @jamilaally3172 4 ปีที่แล้ว +1

    Dah kwer pamoja sana another episode my favourite chanel back again big up

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 ปีที่แล้ว +1

    sawa

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 4 ปีที่แล้ว

    duuuuh
    watu nomaaaaaaa kaz mnafanya kweli
    bravo mr. Dv
    +90552 germany

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa, daah!!! 🤣🤣🤣🤣
    Ati 'yupo hapa hapa'
    Davista 'acha utani' 🤣🤣🤣🤣

  • @Fatima-sv5gp
    @Fatima-sv5gp 4 ปีที่แล้ว +1

    Davister unaogopa ulipoambiwa yupo😂😂😂😂

  • @salumbunga240
    @salumbunga240 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar kijan wako hp mtu mwenye utu wang respect 👊

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 4 ปีที่แล้ว +1

    Asikia arufu ya manukato Davistar kaa mkao wa kula hila yote kumi hile ya J17 na hii story nzuri sana tunajifunza kila kila siku kupitia kwako Na ukichanganya wengine tumepitia mitihani kazaa ndiyo naona km Kuna mitihani

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 ปีที่แล้ว

    Davistar ati aache utani bana😀😀😀😀😀😀😀hio imekustua aki...chunga usile bakola kaka😀😀

  • @ianmakamba7562
    @ianmakamba7562 4 ปีที่แล้ว +1

    mtangazaji kachanganyikiwa baada ya kuambiwa mtoto mamu yupo maeneo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @allyjuma142
    @allyjuma142 4 ปีที่แล้ว

    davistar uk vzr xanaaaa brother unajitaidy sana kuleta stor nzur nzur tuko pamoja

  • @salimmohamedsalim4448
    @salimmohamedsalim4448 4 ปีที่แล้ว

    Bingwa unafurahisha sana

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 ปีที่แล้ว

    Ntotooo !!! Davist naye kumbe muogaa ! 😀😀😀😀😀 Kiumbe nomaaa !!

  • @lissapoul5227
    @lissapoul5227 4 ปีที่แล้ว +6

    😅😅😅😅 umeweza nivunja mbavu leo

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      Ntumeeeeee

    • @flubtv
      @flubtv 4 ปีที่แล้ว

      Leo nimecheka kweli

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakwanzaaaaa leoooo babaa mmhtumeee

  • @AbdulAbdul-pr9qe
    @AbdulAbdul-pr9qe 4 ปีที่แล้ว +3

    Ntumeeeee!!!! Davista umepatikana leo

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว

    Duh pole sana

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว

    Yule nchawi akaondoka😂😂🤣🤣Davister kashituka eti mchawitena🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @queengivens4181
    @queengivens4181 4 ปีที่แล้ว +6

    Mfaumeee ntoto nkalii🤣🤣

  • @hamadikassim3091
    @hamadikassim3091 4 ปีที่แล้ว +1

    Hii simulizi nani kacheka ka davistar. 🇧🇭 Gonga like kutoka bahrain

  • @rukiammangammanga1166
    @rukiammangammanga1166 4 ปีที่แล้ว

    😂 😂 Ntumeeeeee yani uyuuu jamani 🤣🤣kimakonde kbs

  • @babymansouth1164
    @babymansouth1164 4 ปีที่แล้ว

    Ntuuumeee ntototMamuuu balaaa balaaa Amekuja kumuonaaa Mr DM. 😃😃 WatuuuTumbooo Jotyoooooo

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣davistar umechekesha et acha utani bhana🤣🤣

  • @ashredyashredy9283
    @ashredyashredy9283 4 ปีที่แล้ว

    Et yupo hapa hapa anafurahi davistar kapatikana Leo😂😂😂

  • @naomioman9794
    @naomioman9794 4 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣ntumeeeee leo naona laivu🤣🤣

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 ปีที่แล้ว

    Mtihani kwakweli 🙏

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 ปีที่แล้ว +1

    Unanifurahsha Sana na hilo neno ntumeeeeee hahahàhahà....ntoto mariamu kakubadilikia

    • @seadogs4460
      @seadogs4460 4 ปีที่แล้ว

      Aisha Ntoto mzuri naomba number yako ya Simu please

  • @rahmahamisi7604
    @rahmahamisi7604 4 ปีที่แล้ว

    Nacheka kama mazuri daaaah Mungu akusaidie

  • @shainnakamoto5310
    @shainnakamoto5310 4 ปีที่แล้ว +4

    Thanks Mr Davistar, Love your show always BIGZ UP all the from KENYA👌👍👏🙌

  • @jasminswedi1573
    @jasminswedi1573 4 ปีที่แล้ว

    Nmecheka jamn😀😀😀 ntumee

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 ปีที่แล้ว

    Ntoto Domo hilo😂😂😂😂😂😂

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jini hana adabu anawachapa wakwe zake...Davistar ulivyosikia jini yuko hapa hapa eti acha utani bhana.. 😂😂😂😂

