Godfrey Mteule LiKIZO studio session 

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 163

  • @Justin_king_pro
    @Justin_king_pro 3 หลายเดือนก่อน +80

    Kama ww ni shabiki Yake gonga Like Na comment ❤

  • @kayigirefloribert7403
    @kayigirefloribert7403 3 หลายเดือนก่อน +18

    Wouuuhhh keep more blessing brot tu takusapoti kaka mimi ni Mtu wa Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮nice song and big talented i proud for u big up

  • @michaelayubu9456
    @michaelayubu9456 3 หลายเดือนก่อน +27

    Mtumish ubarikiwe San Mungu akupe neema ya Nuru ya Macho yako

  • @davidbyamasu7885
    @davidbyamasu7885 3 หลายเดือนก่อน +11

    Tanzania 🇹🇿 ni inchi nzuri muna samini Vipaji bila kujali Mungu aibariki Tanzania 🇹🇿

    • @halunimnenwa5224
      @halunimnenwa5224 หลายเดือนก่อน

      Yani shida ni viongozi waliopo madalakani hawatupendi wanaichi wao wanauwa watu Yani wamachinga wanafukuzwa kama mbwa Kisha wanawadai Kodi sijui izo Kodi watazipata wapi kama wanauza vitu kwa kufukuzwa fukuzwa naumiaga mimi.sijui walizaliwa na mbwa au na simba mana huluma.hawana hata kidogo nachoka yani

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 3 หลายเดือนก่อน +11

    Hii ni hit song sana
    Mungu kwa wimbo huu ukamfungulie milango Mteule wako

  • @MoiseMuhindo-m7z
    @MoiseMuhindo-m7z 3 หลายเดือนก่อน +5

    Kama kuna uwezekano yaku badilishiya uyu macho serekali ya tanzanien asaidiye uyu kijana bamupeleke indien aone ni musani mukubwa sana anajuwa ku ingiza wimbo kushindiya harmonize na diamond 🙏🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mungu akufaiye muuziza uone

  • @sharikan66
    @sharikan66 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hebu tumsapoti huyu ndugu yetu tusiwe tuna wa follow tu wakina diamond ,ali kiba tumpee sapoti kubwa aweze kwenda viral ♥️ ana kipaji kikubwa

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 2 หลายเดือนก่อน +4

    Keep going tuko hapa kukuauport much love from 254🇰🇪

  • @Bienvenuekambale-f8i
    @Bienvenuekambale-f8i 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu ana kipaji kubwa sana; so Mungu amwinue tena zaidi 🙏... nakutakia maisha marefu my beloved brother; nakulike kutoka huko Congo🇨🇩...na nimekubali kukuwa shabiki wako...be blessed 🙏

  • @Mkonye3809
    @Mkonye3809 3 หลายเดือนก่อน +6

    Godfrey, Umechagua fungu jema sana kumtukuza Mungu aliyekuumba na anakuwazia mema.
    Mungu anao uwezo wa kukupa kuona tena kama Batromayo kipofu,ubarikiwe sana.
    Nafurahi kusikia Kuwa haujajaribiwa kumkufuru Mungu Kwa Hali uliyonayo kama alivokuwa pia Ayubu.You are very strong and positive💪🏾💪🏾💪🏾✊🏾✊🏾

  • @mulangalirojosue405
    @mulangalirojosue405 3 หลายเดือนก่อน +7

    Hiyiii ni fisrt Time yangu kuona nyimbo zako, nili kuwa Niki pita Facebook gafuna nika angukiya kwenye wimbo wako.
    Naomba Mungu ninaye Mutumikiya aku onekaniye naku panuwa mipaka Yako Mwinjilisti.
    Just keeping focus on your futur
    Servant Josué Osborn from Zambie

  • @audin.rwanda
    @audin.rwanda 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mtuele keep your talent, I'm in Rwanda🇷🇼 🇷🇼 🇷🇼 Artist Audin Mr Solo

  • @bellam.vyampi5528
    @bellam.vyampi5528 3 หลายเดือนก่อน +10

    Binafisii hii nyimbo nimeikubali sanaa

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 3 หลายเดือนก่อน +15

    Vanilla mwengine huyu❤❤

    • @LetisiaMzeru
      @LetisiaMzeru 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hujakosea vanillah huyu

