Hata ccm ni taasi kubwa hata nccr ni taasi kubwa cuf ct wazalendo zote ni kubwa chama kufa watu kutokiamini tena sababu ya watu mazubutu ktk chama swala sio taasisi kubwa shida aina ya watu wanaoendesha hiyo taasisi
Hata kama unataka uchaguzi wa namna gani ufanyike iwe hivyo chamsingi wewe uachie ngazi na uwapishe wengine wewe honga unavyo weza lakini cha kuamua ni uchaguzi itapo pigwa kura inaonesha kuwa wewe ni mamluki wa ccm
Ajabu ni Mama Samia atasifiwa kujenga ndege
Mwandishi sisi ssm hatunashida baliwao wenyewe achawagombane wenyewe
Mbowe ni kiongozi,ametulia na hana kukurupuka
Mhh.watu mnamaneno.Mihemko haitupeki popote
Huna aibu mpishe lisu Huna jpya tumekuchoka uongoxi umekushinda Aibu
Gombaneni wenyewe ccm tunashindat2
Kumbuka hukuijenga pele yako
Mshenzi huyo hana lolote mlamba asari