Aliyefungua kesi ya Bandari amburuza CAG mahakamani fedha ujenzi Airport Mwanza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #ijuesheria

ความคิดเห็น • 17

  • @hilarymsuya6283
    @hilarymsuya6283 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera wakili, ule uwanja ilijengwa kwa force account mpaka leo haujaisha, mi dhahiri hela nyingi zilizotoka ki mchezo na zimepigwa. Kuna watu waliojinufaisha.

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmhhh mama kaiva hata mtafute njia ya kumuingiza chaka hamtaweza

  • @ferdinandmakore5002
    @ferdinandmakore5002 10 หลายเดือนก่อน +2

    Good move. I will join the race.

  • @ChancellorFelix-vm5yp
    @ChancellorFelix-vm5yp 10 หลายเดือนก่อน

    Afadhar mawakil mwendelee kuwapa shule awa wahun wanapewa uongoz kichwan hakuna kitu

  • @sheryphamwenevalley6124
    @sheryphamwenevalley6124 10 หลายเดือนก่อน

    tatizo huko mahakamani wote ma CCM awawezi toa haki wanalinda nafasi zao 😁😁 wasipoteze tonge owenda tumboni

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera mzalendo tunakuombea sana katika hili

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hivi wewe unaye waona hana hoja wewe kibaraka mkubwa

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 10 หลายเดือนก่อน

    HONGERENI WANA WA NCHI YA TANGANYIKA

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani ni uwanja wa Mwanza tu, je was it value for money, mbona uwanja bado haujakamilika! is Mwanza airport is it a pilot to this!

    • @abdallahhussein1918
      @abdallahhussein1918 10 หลายเดือนก่อน

      Niko hapa kwa sasa ila uwanja wa ndege wa mwanza ni aibu

  • @bongo39
    @bongo39 10 หลายเดือนก่อน

    Anawashwa huyo

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ninyi mawakili.hamna kazi yakufanya .inasaidia nini..Huna hoja yoyote

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 10 หลายเดือนก่อน

      Hakika hela za matapeli unazira kwa kuwatetea
      Waovu na waharibifu wataifa hili

    • @ABBASIKANDULU-kl8zc
      @ABBASIKANDULU-kl8zc 10 หลายเดือนก่อน

      Hunaa Akilii ebuu nendaa kajisadie chon uje upyaa unawezaa pata Akilii

    • @meryshekoloa961
      @meryshekoloa961 10 หลายเดือนก่อน

      Ana hoja kubwa na ya muhimu sana wakifanya hivi selikali itajifunza hata kama wataiba sio hivi yaani kwa sasa wanaiba sana mpaka inatia uchungu unga kg 2000 wanajilimbikizia wao tu hata kama isisaidie wasomi waonyeshe ukomavu na uchungu wa mali ya umma

    • @sylvestercameo6263
      @sylvestercameo6263 10 หลายเดือนก่อน

      Shida yako ni nini hása? Hivi kuna chochote unachoelewa au ni umbumbumbu. Hawa mawakili ni wanataaluma wanasheria wanaotumia taaluma zao kupinga ufisadi, wizi na ubadhirifu uliokithirikwa jeuri na kiburi kisheria. Je, wewe una upeo wowote kuhusu taaluma hiyo? Heshimu taaluma za watu acha kusukumwa na mihemko ya ushabik na kiitikadi uchwarai. Ebu tufafanukie maana ya misappropriation of funds au embezzlement of funds!

    • @gowekogoweko5803
      @gowekogoweko5803 10 หลายเดือนก่อน

      EEMUNGU WASAMEHE HAWAJUI WALIJIBULO😢😢😢