YEMEN WAMELIPUA MELI YA UINGEREZA KUWALIPIA KISASI WATU WA GAZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 68

  • @ramiamisanya9873
    @ramiamisanya9873 7 หลายเดือนก่อน +5

    Bro Allah akuongoze zaidi na akupe maisha marefu.
    Laiti Wakristo ndugu zetu wangekuwagq kama wewe sidhani kama MAYAHUDI wangekuwa na nguvu!!!!!!

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 3 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi mungu azidi kuwapa nguvu wazee wa Yemen qazidi kuwangamiza mashetani wote duniani amiiiiiiiiin yarrabana takabali duwaaa zetu

  • @hamisimaliseri8872
    @hamisimaliseri8872 5 หลายเดือนก่อน

    Unatuelezea vitu halisi vya dunia kwa ukweli bila kuficha inatusaidia kujua ushenzi wa mataifa makubwa kama Marekani, ubarikiwe sana mwalimu wa neno la Mungu

  • @maryamm3738
    @maryamm3738 7 หลายเดือนก่อน +4

    Nakukubal kaka kutuletea habar za kila sik sichok kukufatilia free palestin❤

  • @khamisisheha3397
    @khamisisheha3397 7 หลายเดือนก่อน +4

    Mwalimueeee, Hao wanaopiga kelele wakati wewe unapoelezea ukweli ndio wale wale wenye roho za kishirikina wako pamoja na manyan'gau wanaona raha vile maelfu ya binaadam wenzetu Wanavyo uwawa, Hawana huruma Hao endelea kuwanyoosha.

    • @sikitu8957
      @sikitu8957 7 หลายเดือนก่อน

      Uyu ni mpiga propaganda tu Kama wengine wewe fatilia habari yake ya Jana kuhusu texas alafu nenda kwenye Netflix Angalia movie ya union soviétique
      Alafu uje ulinganisha na habari yake ya Jana ndo utagundua kitu pia kuna vipande vya video kutoka filamu iyo amevirusha kwenye habari hiyo alisema ni gari za urusi zimeonekana Texas

  • @YohanaMasebo-v2c
    @YohanaMasebo-v2c 7 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mwalimu watakao kuchukia ni mashoga

  • @saidmtunguu6689
    @saidmtunguu6689 7 หลายเดือนก่อน

    Nakupenda sana kwa ajili ya africa mwalim

  • @selemanemomadeformassane3441
    @selemanemomadeformassane3441 7 หลายเดือนก่อน

    Respect kwa Waze wa yemen

  • @African511
    @African511 7 หลายเดือนก่อน

    Huwa nakufurahia sana kwa kukandamiza ukweli haswaaaa.

  • @alisheemaka1884
    @alisheemaka1884 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana mwalimu kwa maelezo yako muruwa kabisa.

  • @ismailchilonga2878
    @ismailchilonga2878 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor mwenyezi mungu akujalie afya njema 😂

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 7 หลายเดือนก่อน +3

    Safi mkuu💚

  • @hkmfurazuberiismael7952
    @hkmfurazuberiismael7952 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka Slma? Napenda chambuzi zako saana we chambua hao manyang’au nakuuatilia nikiwa Mujini Kigali Inchini Rwanda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ChikangaMachala-me8pw
    @ChikangaMachala-me8pw 7 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana

  • @krisantmwaipungu1434
    @krisantmwaipungu1434 หลายเดือนก่อน

    Ushindi wa Gaza ni kuendelea kulipua meli za Manyang'au

  • @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq
    @MUSTAPHAMCHUCHA-sp3tq 7 หลายเดือนก่อน

    mimwenzio nakufatilia sana😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @KilimbikeHaji-iy2fm
    @KilimbikeHaji-iy2fm 3 หลายเดือนก่อน

    Hakuna hata Mmoja kati ya marekani muengreza Wala mfaransa hata muizirail.anayoweza kupigana pekeyake

  • @IbrahimKimath-u9z
    @IbrahimKimath-u9z 7 หลายเดือนก่อน

    Tupe madini mkuu siyo wote watakuelewa. Wazo langu mjinga hashauriki.endelea kutupa habari.

