MISSION IMPOSSIBLE [22]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 515

  • @willyobiike5500
    @willyobiike5500 28 วันที่ผ่านมา +151

    Nyie niwaambie ktu, nilikuja kuangalia MISSION IMPOSSIBLE before sijaangalia PROBLEM.. jamani natamani nirudi kwenye problem kwanza,. Huyu CHADO ni balaa hafai.. ANAJUA SANA KUIGIZA CHADO BIG UP BROTHER 💪💪💪🔥🔥

    • @user-fj4ud1ym8h
      @user-fj4ud1ym8h 28 วันที่ผ่านมา +3

      Mzee wa misumari ,anapenda kesi kama izo za simu ata wakiwa amsini ataishi nao🤣🤣🤣🤣noma msela

    • @StyvanoKat
      @StyvanoKat 28 วันที่ผ่านมา +1

      Apo freshe

    • @StyvanoKat
      @StyvanoKat 28 วันที่ผ่านมา +3

      Ii ngoma kali

    • @ElizabethEliabu
      @ElizabethEliabu 28 วันที่ผ่านมา +3

      Bado huja chelewa nenda kaiangalie ni Atari sana

    • @Hirmizz
      @Hirmizz 28 วันที่ผ่านมา +2

      Haya mambo ya Chado NDIO I LIKE 😅

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 28 วันที่ผ่านมา +26

    Oya mwanangu cheusi uchawa unauweza chado master ile bit ya neyoooo vipi inabamba sana ngwengwe jeshiiiiiiiiiii ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @NasraJuma-b4v
    @NasraJuma-b4v 28 วันที่ผ่านมา +23

    Ngwengwe mwanangu kipajiiii mikopa kopa ndoiyo kwaajili yako❤❤❤❤❤nakupenda bule

  • @teamrashid6837
    @teamrashid6837 27 วันที่ผ่านมา +34

    Siwezi nikakupongeza chado pekeako nitakua nakosea maana haupo peke yko bali niipongeze timu nzima maana cku zote ushindi huwa hauletwi na mtu mmoja bali huletwa na timu nzima hongereni sana kwa kazi nzuri ✌️one love ngwengwe

  • @DommyJohn-wv8bh
    @DommyJohn-wv8bh 28 วันที่ผ่านมา +112

    Jamani Mimi sija wahi ata kupewa like kumi najiona kama sio mwenzenu

    • @Salmakikuli
      @Salmakikuli 28 วันที่ผ่านมา +1

      Na waskupe kwan unazilA

    • @DommyJohn-wv8bh
      @DommyJohn-wv8bh 28 วันที่ผ่านมา +1

      Aya binadamu waziba riziki

    • @CecyliaEdward
      @CecyliaEdward 27 วันที่ผ่านมา +1

      Wew Rudi Kwa chadoo tuu

    • @RamxoRamxo
      @RamxoRamxo 4 นาทีที่ผ่านมา

      Like

  • @joeljemesofficiel7917
    @joeljemesofficiel7917 28 วันที่ผ่านมา +16

    Safi sana hii kali ku pita mvi za tanzania yote ku toka Congo nawa penda sana😊😊

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka 28 วันที่ผ่านมา +16

    Ila me nampenda cheusi yan yuko poa kinoma anaweza kinoma noma 🎉🎉🎉🎉

  • @SKELETON-m9e
    @SKELETON-m9e 24 วันที่ผ่านมา +6

    Ila chado umetisha sana kwenye kumuokoa mwanao cheusi umetisha sana kama marecani mwanangu tisha sana man izo 👉🤜🤛

  • @IbraahJuma-dl2rd
    @IbraahJuma-dl2rd 28 วันที่ผ่านมา +13

    Rahaaq snaaaa mwanang hiyo kuweka chap chap mie ndy I like🎉😂😂😂😂

  • @neemabaltazal
    @neemabaltazal 24 วันที่ผ่านมา +5

    Me iyo ndo i like hiyooooo🎉🎉weweeee kaka msela,mume jambaz,wifi shangingi 😅😅😅😅 wee Chado weee watakurogaaaaaa❤❤❤

