LISSU AFUNGUKA KUREJEA KWA KINA HALIMA MDEE NA WENZAKE 18

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 1

  • @greysondavid6445
    @greysondavid6445 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mimi ningemshauri mwenyekiti mkuu wa chama kuanza kuwananga washindani wake. Mbowe nafikiri amefanya jambo kubwa sana la kidemokrasi kwa yeye kugombea na mwisho wa udhindani wao akakibali matokeo kuwa ameshindwa uchaguzi. Jambo hili nikubwa sana na hata ushindani wake haukuwa natofauti kubwa.maana yake ni nini, Lisu aachanr kabisa na mtego huu ambao amewekewa na waandishi wa habari. Akubaliane kabisa kuitidha kikao viongozi na wajunbe ili awaambie kuwa hawakuwa na ushindani wa chama na chama bali chama kimoja. Hivyo awashawishi wana kamati, wajumbe na viongozi na si vinginevyo. Watanzania wanataka hoja na mikakati mizito mizito hivi ili wajue mwelekeo wao na si porojo nyingi zenye mizaha.