  • @MbarakSoud
    @MbarakSoud หลายเดือนก่อน

    Alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar takbir alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaahu akbaar alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah mashaalhaaalhaah

  • @AmisseSulemane-sb4re
    @AmisseSulemane-sb4re 7 หลายเดือนก่อน +1

    ACHA walipuliwe mbwa au ni Bora mbwa hawaoan midume Kwa midume

  • @BushirWahad
    @BushirWahad 7 หลายเดือนก่อน +1

    Blaza nakuerewa Sana mungu akulinde

  • @samiabubakar406
    @samiabubakar406 7 หลายเดือนก่อน +4

    Free palestine

  • @Greatamir
    @Greatamir 7 หลายเดือนก่อน

    Yaani hawa matekani hawawex kuish bila kusababisha fujo .

  • @mohamedsaidalhabsi7862
    @mohamedsaidalhabsi7862 7 หลายเดือนก่อน

    Wambie waelewe na wataelewa wamarekani na uingereza kwa Yemeni waingia chakike

  • @lookmanlookman6297
    @lookmanlookman6297 7 หลายเดือนก่อน

    Marekani na wa shirikana wake

  • @HassanMelithori
    @HassanMelithori 7 หลายเดือนก่อน

    Mwakilembe usiwawogope hao walokole walokunw maji wa bendera ya american hawajitampuwi

  • @salimabdallah5176
    @salimabdallah5176 7 หลายเดือนก่อน

    M/ MUNGU akuongoze na wazee wako...

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 7 หลายเดือนก่อน +1

    Good explanations

  • @sadiqfixer
    @sadiqfixer 7 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali mkuu, ukweli ni kama sindano, ili upone mara nyingine lazima upate maumivu ili dawa iingie

  • @AsimweKaswara
    @AsimweKaswara 7 หลายเดือนก่อน

    Asanteni sana Isaya,nakufwata kutoka drc Jimbo la mashariki Ituri

  • @zahrasalim5533
    @zahrasalim5533 7 หลายเดือนก่อน

    Wayaman waki SEMA kitu Hawa rudi nyuma kufa kupona

  • @AmaniLwabe
    @AmaniLwabe 7 หลายเดือนก่อน

    Ivi mwalim wakishinda waarabu dunia ikawa mikono yawarab kinachoendelea siwote mtakuwa waislam mjomba wewe mwenyewe hautaitwa mwalim uhuru huo wauchungaji utaupata wapi fikilieni kabla hujawasifia

  • @Solace577
    @Solace577 7 หลายเดือนก่อน

    Jamaaa liongo hili

    • @FeisalDoctor
      @FeisalDoctor 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂Unatesek ukiwa wap

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 7 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅❤❤ Watake wasitake hasira tunazo, wape doz, kaka🙏

  • @Daidizz01chinga
    @Daidizz01chinga 3 หลายเดือนก่อน

    Wasi wa ache awoo wauwaji

  • @ahmedhamis
    @ahmedhamis 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana kwa habari

  • @ndizindeleti761
    @ndizindeleti761 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalim wewe ni mwalim unaesoma na kutafakari Kisha unabainisha uongo na ukweli Yani unasimama kwenye haki na ukweli wew unaweza kuvaa viatu vya maguli kabisa by ndeleti another