  • @ywydhhd7941
    @ywydhhd7941 28 วันที่ผ่านมา +13

    😂😂😂😂 akika mnajua alafu mnajua tena , dogo ngwengwe kaupiga mwingi 😂😂😂 nimependa sana

  • @salimally2823
    @salimally2823 28 วันที่ผ่านมา +20

    Bonge kweli chenga😂😂ana mtumia mtoto hela kwenye simu alojisajili yeye mwenyewe

  • @judithnyenga7327
    @judithnyenga7327 28 วันที่ผ่านมา +15

    Kazi nzuri sana❤❤

  • @user-cm6jd9sx2y
    @user-cm6jd9sx2y 28 วันที่ผ่านมา +10

    Leo nimetchelewa ❤❤ ila nawapenda wote wa chado master
    Mr:CADODO🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @Latnahofficial
    @Latnahofficial 25 วันที่ผ่านมา +5

    Sema story kari kinoma nimekubari🤗

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 28 วันที่ผ่านมา +21

    Chado me Bado nakazia pale pale huyo Dogo ngwengwe nenda nae utafika mbali na huyo Dogo

  • @jassminemubarak2828
    @jassminemubarak2828 28 วันที่ผ่านมา +6

    huyu kaka wa najma nakubali kinomaaaa

  • @MamayaoRiziki
    @MamayaoRiziki 28 วันที่ผ่านมา +8

    Kazi nzur ndugu zang ya iy movie ninzur kbc

  • @SeyydAll_amin
    @SeyydAll_amin 28 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani tunao mpenda ngwengwe tujuane kwa ku like kama unampenda

  • @Saido-e4f
    @Saido-e4f 27 วันที่ผ่านมา +6

    Kaka msela,mume jambaz,dada shangingi,wifi pusha 😂😂😂

  • @IsmailJuma-n4c
    @IsmailJuma-n4c 28 วันที่ผ่านมา +21

    Leo namba moja hapa froma zenjy

  • @user-zb7qc3qd7p
    @user-zb7qc3qd7p 28 วันที่ผ่านมา +11

    Nani mwingine kagundua ngwengwe ni mtoto wa chado ila hawajuani❤❤❤

    • @shakilahamadi4700
      @shakilahamadi4700 28 วันที่ผ่านมา +1

      Mimi nahisi ivo

    • @user-bp9tx7fc8h
      @user-bp9tx7fc8h 27 วันที่ผ่านมา

      Mimi pia nimeliona ilo coz ajakutana na mama ngwengwe tangu ianze

    • @SkillfulNgenje
      @SkillfulNgenje 22 วันที่ผ่านมา

      Km Ivo🤔🤔

    • @ElizabethGaitan-yy8lu
      @ElizabethGaitan-yy8lu 19 วันที่ผ่านมา

      Ata mm nahisi ivo

    • @IanPaul-j4m
      @IanPaul-j4m 14 วันที่ผ่านมา +1

      Aa muache umbea jamani mbona mbona mnamwaga mchele kwenye kuku wengii hiyo i don't like it

  • @brayoomontana5011
    @brayoomontana5011 28 วันที่ผ่านมา +17

    Wa kwanza kutoka 🇰🇪🇰🇪💯🔥🔥

  • @IddyMohamedi-w7i
    @IddyMohamedi-w7i 28 วันที่ผ่านมา +5

    Chado taratibu na mdogo wetu ngwengwe mbn mnampa sigara Daaaah umezingua bro

  • @NasraKingazi
    @NasraKingazi 28 วันที่ผ่านมา +26

    Huyu dada s alitubu huyu imekuaje Tena na tatuuu kama naww umemuonea zuuh like hapa

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 27 วันที่ผ่านมา

      Pengine ilikua kwasababu ya ndoa,na aliikosa...akaona aendelee tu mfumo wa maisha yake

    • @thegalaxygirls4960
      @thegalaxygirls4960 26 วันที่ผ่านมา

      Nice move mzury

  • @Kasimuhakimukasim
    @Kasimuhakimukasim 28 วันที่ผ่านมา +15

    wamia140 from tazania naomben liki

  • @NeemaMzur
    @NeemaMzur 28 วันที่ผ่านมา +8

    Umemuonea bule bonge wangu mzee wa swagga. Chado anamchukua dada ako mpaka geto umemshindwa😂😂😂😂😂😂

