SEIF SIMBA: TUMEFUNGWA NA KAYOKO KUTUNYIMA MIPIRA YA KUTENGA | YANGA HAINA UBORA UNAOZUNGUMZWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @zainabsimbamtoro6790
    @zainabsimbamtoro6790 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kweli ulitoka mwanangu uko Sahihi

  • @DoreenMlay-e8g
    @DoreenMlay-e8g 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    yanga sio haina ubora ila kwa jana sema siku haikua nzuri na isitoshe simba waliingia kwa kuutaka zaidi mchezo kuepuka fedheha ya kufungwa kwa mara ya 4 ila ndo ivo bahati ilikua kwa yanga bado na unavohukumu refa usisahau kua kuna tatu malogo aliwatesa sana yanga alipokua anachezesha dabi so acha na sisa tupooze machungu acha dawa iwaingie kudadeki, inaumaee, safi sana malipo ni hapa hapa duniani ndo mkome daadeki

    • @NgamelaYussuph
      @NgamelaYussuph 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Shee Yanga hsikupata Muda Wa Kutosha Wa Maandalizi. Ndio Mana Hata Aucho alikuwa na Fatic kama Simba ylhswskutunia hyo mianya

    • @AnciscoKayombo
      @AnciscoKayombo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hawana ubora huo kama mwanzo kuwa tu mkweli

  • @sittandaki2135
    @sittandaki2135 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa penati ya Mosonda vip hapo yenyewe siyo penati????Makolo kweli

    • @taucdulle7460
      @taucdulle7460 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwan ukiaema mkolo ndio tusi😂😂😂asante mjomba yetu

  • @sadikingonyani8124
    @sadikingonyani8124 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lakini bado VIONGOZI wetu wanashida, kwa nini inakuwa kwetu? Tujiulize Yanga wanafanya nini na sisi tujifunze. Tujiulize mzee MPILI anafanya nini pale Yanga?

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Simba Ndio Mnanufaika sana na marefalee
    Hata hio mechi ya Simba na yanga nyinyi Ndio Mmebebwa sana kuliko yanga
    Tukiwaambia hamtaki.

    • @AishshibnShibani
      @AishshibnShibani 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio kweli ukuangalia mechi

  • @georgeuswege5905
    @georgeuswege5905 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Muda wenu kulalamika mbwa nyie, kwenye zile mechi 4 za mwanzo mlichonga mdomo

    • @AnciscoKayombo
      @AnciscoKayombo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe ni nyani mzee tu bado, furahia mbeleko

  • @AllyKimeme
    @AllyKimeme 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaeongea kimpila bos

  • @mwalamibingwe4177
    @mwalamibingwe4177 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uyu jamaa anasema vizur san

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hebu ngoja nisikilize Tajuwidi ya Shekh Seif Simba maana huyu jamaa anajuwa sana kusoma Tajuwidi balaa Seif nkate uwo nkate uwo nisautaim

  • @adamkihile2596
    @adamkihile2596 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwa Azam fc nayo maamuzi yalikuwa sahihi kwa Simba?

  • @SamsonPitta
    @SamsonPitta 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mlikamia mchezo ilimpoze maumivu tena yamewakuta poleni

  • @ramsonmadodi8095
    @ramsonmadodi8095 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka maiki za badili bhna saut ndg sio leo ila ushaur tu ndugu

    • @wispoti_tv
      @wispoti_tv  13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tunashukuru, naomba ujaribu kwa device nyingine uone sauti itakuwa ileile au nikifaa unachotumia

  • @annomgaya7450
    @annomgaya7450 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Shoga huyu