  • @user-zx1sy6xv9q
    @user-zx1sy6xv9q 7 หลายเดือนก่อน

    Sawa mwalimu waneno la mungu mungu awape afiya jema

  • @SaadatIdowa
    @SaadatIdowa 7 หลายเดือนก่อน

    Endelea kutupakulia habari za Dunia kaka tunakupenda Kwa Kaz yako

  • @alinassor6956
    @alinassor6956 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu fanya yale unayo yafanya kwasababu kwasababu kunawatru naviatru kwasababu yanini hawa walo jikusanyika kudhulumu mnyonge kwanini watru hawagali nikina nani wanao msaidia myahudi si niwale wale wacoloni wanao truibiya rasilimali za nchi zetru ndiyo sababu mwalimu livosema kuna watru naviatru macho wakonayo lakini hayawoni wamepewa masiyo lakini hasikiy

  • @MaryamMaryam-n1v2e
    @MaryamMaryam-n1v2e 7 หลายเดือนก่อน +2

    Mwalim tuchambulie sisi tunao kubaliana na ukweli tuta views tu

  • @phestostanley4019
    @phestostanley4019 7 หลายเดือนก่อน

    We, wadanganye tu akina athumani na Aisha, wakati kila siku vyombo vikubwa vya habari vinaripoti gaza wanapigwa na kila siku

    • @Awatee
      @Awatee 7 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂Chuki zimekujaa adui weye

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 7 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri mwalimu wetu kwa taarifa

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 7 หลายเดือนก่อน

    Asantesana mwalim isaya kwakweli mungu akulinde ❤❤

  • @AbbasMagambo
    @AbbasMagambo 7 หลายเดือนก่อน

    Dooh

  • @sulaimanabdullah-qp8vs
    @sulaimanabdullah-qp8vs 7 หลายเดือนก่อน

    Ndio..hao.washilikina

  • @saidsuleiman9018
    @saidsuleiman9018 7 หลายเดือนก่อน

    Baba usichoke kutupa tarifa

  • @FaxrilBekir
    @FaxrilBekir 7 หลายเดือนก่อน

    Acha moto uwake mayahudi na vibaraka wao wataisoma namba mungu yupo pamoja na watu wanaonewa

  • @kavakurejeanBaptist-nk7jz
    @kavakurejeanBaptist-nk7jz 7 หลายเดือนก่อน

    Asante sana kwa Habari 🇷🇼

  • @venancembwaga-uw6kb
    @venancembwaga-uw6kb 7 หลายเดือนก่อน

    Uko vizur Kwa uchambuz kk

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 7 หลายเดือนก่อน

    Mashallah Mashallah

  • @sondice3364
    @sondice3364 7 หลายเดือนก่อน

    washirikina 😂

  • @raphaelmatinda1059
    @raphaelmatinda1059 7 หลายเดือนก่อน

    Kaka ukweli unauma ila songa mbele usihofu.

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid 7 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa niwashilikina wauwaji wakubwa ao

  • @hemedmwipopo780
    @hemedmwipopo780 7 หลายเดือนก่อน

    Bwana Isaya Bendson Mwakilembe tunakuomba Kama itafaa kwako tunaomba taarifa au baadhi ya matukio ambatanisha na video. Ombi lakini.

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 7 หลายเดือนก่อน

    Wazigonge tu

  • @aleyidukury8333
    @aleyidukury8333 7 หลายเดือนก่อน

    Nikweli kabisa maana hata askar walikuwa na tatoo nyingi sana

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 7 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣 Dalili za kiama

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 7 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ashtube1333
    @ashtube1333 7 หลายเดือนก่อน

    Kweli tupu usemayo

  • @kimeajuma3267
    @kimeajuma3267 7 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu tuelimishe mpaka tuelewe

  • @khamisshaban4703
    @khamisshaban4703 7 หลายเดือนก่อน

    Natak nikusaidie juyakuw katik dini ya kislam kuna madhebu makubw mawili kuna sunni na shia so jua yakuw wote awapatani kabis na ndio. Maana unaon uko Gaza mataifa ya kisuni unaon kama yamejitenga kwa Hamas asilimia kalibia wote ni mashia so ndio maan unaon country za kisuni zime kaaa kimya

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 7 หลายเดือนก่อน

    Waripuwe zote