  • @JoyJuma-dn3rp
    @JoyJuma-dn3rp 25 วันที่ผ่านมา +3

    Eeh movie yenyewe imeweza sana jamani🥰💕

  • @HanifaHanifa-yw4pl
    @HanifaHanifa-yw4pl 28 วันที่ผ่านมา +11

    Kaz nzur

  • @J4Said-bz5im
    @J4Said-bz5im 26 วันที่ผ่านมา +2

    Nakubali sana my brother kazi nzuli ❤❤❤

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 19 วันที่ผ่านมา +1

    Mubarikiwe nyote muliyoshiriki mungu azidi kuwasimamiaa muweze kufika mbali zaid kazi mzr sanaaaaa🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @umumohamed8032
    @umumohamed8032 24 วันที่ผ่านมา +2

    Huu ni unyamaa yaani mnajua mpka manajua tena yaani mambo ni motoo🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @OmanOman-il3dc
    @OmanOman-il3dc 15 วันที่ผ่านมา

    Daah hii movi nimecheka sana alipochomoka cheusi na wahuni waboda boda

  • @GracyEmmanuel-l8g
    @GracyEmmanuel-l8g 14 วันที่ผ่านมา

    Oyaaaa nakubal wajuba kaz nzur wap chado master ❤🎉🎉🎉

  • @manikipasanya4727
    @manikipasanya4727 25 วันที่ผ่านมา +2

    Oya Chad pamoja sana nimekubal mambo yangu hayo naomba tukutane tutowe kitu

  • @mosetinziokx9958
    @mosetinziokx9958 27 วันที่ผ่านมา +3

    Nomare from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪much love nawahaminia

  • @user-fm6rl7md8i
    @user-fm6rl7md8i 28 วันที่ผ่านมา +12

    Kazii nzurii 🔥🔥🔥,leeo nimewaiii

  • @MaurusNamahala
    @MaurusNamahala 22 วันที่ผ่านมา +2

    Hongeren xan jaman

  • @ShammieSaleem
    @ShammieSaleem 28 วันที่ผ่านมา +5

    Bwana ngwengwe big up,❤❤

  • @CatrazyBuoy-k5r
    @CatrazyBuoy-k5r 26 วันที่ผ่านมา +2

    Oyaa kka chado vp hiyo nyimbo yko hujaitoa ama kwa sababu ni unyama kinoma yani big up brother

  • @mwanavitahassan9399
    @mwanavitahassan9399 27 วันที่ผ่านมา +2

    Good job one love from 🇰🇪🇰🇪❤❤

  • @Kaysam806
    @Kaysam806 28 วันที่ผ่านมา +12

    Wakwanza from zambia 🇿🇲please naombeni like zangu 🙏

  • @user-vh7gw3we5z
    @user-vh7gw3we5z 28 วันที่ผ่านมา +13

    kaz nzuri master chado

  • @HamidHassan-c7f
    @HamidHassan-c7f 28 วันที่ผ่านมา +5

    Leo nimewaii kazi nzur chado❤❤❤

  • @kingOnix-ug
    @kingOnix-ug 28 วันที่ผ่านมา +14

    Nikweli kabisa

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 วันที่ผ่านมา

    Chado mwanangu unajuwa sana kuchana na kazi nzuri❤🎉

  • @MwanaidiHussein-u9w
    @MwanaidiHussein-u9w 27 วันที่ผ่านมา +2

    Nalipenda ilo song chado ❤❤

  • @Elizakilisipinilikolika1996
    @Elizakilisipinilikolika1996 4 วันที่ผ่านมา

    Pole sana bonge ira chado ww ni noma sama❤❤❤❤❤❤❤

  • @AliRashid-ph8yl
    @AliRashid-ph8yl 18 วันที่ผ่านมา

    huu mzg wauwach2 mana sio pw kabisa chado umeuwa huu mzg

  • @SappyRemmy
    @SappyRemmy 3 วันที่ผ่านมา

    Wanangu mnaonaje kwenye kava la mission impossible kama itaonekana sura ya mtoto ngwengwe maana mtoto anajua kinoma noma yan

