Mkasi - SO5E08 With Nape

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 18

  • @elizabethmahenge2231
    @elizabethmahenge2231 12 ปีที่แล้ว

    BIG UP Nape. Mahojiano mazuri sana. Hongera Salama kwa kipindi hiki cha Mkasi. Huu ni ubunifu wa hali ya juu. Keep it up!

  • @msokile
    @msokile 11 ปีที่แล้ว

    Nape u got to do what you do...u r gud on it....kumekuwa na mitazamo tofauti lakini kila muelewa anaelewa kazi yako ni nzuri sana......we support u 100%

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 12 ปีที่แล้ว

    WaTanzania wapenda WaTanzania wanataka nchi wamechoshwa na utumwaaaaaa.

  • @Halleberryist
    @Halleberryist 12 ปีที่แล้ว

    Muba si angepumzika kwanza, mbona karukia mahojiano! ama kweli John na Muba wanahitaji training!!!!!!!!!!!

  • @rajabukimosa3377
    @rajabukimosa3377 12 ปีที่แล้ว

    Human beings are wonderful, no matter how good things are, but we are good in complains, lets be innovative and struggle for our own potential issues.

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana *Nape*

  • @NickMasao
    @NickMasao 12 ปีที่แล้ว

    Huyo Nape pumba full sijasikia pointi yeyote hapo.

  • @abdiaziz70
    @abdiaziz70 12 ปีที่แล้ว

    acha majungu wewe, bs we nenda kawafanyishe trainining maana unajua sana.

  • @kevruta
    @kevruta 12 ปีที่แล้ว

    -Ningesimamishwa na Mnyika 2010 ningemshinda
    - Arusha tukifanya uchaguzi sasa hivi CCM inashinda mchana kweupe.
    My Take:
    *sababu zile zile zilizofanya mgombea wa CCM ashindwe ndizo zingekufanya ushindwe.
    *Vurugu za Arusha zinasababishwa na CCM ili ionekane kuwa Lema ni mtu wa Vurugu.

  • @saidgawawa
    @saidgawawa 12 ปีที่แล้ว +1

    wakwanza

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 12 ปีที่แล้ว

    Kampuni binafsi yenye uhuru kamili wa kunyang'anya wateja Tanesco ndio jibu la umeme TZ. lakini Tanesco isipewe kwa kampuni binafsi kwani ugonjwa utahamia huko pia. Ukweli ni kwamba wanunuzi wa makampuni ya TZ hawaleti jipya in terms of infrastructural improvement. Kuwe na alternative company "full kit" to make Tanesco die a natural death while lazying around or have a chance to learn from an alternative power supply company should they choose to wake up and do so..

  • @tatasmuller
    @tatasmuller 12 ปีที่แล้ว

    nimevutiwa na shoo zote ila hii ya huyu nape nauye sijavutiwa nayo

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 12 ปีที่แล้ว

    Nape anaongea ukweli.Wanaodhani hapendwi wapo Dunia ya..

  • @090909azazaz1
    @090909azazaz1 12 ปีที่แล้ว

    Hujapata watu wa kukubana kwenye hiyo interview..... CCM is on a slow death

  • @babyskk421
    @babyskk421 12 ปีที่แล้ว

    sasa hii ya wiki ijayo nayo muweke usiku kama hii ya nape,hivi unajua kazi yako au unabeep?sasawe endelea kubeep sisi tutakuvutia waya

  • @Isdory6
    @Isdory6 12 ปีที่แล้ว

    hivi kweli unadhani ungesimamishwa na Mnyika ungeshinda?? Mhh broo tuache bana,, ss co wa kubebwa kwa uongo namna hyo,,
    na Arusha Lema alishinda 2005 na akawauzia kura unabisha??

  • @HighHeelsAndGladrags
    @HighHeelsAndGladrags 12 ปีที่แล้ว

    "Inakuwa by the way sana" The fuck is that suppose to mean? Mazuzu wengine bwana!