  • @maleyamanda5411
    @maleyamanda5411 3 หลายเดือนก่อน +7

    From uk 🇬🇧 am your fan.Your songs bless me a lot

  • @FerdinandNgendamayo
    @FerdinandNgendamayo 2 หลายเดือนก่อน +3

    Uko vizuru brother god keep u safe nothing is impossible to god then good things come to those who wait 🥰🙏

  • @michaelayubu9456
    @michaelayubu9456 3 หลายเดือนก่อน +6

    Natamani San siku moja nikutane nawe mtumishi niimbe hata wimbo moja tu nawe 🎉🎉

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 3 หลายเดือนก่อน +2

      Usisahau kunishirikisha

    • @michaelayubu9456
      @michaelayubu9456 3 หลายเดือนก่อน +1

      @@mwasoprince3459 ameen

  • @htgospelofficialtv8591
    @htgospelofficialtv8591 3 หลายเดือนก่อน +8

    Kazi nzuri na nyimbo nzuri pia inagusa

  • @VICTORNGOILA
    @VICTORNGOILA 23 วันที่ผ่านมา

    Kazi nzuli asee mungu ukimtafakali ningum kumhukumu

  • @Bms_jMs
    @Bms_jMs 3 หลายเดือนก่อน +9

    Endelea sana mkubwa ❤❤🎉🎉

  • @Daecotz8597
    @Daecotz8597 3 หลายเดือนก่อน +4

    Utafika mbali sana katika jina la yesu

  • @GershomNtanga-zr2ws
    @GershomNtanga-zr2ws 3 หลายเดือนก่อน +3

    ❤❤❤ Mungu aendelee kumtia nguvu zaidi na zaidi 🙏🏿

  • @yustondelwa
    @yustondelwa 3 หลายเดือนก่อน +3

    Jamaa unajua sana.... God bless you

  • @Mr.wao8111
    @Mr.wao8111 3 หลายเดือนก่อน +6

    Huyu jamaa ni moto🔥🔥🔥

  • @saheermussa6250
    @saheermussa6250 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anajua hadi raha jmn yaaani kwa voice ya kuimbaa yupo vnzr kwa ujumlaa anajua mnooo Allah afungulie njia

  • @erickamudavi5081
    @erickamudavi5081 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kijana mdogo lakini talanta dunia nzima

  • @jay_-bjumakiza4964
    @jay_-bjumakiza4964 3 หลายเดือนก่อน +8

    Mungu akupe matumaini

  • @alenike_tz5106
    @alenike_tz5106 3 หลายเดือนก่อน +15

    Keep moving

  • @AbsenMoses
    @AbsenMoses 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akurindi na hiki kipaji mdogo wangu ❤❤❤❤

  • @AlphaGasheri
    @AlphaGasheri 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very powerful words may almighty keep you safe and prosper you❤🎉

  • @NesBwoy
    @NesBwoy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kazi nzuri mungu yupo nawe

  • @therhemahousetv254
    @therhemahousetv254 2 หลายเดือนก่อน

    Aisee huyo dada anapiga harmonies za uhakika sana naomba nifanye naye wimbo i looove it.Producer naye yupo juu sana.Nimekubai sana wanangu

    • @marefuclassic8911
      @marefuclassic8911 2 หลายเดือนก่อน

      duuh hatar sana

    • @spadebeatz4979
      @spadebeatz4979 หลายเดือนก่อน

      I'm spadebeatz nipo mkoa wa kigoma karibuni sana studio kwangu

  • @deodatusndizi549
    @deodatusndizi549 3 หลายเดือนก่อน +4

    Nice keep it up broo

  • @majalaworldwide
    @majalaworldwide 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsante MUNGU kwa kutupatia Godfrey

