SAM SIMBA: UKISTAAJABU SOLD OUT UTAYAONA YA SIMBA SC VS APR FC KWA MKAPA| MAJIBU KUPATIKANA TAREHE 8

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024
  • JE UNAHITAJI KUTANGAZA BIASHARA NA WISPOTI TV.
    KARIBU TUKUHUDUMIE KWA GHARAMA NAFUU, WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0743040370 AU TUCHEKI KUPITIA WHATSAPP NAMBA 0758099136.

ความคิดเห็น • 12

  • @SalvatoryMtunga
    @SalvatoryMtunga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo yuko bomba sana, mijitu mingine kazi yao kupenda kusifiwasifiwa kwa vile mashabiki wa yanga au simba, ovyoooo.

  • @chandeyusufu9570
    @chandeyusufu9570 2 หลายเดือนก่อน

    Kweli kanka Sam nakufatilia sana nipo dubai

  • @ShukruMakoko
    @ShukruMakoko 2 หลายเดือนก่อน

    Simba bigwa

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi ni mnyama mwenzìo but umetema facts nmekuelewa mkuu that's reality

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 หลายเดือนก่อน

    Ahsanteni wisport kwa tuletea madini kutoka kwa Sam hapa tunasikiliza mpira na Wala sio porojo

    • @HildaRugee
      @HildaRugee 2 หลายเดือนก่อน

      Kisa' mmesifiwa na mke wenu😊

  • @ramamakelo3780
    @ramamakelo3780 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa ana content ambazo ziko fact kabisa

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Mwamba ni mmoja kati ya wanamichezo wachahe tuliobakia nao yeye anazungumzia boli tu yaaani alianza kupenda mpira kwanza timu akafuata baadae

  • @FabiolaTriphon
    @FabiolaTriphon 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa atumwelewi naonakama kinamchome

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 2 หลายเดือนก่อน

      Hao wanao mfagilia wote ni young,huyu na mchome hakuna tofauti

  • @charlesmtitu5606
    @charlesmtitu5606 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu bwana hanaga nguo nyingine ,yeye na mchome lao moja na muda wote na majezi ya simba kisha kuiponda

    • @daudmpemba8019
      @daudmpemba8019 2 หลายเดือนก่อน

      Ni sahihi huyu nae ni kibaraka tu!