WAZEE WA GAZA WAMEKATAA (TWO STATE SOLUTION) NA ISRAEL PIA HAWATAKI VITA NI NGUMU
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 พ.ย. 2024
- Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwaafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.
safi sana kwa uchambuzi wakiwango cha juuu kabisa
Mwalimu alhamdulilah somo nimelielewa
***Israel hana chochote tulilishwa Matango pori na vyombo vya habari vya Ulaya***
tulidanganywa kwa miaka mingi sanaa, naona wakati sahihi "MUNGU" ametuonyesha kupitia kwa Urusi, .mengi sana tumeyajua sasahivi USA Nato hawafui dafu tena angalia pale ukanda wa saheel Niger namna wakoloni wafaransa walivyoondolewa kwa jeshi la Niger kwa mgongo wa Urusi!
Asante kwelimu
Nakubali mika buku mwalim isaya
Safi sana
Sawaaa mwalimu
Safi
Namasi imeundwa na shekhe Yassin
Mwalimu hapo sasa balaaa, sisi yetu macho na masikio, dua sana tuombe suluhisho la maongezi na siyo suluhisho la mtutu. Netanyau sasa Netapanya
Hamasi wanapenda kufa Israeli wanapenda kuishi
Mwalimu nakukubali kinoma sana
Aaaah mwallimu tupe mafuta ya ukweli kaks
Yes ni Netapaka tuchoka na mashonga
Nawapata na mwalim Benson
Uchambuzi gani huu, mbona uongo mwingi?!
Umezowea habar zamafuta yaupako hizi ningeni kwako
Mjanja wa kwanza kujua israel itakuja kututia matatizoni alikuwa nyerere na ndie haliyeķuwa hataki ukabila sasa hapo unajifunza nini
Acha apigwe tu maana atatuletea ushoga
13:11 mwalimu MPOKI anapozivuta bangi zake ujiweke mbali ule moshi usikupate
nilsemag hapa kna.sku israel at state.soltion wataitak lkn watkua wameshachelewa.
Ndugu zetu nawashauri uingie kwenye dini ya haki ya uislam unajitahidi k0ngea ukweli,hao wazungu ndio walioanzisha ukristo wala sio dini ya yesu,hata injili alioandika yesu waliich0ma,wakaandika biblia ya kina yo hana,luka n.k,hata yesu hakuingia kanisani aliingia kwenye sinag0gi ambayo ni msikiti,rudini kwenye dini ya mitume na manabii uislam
Kama hamjui muulize musiropokwe
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sasa hatutaki vita isimame mpaka jerusalem tuichukue na kuwe na taifa la palastine
Angalia Aljazeera,Hamas wamefika mwisho.Rafah na Khan Younis ndio sehemu zimebaki kutekwa na IDF.
Baba zone😂
Na mimi sitopigana
Mwalimu mm nitumie hizo video
Mambo nimoto 😂😂
Sasa kama hawaelewi wameelewaje?😅
Upo sahihi kwa kila kitu lakini kitu kimoja kuusu Iran na Israel lao moja na sio maadui wanadanganya dunia
Soma vizuli Histolia zao Halafu Uje tena Kucoment
Mwalimu tukumbushane vizuri nakufuatilia napenda uchambuzi wako ila nachokumbuka Yasir Arafat alikuwa kiongozi wa PLO tupe ufafanuzi mzuri uhusiano wa Fataha na PLO
We huna kazi za kufanya kila Siku na mada zako hazina mashiko
sio lazima usikilize
Mwalim usimjibu huyo atakuwa ni mlokole
Pole mzee wa upinde 😅
Unajamba ukiwa wap😂😂😂😂😂😂😂😂
Mashoga wataisoma namba tu
Mtumishi unaita watu manyangau
Mimi bado sijaelewa naomba unieleweshe hiyo nchi ya palestina jeshi lake halipigani hii vita wanaopigana ni hilo kundi la hamasi peke yake?
Gaza Kuna makundi mawili.Political and Military.
Wanaopigana ni military(Hamas)
Political ni (PA) Palestinian Authority.
Shida ni kwamba hizo group mbili Moja inatambua uwepo wa Israel na nyengine inasema haitambui
huyu mchambuzi division 0 inamaana mparestina amechimba andaki kutoka Israel mpk china!???...mnafki
Bora usikilize BBC na media zingine za kishoga
Nanyi muwe munaacha ngonjera ktk kutoa taarifa. Au hamjasoma maadili ya kutoa taarifa?
Anasema kweli mm pia Ninafatilia habari za nje