  • @dypascal3671
    @dypascal3671 3 หลายเดือนก่อน +11

    Producer M’bembe 😎😎

    • @mwasoprince3459
      @mwasoprince3459 3 หลายเดือนก่อน

      Producer unapatikana wapi

    • @spadebeatz4979
      @spadebeatz4979 หลายเดือนก่อน

      ​@@mwasoprince3459kigoma

  • @samsonabai8298
    @samsonabai8298 2 หลายเดือนก่อน +1

    Njia za mungu ni mingi kaka, jikaze

  • @victordeekenya3539
    @victordeekenya3539 2 หลายเดือนก่อน

    Following from Nairobi Kenya 🇰🇪 God bless your journey 🙏

  • @michaeljm-dz7nh
    @michaeljm-dz7nh 3 หลายเดือนก่อน +5

    Ngoma kalisana 🔥

  • @MariamuWilondja
    @MariamuWilondja 3 หลายเดือนก่อน +2

    Watu wana Akili za ajabu, wengine wameshafungua account za uongo kwa jina lake guys. I believe this is his account but there are couple more out there. Lord have mercy.
    Stay blessed brother , 🙏.

  • @sajubwax9335
    @sajubwax9335 3 หลายเดือนก่อน

    Good music good vocal pia anajua anacho kifanya producer pia ana sikiliza mawazo ya msanii√+√ lazma kazi iwe nzuri

  • @RosemarryCharles-t1t
    @RosemarryCharles-t1t 3 หลายเดือนก่อน +1

    jaman dogo anajua mungu amsimamie atoboe

  • @GeofreyMwakalukwa-h7f
    @GeofreyMwakalukwa-h7f 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuinuue saana bro hakika unaiimba mimi nakupenda saana

  • @JotisaSabiha
    @JotisaSabiha 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu muache aitwe mungu

  • @RestojeeMbuvi
    @RestojeeMbuvi 3 หลายเดือนก่อน +2

    Kazi nzurii

  • @HafashimanaJackson
    @HafashimanaJackson 2 หลายเดือนก่อน

    Safi sana bro💪
    Mungu aku jaliye 🇨🇩

  • @bornifacecharles2
    @bornifacecharles2 3 หลายเดือนก่อน +1

    Dah anajuwa sana kipaji

  • @chelahkenyah3596
    @chelahkenyah3596 3 หลายเดือนก่อน +10

    Bro amini usiamin huna miaka mingi utatoka kimziki

  • @foyberichard1435
    @foyberichard1435 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungua akuinue viwango vya juu

  • @djchazymahookah2213
    @djchazymahookah2213 3 หลายเดือนก่อน +1

    Unajua Aiseeh

  • @ismailmwinzagu
    @ismailmwinzagu 3 หลายเดือนก่อน

    Mpiga biting naamini kwa kufuatilia kwangu ww ndo projuza wa feround tz ongera sana mungu atakulipa kaka

  • @Joppa555
    @Joppa555 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂rangi wa dunia na bahaariiii😮😮finaly imesound utamu thoo😂😂😂😂😂😂😂

  • @swahilivisioninternational7866
    @swahilivisioninternational7866 3 หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana....kazi nzuri.
    Blessed

  • @DeoCosmas68
    @DeoCosmas68 3 หลายเดือนก่อน +5

    Naomba zamba za producer kaka

  • @fistonkinyozi
    @fistonkinyozi 3 หลายเดือนก่อน

    Anaweza kabisa❤

  • @parokofabian2323
    @parokofabian2323 2 หลายเดือนก่อน

    dogo yuko vizuri Sana naitaji kufanya naye kolobo

  • @Aizoostart243
    @Aizoostart243 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wapi hapa iyi studio inapatikana

  • @amiamisi4134
    @amiamisi4134 3 หลายเดือนก่อน

    Kazi kazi brother, pambana

  • @bituoruray8985
    @bituoruray8985 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni sana,

  • @piusjoaojoao1926
    @piusjoaojoao1926 3 หลายเดือนก่อน +2

    Bom trabalho 💥💥🇲🇿

  • @samwakala316
    @samwakala316 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu wetu sote Brother

  • @LuasLobaa
    @LuasLobaa 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kaza bro unaweza 🙏🙏🙏🎶

  • @AmissaAugustine
    @AmissaAugustine 2 หลายเดือนก่อน

    Good job brother

  • @mberwaanthony8243
    @mberwaanthony8243 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu. Akupe tumaini

  • @leonardmungai-z5g
    @leonardmungai-z5g 3 หลายเดือนก่อน +1

    waoooh🎉,ningalikua na uwezo bro

  • @joabjessy6349
    @joabjessy6349 3 หลายเดือนก่อน

    George kazi safi keep it up

  • @Boscostiven
    @Boscostiven 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu yupo kaka 💯💯💯💯💯