  • @selemanmwenge693
    @selemanmwenge693 4 ปีที่แล้ว +5

    Duuu! Leo jini kakukutia bro Davistar 🙈🙈

  • @dillahtrevor902
    @dillahtrevor902 4 ปีที่แล้ว

    tiaa bakoraaaa😂😂😂😂😂

  • @sakinaally6572
    @sakinaally6572 4 ปีที่แล้ว

    Hahaaaaaa ntumeeeee hii story nzuri

  • @azizasayi97
    @azizasayi97 4 ปีที่แล้ว +2

    Ntumeee 😅😅unanichekeshe jmn

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 4 ปีที่แล้ว

    😀😀😀😀😀eti ntumeeee 😀😀😀😀

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +6

    Eti yupo apa apa 😂😂😂😂😂😂😂mtangazaji ameogopa eti yupo wp?😂😂😂😂😂😂😂

    • @hijahsaidy1562
      @hijahsaidy1562 4 ปีที่แล้ว

      Haya davister

    • @dorcaskidoti249
      @dorcaskidoti249 4 ปีที่แล้ว

      Eti yuko apa anafurahia harufu yake naisikia mimi tu....pole Davistar

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว

    Totoloo mfaume nkasema ntume unozo tu kanijia ntoto😀😀mfaume nakupenda bure ❤️❤️❤️

    • @rahimjuma7293
      @rahimjuma7293 4 ปีที่แล้ว

      halafu we Naythar nahisi ni dadaake na mariam,mbona perfume zenu harufu yake inafanana?🏃🏃 usije tu ukanitokea usingizini😂🤣

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว

      @@rahimjuma7293 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣Shindwaaaaa😂😂😂😂😂

    • @rahimjuma7293
      @rahimjuma7293 4 ปีที่แล้ว

      @@naythardarling1115 kwahyo hutanitokea usingizini? basi talalala maana nlikua nina mpango wa kukesha nikiwa macho,nyie kina Naythar na mariam ni balaa kubwa🤣😃

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว

      @@rahimjuma7293 ntume 🤣🤣🤣

    • @rahimjuma7293
      @rahimjuma7293 4 ปีที่แล้ว

      @@naythardarling1115 haya bana chalamaleku(alenkunchalam)

  • @mamuliciosrajab6664
    @mamuliciosrajab6664 4 ปีที่แล้ว +1

    🙆🙆🙆🙆 Ishakua Taabu

  • @zubedahussein7301
    @zubedahussein7301 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂bonge la show big up davi

  • @mikabaylon1756
    @mikabaylon1756 4 ปีที่แล้ว +1

    Great DAV,.

  • @rachelmichael2260
    @rachelmichael2260 4 ปีที่แล้ว

    DM kashtuka kuambiwa huko hapa🤣😂😂😂😀

  • @agnessgerrald8918
    @agnessgerrald8918 4 ปีที่แล้ว

    Ntumeeeeee😂😂😂😂😂

  • @jamespius3377
    @jamespius3377 4 ปีที่แล้ว

    Nimeipenda sna hii story

  • @sherrymamakeboiz2256
    @sherrymamakeboiz2256 4 ปีที่แล้ว +7

    Nimeongopa kucomment kusikia huyo kiumbe wa majini yuko hapo 😳😳😳😳😳😳

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 4 ปีที่แล้ว

    Mr fact ameogopa 😅😅😅😅😅😅

  • @asiaisaka2898
    @asiaisaka2898 4 ปีที่แล้ว

    Yupo hapa hapa🤣🤣🤣🤣🤣acha utani

  • @upendomatee7319
    @upendomatee7319 4 ปีที่แล้ว

    Hongera saana kaka kwa kaz nzuri😍😍😍👏👏👏👏👏👏

  • @matanobaya7660
    @matanobaya7660 4 ปีที่แล้ว +3

    20:04 mariamu kajipitisha kwa camera, hii ni serious jamani 🐤🐥🐦🐧🦃🐔🐓🕊️🦅🦆

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +1

    Davis kaogopa alivyosikia hata sasa hivi yupo hapa hahahaaaaa atakimbia aache maiki na camera hahahaaaa

  • @mashamramba3461
    @mashamramba3461 4 ปีที่แล้ว

    Kkkkkkkkkkkkkkkk !!!! Mchizi kuachana naye ngorii

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista ipo siku ohoooo....we sema acha utaniiii..basii siku wawaombe tuwaonee.....😃😃😃

  • @shainnakamoto5310
    @shainnakamoto5310 4 ปีที่แล้ว +1

    Haswali ata swala
    moja lakini jina ya Mtume hajasahau😂😂Roho mkononi .

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 4 ปีที่แล้ว

    Davistar leo umepatika sura imebadilika ghafla kuskia mamu yuko hapo😂😂😂😂

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 4 ปีที่แล้ว

    Hahaaaa ....... wacha utani bwana! Davistar naona utaja patikana cha ukweli wah! Ntumeeeeee!