  • @ReginaRobison-bn5yv
    @ReginaRobison-bn5yv 27 วันที่ผ่านมา +4

    Jaman naomba nipate bwana kama bonge😂😂😂

  • @user-ju9qw7ik9c
    @user-ju9qw7ik9c 27 วันที่ผ่านมา +2

    Kazi nzuri sana Mr. Chado💞💕💞

  • @annyjunior-f2f
    @annyjunior-f2f 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤ngwengwe ayo makopakopa niyako unaweza na unaweza tena

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 27 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanangu cheusi umejua kuAct
    Kinomaaa du! Aisee du

  • @yemmohzdakissela554
    @yemmohzdakissela554 11 วันที่ผ่านมา

    Chando master,....wewe mkali brother,...you talk to +254 ....manzee wee uko Sawa,...nipo marekani nikifika Africa takutafta nadhani uko Tanzania brother... congratulations bro kwa KAZI unayo fanya

  • @AGAPPEHHAPPY
    @AGAPPEHHAPPY 27 วันที่ผ่านมา +2

    Jaman mbona kama mnamuharibu ngwengwe yupo vizuri ila sasa daah

  • @RehemaSaidi-v1y
    @RehemaSaidi-v1y 5 วันที่ผ่านมา

    Mzur xana bomba❤❤🎉

  • @Willesimba
    @Willesimba 8 วันที่ผ่านมา

    Oyaaaa ili goma wamba wote ni motoo💥🔥🔥

  • @lotembobilombelemusa
    @lotembobilombelemusa 17 วันที่ผ่านมา

    chado nakukumbali sana kabisa ❤❤

  • @IanPaul-j4m
    @IanPaul-j4m 14 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Yani kuwapaa makopakopaaa hiyo ndo I like it

  • @alfrednguya9453
    @alfrednguya9453 26 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri, hivi like mnazoombaga zinakazi gani 😊

  • @MiradjiAsina
    @MiradjiAsina 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Napenda pia jamaa wa misumari😂😂😂

  • @LovyOriato
    @LovyOriato 21 วันที่ผ่านมา

    Napenda huyu wa kusema misumari na kako na hasira 😂😂😂

  • @kelvindeah341
    @kelvindeah341 28 วันที่ผ่านมา +9

    Wa kwanza kuwatch

  • @AhmadAlaee-x1r
    @AhmadAlaee-x1r 19 วันที่ผ่านมา

    Usikute najma na chado kweli wapenz mana wanapendezana😂😂😂😂😂😂 ila yote 10 mashallah chado hongera ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AzizaJaibu
    @AzizaJaibu 27 วันที่ผ่านมา +1

    Anaempenda gwe,ngwe gonga like hapa

  • @zaitunimwandetele4400
    @zaitunimwandetele4400 28 วันที่ผ่านมา +2

    Kaxinzur chado honger kwa kipaji🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @AmosDaud-z1b
    @AmosDaud-z1b 24 วันที่ผ่านมา

    Jamaa anaweza sana

  • @TrezzyBenny
    @TrezzyBenny 23 วันที่ผ่านมา

    Jaman na wapenda❤❤

  • @user-bi8ll6ys4q
    @user-bi8ll6ys4q 9 วันที่ผ่านมา

    Jaman haka ka najma kazr balaa 🎉🎉

  • @rogynee8135
    @rogynee8135 27 วันที่ผ่านมา +2

    CHEUSI nakukubali 😂😂😂😂😂😂😂 yani unanifurahish san 😅😅😅

  • @prezgal8869
    @prezgal8869 16 วันที่ผ่านมา

    Cheusi kama cheusi😂😂😂😂😂cheusi namkubali sana

  • @user-ey2ni2ue3s
    @user-ey2ni2ue3s 28 วันที่ผ่านมา +2

    Ooooh jaman nimekua wakwanza naomben maua yang🎉❤

  • @MariamSaid-v2i
    @MariamSaid-v2i 20 วันที่ผ่านมา

    Yan me nawapenda wote wananifurahisha San ukija kwa mama ngwengwe n mwanae yan nyie mnaweza jamn 😂😂😂😂