  • @erastomwapinga769
    @erastomwapinga769 3 หลายเดือนก่อน +1

    gooood boy

  • @Tamafork
    @Tamafork 2 หลายเดือนก่อน

    keep it up bro

  • @theatlastz67
    @theatlastz67 3 หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana

  • @kinagaubaga6938
    @kinagaubaga6938 3 หลายเดือนก่อน +1

    You're going far brother, mark my words

  • @lumulyimage4826
    @lumulyimage4826 2 หลายเดือนก่อน

    John God bless you. For your support

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 3 หลายเดือนก่อน

    Bwana mdogo katisha Mungu akufanikishe

  • @AmissaAugustine
    @AmissaAugustine 2 หลายเดือนก่อน

    Saute nzuri 👌🙌

  • @fredyfils254
    @fredyfils254 หลายเดือนก่อน

    Good job sir

  • @aloniedward8677
    @aloniedward8677 2 หลายเดือนก่อน

    Nice song❤❤❤

  • @ModesteSadoki
    @ModesteSadoki 2 หลายเดือนก่อน +1

    Very nice 😊

  • @JohnParteyie-e1m
    @JohnParteyie-e1m 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki

  • @K-SquareKenya
    @K-SquareKenya 3 หลายเดือนก่อน +1

    Kali msee

  • @olivermwema7229
    @olivermwema7229 3 หลายเดือนก่อน +2

    Real talent never lost

  • @SowetoBanks
    @SowetoBanks 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu asikupungukie Godfrey Mteule

  • @autotheriser
    @autotheriser 3 หลายเดือนก่อน

    Dogo kipaji Ako nacho bana...Allah amjalie inshallah

  • @JulesNkurunziza
    @JulesNkurunziza 3 หลายเดือนก่อน

    Yes yes yes yes respect for our brother mteule

  • @EradiusMwemezi
    @EradiusMwemezi 3 หลายเดือนก่อน

    Aiseeee kongole

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko 3 หลายเดือนก่อน +2

    Keep it up

  • @princemesha9611
    @princemesha9611 3 หลายเดือนก่อน

    Anajua

  • @Imara.studios.
    @Imara.studios. 3 หลายเดือนก่อน +2

    Great work❤

  • @kendrickeliyuko2716
    @kendrickeliyuko2716 3 หลายเดือนก่อน

    Kali sana

  • @LazarousChilenje
    @LazarousChilenje 3 หลายเดือนก่อน

    you guys are doing a great job Bwana Mungu amibabalike sanasana🙏

    • @LazarousChilenje
      @LazarousChilenje 3 หลายเดือนก่อน

      you guys are doing a great job Bwana Mungu amibalike sanasana

  • @haikamnzava8867
    @haikamnzava8867 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu atakushindia

  • @asifiwejordan
    @asifiwejordan 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nzuri

  • @FranciscoAtanasioGabriel-o8g
    @FranciscoAtanasioGabriel-o8g 3 หลายเดือนก่อน

    Poa sana!

  • @IsmailyShabani-k7t
    @IsmailyShabani-k7t 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu akujaliy uzid kukuz kipaj chak

  • @Kalebu-y2s
    @Kalebu-y2s 2 หลายเดือนก่อน

    Tutazidi kuomba pakakufa zetu msani wetu atavuma paka mwicho

  • @SamuelRay1
    @SamuelRay1 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you

  • @bornifacecharles2
    @bornifacecharles2 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaaa anajuwa music anajirekebisha alipo kosea

  • @angelinahamaro6807
    @angelinahamaro6807 3 หลายเดือนก่อน

    Youre going far big up

  • @juicemusicofficial6653
    @juicemusicofficial6653 3 หลายเดือนก่อน

    God bless you broo❤❤

  • @ElvannyMasudi-n5w
    @ElvannyMasudi-n5w 3 หลายเดือนก่อน

    Bien vraiment 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @KessyTrapGang21
    @KessyTrapGang21 3 หลายเดือนก่อน

    Good vibes

  • @Trillion759
    @Trillion759 3 หลายเดือนก่อน +1

    One love la familia