Sauti ya mungu inaonekana iliongewa na vijana mwezi wa Juni. Walifurahisha kila mtu kwa sababu ya amani waliokuwa nayo. Hata Ruto alisema vijana waliandamana vyema. Hawakuwalaumu wakati huo. Vijana hawakubeba silaha yoyote hata mawe Walibeba bendera ya nchi yao, maji kwa chupa ya plastic na handkerchief. Umoja wao ulituingia rohoni zetu kwa kuwa walitangaza wazi kwamba Kabila yao ni moja: KENYA. Walijumuika vijana wa kabila zote, wamawake ma wanaume, ndini zote, kitu ambacho hakuna mwanasiasa ama chama cha siasa wameweza kufaulu kufanya tangu tuwe nchi huru mnamo 1963. Walimwambia kiongozi wa nchi ajiuzulu kwa sababu alikuwa amesahau baadhi ya walio wengi na wanyonge. Ruto alisikiliza maoni yao na kuaahidi kuanza mabadiliko kwa upande wa serikali. Badala ya mabadiliko na kuendesha dialogue ama namna ya kwenda mbele vijana wengi waliuawa kwa kupigwa risasi na kupigwa mwili. Vifo vyao vyaonekana vilikuwa vya uchungu mwingi na vimeumiza familia zao sana. Serikali inaoneka ikiongea uwongo kusema haijui ni nani amewanyonga kikatili hawa watoto waliotumwa na nguvu isiyo ya binadamu kumwambia Filauni ajiuzulu.
Maina wa OTC why are you feeling sorry for this thief lootall. Let him leave office we elect someone else. Kenyans have had enough. No meeting. Ruto should GO!
This is bullshit and we have to understand one thing we should not mix politics with religion. Before Ruto became the prasident there has never been a prasident there before who practised his politics in the church so if we want to maintain our democracy this are totally two different institions. May I also say the church has become very greedy because of the donations from Ruto all this rubish must stop.
Hizo pesa anaharibu kwa hongo alete mashinani maana watu wengi wanatesheka huku maospitali na elimu
Sauti ya mungu inaonekana iliongewa na vijana mwezi wa Juni.
Walifurahisha kila mtu kwa sababu ya amani waliokuwa nayo. Hata Ruto alisema vijana waliandamana vyema. Hawakuwalaumu wakati huo.
Vijana hawakubeba silaha yoyote hata mawe
Walibeba bendera ya nchi yao, maji kwa chupa ya plastic na handkerchief. Umoja wao ulituingia rohoni zetu kwa kuwa walitangaza wazi kwamba Kabila yao ni moja: KENYA. Walijumuika vijana wa kabila zote, wamawake ma wanaume, ndini zote, kitu ambacho hakuna mwanasiasa ama chama cha siasa wameweza kufaulu kufanya tangu tuwe nchi huru mnamo 1963.
Walimwambia kiongozi wa nchi ajiuzulu kwa sababu alikuwa amesahau baadhi ya walio wengi na wanyonge. Ruto alisikiliza maoni yao na kuaahidi kuanza mabadiliko kwa upande wa serikali.
Badala ya mabadiliko na kuendesha dialogue ama namna ya kwenda mbele vijana wengi waliuawa kwa kupigwa risasi na kupigwa mwili.
Vifo vyao vyaonekana vilikuwa vya uchungu mwingi na vimeumiza familia zao sana.
Serikali inaoneka ikiongea uwongo kusema haijui ni nani amewanyonga kikatili hawa watoto waliotumwa na nguvu isiyo ya binadamu kumwambia Filauni ajiuzulu.
Maina wa OTC why are you feeling sorry for this thief lootall. Let him leave office we elect someone else. Kenyans have had enough. No meeting. Ruto should GO!
No need to meet Ruto. He needs to go. Hatiri Bata wa kuaria na Ruto agiririrwo ni Kuma gitiini atigire mundu ungi
Like speaking to deadwood 😮
Lakini kanisa msinyamaze juu ya kupewa hongo,kama Kuna kitu serikali imejuwa kuzima kanisa wasiongee money
Tokeni inchini muenda nchi zingine kuna shida kuliko kenya
Why are you not asking him to resign. Mmaongea nini na muuaji? Ama you want money from him?
This is bullshit and we have to understand one thing we should not mix politics with religion. Before Ruto became the prasident there has never been a prasident there before who practised his politics in the church so if we want to maintain our democracy this are totally two different institions. May I also say the church has become very greedy because of the donations from Ruto all this rubish must stop.
@@bettywelzenbach4107Hawa sio ngumu kuona ni wafuasi wa wanasiasa gani katika Mlima. Wale wanaomlamba Ruto viatu. Ile Team Tūgege or TT.