  • @Perbreezo-p4v
    @Perbreezo-p4v 27 วันที่ผ่านมา

    Naitaka iyo nyimbooo❤

  • @VenancioHoracio-ty3hk
    @VenancioHoracio-ty3hk 28 วันที่ผ่านมา +5

    Léo wakwaza ni Mimi nipeni laiki zangu

  • @alexnice-j3g
    @alexnice-j3g 28 วันที่ผ่านมา +7

    Natak kukuambia jambo

  • @TOXYJEPH
    @TOXYJEPH 19 วันที่ผ่านมา +2

    Weka likes kwa misumari kama unapenda anavyo cheza

  • @user-tg6tp8hz21
    @user-tg6tp8hz21 24 วันที่ผ่านมา

    Sema cheus umezinguwa sana😂😂😊

  • @StellaKimaro-no6mv
    @StellaKimaro-no6mv 26 วันที่ผ่านมา +1

    Mbona mmeishia hapa hapa tu

  • @EzzyLazaro
    @EzzyLazaro 28 วันที่ผ่านมา +3

    Oyoooh wa kwanz leo wallah!!!

  • @nobertricardo8594
    @nobertricardo8594 24 วันที่ผ่านมา

    Kaka wa najma mzee wa kugonga misumari😂😂😂

  • @janethmdachi5334
    @janethmdachi5334 26 วันที่ผ่านมา

    Kaz nzuri ila kidem jau na msauzi waanzishiwe lishe walau wapate nyamanyama wanatia huruma😂😂😂😂

  • @AkiliDogoRama-k6v
    @AkiliDogoRama-k6v 27 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤❤

  • @BahatiImanuerymganga
    @BahatiImanuerymganga 27 วันที่ผ่านมา +2

    Nime ikubali kinoma hii move

  • @graceisaya
    @graceisaya 25 วันที่ผ่านมา

    😂😂😂. Yaani nacheka sana mpaka mbavu zangu zinauma

  • @SalhaKimath
    @SalhaKimath 26 วันที่ผ่านมา

    Jmn muendelezo wa mission imposible utaendelea lin

  • @user-dq1gz5os7o
    @user-dq1gz5os7o 24 วันที่ผ่านมา

    uyo demu ametisha cheusi ana zingua

  • @HamfreyHozza
    @HamfreyHozza 26 วันที่ผ่านมา

    Jamn ngwengwe noma sana

  • @RizikiMohamedRizzo-j5g
    @RizikiMohamedRizzo-j5g 22 วันที่ผ่านมา

    Bonge nakupenda jamn una mistari 😂😂😂😂

  • @BenjaminMatofali-hs8di
    @BenjaminMatofali-hs8di 26 วันที่ผ่านมา

    Aiseee mnajuaa waselaaaa

  • @MwaishambaKipanga
    @MwaishambaKipanga 25 วันที่ผ่านมา

    Daaah katoto balaa😂😂😂 najma pis ya msela

  • @MayaKhairun
    @MayaKhairun 28 วันที่ผ่านมา +4

    Uyu bonge Nae anajitafutia kufa hajamjua kitengo

  • @fahmyhussein8147
    @fahmyhussein8147 20 วันที่ผ่านมา

    Uyu ngwengwe Ni mtotowa chado

  • @benzoboytz
    @benzoboytz 28 วันที่ผ่านมา

    jitahidi sana kutengeneza story nzur inaezakaje mtu kakamatwa kibaya zaidi ni mwiz afu aje mtu adai funguo na walio mkamata ety hawaseme chochote iv mnajua kashi kashi ya kuzungukwa na raia ukiwa na kes ya wizi❤❤❤

  • @QueimadoSalah
    @QueimadoSalah 27 วันที่ผ่านมา

    Chado master ongezatuuu impossimil

  • @didamseto8280
    @didamseto8280 25 วันที่ผ่านมา

    dady namkubali sana kichaa wa misumali😂💪🙌

  • @user-il7ve1gt5s
    @user-il7ve1gt5s 28 วันที่ผ่านมา +1

    Yaan kachado nakupend ❤❤❤ mzenj ap

  • @mbukejulius5692
    @mbukejulius5692 27 วันที่ผ่านมา

    God🙏 ue chado with ur team ❤ u guys

  • @salmalamar3081
    @salmalamar3081 22 วันที่ผ่านมา

    Sema usikawize jamn mn tunaboweka san