IBRAHIM TRAORE KUIPINDUA CAMEROON KIJESHI PAUL BIYA AMETAWALA MIAKA 45 HAKUNA MAENDELEO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ก.ย. 2024
  • Mpenzi mtazamaji wa IBM CHANNEL endelea kutufuatilia kwa ajili ya kupata elimu zaidi ya uzalendo, ukombozi wa kifkira na ukuu wa Mwafrika hapa hapa. tunakupa pia makala mbalimbali zinazohusiana na ulimwengu tunaoishi na taarifa zetu ni za ukweli na uhakika sio za uongo. karibu tuendelee kuwa pamoja. kama hauja-subscribe tafadhali fanya hivyo ili usipitwe na chochote.

ความคิดเห็น • 15

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Sauti ya kibaba leo "Ukuu wa Mwafrika"💪💪 ❤❤❤

  • @DafiMohamed-dz8xk
    @DafiMohamed-dz8xk 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Viongozi wa Africa ni mtihani sana...Kukaa madarakani sio tatizo..Tatizo uongozi mbovu na upumbavu..Huyo anatakiwa apinduliwe na afungwe miaka 200 maana anatesa sana wenzake

    • @dancerboy2686
      @dancerboy2686 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      😂😂

  • @SalumMasengwa-b9s
    @SalumMasengwa-b9s 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ukuu wa Muwafrika udumu milele kati yetu ktk imani zetu pamoja
    From Uroa school Zanzibar

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii kolabo Leo nimeilewa ❤❤❤😂😂

  • @alijuma7674
    @alijuma7674 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Ukianza kusikia fununu kama hizo soon watampinduwa majeshi yake au watu kutoka nnje

  • @JogookichaaJr
    @JogookichaaJr 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Hiv Africa tunaenda wap Hilo zee walipindue tu 😢😢

    • @Awatee
      @Awatee 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂Wazee bado wanapenda vya urahisi madaraka yanashida kweli kweli

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Siyo kameruni tu apa tanganyika chama cha kigaidi cha ccm kinachinja maarubino

  • @RamadhaniAlly-mi2dg
    @RamadhaniAlly-mi2dg 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    1captain

  • @MahdouMomba
    @MahdouMomba 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    vipi kuhusu yule mzee wa Pale Kampala na Entebe???

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Kwann na yeye huyooo asing'oke kijeshi firauni huyo wa kalee...!!?? Tuwang'oe mpaka huko Tanzania viongozi wote wasiojali utu na usawa wa maisha ya watu na kuishi ambako ni haki ya kila mwanadamu duniani kotee pumbavuu..watu tuna hasira kalii so kitoto..🌎💪👉🤬🧐

    • @Rolemodel_wa_taifa
      @Rolemodel_wa_taifa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kuandamana tu mnaogopa mtaweza kuwang'oa