  • @dingiiman8654
    @dingiiman8654 4 ปีที่แล้ว

    Uyu mmakonde ojii😅😅😅

  • @seadogs4460
    @seadogs4460 4 ปีที่แล้ว

    Davistar tupe part 4 please,huyo jamaa story yake nimeipenda sanaa

  • @fadhilimkungura7453
    @fadhilimkungura7453 4 ปีที่แล้ว

    Hhhhhhhh davista alikuwepo apo😃😃😃😃

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว

    Mr Facts uliposkia Yupo apa ukajua eheee Kumbe tunae haha 😂 pamoja kaka

  • @mildredakinyi9855
    @mildredakinyi9855 ปีที่แล้ว

    Ni mcheshi sana

  • @ismailyusuph740
    @ismailyusuph740 3 ปีที่แล้ว

    Yaani huyu jamaa kilichomsaidia ni ujasiri aliouonyesha Kwa huyo jini’ wakati mwingine jini ukiwa na ujasiri anakuogopa kimtindo’ Na kingine kilichomsaidia ni kutokukaa kimya ‘ wengine wakipigwa mkwara wananyamaza matatizo yanazidi..!
    Ila mwisho wa siku jini huwa hana huruma ‘ hata ukikubali kuishi nae mwisho wa siku lazma AKUDHURU...!

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 4 ปีที่แล้ว

    Yani watu hawalali 🤩🤩🤩

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 4 ปีที่แล้ว

    Swala tano🤠🤠🤠🤠...mwenye akili ataelewa uhusiano wa wapiga swala tano na hayo majini

  • @hawaynatimam982
    @hawaynatimam982 4 ปีที่แล้ว

    Namsikiliza gabo Zigaba hapa

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 4 ปีที่แล้ว

    Tumeeeeeeee😜😜😜😜😜😜😜😜😜😛🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️🙆🏽‍♀️Leo umeingia choochakike😂😂😂😂😂😂😂🇧🇭🇧🇭🇧🇭🇧🇭heiwaaaaaa mtume Muhammad 😂😂😂😂😂😂🖐🖐🖐🖐

  • @kalssambaboo9705
    @kalssambaboo9705 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂kasema mtumeeeee naingia choooo chakike enhee mama me sikutaki tena tumalizane

  • @nickbrown8350
    @nickbrown8350 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwamba 😂😂😂😂😂

  • @zeboytv7043
    @zeboytv7043 4 ปีที่แล้ว

    Langu lako na langu langu😂😁😁😁😁😀😁😁😂

  • @euniceeunice7680
    @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +5

    Watu amlali Kwan?😂😂😂😂😂😂

  • @marychacha7084
    @marychacha7084 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji kuwa makini asije kukuletea ndugu yake.vyote unavyovihoji utaviona live😂😂

  • @rajabhamis7595
    @rajabhamis7595 4 ปีที่แล้ว

    DAVISTA ALIVYOAMBIWA YUKO HAPA NAONA KAMA ANATAKA KUKATISHA KIPINDI🤣🤣🤣😆😆😆

  • @felisterkinyanjui9855
    @felisterkinyanjui9855 4 ปีที่แล้ว

    Davistor hadi ukates ukiskia ako hapo anaskia harufu 😂😂😂😂

  • @benomwazembe4765
    @benomwazembe4765 4 ปีที่แล้ว

    Ntumeeeeeeeeee karibu utakufaaa

  • @estatekisombola9251
    @estatekisombola9251 4 ปีที่แล้ว +1

    Kanuna domo hilooo 🤣🇨🇩🇦🇺🇦🇺🇦🇺

  • @muusmart2015
    @muusmart2015 4 ปีที่แล้ว

    Hahaha Mzee davista jamaa analeta mzaa anataka wana nzengo tusipate habar nin...aisee jamaa kamfunika juma na Juliet .........

  • @innomushi5994
    @innomushi5994 4 ปีที่แล้ว

    Davistar.. mbona ulivyosikia jini yuko hapo ukastuka na kukatisha kipindi badala ya kuhoji na kutaka ajitokeze nasisi tumuone!!😂😂😂

  • @meshackndara397
    @meshackndara397 4 ปีที่แล้ว

    Nakubali bingwa 100%

  • @didakalaule7840
    @didakalaule7840 4 ปีที่แล้ว

    Ntumeeeeeeeeeeee 😂😂😂😂😂

  • @ZainabZainab-tv9ir
    @ZainabZainab-tv9ir 4 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣yani jmn alhamdulillah dunia inamambo kaka unanivunjambavu

  • @martalositotiktok6590
    @martalositotiktok6590 4 ปีที่แล้ว

    Mhh hii storie kweli inanipa ukakasi

  • @milliondollarbabe5175
    @milliondollarbabe5175 4 ปีที่แล้ว

    Mtumeeee 😂😂😂😂😂nacheka kama mazur hahaha